NYAKATI SAHIHI ZA KUOMBA NI ZIPI?? // TAMBUA MAJIRA
Вставка
- Опубліковано 23 чер 2024
- Ujumbe: Nyakati za kumtafuta Mungu
Andiko: Isaya 55:6
Pastor: Innocent Mashauri
Isaya 55:6
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu;
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Mungu nitie nguvu katika kukutafuta wewe amen amen
Yani tungekua tunafundishwa ivi kweli watu wangebarikiwa sana tena sanaa,, Mungu akubariki sana
Nakushukuru sana mtumishi kwa maalifa ya kimungu naomba lehema ya roho mtakatifu ikae ndani yetu amen
Amen
Ameen..eemungu.wangu.unibadilishe.niwe.pamoja.nawe.emeen
Asante Yesu Amen
Amena papa munga akubariki kwa mafundisho papa
Ameni ameni🎉
Amen 🙏 barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe huu
Amina
Ee mungu naomba unisameh makosa yangu unitakase na damu yako yasamani.
Ee Mungu nishaitie nijue muda wa kusali
Mungu nikumbuke mie niguse baba yangu
Leo nimefahamu wakati nzuri wa kuomba tofaut na nilivokua na fahamu,Ubarikiwe Chungaji
Amen Ameeeen
Amen 🙏
Asante Yesu wangu kwa mafundisho haya
Amen Mungu naomba unisaidie kuomba kwangu
Amina 🙏 nimebarikiwa Sana 🙏🙏 na nimejifunza kitu hapa 🙏
Amém Amém 🇲🇿👏
Amen 👏 🙏🏽 👏
Amen amen amen Asante yesu🙌🙏♥️
Asante YESU wangu
Amen mutumishi wa mungu
Mungu anijaze nguvu mupya
Kaa nami bwana usiniache gizani simama mwenyewe bwana katika maisha yangu
Hakika
Asante mtumishi mungu akubariki sana
Amen ❤ mubarikiwe sana watumishi
Ameeen
Amen Ubarikiwe sana Mtumishi
Asante mungu 🙏
Eeee Mungu nisamehe mimi dhambi zangu 😢😢😢 nimefanya mengi mabaya
Mungu niwezeshe kukaa kwenye maombi kila wakati na utowaji wa sadaka
Ee Mungu nisaidie
Asante MUNGU
Asante mtumishi kwa ibada hii
ubarikiwe sana
Mungu naomba nitoe kwenye vifungo vinavyonitenga na wewe
Amina mchungaji
Amen Asante yesu,baba naomba unitie nguvu za maombi uniwezeshe kwa Kila jambo la kimungu,🙏
Asante mungu
Mungu atusaidie,ubarikiwe mtumishi
Ameen 🙏🙏 nimeelewa
Amen amen 🙌
Asante baba
Amen be blessed 🙏🙏
Amein amein🙏🏻🙏🏻
AMINA
Nimebarikiwa sana na somo llako
Ubalikiwe sana muchungaji wa MUNGU gupitia kwa mafundisho haya
EEH MUNGU BABA YANGU NISAIDIE niponye ki Roho
Emeeeen
Eeh MUNGU wangu unisaidie
Mungu nisaidie
Eee Bwana naomba msamaha wa kufanyakosa yasiyositahili mbele zako naomba unihurumie Ee Mungu wangu,nakuhitaji use msaada wangu peke yangu siwezi
Ubarikiwe sana
Amen and Amen 🙏
AMEEN ASANTE SANA MTUMISHI UBARIKIWE KWA FUNZO HILI 🙏🙏✝️📖
Ooh yes
Asante Yesu kwawema wako kwetu
Eee mungu nisamee kwa makosa yote ninayo kosa kwa siku zima
Mungu kumbuka jema nililotenda Moja kwako pia kumbuka maombi yangu ya kurejeshewa kibali na kukombolewa kwa familia na kupata mume sahihi nikumbuke ee bwana
🙏🙏🙏
mola wang niguse usinipte niangalie moyo wangu unagitaji nini nitendee bwana
MUNGU kwanza jamani
EE MUNGU WANGU
UNISAMEHE
MUNGU nipe nguvu za maombi na kutoa sadaka
Eeh bwana na omba nguvu yako nisaidiye bwana nataka kukutumikiya nakupenda bwana
Amen
Asante mungu
ubarikiwe sana
Hakika
Amen