PASTOR EZEKIEL AONYOA SUALA LA USHOGA "MKO NA RAIS AMEOKOKA MNAPIGWA KULIKO NCHI YEYOTE MNANAJISI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 118

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin Місяць тому

    Mungu akuinue Mtumishi uko salama salimini Mungu akutukuze juu. Aim from Tanzanian i agree with u be blessed ❤❤❤❤ denay ushoga in Africa in general

  • @aizzyashery5564
    @aizzyashery5564 2 місяці тому +6

    The best of the best shine and shine we love u

  • @joyf1586
    @joyf1586 2 місяці тому +4

    I believe this prophecy 100% I know when the word is from God.

  • @blessedjoyce1
    @blessedjoyce1 2 місяці тому +5

    THATS TRUE PASTOR EZEKIEL MAY GOD ALMIGHTY HELP US KENYANS

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      MUNGU wa ISRAEL NA DANIEL NA IBRAHIM TUHRUMIE PLEASE PLEASE PLEASEA PLEASE GOD

  • @DeborahSaitoti-oy7fm
    @DeborahSaitoti-oy7fm 2 місяці тому +1

    Mungu akubariki sana mchungaji kwa kuwaambia ukweli

  • @jacklinemesah7005
    @jacklinemesah7005 Місяць тому

    Kenya walisahau Mungu kabisa,how come wanaruhusu ushoga,thanks my spiritual father kuwambia

  • @Peshyandy
    @Peshyandy 2 місяці тому +2

    Truth will set us free

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 2 місяці тому +8

    Thank you so much pastor May GOD guide you all the time because you tell always the truth 🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️❤️❤️😭😭😭😭

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      afathali upande WA MUNGU

    • @JudithMatoro
      @JudithMatoro 2 місяці тому

      Asante man of god

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      @@JudithMatoro n vizuli kuandika jina GOD na jina kubwa please

  • @GeraldMyuku
    @GeraldMyuku 2 місяці тому +1

    Yaaaaa true gospel

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 місяці тому +3

    Amen umesema vema na hakika ni kichapo hadi muinue mikono juu

  • @catherinendolo2994
    @catherinendolo2994 2 місяці тому +1

    Amen na madhabao ya uchawi kwetu ipigwe kwa Jina la Yesu

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 місяці тому +2

    ABSOLUTELY! Ushoga utatumaliza, sababu mungu anaweza kuleta hata ❤❤maafa kama ya misri covid mafuriko ma upepo haielezeki.

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      umenena vizuli sana na n vizuli kuandika JINA YA MUNGU na jina kubwa please

    • @richardkipngetich2481
      @richardkipngetich2481 2 місяці тому

      It's true Pastor, Kenya must repent.

  • @perpetuall23
    @perpetuall23 28 днів тому

    the same message hes delivering in kasarani,God heal our land🙏

  • @gordonomondi7161
    @gordonomondi7161 2 місяці тому +6

    Why only pastor Ezekiel condemning ushoga? WENGINE MKO WAPI? Anglican and catholic bishops. Teresia Wairimu, Bishop Oginde, Mwai, Nganga, mark Kariuki, Gitonga and others please strongly urge our government not to embrace Homosexuality.

    • @aloiceoduorokoth230
      @aloiceoduorokoth230 Місяць тому +1

      Mbona unauliza wako wapi na unaelewa vyema wamo mle ndani ?

  • @Princessmanu1366
    @Princessmanu1366 2 місяці тому +5

    Exactly hawasikii na sidhani kaa wataitoa ju walishakula pesa za ushoga

  • @PendoPogwa
    @PendoPogwa 2 місяці тому

    Yesu akutunze sanaaaaaa!!!!!

  • @lucykaniaru9425
    @lucykaniaru9425 2 місяці тому

    May God bless you man of God.

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 2 місяці тому

    ❤❤❤ kabisa pastor

  • @nelsonlubekho4641
    @nelsonlubekho4641 2 місяці тому

    Amen 🙏🙏 hubiri ukweli paster waambie wasikie

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 2 місяці тому

    Upo sawa baba

  • @silvanus5621
    @silvanus5621 2 місяці тому

    Ongeza volume pastor

  • @janemwangi7380
    @janemwangi7380 2 місяці тому

    Thanks for being courageous like Joshua, Shallom pastor Ezekiel

  • @marykalondu3241
    @marykalondu3241 2 місяці тому

    Amen

  • @pasariswakiserian7531
    @pasariswakiserian7531 2 місяці тому

    He is a true pastor

  • @adhiambojuddy8291
    @adhiambojuddy8291 Місяць тому

    Ameeeen

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 2 місяці тому +2

    Exactly mchungaji waeleze ukweli

  • @GraceWangechi-vm8yl
    @GraceWangechi-vm8yl 2 місяці тому

    True pastor Ezekiel,

  • @rachealamimo7786
    @rachealamimo7786 2 місяці тому

    Thanks 🙏🏽 nobody is addressing it .

  • @leahjepchumba9966
    @leahjepchumba9966 7 днів тому

    True

  • @MorineOchwang
    @MorineOchwang 2 місяці тому +1

    Amina on Jesus name

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 2 місяці тому

    Hongera sana pastor

  • @ruthkamau5792
    @ruthkamau5792 2 місяці тому

    Very very true...

  • @happinessmchome9101
    @happinessmchome9101 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana mtu wa Mungu

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      n vizuli kuadka jina ya MUNGU na jina kubwa yote please

  • @enocksiele7035
    @enocksiele7035 2 місяці тому

    You are speaking truth 😮

  • @johnmwinzi8348
    @johnmwinzi8348 2 місяці тому

    mtumishi wa mungu ni ukweli ak ❤❤❤❤❤❤❤

  • @JoashHenry-q2i
    @JoashHenry-q2i 2 місяці тому

    It's true pastor.Amen.

  • @claremagoma3860
    @claremagoma3860 2 місяці тому

    Ukweli kabisa

  • @mwanyunimadee4157
    @mwanyunimadee4157 2 місяці тому

    Good thing is tht Ezekiel u give prophecy they don't follow or even bother but message is delivered

  • @WilsonWilson-n2m
    @WilsonWilson-n2m 2 місяці тому

    Hii ni yenyewe mchungaji Ezekiel ubarikiwe.

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 2 місяці тому +4

    Mko wapi mnaosemaga eti Pastor Ezekiel siyo mtumishi wa Mungu mbona anayapinga mashetani wazi wazi bila kuogopa tangu leo muwe na akili mjue hakika huyu ni mtumishi wa Mungu.

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      n vizuli kuandika JINA YA MUNGU na jina yote kubwa please

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 2 місяці тому

    WanatamamunguAkasirika👍👍🙏🙏

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      n vizuli kuandika JINA YA MUNGU na jina Kubwa please

  • @danicanoduori
    @danicanoduori 2 місяці тому

    Pastor na usisahau kuwakumbusha Tena ikiwezekana kwa mwezi ubiri Tena na Tena na uongeze volume

  • @elnorahmjomb1896
    @elnorahmjomb1896 2 місяці тому

    Mungu ndie ajuae ka ameokoka

  • @gladysnabwana6690
    @gladysnabwana6690 2 місяці тому

    SPEAKING THE THE TRUE

  • @GeldineRimbere
    @GeldineRimbere 2 місяці тому

    KENYA the best

  • @PendoPogwa
    @PendoPogwa 2 місяці тому

    Huyu baba ni mkali ila anasemaga ukweli.barikiwa

  • @catrhine93
    @catrhine93 2 місяці тому

    Amen 🙏 pastor uwambie kweli.

  • @samwelmwinyi1893
    @samwelmwinyi1893 2 місяці тому

    🙌

  • @OukoRael-r2o
    @OukoRael-r2o 2 місяці тому

    True infact but Ruto ni shetani

  • @nabangijane2331
    @nabangijane2331 2 місяці тому

    Kwa kwli MUNGU wa mbinguni akutunze mtumishi wa MUNGU umesema ukweli MUNGU tusamehee

  • @sultanalnaamani2156
    @sultanalnaamani2156 2 місяці тому +2

    Hiyo ni laana ya viongozi

  • @sultanalnaamani2156
    @sultanalnaamani2156 2 місяці тому +2

    Walaanike hadi siku ya mwisho watoweni kwenye madaraka hawafai

  • @johnlichungu2695
    @johnlichungu2695 2 місяці тому

    May God open their ears to obey,Servant of God,Speak it once more...Rom 1:18-26,You have spoken of what Satan did to David to count people (2 Chro 21:1-7,17)

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      n vizuli kuandika jina GOD na jina kubwa yote please

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 2 місяці тому +1

    Mtumishi wa Mungu Ezekiel nakupenda bure, wewe ni mtumishi wa msimamo sana ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Lakini tuangalie upande wa pili. Dhambi hata tufanyeje kwa kutoa ushauri kama huo kwa serikali zetu za kiafrika kupinga na kuondoa sheria ya ushoga haitafaulu kwa sababu HATUHUBIRI INJILI YA KWELI. Injili ya kweli ni ile INAPINDUA ULIMWENGU wa uovu. Wahubiri wengi wanahubiri ili watajirike na si watu waokoke. Kwa hiyo wahubiri warudi msalabani watubu, warejee kwa Mungu na kisha wapokee ROHO MTAKATIFU WA KWELI na si roho MTAKAVITU. We si unajua watumishi wa sasa wamejaa tamaa ya mali. Lini watahubiri injili ya kweli?

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      apo ume ongea na n vizuli kuandika jina ya MUNGU na jina kubwa yote

  • @queenyakinangop4096
    @queenyakinangop4096 2 місяці тому

    That's true handi kuna bishop kadha wameongea kuhusu mashoga na lesibians wasipotoa watakipitia kenya ni ya mungu

  • @gladysnabwana6690
    @gladysnabwana6690 2 місяці тому

    ZAKAYO GET THE MONEY 💰 SHEAR THE MONEY WITH POLITICIANS AND OTHER CHURCHES

  • @alicenjungunaa7598
    @alicenjungunaa7598 2 місяці тому

    Tell them pastor ezekiel

  • @SmilingApron-zw6ne
    @SmilingApron-zw6ne 2 місяці тому

    ❤AMINA, JE NANI KAWEKA SASA USHOGA KENYA?

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b 2 місяці тому

    Yale niliona ikitendeka Brazil,tuombe sana

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 2 місяці тому +1

    Watu hawaijui injili ya kweli kwa sababu ya wahubiri wasio wa kweli. Watu wanadhani wameokoka wakati injili waliyoisikia siyo ya kweli. Kwa hiyo makanisa yamejaa watu wanaodhani wameokoka wakati ukweli wake hawajaokoka, sababu ni kwamba hawakuwahi kuisikia injili ya kweli kutoka kwa watumishi ambao hawana Injili ya kweli. Ndio maana kila mtu kanisani anatamani asikie maneno yanayotosheleza tamaa yake ya mali kwa kigezo cha kubarikiwa na Mungu. Wakristo wako makanisani kwa lengo moja tu kubarikiwa na vitu vya Kimwili tu na si baraka za vitu vya kiroho maana hawavijui na hawajawahi kuhubiriwa hivyo. Waefeso 1: 3

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      kweli Na n vizuli kuadka jina ya MUNGU na jina kubwa yote please

  • @ROSECHARO-x5r
    @ROSECHARO-x5r 2 місяці тому

    Mtumishi wa mungu hapo sasa mimi ndipo nilikua na subiri

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      pastor Ezekiel ame ongea ukweli na n vizuli kuandka jina ya MUNGU na jina kubwa please

  • @avelinafurahaoisso5491
    @avelinafurahaoisso5491 2 місяці тому

    Daaah lakin binadamu acha tuu

  • @PendoPogwa
    @PendoPogwa 2 місяці тому

    😂😂😂!!

  • @MalaikahomeDecaration
    @MalaikahomeDecaration 2 місяці тому +1

    Sauti ya mtu aliae toka nyikani

  • @clariesahmed5580
    @clariesahmed5580 2 місяці тому

    Pastor enda nyangori PAG talk to those pastors

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 2 місяці тому

    Tuko nyakati za mwisho na za hatari sana

  • @karusi-rn4fw
    @karusi-rn4fw 2 місяці тому

    please astor tell Ruto these kama ameokoka, kila siku america kwa Biden, kanisa ndio ilimleta huyu ruto sasa hayaanayo yafanya je ni ya Mungu?.

  • @GeldineRimbere
    @GeldineRimbere 2 місяці тому

    Tell them pastor abroad is hell am here

  • @GeldineRimbere
    @GeldineRimbere 2 місяці тому

    Kwanza kunaeza nyesha usiku na mchana one week mafiriko juzi niliomba mvua itulie at least siku tatu tumeona jua

  • @christineamukoye3920
    @christineamukoye3920 2 місяці тому

    Watumishi wakubwa wa kubwa wa kenya wako wapi? Mbona wamenyamazia hili jambo. Sasa MUNGU aanze kuwapiga hao viongozi wote wa kenya

  • @JoeTruthisbitterMuinde
    @JoeTruthisbitterMuinde 2 місяці тому

    Ruto is not born again,thats is a lie....but the message is correct

  • @lankemeleji2158
    @lankemeleji2158 2 місяці тому

    Please Kenya repent b4 is too late hiyo sheria toeni Kenya

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      ruto ana pigana na Vita yenye sio ya kawaida

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 2 місяці тому

    Wewe ruto toa ushoka kenya uokoke

  • @CatherineMariam-bg2nc
    @CatherineMariam-bg2nc 2 місяці тому

    Ngai..ata Kenya imeweka hiyo..basi president hajaokoka

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      mm uwa na cheki ruto akiwa CHURCH na sidwa ya kusema wa Kenya kitu ya macho na n vizuli kuandika JINA NGAI na jina yote kubwa please

  • @davidmaithya574
    @davidmaithya574 2 місяці тому

    I thank God I didn't vote for hypocrite Ruto

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      aki mm na omba MUNGU wa Israel na Daniel na Ibrahim ani samehe na wa Kenya please mu n forgive

  • @RubigisaJoseph
    @RubigisaJoseph 2 місяці тому

    Ushoga haufai tumuombe mungu

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      iyo MUNGU ame kata na n vizuli kuandika JINA YA MUNGU na jina kubwa please

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r 2 місяці тому

    Kidgo umeanza kuwa mtu

  • @lewinmukui70
    @lewinmukui70 2 місяці тому

    Which president is saved?
    Or you meant he will be saved?

  • @RubigisaJoseph
    @RubigisaJoseph 2 місяці тому +1

    Ni laana kubwa sana kama Sodoma na gomora

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 місяці тому

    TANZANIA USHOGA UPO SHERIA HAIJAWEKEWA MKAZO MASHOGA WAPO TENA WANAONGEZEKA

    • @josephmaleri7570
      @josephmaleri7570 2 місяці тому

      Hajasema ushoga hamna nchi zingine kasema sheria iondolewe.. Sheria ni agano kiroho,, kuna madhara yake.

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      @@josephmaleri7570 asante kwa kumuelzea

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      haja sema hamna ame sema Tanzania ija pitiswa ume elewa jameni

  • @davidkitiku5412
    @davidkitiku5412 2 місяці тому

    Hubiri injili ushoka ahiondolewi sheria

    • @Peaceman-S
      @Peaceman-S 2 місяці тому

      Shoga umesema na Mungu atakupiga

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 місяці тому

      ume n stuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa i hate ushoga

  • @jedidahnthenya
    @jedidahnthenya 2 місяці тому

    Ulisena kuna mtu mkubwa atakufa alikufa?waongo kila saa

    • @janemwavita2050
      @janemwavita2050 2 місяці тому

      Mwezi wa tisa

    • @ElfasKipkoech
      @ElfasKipkoech 2 місяці тому

      Myb ni wewe uta kufa kwani unapenda mtu aki kufa wewe uta ongoza uoni ata aibu

    • @Peaceman-S
      @Peaceman-S 2 місяці тому

      ​@@janemwavita2050Lesbian ako anachart kwa page ya mtumishi ya Mungu sasa we nyang'au si uokoke isejekukufa kwa moto ya jehanamu

  • @lankemeleji2158
    @lankemeleji2158 2 місяці тому

    100/ right

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 2 місяці тому

    Exactly mchungaji waeleze ukweli

  • @esnasmakaka7516
    @esnasmakaka7516 2 місяці тому

    Amen

  • @JosephOkila-lc3yw
    @JosephOkila-lc3yw 2 місяці тому

    Ameeeeen