Tunda Man ft Badest & Mr Blue - NJOO TUCHEAT (OFFICIAL VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 246

  • @AlmaCisse
    @AlmaCisse Рік тому +24

    On Behalf of my Family, my Village people, my Ancestors and also my Wicked Landlord, we approve this Song 😂😍💯🔥 Pitia kwangu pia nina kazi mpya

    • @TundaMan
      @TundaMan  Рік тому +4

      Umetisha kaka, 💯💯💯💯💯

    • @AlmaCisse
      @AlmaCisse Рік тому +2

      @@TundaMan Shukran sana Kaka nakufatilia sana toka nyimbo yako "Nipe Repoti" Natamani siku moja nifanye kazi hata kama ni moja na wewe

    • @irisoby
      @irisoby Рік тому

      ​sbgua-cam.com/video/fRk_GIP7A1Q/v-deo.html

  • @shijatabu2830
    @shijatabu2830 Рік тому +1

    Shabiki la simba

  • @thegenius8621
    @thegenius8621 Рік тому

    Tunda mistari kupanda ni aina ya dunda...kazi safi bila sogo mwana mitindo...chorus ya aina yake...kichwa cha habari wakipa nini😂kali sana kwa majizi...nyuki karamba asali kageuka malkia

  • @shabzismail2747
    @shabzismail2747 Рік тому +24

    Mr blue da beat killer..fire fire

  • @mctcher9297
    @mctcher9297 Рік тому +24

    254 wapi liks za Tunda kama Tuna the Man

  • @salimdesash
    @salimdesash Рік тому +2

    Blue kama blue.... Mistari imeenda shule 💯💯🙌🙌

  • @prodyuzastanley5369
    @prodyuzastanley5369 Рік тому

    Chuma hatari. Chyiiiiiiiii Mr Blue 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀.

  • @mohamedmwenyekombo1885
    @mohamedmwenyekombo1885 Рік тому +1

    Mr blue simbaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥hajawahi feli kwenye nyimbo yoyote aliyoshirikishwaaa

  • @Omary1960
    @Omary1960 Рік тому +7

    Blue tha beast 🔥🔥🔥💯

  • @thegenius8621
    @thegenius8621 4 місяці тому

    Huyu Tunda man ni hatareeee....anaflow na beat mpaka producer anaongeza miaka...raha tupu ,salute

  • @Cococollege
    @Cococollege Рік тому +1

    Niache dam au nitoke nduki blue umeuw san wanakubl blue mnyama tupia like

  • @starWeldo2022
    @starWeldo2022 Рік тому

    Jamani mpo wapi simje mumskie tunda bad man ihii ngoma Atari njoo tucheat

  • @stevietellem
    @stevietellem Рік тому +4

    MR BLUE NEVER DISSAPOINTS BIG TUNE 254 LOVE NAIROBI HERE 👑💎🎶

  • @SharifuMshuza-ji1ud
    @SharifuMshuza-ji1ud Рік тому

    Brother s mnajua sana mungu azidi kuwapa maarifa ya kutoa ngoma Kali tyu , tumchet hhhhhh.

  • @chiragahmbura9523
    @chiragahmbura9523 Рік тому +2

    Tundaman Nakutambua Big nakufatilia From Kenya Kilifi County

  • @manenohozza-j2u
    @manenohozza-j2u Рік тому

    Tunda ekaaa wataia yaaan unajua kaka nice huku kwetu Tanga yimbo tunaigoga

  • @KevoMazziwa
    @KevoMazziwa Рік тому

    Hizi ngoma za kipuzi tuachie wakenya. Sisi ndoo masters .. tupeni real. Bongo

  • @hustlersmart7917
    @hustlersmart7917 Рік тому

    Tunda mbn unaflow za watoto umuoni mwenzio blue lengend kwel kwel

  • @Ramazanisajad535
    @Ramazanisajad535 Рік тому

    Baisooooooo.. umetishaaa nyani zeeee

  • @SteveWhite-nm9gf
    @SteveWhite-nm9gf Рік тому +1

    Congratulations tunda

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty Рік тому +1

    Kwanini watu wanaomchukia Diamond Platnumz ni watu wameshindwa kujibeba kimaisha...huyu Tunda man nyimbo zake zote ni aibu😅😅😅

  • @hassanmwachalika7525
    @hassanmwachalika7525 Рік тому

    Tunda man umetisha sana kwenye hii Ngoma,mwendo uleule😂😁

  • @jabthebestmusic4304
    @jabthebestmusic4304 Рік тому

    Mr blue ❤❤❤❤❤❤❤❤Daah heshima nyaz

  • @jumajux730
    @jumajux730 Рік тому +1

    Ngoma nzuri

  • @davilydavis2451
    @davilydavis2451 Рік тому +3

    Blue on 🔥🔥🔥

  • @sangakeofficial8916
    @sangakeofficial8916 Рік тому +4

    Noma Sana ..Nani yupo tayari tuchiti🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️ Legends on one hit🔥🔥

  • @floraPatrick-oi2oi
    @floraPatrick-oi2oi Рік тому

    Baddest huwez kuwa kwa ngoma nishindw kupitia mzee

  • @jumabondo2085
    @jumabondo2085 Рік тому

    Ngoma kali sana my brother

  • @vonmajeid8443
    @vonmajeid8443 Рік тому

    Naamini pumbu akishashirikishwa Bysar Blue basi Hilo pumbu ni funiko. Safi Sana wajuba

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Рік тому +20

    Blu verse lit❤

  • @Spartake254
    @Spartake254 Рік тому +1

    Wale walidhani tunda lililiwa.....waneza kula matunda zote lakini so Tundaman.....

  • @philipotieno9996
    @philipotieno9996 Рік тому

    Baaaaaddest noma sanaaa na Leeeeegends wawili 2 waaaah hiiit

  • @dommycash1
    @dommycash1 Рік тому +2

    Byser💥💥💥💥💥💥

  • @stevenjoshua5866
    @stevenjoshua5866 Рік тому +4

    Daah wameua kinoma🔥🔥

  • @omaryramadhani1056
    @omaryramadhani1056 Рік тому

    Simbaa waukwelii na Tundamani brodher

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 Рік тому +1

    Piga like kwa blue

  • @AdamKingazi
    @AdamKingazi Рік тому +1

    my nigga bongoman kitu kikali nimekubali tundaman

  • @sheltonsure1899
    @sheltonsure1899 Рік тому

    Mapenzi toka kenya mpaka bongo

  • @cittaboy
    @cittaboy Рік тому +1

    Nyani zee bayser you kill it

  • @STAVOO_WIZZIE
    @STAVOO_WIZZIE Рік тому +1

    Nikiwaa mdogo nilikuwa namsikiaa tunda man leo nimekuwa naimba nataka kuwa kama tunda man

  • @adamkwathema4731
    @adamkwathema4731 Рік тому

    Mr. Angepaswa apite na hii bear nzima
    .ukali sanaaaaaaa❤❤

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 Рік тому

    Nakubr Sana brother tunda mani

  • @Best_tz
    @Best_tz Рік тому

    Njoo Tucheat Nice song Vibe Ka lote

  • @amirihassan5753
    @amirihassan5753 Рік тому

    Kazi kubwa sanaa hii

  • @Young_nyuki
    @Young_nyuki Рік тому +4

    Mr Blue 💥💥💥

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 Рік тому

    Kucheat mara moja moja kwani ina ubaya gani?! 🔥🔥👊

  • @abdulrahmankenya5478
    @abdulrahmankenya5478 Рік тому

    from kenya begup tunda

  • @ujenziwanyumbakisasatanzan6343

    Ya moto hii, nimekutana nayo bahati mbaya
    Kila mtu kapita inavyotakiwa very perfect

  • @ommyhussein4857
    @ommyhussein4857 Рік тому

    Hii ngoma kali sana

  • @privernnorens2317
    @privernnorens2317 Рік тому

    Bongo kwenye Video kuna mda tunakuwa chini sana ila ngoma kali sana

  • @derrickbwaxy4687
    @derrickbwaxy4687 Рік тому +1

    Bila upendeleo mr blue anahitaji mau yake

  • @nassirsalim6679
    @nassirsalim6679 Рік тому +1

    Mr blue kauwaaaaaaa....🙌🙌🙌

  • @waidarajabu6977
    @waidarajabu6977 Рік тому

    Hivi uyu jamaa anaimba au analia😄😄

  • @feisalshahar9212
    @feisalshahar9212 Рік тому +7

    Blue verse❤️🙌🙌🔥🔥

  • @robertmares508
    @robertmares508 Рік тому

    Appreciate Tunda man MR blue badest. Like kama umewakubali wanaa

  • @khochaempireent.2158
    @khochaempireent.2158 Рік тому

    Hii nyimbo ime kosea mtu mmoja....

  • @bafaqurish9018
    @bafaqurish9018 Рік тому +1

    Legend @tundman much respect.........
    One of the legend still in the game and doing good guys respect to the legend 🎉🔥🔥🔥🔥@tundaman

  • @Mzuritvonline
    @Mzuritvonline Рік тому

    Pita na kwangu uone vichekesho vyangu

  • @Mussakid35
    @Mussakid35 Рік тому

    🎉mr blue is crezy at music nice song

  • @MohammedKhamis-xp9bo
    @MohammedKhamis-xp9bo 9 місяців тому

    Tunda umeuwa❤❤

  • @sopsopbest5771
    @sopsopbest5771 Рік тому

    baddest umeuwa👐

  • @aryanchuumu362
    @aryanchuumu362 Рік тому

    Blue hajawah kosea Toka ngoma ya kwanza mpk hv sasa kwa hili goma 🔥🔥🔥noma sana wazee

  • @asl6295
    @asl6295 Рік тому +1

    Ngoma kali 100

  • @mosseskahemela2969
    @mosseskahemela2969 Рік тому

    Blue shikamooooo bababa

  • @limbungezedone2416
    @limbungezedone2416 Рік тому +1

    Goma Kali sana

  • @OptatusHaule-hk2zg
    @OptatusHaule-hk2zg Рік тому

    Mistari ya tundaman kaandika kontawa...
    Sio kesi tupo pamoja 🤝

  • @paulocheiacachimo2913
    @paulocheiacachimo2913 Рік тому +5

    Blue vce mata brow 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @collinselamwenya8028
    @collinselamwenya8028 Рік тому

    Mbona nahisi kama hio vesi ya tunda man ni kama iliandikwa na Kontawa😂😂😂😂

  • @richardmosses6776
    @richardmosses6776 Рік тому

    Bablon bzz 🐅

  • @KeydysniperSniper
    @KeydysniperSniper Рік тому

    Kali sen❤❤

  • @TEN10TV.
    @TEN10TV. Рік тому

    Ila mshukur Sana kontawakwa kukuandikia verse

  • @MnyozapeterSichela-br3pq
    @MnyozapeterSichela-br3pq Рік тому

    Munaweee jamaniii

  • @AliMohammed-e2g
    @AliMohammed-e2g Рік тому

    Tunda man / Harmonize and kontawa colabo moja la kudis nitasimamiya gharama 😢😢😢😢

  • @Adinaci
    @Adinaci Рік тому

    Noumqqqqqqqq sana chumaq ichiii

  • @salimkombo7119
    @salimkombo7119 Рік тому

    Hujawahi kosea bro tundaman napenda Sana swagger zako song zako uko juu ,blue ako juu sana

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 Рік тому

    Nakubari Tundaman

  • @BeverlyReception-ki8nm
    @BeverlyReception-ki8nm Рік тому

    Mwamba wakikutana mbona imetisha sana. Njoooni tucheat wadau kama hajiongezi

  • @kaiboy2414
    @kaiboy2414 Рік тому +2

    Wakali wao 🔥🔥 kali sana

  • @tracycheptoo305
    @tracycheptoo305 Рік тому

    Kontawaa umu

  • @christopherwami2006
    @christopherwami2006 Рік тому

    Blue 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @bakorastan2129
    @bakorastan2129 Рік тому

    Blue byser ameua kabisa

  • @barakamsengi3578
    @barakamsengi3578 Рік тому

    255 team badest 🔥🔥

  • @adamwaziry2253
    @adamwaziry2253 Рік тому

    Njoo tucheatttt tu

  • @vattyb2520
    @vattyb2520 Рік тому

    Mahaga joh 😂😂❤

  • @richvannyrichie
    @richvannyrichie Рік тому +1

    Hii combination ya collaboration nomaa yaani Flow kwa kila Muhuniii😂😂😂📣🏃‍♂️ #Njoo tucheat video mottooo🎉

  • @selemanibalimuacha
    @selemanibalimuacha Рік тому

    Sema wameuwa

  • @choloali456
    @choloali456 Рік тому

    Blue noma kumamake hazeeki 🙌

  • @Movie.With.Me96
    @Movie.With.Me96 Рік тому

    Ivi uyu tunda tatizo ni mganga tuh au vipi. Kama ufundi ni fundi tosha🤔

  • @AkirikitiBaba
    @AkirikitiBaba Рік тому

    Mmeua wakubwa

  • @shabanilugi5858
    @shabanilugi5858 Рік тому

    Kwama goma aya ukiskia kuna mtu kamnyonga mtu usishangai maana tuna amasishana kufanyiana ubaya aya

  • @aliathumanijuma852
    @aliathumanijuma852 Рік тому +1

    The bomb iko juu kama bendera

  • @muclassic_commedy
    @muclassic_commedy Рік тому

    Wanasimba msanii wenu anachiti huku😄😃

  • @cittaboy
    @cittaboy Рік тому +1

    Hot one

  • @MustafaRajab-om3wn
    @MustafaRajab-om3wn Рік тому

    Bluu kawafunika wote

  • @michutv9677
    @michutv9677 Рік тому +5

    Homeboy baddest 🔥🔥🔥🔥

  • @shawn-the-first.1643
    @shawn-the-first.1643 Рік тому +1

    NJOOOOO.

  • @Chapesamedia
    @Chapesamedia Рік тому +1

    Hatari kwa watoto weka mbali 😂😂😂

  • @allenissae3485
    @allenissae3485 Рік тому +1

    Hiii ni fireeeeee

  • @AmaboyTz-bi9ym
    @AmaboyTz-bi9ym Рік тому

    Mbonge ladude ilo jamani 🔥🔥🔥

  • @makupemtakatifu6702
    @makupemtakatifu6702 Рік тому

    Vibe noma sana