MIRAJI APAGAWA GOLI LA BACCA | KIBWANA ATAKULA ANA PESA ZA MASHABIKI | GOLI LA MZIZE SIO RAHISI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @raphaeltanzania
    @raphaeltanzania 4 години тому +14

    Miraji maramoja Mungu akuweke sana maana unajua sana kuchambua mpira haijalishi wewe unashabikia timu gani

  • @GodsonSeverin
    @GodsonSeverin 4 години тому +8

    Mko vizuri Sana sema mzee said tunamtaka

  • @ZachariaMasanja
    @ZachariaMasanja 15 хвилин тому

    Miraji maramoja nakukubali sana kaka unachambua mpira bila kuegemea upende ww ni mnyama lkn salt kwako kaka tupe uchambuz mzur tuujue mpira kwa kuuchambua hivo2 familia🤝👏

  • @EsterMagosho
    @EsterMagosho 10 хвилин тому

    Kusema kweli miraji nakupenda sana!! Hua unaongea ukweli!!! Nakurufahia sana!!!! Endelea kuchambua mpira hivo hivo vizuri!!

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 4 години тому +9

    Weweeeeeee. Hiyo ndo Yanga. Baba miraji🎉🎉🎉 pokea maua yakooo bro😂😂😂

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 40 хвилин тому +1

    Code yenyewe ni MOROGORO NA KIGOMA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @manjaroplatnum4917
    @manjaroplatnum4917 4 години тому +10

    Gusa achia twende kwao 😂😂😂😂

  • @JumaShahame-pr3re
    @JumaShahame-pr3re Годину тому +2

    Miraji anaujua mpira,anajua kuuchambua mpira,huwezi kukubali ukiambiwa kwamba huyu ni shabiki wa simba,lakini kwa uchambuaji wake, mashabiki wote tunampenda,haijalishi ni shabiki wa Yanga au Simba, hongera sana miraji

  • @RajiiYusials
    @RajiiYusials 4 години тому +4

    Nawakubali sana

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 3 години тому +2

    I really like your channel, from Kenya, The Hand of God, Diego Maradona , Argentina vs England QF , Mexico 86.

  • @RamadhanYusuph-xi3rh
    @RamadhanYusuph-xi3rh 2 години тому +1

    Miraji na changamba ninawapata nikiwa Kenya Garissa ❤❤❤

  • @HusseinIdrissa-ed6tl
    @HusseinIdrissa-ed6tl 6 хвилин тому

    Wapi mzee said

  • @Fabyjose-l2f
    @Fabyjose-l2f 4 години тому +2

    Miraji uko vizuri sana

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 2 години тому +1

    Duuuuu mm m2 kama miraji nikiwa nae najikuta tumegombana mana sipendi m2 anae sema huku ananipiga piga duuuu ila chukua maua yako❤💓🙏🙏🙏💥💥💯💯💯💞👇💗❤✊💐💐💐💐

  • @DottoWache
    @DottoWache 3 години тому +2

    😂😂 vibao ivyo vya chagamba leo miraji utakoma😂😂

  • @EmmanuelCharles-o6l
    @EmmanuelCharles-o6l 4 години тому +3

    Miraji nakumbali sana vs changaba

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 44 хвилини тому

    *tupeleke kwa mzee said bhnaa*

  • @JohnPatrick-h5b
    @JohnPatrick-h5b 4 години тому +3

    nakubari mzee

  • @GehaziMetelii-p4m
    @GehaziMetelii-p4m Годину тому +1

    Farid Mussa Maliki huyo ni fundi Sana yan namkubali Sana huyo jamaa anajua sana mpira

  • @DamarisOsward
    @DamarisOsward 3 години тому +1

    Nakukubali sana Miraji unajua pira

  • @AlfaCharles-e8h
    @AlfaCharles-e8h 4 години тому +3

    Nlikuwa nakusubil san kaka mkubwa atimae nmekuona🤛

  • @maigemayasa3382
    @maigemayasa3382 22 хвилини тому

    Miraji nami nitakukumbusha ikifika muda huo, ili uwakumbushe goli la 4😅😅😅

  • @Njilenhungo-u3x
    @Njilenhungo-u3x 3 години тому +3

    Guasa achia twende kilelen

  • @mclove8684
    @mclove8684 4 години тому +3

    code ya watoto wa morogoro hao wana ushilikiano 😂😂😂

  • @Fatma-jt6zn
    @Fatma-jt6zn Годину тому

    hiro bega ritashuka chagamba

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 3 години тому +2

    Lile goli ni ngumu sana kujitambua,,,na ndio hata wachezaji wa prisons hata benchi la ufundi hawakulalamik

  • @Asia-p5r
    @Asia-p5r 3 години тому +3

    Miraji.....unakumbuka faulo iliyozaa goal la pili la simba mechi dhidi ya kagera suger...hd ahoua anafunga goal safi km la aziz ki dhidi ya mamelodi?....marefa wa bongo wana mbingu yao kbs tuwaache

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 2 години тому

    Nkubali miraji na chagamba

  • @kapondadr5840
    @kapondadr5840 2 години тому

    Goli la mzize n km mayele na air 🙌

  • @MwambaVicent-w8j
    @MwambaVicent-w8j 2 години тому +1

    🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿

  • @AnthonyMasilila
    @AnthonyMasilila 3 години тому +2

    Chagamba jmn mzee said mbn hatumuoni tumemumic mzee w3tuu

  • @silahamichael1676
    @silahamichael1676 3 години тому +1

    TUNAMTAKA MZEE SAID BWANA MM YANGA

  • @KhamisSayuni-b5b
    @KhamisSayuni-b5b 2 години тому

    Chagamba mm nakukubari sana maana hauna ushabiki maandazi

  • @NzeyimanaEgide-d3b
    @NzeyimanaEgide-d3b 3 години тому +1

    Tanzania hii kahuna mtu ambae anajuwa mpila kama milaji hatakama yeye ni mnyama Mimi ni yanga lakini respect kwak Haina naya ukweli unaijuwa na unauongea

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 2 години тому

    Wapi Mzee said 😂😂

  • @rajabali5882
    @rajabali5882 Годину тому

    Tunamtaka Mzee Side baada ya Miraraji

  • @obedi84
    @obedi84 3 години тому +1

    Wee Mzee said Yuko wapi

  • @MabulaBunzaly
    @MabulaBunzaly Годину тому

    Chagamba mlete mzee said

  • @Josephinefrancis-z9y
    @Josephinefrancis-z9y 2 години тому

    Mzee said tuletee

  • @AdamMwombeki
    @AdamMwombeki 2 години тому

    Milaji were ni mtu wa ukweri🎉

  • @silahamichael1676
    @silahamichael1676 3 години тому

    Tuepeteee Mzee wetu wew

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 28 хвилин тому

    CODE NI MKOA MILIMANI NA KULE MWISHO 😂

  • @michaelseme7730
    @michaelseme7730 3 години тому

    Miraji nakushauri kasomee ukocha

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 4 хвилини тому

    Mwambie miraji anataka dube, akiwa afungi, tusiongee au.

  • @DicksonKobe
    @DicksonKobe Годину тому

    Miraji umezungumza poa lakini kuusu goli ata wewe ujaona mpka marudio ya picha siyo kweli wachezaji wapo karibu awajaona

  • @mkongwijudith8457
    @mkongwijudith8457 28 хвилин тому

    Hamia yana umekuwa km nabii meja

  • @choloizak6687
    @choloizak6687 2 години тому

    Mzee said ypo wp

  • @imamhussein1104
    @imamhussein1104 Годину тому

    Hiyo code alielewa atuambie na sisi

  • @RamadhanYusuph-xi3rh
    @RamadhanYusuph-xi3rh 2 години тому

    Miraji utatoa Bega la chagamba

  • @davidmalila9221
    @davidmalila9221 Годину тому

    Chagamba mzee said yupowap?

  • @Sundaypaul-b4g
    @Sundaypaul-b4g 41 хвилина тому

    Mara moja bonge la mchambuz mbona redio zetu mtu kama mara moja wachache sana

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 2 години тому

    Sindy mkono wa nan😂😂😂

  • @MajaliwaYusuph-qb1xp
    @MajaliwaYusuph-qb1xp Годину тому

    Mchezaji yupi tena jaman?

  • @ibrahimemmanuel1060
    @ibrahimemmanuel1060 21 хвилина тому

    Miraji acha2 hilo gori kali la mwaka

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 3 години тому

    Chagamba mbeya sana

  • @EdibiliSalum
    @EdibiliSalum 3 години тому

    lamso tena😂😢

  • @majidymohamed8734
    @majidymohamed8734 3 години тому

    Bega Hilo

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 2 години тому +1

    MAREFA HATUNA BONGO ,WAMETOKA KWENYE SINDANO SASAIVI WANAFUNGA KWA MKONO

    • @MariaMnthax
      @MariaMnthax 2 години тому

      😅😅😅😅wamefungwa wajerjere anaomiya ni kolo😅😅😅mbona mulikuwa mnapewa penalty zamchongo mbona hakuongea hao maneno

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 57 хвилин тому

      ​@@MariaMnthaxyaan hawa juzi wamepewa faul ya mchongo wamekaa kimya? Wanapewa penalty za mchongo hawasemi wanasifia timu yao tu ila afunge yanga sasa refa, bahasha, GSM ht hawaeleweki😂😂😂

  • @dr.allyahmada
    @dr.allyahmada 2 години тому

    Uingereza waliwahi kupigana vita na Agentina kugombea visiwa hivyo uadui upo

  • @RamadhanYusuph-xi3rh
    @RamadhanYusuph-xi3rh 2 години тому

    Jana yanga tulikuwa tupate goli nane

  • @MussaKaminyoge
    @MussaKaminyoge 3 години тому

    Duuu mpaka nimesoma comment ndo nimeelewa

  • @imrankweka4752
    @imrankweka4752 2 години тому

    Kkweli goli la nne4 lilikua la mkono cha kushangaza hata prison hawakulilalaMikia!

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 38 хвилин тому

      Ht wakilalamika bado kuna tatu bila ndio maana wamenyamaza lingekuwa goli la pekee ingekuwa mtiti

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 4 години тому +1

    Vipi goli la mkono mbona hamchambui??

    • @JOSEPHEMMANUEL-m8y
      @JOSEPHEMMANUEL-m8y 3 години тому

      😂😂😂

    • @MariaMnthax
      @MariaMnthax 2 години тому

      😅😅😅😅😅nimewashangaa na mm au kwasababu nawawo alikuwa anapewa penalty zamchongo

  • @Hanssimpson-ln6zs
    @Hanssimpson-ln6zs 2 години тому

    mnafki wewe?

  • @crystopherjoenas
    @crystopherjoenas 51 хвилина тому

    𝙲𝚑𝚊𝚐𝚊𝚖𝚋𝚊 𝚞𝚗𝚐𝚎𝚖𝚔𝚞𝚖𝚋𝚞𝚜𝚑𝚊 𝙼𝚒𝚛𝚊𝚓 𝚔𝚞𝚑𝚞𝚜𝚞 𝙼𝚊𝚗 𝚄 𝚋𝚊𝚗𝚊😂😂