Nimejifunza hekima ya Bwana ndani yako Miriam. Ulimwambia Mungu akuoneshe kesho ya huyu mtu alicho nacho kiwese ku fit na huduma yako. I like it. I wish tungewasogeza hivyo hawa watu, ndoa nyingi zingekuwa juu hadi adui angekuwa na mtihani mgumu duniani. Sasa haiko hivyo wengi hukurupuka kuolewa asije akaachika. I'm sure wako wengine waliofanya kama Miriam hata na zaidi.
Sir John..... Nimejifunza somo kutoka kwenye mazungumzo haya.... Thank you Papa.... Following from Geita katoro Tz...
Madam Miriam umebarikiwa
Blessed hili bado somo still up to date lesson
Hongera kwa kijitunza ujanani.unafaa kuwafundisha vijana 4 real .mfano wako inasaidia sana, kuliko kuwatwisha mzigo uliokushinda. Mimi niliwezaa nanyi mtashinda.....
Nmebarikiwa through maneno ya miriam
Ubarikiwe mno Dada Miriam, nakupenda
Kazi ambayo Mungu anaifanya ndani yenu ni njema sanaa... Nimebarikiwa sanaa! Yesu Azidi kuongezeka ndani yenu
Nimejifunza hekima ya Bwana ndani yako Miriam. Ulimwambia Mungu akuoneshe kesho ya huyu mtu alicho nacho kiwese ku fit na huduma yako. I like it. I wish tungewasogeza hivyo hawa watu, ndoa nyingi zingekuwa juu hadi adui angekuwa na mtihani mgumu duniani. Sasa haiko hivyo wengi hukurupuka kuolewa asije akaachika. I'm sure wako wengine waliofanya kama Miriam hata na zaidi.
Mimi nakupeda sana Mirriam your so wise
Nilikuta clip insta ikanibidi nije.. hapo kwenye kujua future ya mwenzi wako pamenifungua sana. Bless you Mrs. Mauki
Kuna kitu nimejifunza hapo!!