KYRIE
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Karibu Katika channel mpya ya ndugu Fridolinus Boniphace Mushobozi ambayo ni malumu kwa ajili ya ala za muziki mtakatifu kutoka tungo za watunzi mbalimbali mahiri ndani na nje ya bara la Afrika.
Ili uweze kujipatia, kubarikiwa na kuburudika na ala za tungo hizi, tafadhali jiunge na kufuatilia channel hii kwa kubofya alama ya 🔔. Karibu na Mungu akubariki.
Mr. Fridolinus Boniphace Mushobozi welcomes you all to his special channel dedicated for instrumentals of selected sacred music played from compositions of various prominent composers from within & beyond Africa.
To access and enjoy these instrumentals, please click the "🔔" sign to subscribe into this channel.
Welcome all & may God bless you
Audio & video - Holy Trinity studios
engineer - Fabian mutayoba
Hongera sana mzee wangu, nami nahitaji siku moja niweze kuwa kama wewe...
Nia na kupambana kujifinza
Hongeraa 🎉🎉
Hongera sana mkuu, umecheza hadi Kardinari Pengo akabaki kutafakari kipaji chako.Hongera sana.
Amina tumshukuru Mungu
Nota kwa nota .... baba mkali ....bila Shaka weee hatari❤
Talented boy,,,,proud of you
Vipi kaka. Naweza kupata aje mawasiliano yako. From kenya
Kaz nzuri mkuu hakuna wa kupingana 👊👊👊
Vizuri sana Mhandisi. Mwenyezi Mungu akutunze! Ogume Omukoleile😮
Tumshukuru Mungu ndugu yangu, waitu kasinge.
Fireee....
Hongera kwa utume na karama hii Engineer🙏
Shukrani Sana Ndugu yangu, karibu.
Hatari Sana. 🎉🎉Ubarikiwe Kaka
Amina mkuu
Hatar san teacher❤...Hongera saaaaaana.
Amina Amina shukrani
Hongera sana kwa utume💪💪
Amina mkuu
Nmekuwa nangoja vitu kama hizi sana.... Barikiwa mkuu Mshobozi ✨💯
Tumshukuru Mungu ndugu yangu
Hii kali sana mkuu
Kaka hiyo iko Tamu Sana. Nimeipenda ❤
Amina sana Mkuu 💯🎉🎉🎉
Shukrani
Kaka yangu Mungu akubariki mnooooo..
Mungu azidi kukubariki,
Amina mkuu
Hongera sana mhandisi, M/Mungu abariki kipawa chako.
Amina Eng.
Hongera my brother
Tumshukuru Mungu ndugu yangu
imetulia sana kazi njema kaka🙏🙏🙏🙏
Talented musician 💪
Amen maestro
Maestro Hongera sana.🔥🔥🔥
Loud and clear engineer
Kazi nzuri ndugu mushobozi
Kama unajua unajua tu, kaka wewe ni mkaliiiii
Hongera mkuu nimebarikiwa nimesali kwakweli
Tumshukuru Mungu
Safi saaaaaana
Amina
Safi sanaa
Big up sana brother umeitendea haki
Shukrani Sana Ndugu yangu
Safi sana ..
Hongera sana mkuu.
Amina Sana mkuu
kudos mhandisi👏👏
Amina
Maestro 🙌
Barikiwa sana brother
Amina
Amina tubarikiwe sote
MKUU unatisha saana
Tumshukuru Mungu
Nakuenzi sana mwalimu
𝖍𝖊𝖟𝖍𝖎𝖒𝖖 𝖐𝖜𝖖𝖐𝖔 𝖒𝖐𝖚𝖇𝖜𝖆
Kazi nzuri,,ikiwezekana anzisha darasa hili hata kama ukiwa unafundisha online kwa kupost sessions, ili kurithisha kazi yako, lakin pia itakuongezea wafuasi na kufanya kuendelea kuufaidi ufundi wako kupitia watu waliopita mikononi mwako🙏🙏
Nashukuru Kwa mawazo yako Mema na chanya.
@@fridolinusboniface3574 kwakwel hili ni wazo zuri watu tunatamani tuwe tunapata mafundisho kutoka kwenu lakini hatupati
Nimeisubiria kwa hamu kubwa sana hii account. Be blessed engineer
Very nice 👏
Safi engineer.
Shukrani Engineer
Hongera sana mkuu
Amina mkuu
Kaifanyia hukumu mpka mhadhama kabaki kutafakarii tuu🙌
Safee sana
Good!
Eeeh. Kaka umeinyukaa
Tumshukuru Mungu
Fantastic
Mayo mayo. Naona familia na Kardinal wakitafakari
Waitu kasinge.
Vidole vyako vimebarikiwa kaka
Amina Amina Engineer
Moja ya misa unayotakiwa kuiheshimu broo ni hii umepiga vizur but kuna vipengele bado umetuuza
🔥🔥🔥🔥
🎉🎉
Mkuuu
Naaam
❤❤❤ 😊😊
❤❤🎉
❤❤
Karma yako hongera
Usiguse tena Technics, jiwekeze huku kwenye EL 90 ndiko nyumbani kwako
I wish You could teach me how to play the organ.
niko nawe kuanzia 25/7/2024
Hongera Sana Mwalimu