UCHEBE KAFUNGUKA KUHUSU SHILOLE KULEWA "Nimembadilisha Shilole hakuwa hivi"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2018
  • Mume wa Msanii Shilole ambaye alifunga naye ndoa mwishoni mwa mwaka 2017, Uchebe amezungumza kwenye Exclusive interview na kuzungumza jinsi alivyombadilisha Shilole haswa kwenye swala la pombe na akasisitiza kuwa watu wapuuzie Account ya Instagram inayotumia jina la Official Uchebe siyo ya kwake.

КОМЕНТАРІ • 103

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому +19

    Kijana mstaarabu MashaAllah, Allah hawaongoze katika ndoa yenu daima muelewane

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 6 років тому +12

    Unafungu lako kwa mungu kumtowa kwenye maovu na kumuweka njia njema mungu akutilieni baraka kwenye ndowa

  • @emmanuelosmond1314
    @emmanuelosmond1314 6 років тому +1

    Uchebe uko vzr,Allah akuongoze ktk mstari huohuo,uko mstarabu unaongea point,sura nzuri moyo safi,Shenzi mange

  • @celinemakokha6915
    @celinemakokha6915 6 років тому

    Uchebe 1,hivo nakupenda sana umenifanya niwe fan wa shilole mwanzo sikua namdhamini,mungu awape kila la kheri kwenye ndoa yenu.mnanipa mfano mwema sana kuishi katika ndoa.shilole umebarikiwa na Mme love you guy's Allah azidi kutenda mema kati yenu.

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 років тому +10

    Hongera sana uchebe MUNGU akufanyie wepesi uweze kumbadilisha shishi

  • @deewallance9354
    @deewallance9354 6 років тому +9

    Namshukuru MUNGU kuona shilole na jack wameolewa. Bado wema MUNGU mpatie na wema,

    • @abcdefgger
      @abcdefgger 6 років тому

      Dee Wallance hahahaha

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 років тому +12

    Mwanaume na nusu shishi una bahati uchebe ni HEAVEN SENT

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 років тому +9

    Uchebe you very competent haf upo descent kwenye media..big up bro

  • @faidhanata4883
    @faidhanata4883 6 років тому +3

    Màsha Allah kaka ana akili huyu mwenyezi mungu awafikishe mbali insha Allah

  • @ayshahams7373
    @ayshahams7373 6 років тому

    Mashallah uchebe upo sawa mwenyezmung akuzidshie umuelimish dadaetu shishi mpk aache mziki tuangalien akhera tusiangalie dunia tu huo ndo uzur wa kupata mume mwenye dini unajielewa pongez

  • @queendama8896
    @queendama8896 5 років тому

    Huyu kaka ni mwanaume kamili yaani umeaongea ka wanaume mia na...Shilole ukapata mtu anajua maisha nn ...l like this ...wacha Mungu aendelee kuwasimamia ndoa yenu..

  • @christinearotso8837
    @christinearotso8837 6 років тому

    kaka uko sawa sana maongezi mazuri sana, wampenda sana mkeo pongezi sana na mungu awajalie.

  • @mohamediyusuph4290
    @mohamediyusuph4290 6 років тому

    Sema mshikaji tembo,ngumi jiwe....!!!!safi sana achana na mambo ya mitandao ishi na mkeo inshaasllah.

  • @y6y6hg77
    @y6y6hg77 6 років тому +4

    Inshaallah Mungu akulinde wewe na mkeo pia azidi kukusikiliza abadilike zaidi

  • @veramichaels1954
    @veramichaels1954 6 років тому +2

    Uchebe u r very wise

  • @asmahabiyambere2518
    @asmahabiyambere2518 6 років тому

    Masha Allah

  • @edusarah4377
    @edusarah4377 6 років тому +16

    hongera uchebe hakika ww ni mume unaejielewa

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 6 років тому

    Lovely.

  • @mahmoudalameri5493
    @mahmoudalameri5493 6 років тому

    mashaallah mashaallah kaka yupo safi sana wengine igeni sio kilakitu mna tangazatu

  • @khadijamalifedha6008
    @khadijamalifedha6008 6 років тому

    Mashaallah

  • @bintihassan3397
    @bintihassan3397 6 років тому

    mashaallah uko sawa kaka na maongezi yako

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 6 років тому

    hongera sana uchebe mungu yupo nawe

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 6 років тому

    Uchebe kapendeza hatarii saiz🔥🔥

  • @salumunadulart6673
    @salumunadulart6673 6 років тому

    M/mungu awafanye kudumu katika ndoa yenu

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 6 років тому

    Nakupenda kaka yangu ❤️❤️❤️👌

  • @zainabmaulidi3771
    @zainabmaulidi3771 6 років тому

    Masha Allah kijan mstarab shish hap umepata

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 6 років тому

    Mashallah naatazid kubadilika mkeo kwa uwezo wa Allah

  • @mallyaeditha694
    @mallyaeditha694 6 років тому +5

    safi sana kaka usitoe siri zako za ndan

  • @faizajfar6386
    @faizajfar6386 6 років тому

    mashalah uchebe

  • @fathmajivanji5173
    @fathmajivanji5173 6 років тому +3

    MashaaAllah uchembe umwingi wa hekma mungu akujalie kheri

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 6 років тому +6

    Kijana mzr kweli mungu awapee maskizano na ,mkewe ache kuimbia jana kaniudhi kwepi kacheza vibaya kweli huyo Shishi

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 6 років тому +3

    Hee umeowa mlevi kumbe mitihani Allah atunusuru na vizazi vyetu

  • @vivianiabas7868
    @vivianiabas7868 6 років тому

    safi sana inapendeza sana

  • @namelessunknown1377
    @namelessunknown1377 6 років тому +1

    Uchebeee

  • @mejumaaathman4485
    @mejumaaathman4485 6 років тому +7

    Masha Allah kijana mstaarabu,Allah anipe namie mstaarabu😊

    • @richbird.123
      @richbird.123 6 років тому +1

      Mejumaa Athman .Ameen thumma Ameen akupe yule alive timia kwa kila kitu Inshaallah

    • @mejumaaathman4485
      @mejumaaathman4485 6 років тому

      Salma Ibrahim : Ameen

  • @hadassperez494
    @hadassperez494 6 років тому

    Smart uchebe

  • @sarahsamwel3019
    @sarahsamwel3019 6 років тому

    Upo vzr shem

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 6 років тому +1

    Hahahahaha uko sawa dogo wadau jarb kubonyeza hyo picha kushoto utafurahi usisahau #kusubsribe

  • @nadyajuma4108
    @nadyajuma4108 6 років тому

    mungu azid kukuongozen inshallaah

  • @annamapesa31
    @annamapesa31 6 років тому

    Uchebe nakupenda buree

  • @rahimajuma688
    @rahimajuma688 6 років тому +5

    uchebe hiyo shughuli lini maana leo trh 3 mwaka 2018

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 років тому

    Janjaro uko wapili uchebe uko vizuri

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 років тому +6

    Nmekuelewa Cha msingi mpende mkeo

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 6 років тому +5

    yaan shishi umepata mume anajitambua sana

  • @hoitherjesse8301
    @hoitherjesse8301 6 років тому

    huyu kaka mshaharabu sana shilole mheshim mumeo

  • @omarychediel1307
    @omarychediel1307 6 років тому +1

    Chaupole wa shishiiii

  • @saidtvonlinecnd2689
    @saidtvonlinecnd2689 6 років тому +4

    Kumbe uchebe mzuri

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 6 років тому

    Masha Allah lakini mbona haikua hyo sherehe natamani kuiona...+254. Mombasa

  • @kemmypius8619
    @kemmypius8619 6 років тому

    Review shighul kwishwaaaaa.......

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 років тому +8

    jamani mbona uchebe yuko vizuri ilikuaje mange amnange kaka wa watu kweli hii mitandao itatutia uchizi

    • @winstonanjuna5550
      @winstonanjuna5550 6 років тому

      Rasta ni haram kuswali nazo hata kusuka tu ni haram

  • @beieieih9179
    @beieieih9179 6 років тому +1

    Kaka yangu rudi tena madrasa unasema unawezakusuka rasta bdae ukaingia masjid iyo sio sahihi niharamu kusuka rasta upo kaka fkiria vzr

  • @mbozder2748
    @mbozder2748 6 років тому

    kumbe ni handsome..nlikua sjamuonea 18

  • @tatut3889
    @tatut3889 6 років тому +4

    Towa hicho kiduku shehee uchebe 🏃🏃🏃🏃

    • @annamapesa31
      @annamapesa31 6 років тому +1

      Tatu T kiduku sio matendo

    • @suleimansalim7845
      @suleimansalim7845 6 років тому +1

      Uyo jama ni mvuta bangi anajifanya tu hana mpango wowote

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 років тому

      Suleiman Salim kweli

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 років тому

      anna mapesa hee akitowe bwana sio poa

  • @shufaamohameed2603
    @shufaamohameed2603 6 років тому +1

    Shishi jmn huyo kk.anavyoongea😆😆😆mie hoi🙊🙊🙊Mme wa mtu

  • @jamillaburhan1265
    @jamillaburhan1265 6 років тому

    Kijana anaongea vizur ukijua dini tu utakua na hekma sana hongera shemeji

  • @godfreykanelela1257
    @godfreykanelela1257 6 років тому

    Ki benten

  • @fatumahassani5071
    @fatumahassani5071 6 років тому

    jamani muwe Na masikilizano

  • @barakajpilly6900
    @barakajpilly6900 6 років тому

    shekhe unaonekana uko vzur ktk karate nakoz zako hazdangany kwa ss wataalam wa mambo asa angalia usije ng'oa meno mkeo

  • @zahraalmas4576
    @zahraalmas4576 6 років тому +1

    Kwel unajielewa

  • @mariethamagoti1338
    @mariethamagoti1338 5 років тому

    Mkaka una heshima wee

  • @beijahabibty6664
    @beijahabibty6664 6 років тому

    Jamani uchebe namm natafta mume mzuri kama ww si ungenioa mm basi ama kama una kaka yako mzuri kama wewe namm namtaka mbona uko sawa kaka

  • @mreallashy3525
    @mreallashy3525 6 років тому +10

    Kazuri mange wivu tu

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 років тому

    Baba jitahid sn ndoa sio mchezo mchezo ikiwa ww ni Muislam na mkeo Muislam,bas jitahid awe muadilifu asje kukutia motoni usimruhusu alewe wala aimbe,jitahid ndugu yang na msihi sn kuhsu tatoo ktk mwili wake ajute na amube Allah amsamehe na ajitie kwa nin alichora mwili wake,ukimlingania juu ya kumcha Allah bas utapata fungu kubwa kwa Allah na Allah akufanyie wepes lkn km hukumlingania na ukamuacha tuuu bas jukumu lote unalibeba ww Mume,,na umsihi asiwe na sauti kali mbele ya wanaume iyo ndo sheria ya Uislam,,jitahid ndugu yang mzigo sio mdogo uliojitwika ila Allah atakufanyia wepes Inshaallah ila jitahid asijekukuingiza ktk moto,,,you are Man halaf msihi cn asitoe siri zenu,,na mziki aache bila ya hivyo utakua haukufanya kitu kwa muhib wa Qur an..laaa ikiwa umeowa kwa zeheb jengine apo sina elim nalo laaa ikiwa ni Qur an..Yoyote anae imba mziki wa aina yoyote ile amelaaniwa na ni kharam kuskiliza nyimbo,sasa km ni mkeo kua makin na hili kwanza kisha ayo mengine Inshaallah ya takaa saw,,

  • @josephinearumba4366
    @josephinearumba4366 6 років тому +3

    Uchebe, una ustaarabu kweli mola akushidishie maarifa ya kuweza kumstaimili mkeo. Huku kwetu kenya tungepata wanaume wastaarubu ka wewe aise tungekua na mvuto wa kuolewa

  • @ratifambonde7432
    @ratifambonde7432 5 років тому

    Saf uchebe kwel vi2 vya ndani haviruhusiwi kutangaza nje

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 6 років тому

    😅Jamaa upo sawa, unatumia akili nyingi kuliko ulevi wa sifa! Udaku si poa jamaa ana misimamo.

  • @missagatha1756
    @missagatha1756 6 років тому

    yaan shishi umepata mume na anajielewa sana mpaka naona wivu mm hahahaa

  • @tatut3889
    @tatut3889 6 років тому +3

    Tarehe 20 yamwezigani nije

    • @rahimajuma688
      @rahimajuma688 6 років тому

      Tatu T ilikuwa mwezi wa 12 sasa naona kimya nini tatizo 😂😂

    • @ringovictor2507
      @ringovictor2507 6 років тому

      Tatu T. Agufr

  • @dommypascal6625
    @dommypascal6625 5 років тому

    shishi akika umepata Mme mtunze

  • @dorcaskihiyo3594
    @dorcaskihiyo3594 5 років тому

    Yani huyu kaka anajidai anadini mbona ulimsaliti mama January ulilalanae chini mxiuuu kwa mungu utaungua na malipo hapa hapa duniani

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 років тому

    Jamani mkaka mstaarabu sana,Sijui ni nani hule kwenye mtandao anajifanya ni wewe eti unalelewa looh,Watu wabayaaa

  • @rajabkhalid4294
    @rajabkhalid4294 6 років тому

    Inalilah wainna ilaihirajiun wewe Hujui kitu kuhusu dini usijibu kitu Kinachohusu masala ya dini Kama Hujui

    • @husnahhamisi4488
      @husnahhamisi4488 6 років тому

      Rajab Khalid hamna aliyekamili...tuwaombee inshallah watabadilika siku zijazo

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 6 років тому

    r r r nyingi sehemu za L

  • @hassanrashid1136
    @hassanrashid1136 5 років тому

    wew muongo kunyoa kidukwi airusiwi kuingia kuswali nayo swala aikubaliki ata rasta

  • @shaibuselemani2135
    @shaibuselemani2135 5 років тому

    Acha kupotosha dini airuhusu kunyoa kiduku unyoaji wa kiyaudi huwo

  • @kijangwahamza2382
    @kijangwahamza2382 5 років тому

    yani shishi huyu ukimwacha dakika kumi nyingi magubegube wa mjini washamuona hahaa nawaombea mola awajaze shfaa midomo yenu iwe nasubra mstamiliene

  • @khadijamlewa1639
    @khadijamlewa1639 6 років тому

    We uchebe kunyoa fanki haibatishi swala ila ni haramu kunyoa fanki

  • @youngsaiyoh2308
    @youngsaiyoh2308 6 років тому +1

    Ni kazuri jaman mange acha wivu

  • @asmabintikiwashatz9321
    @asmabintikiwashatz9321 6 років тому

    ila kaka mshauri mkeo avae vizir kwan ww muslim nawatakia kila lakher

  • @mountcholo7039
    @mountcholo7039 6 років тому

    Kakwambia nani kiduku inaruhusiwa kwenye uislasm

  • @dorcaskihiyo3594
    @dorcaskihiyo3594 5 років тому

    Mxiuuu wewe si boda boda wewe mwananyamala wanakupa hi 😂😂

  • @princiokechukutzmuckarts7997
    @princiokechukutzmuckarts7997 6 років тому

    w uchebe n ñusukilo akiliyako yaaan MTU mwenye akili timamu akikuskilza tayar anakuona unahitajika milembe ww n muoaji au muolewaji? m ckuerew shish alisemakilaktyu n yeye kwako sasa iweje uoe boraungeliolewa tyu ww hatakukuskilza nakuona ka unanimalzia mb zangu hujitambui

    • @abdulkarimpazi7646
      @abdulkarimpazi7646 6 років тому

      princiokechuku tz muckarts ivi wew una matatzo au??? Uchebe ana gereji na kasema apo sasa kila ktu shish vip?? Yey hapend kutangaza hyo ndo tofauti yake na wengne ambao kila kitu wanatangaza nje... Ndoa inataka stara

  • @nazmaabdul949
    @nazmaabdul949 6 років тому

    huyu nae Mara hana account Mara uchebe I au kiswahil shida

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 6 років тому

    Sura ya uchebe imekaa nikama ume pigwa makora za uso alafu ww umeoa ama umeolewa toba 💔🙆🙆🙆

  • @richbird.123
    @richbird.123 6 років тому

    Nakupendea hivyo uchebe mungu awaongoze Inshaallah