UTACHEKA SANA! T.I.D ALIVYOMZINGUA MTANGAZAJI KISA AMEVAA 'MOKA' 😂😂
Вставка
- Опубліковано 24 сер 2022
- UTACHEKA SANA! T.I.D ALIVYOMZINGUA MTANGAZAJI KISA AMEVAA 'MOKA' 😂😂
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Ametisha sana kwenye ngeli big up TID
TID kingereza chako ni international English kwakweli 💞💞💞💞
TID is always on top funny 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Et Wasanii Wa singeli Wanatumia sana maik yako😁
ua-cam.com/video/uuH0zuser3E/v-deo.html
seat cover 🤣🤣🤣🤣mtangazaji kaingia chakike🤣
Waaooo hatimae nimeijua kwa usahihi tafsiri ya legend, Asante babu❤
Very soon TID anakuja kenya kuhojiwa ametrend sana huku "I hate u" 😂😂😂
Mnyama kwa ngeli hatari sijui kasoma wapi jamaa,golden voice
Haha haha haha daah ila Hawa malegend was bongo bhana, vituko sanaaa
daaamn i donno how i call him my teacher coz once he was my math teacher back here in kenya🥰🥰keep shinning i always remember more from you
🤣🤣🤣🤣🤣I love his English waow
ua-cam.com/video/uuH0zuser3E/v-deo.html
Shida nikizungu Sana 🤣🤣🤣
Seat cover 😂😂😂😂😂😂😂😂
mtoto mdogo...byeeeee 😆😆😆
ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE UGONJWA WA KANSA, DAWA YA KUTIBU KANSA YA AINA YOYOTE..*#.*# ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html
🤣🤣🤣Yani huyu eti maiki yako wamatumia sana wasanii wa singeli 🤣🙌watu wachokozi
Seat cover🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
TID is a whole trip🤣🤣🤣🤣, I can't aai nimechekaaa
Bonyeza hapa uone 👇🤍🕊
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Who is this guy 😂😂😂, boda boda
Wasanii wa sengeri wanatumia mic zako sana mtoto mdogooooooooo😂
😁😁😁😁😁👆
Jordan mwasha umevaa seat cover 🤣🤣🤣🤣 nmecheka kama mbwa TID kalewa huyo
Napenda interview za TOP IN DAR
Sanaaaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂wasani wa sengeli🤣🤣🤣
Nimependa dressing code Ujamaa
No matter how preposterous a person can be, they would always be a method to their madness. And T.I.D truly fit that bill
From Kenya your interview mnyama 😂😂😂😂😂😂 ati sit cover
Hawa wasanii hawana tofauti na bodaboda ubongo wao
Wale tulokua tunawaita vijana wa hovyo wameshaanza kuzeeka 😂😂😂😂😂
Seat cover.. sivitaki 🤣😁
TID anaishi ulimwengu wake
🤣😂🤣😀 T.I.D mnyamwezi saana
Tid anatuonyesha maana ya Tid top in dar cio ngoma 2 ili uwe sawa nop jamaa yuko poa
😂😂😂😂 tid in Bobby brown wa bongo aisee 😂😂😂😂
Ukiwa mwandishi wa habari ustahimirivu unahitajika sana...
Sema TID anajua sana Kidhungu
3:17 Mond huyo😁
Tid ni mmoja wa wabongo wenye kuongea kingereza vizuri saana, yaani ana pronounce neno lilivo vilevile
Kwani apo unaojiwa Tanzania au nchi za mbele mnyamaaaaa au ndio kaka Ake Wema 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwel ukoloni mambo leo😅😅😅
Mtoto mdogo mbwaa😂
Tid ni legend wat Tanzania ❤🎉
😂😂😂😂😂 Me I love some TID
Mnyama bhanaaaaaa khaaaa
Nakumbuka nilimkata mtama TID taifa kumbe anajua sarakasi
🤣🤣 seat cover
😂 😂 😂 Niyeye
East African usher Raymond tid
Seat cover😂😂😂😂😂😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Wasanii wa singeli nyimbo zao wanaimbia masela tu sio watu wazima wenye akili zao
Hawataki kuambiwa ukweli ndo shida
😂😂😂😂huyu
Nilishangaaa asisemee concetration.
Shida wasanii wa singeli wanakula Sana ganja na pombe Kali na maneno wanayoimba Ni uchafu tu hakuna kitu chochote
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli kabisa
Mic imejaa bacteria 😁😀😀😊
Tid ni ngori😂😂😂😂
TID amepiga k vant nini
Munyamaaaaaa. Aaaaaaaaaaaaaaaaah hatari sana
Bangi la gongo zishamuua jamaa
Pombe mbaya 😂😂
😂😂😂😂😂😂
T I D, bhana
Moka zako sizitaki😂
😂😂😂
Seat cover
😀😀😀Mtu mzma dawa
Sifa nyingi maringo mengu mafi tuu
Hujamzoea tid utapata taabu
@@bujashidaniel5537 ni kweli hajamzoea, TID is comedian
@@bujashidaniel5537 Mno!
Huyo ndio zake 😅🤣🤣🤣🤣mzoee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😹😹😹😹🙌💔
😂😂😂😂
Mzee kigogo 🔥🔥🔥🔥
Niyeye
Social distance
🤣🍓🍓
Hamna kitu humo,,. Maneno TU 😃😃😃
🤣🤣🙈😄😄😄😄
@@priscamrekoni3451 anajiona yeye kama katisha Yani kumbe hamna kitu TID alikuwa wa zamani wasasa ni KIBWENGO tuu😄😄😄😄
Ila ili jamaaa limekuwa chizi fresh Fran iv
💺 cover 😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😭😭😭
😅😅😅😅😅😅😅😅
Kizungu chann wakait upo uswahili
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💋
Kwani wasanii wa singeli walimkosea nini😆
Ekheee Mimi binafsi nilishwahi ona wasanij wasingeli yaani wanavuta mibangi dakhaaa hatariii Ila siyo wote jamani wengine wastarabu
😁💄😁
Media za tz ni vichekesho tu
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
Tid una kinge kizur sana
Tid mnyama
😂😂😂😂😂😂ila hi english sijaielewa vzuri
Huyo anajua Kiingereza fluent! Hana shida na Kiingereza!
@@TamuzaKale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣na we nini unasema
@@queentoto3878 Koiyo hujui Kiswahili wala Kiingereza. Basi tafuta chaka ujisaidie!
@@TamuzaKale 🤣🤣🤣🤣unasema nn kiingereza ndio kinini
@@queentoto3878 we unajua Nini mbwaa
Ayaban myama
Wachane hao
Puwa kubwaaaaa
Acha muda menu umesha pita
Boya ilo legend unalolote mziki wenu wa zaman xi mlikua unaona mjulkane tu mnapelekwa kwene shoo mnapewa nauli mnajiona wajanja madogo wamkuja saiv wame huexhimixha mzki wetu afu unadai unabaniwa kolabo afu unadai kolabo mfukon una ki2 toa pexa uone kma kolabo haifanyiki
Naona povu
Ila wao ndo wametambilisha bongo fleva
Acha dharau, babako ni babako hata km hakutengeneza pesa kipindi cha ujana wake
Bonyeza hapa uone 👇🤍🕊
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI UPONE UGONJWA WA KANSA, DAWA YA KUTIBU KANSA YA AINA YOYOTE..*#.*# ua-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/v-deo.html
😂 😂 😂 Niyeye
😂😂😂😂😂