Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mimi wa pili dear❤🎉😂
Mziwanda mtu good sana👍🥀
Mwandishi wa ovyo sana
Huyu binti Mziwanda anafaa kuwa msemaje wa Simba, ana akili sana na anajua kujibu maswali ana hekima sana na anajua kuchambua michezo. Arudishwe shuleni akanolewe vizuri sana ili aje kuwa wa klabu anayoipenda sana!
Nimekupenda bure we dada ubaya ubwela
Mbona alifungwa tatu mzuka round ya kwanza na anajidai kama hii ndo round ya kwanza? Ovyooo