NIKKI MBISHI AMEMUANGUKIA PROFESSOR JAY/ WEUSI BADO HII HAPA AU HUMU TU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

КОМЕНТАРІ • 22

  • @atenionesmo_A10
    @atenionesmo_A10 2 місяці тому

    Nikki mbishi nireal Hi Hop ananyoosha maelezo

  • @boltfunga9793
    @boltfunga9793 3 місяці тому +1

    Huyu dada ana kipaji sana big up

    • @amriseleman9395
      @amriseleman9395 3 місяці тому

      Tatizo ana copy swaga za Lily Ommy

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 2 місяці тому

      ​@@amriseleman9395jamaa kqamaanisha hapo 5:00 alipo imba kidogo

  • @TheAddyjembe
    @TheAddyjembe 3 місяці тому +2

    dada anaimba uyu kuna kionjo katoa sio poa

  • @gwamakajohn7122
    @gwamakajohn7122 3 місяці тому +1

    Zohan

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 3 місяці тому +3

    KWELI MZIKI KUCHAGUA...NIKI MBISHI ANA HIT 2 TU TOKA AANZE KUCHANA.

    • @homan_nkwama
      @homan_nkwama 3 місяці тому +3

      _Prayboy
      _Sauti ya jogoo
      _KILA SIKU
      _SAM MAGOLI
      _NYAKATI ZA MASHAKA
      ...KAKA yaweza kuwa unafuatilia RAP sio hip hop

    • @HASSANBAKARI-q9c
      @HASSANBAKARI-q9c 3 місяці тому

      @@homan_nkwama we sikuachi nakujibu....usifananishe wimbo unaoupenda ww ukiskiliza na ulio hit utaharibu...hit ni 2 tu kila siku playboy.....afu hit aijalishi unampenda umpendi ni hit na ww ndo utaifuata..

    • @t.ikingtz5703
      @t.ikingtz5703 3 місяці тому +2

      Ni mtazamo wako ila Nikki usimpime kwa hit unju kila ngom yak ni hit uwez mwelew mbishi kama kichwa chako ni empty

    • @t.ikingtz5703
      @t.ikingtz5703 3 місяці тому +2

      Chakushur upo mbali na mazingra nayotoka vinginevyo ,tungeongea mengine maana uwez msema Nikki mbishi kwa ubaya mbele Yang alf uwe na aman fuck y

    • @bonifacemeela5247
      @bonifacemeela5247 3 місяці тому +1

      Media za bongo zinatengeneza watu wasiojua kwa undani aina flani ya Muziki na badala yake mmetengenezwa ninyi Mnaolishwa na kushiba kile wakitakacho wao Hamjui ukweli bali mnajua wakisemacho wao Pole sana jamaa Nikki Mbishi ni zaidi ya Upeo wako na hao unaowasikiliza Marehemu Ruge aliwahi ona kitu kwa jamaa ila hawakufikia Makubaliano yenye faida kwa pande zote