SIMBA WAMALIZANA NA CHASAMBI KIBABE YAWAFUNGA MIDOMO YANGA| ATEBA APUNGUZE UCHOYO SIMBA HII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @MariamKhamisi-c9r
    @MariamKhamisi-c9r 6 годин тому +2

    Wanazani tutamuacha chasambi wana simba tumekusamehe chasambi kula kunywa kwa amani kisha simama na malengo yako na yatimu yetu

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 2 години тому

    Chasambi Mungu yupo pamoja na nawewe,na sisi Wana Simba tunakukubali,Nguvu moja

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 6 годин тому +1

    Watuache na chasambi wetu mbinu zao chafu tumezijua

  • @AshaNchira
    @AshaNchira 3 години тому

    Chasambi oyeee

  • @MashakaGhobi
    @MashakaGhobi 4 години тому

    Chasambi apige bori tumemsamehe

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Годину тому

    HAO WANAOPIGA KELELE KUHUSU CHASAMBI NI YANGA. CHASAMBI PIGA BOLI BABA USIWASIKILIZE HAO UPANDE WA PILI. PAMBANA WATASAHAU YOTE

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 4 години тому

    We muandishi sijui nikuiteje? Hujui kuhoji,simba juzi tu imemfunga mtu 6 na hata yanga mwenyewe keshakula 6 0,au unajitoa fahamu

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 2 години тому

    Maduka yaliyo kupa magoli tumekupa wewe