SAA 7 USIKU / WAUAJI WAMEKUJA, MZEE ALIDONDOKA : MTOTO WA MAJUTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 242

  • @MaryKihata
    @MaryKihata 2 місяці тому

    mZee busala imekujaa mnoo mungu akubaliki saana amiina

  • @asma4952
    @asma4952 6 років тому +2

    Hawa wazee wetu wanatuacha njia panda mungu awalehemu wazee wetu

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 років тому +1

    Pole Baba kwa kumpoteza Baba yako rafiki yako msiri wako bora umejisafisha pole baba

  • @suleimansalim7845
    @suleimansalim7845 6 років тому

    Pole Abu mungu atakulipiya wewe fanya subra mdogo wangu sote tuna mpenda king majuto msameh mama ako japo kuwa yeye ndo mkosa wana wake ndo mama zetu ila mungu alisema kuwa wawo ndo wa kwanza kuingiya motoni

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 років тому +1

    Pole sana mjomba wa Babu yetu, umeeleweka, poleni sana wote kwa ujumla, yule Mwanamke atakuwa mkorofi na anauchu na Mali.

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 6 років тому +9

    Allah amrehemu mzee wetu majuto

  • @umiy1971
    @umiy1971 6 років тому +12

    KINYWA CHA MZEE KINAONGEA SASA ,kwa mtizamo wangu mimi sikuona shida ya hawa watoto, shida haswa ni bimkubwa mwenyewe haya mambo ya familia kama alikuwa anataka amani hakupaswa ayalete kwa vyombo vya habari, pia hakuwa amejifanya kama mama wa familia aliwafanya watoto wa mzee walotangulia ni maadui zake .Bi mkubwa aliyaanzisha akamuadhiri marehemu kwenye mitandao kama hakuwa mumewe kisa kikuu ni mali , na alifikiria kuwa mzee ameshaondoka hakuna ambae angeongea kwa ajili yake.mpeni sumni yake ende zake asikuwekeeni kiwingu ,

  • @juamijuamimichu5969
    @juamijuamimichu5969 6 років тому +1

    Mtihani huu

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 6 років тому +5

    Nimekupenda wewe mzee sanaa umeongea kiutu uzima sana

  • @saladaniel5520
    @saladaniel5520 6 років тому +17

    Abu mm nimekusikiliza sana
    nimegundua baba yako ni chanzo cha matatizo

  • @nadhraabdul1827
    @nadhraabdul1827 6 років тому +2

    Tamaa tu zimewashika ,mnaacha kumuombea maghfira mzee wenu ndo kwanza mnaita media , mtihani sana wallah

  • @majidikaleghela7528
    @majidikaleghela7528 3 роки тому +1

    mzee alikuwa anapenda totozi na abuu ndio alikuwa muwadi wake sasa hapo mama mdogo lazima akuchukue

  • @tifahally3088
    @tifahally3088 6 років тому +1

    Hii ndo tabu ya familia za kiswahili Mtu kafa badala yakumuombea maghafiraa marehemu wanawaza Mali mke wa mzee majuto umekosa subra ya kustahamili walau Arubain iishe lkn umeshindwa Allah akurehemu mzee wetu najua unaona yanayotendeka

  • @mariambeautysonghuseni9549
    @mariambeautysonghuseni9549 3 роки тому

    tanga unasema sana hebu vitu vingine tusisemeseme

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 3 роки тому

    Hao wauaji walitumwa na huyo Mama.alimpenda Mzee Majuto kwa sababu ya hizo mali.hapendi watoto wa wenzake

  • @beuntflyhusnakasy9320
    @beuntflyhusnakasy9320 6 років тому +3

    Una saut kama ya baba ako mashalalalh

  • @hamidaalhabsi5114
    @hamidaalhabsi5114 6 років тому

    Inasikitisha sana Mzee Majuto Leo umekwenda mbele ya haki Umepnda wanao Ukawaweka na ukapenda uishi nao pamoja Umeowa Mwanamke ulifikiri atakuwa na wanao leo hii Hujamaliza hata siku ngapi wanachafuana Na wewe Mama mumeo kafariki hukuweza kusubiri ukajitoa kwenye mitandao hujamaliza hata eda aibu sana

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 6 років тому

      Wacha kumaliza eda mumewe amekufa hata mwezi 1 bado aojiwa na wanahabari tena uso peupe kijuso peupe halinishangaza sana uyu mma

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 5 років тому

    Duh vyeti vyandoa muhimu jamani😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @ruqiyaruq5142
    @ruqiyaruq5142 5 років тому

    Sijui kwa nn wanawake wanapenda mali kuliko uyu mwezio kaenda mbele ya haki baada kimuombea dua unaanza kuzungumzia mali uyo mama ana hakili kweli

  • @gitu4me
    @gitu4me 6 років тому +4

    Abuu yuko sawa usema kweli ni mpenzi wa Mungu
    Haya ndo matatizo ya sisi wanaume kuoa wanawake wengi

  • @r3x3sha
    @r3x3sha Місяць тому

    Kila family ina matatizo jamani wachini kumwaga mama kufaidisha waja mnafaa kuwa mnaomboleza.

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 років тому +12

    kumbe ndio maana tunakusikia sana abuu abuu kumbe ndio ulikuwa bega kwa bega na mzee ndio maana mama hakupendi hahahaaaaa

    • @ayshaalsahafi5714
      @ayshaalsahafi5714 3 роки тому

      Ndivyo walivyo mama wa kambo,hawana maana yoyote.ni utamaa mwingi.

  • @dorndet6179
    @dorndet6179 6 років тому

    Abuu nimekupenda bure.mungu Kutangulie.

  • @MaryKihata
    @MaryKihata 2 місяці тому

    Upo vzuuuri mno kijana WANGU wamama tuna roho mbaya saana

  • @ruqiyaruq5142
    @ruqiyaruq5142 5 років тому

    Jamani kwa nini uyo mama anafanya ivyo kuwadharau watoto na kuwatenganisha kweli uyo kafata mali sio mume kihalali

  • @helenmark7965
    @helenmark7965 6 років тому +1

    Inshallah mtapata suluhisho ya familia lakini watoto wapo sawa huyo mama tamaa imemzidi

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 5 років тому

    Jamani mambo mengine ni siri msitoe mitandaoni hivi nyinyi niwaislam

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 6 років тому +1

    Duh makubwa jmn 😢😢😢😢😢 mungu ampunguzie adhabu ya kabuli.

  • @bahishaalexander3641
    @bahishaalexander3641 5 років тому +2

    Unaakili Sana kijana, mambo ya wazazi hukupaswa kuingilia kabisa
    Na ndivyo ulivyofanya.

  • @lateefahramadhani4629
    @lateefahramadhani4629 6 років тому

    point hiyo nimeipenda tamaa imutawala bibie huyo hajapata mshauli Eda haiwi hivyo wislamu unatalatibu zake

  • @madiyamsonde562
    @madiyamsonde562 5 років тому

    😅😅😅😅mjoba nmepeda bure

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 років тому +4

    Inavyoonyesha huyu mama ndio ana matatizo akili yake ipo kwenye mali tu

  • @hildadaniel4892
    @hildadaniel4892 6 років тому +2

    mmh kweli majuto alkua mwigizaji unaolewa afu unaombwa radhi naomba nikupe talaka moja kwanza afu tutajua vhakufanya hahahaaaaaa

    • @abubakarsalim4188
      @abubakarsalim4188 6 років тому

      Hilda Daniel 😂😂😂😂😂

    • @ndunihiyari4015
      @ndunihiyari4015 5 років тому

      Haya maneno umesom kwny kitabu au yametok mkweny kichwa chko,. Unanivunj mbv .

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 5 років тому

    Uyo Mama anatamaa lakini anatakiwa kujua watoto wake wanaaki aijalishi Mambo ya ndoa

  • @higahassib6614
    @higahassib6614 6 років тому +1

    huyo mamayetu ni mnafiki

  • @naslamgollowatuacheee9852
    @naslamgollowatuacheee9852 6 років тому +1

    Mtihan

  • @mtumishiwake4006
    @mtumishiwake4006 6 років тому

    Daah mzee kasongo umenitishia kwa jicho komaa.amechokora wazimu.

  • @petrouronu5334
    @petrouronu5334 6 років тому

    Mjomba bana utaki kiki😙

  • @tajibetese5567
    @tajibetese5567 4 роки тому

    huyo mama ana roho mbaya ata kufa kifo kibaya halijasoma dini yake

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 6 років тому +1

    aisee kumbe usilolijua ni sawa na usku giza na msema peka sku zote mshindi bora na nyinyi watoto mmefunguka tumeelewa wapi penye makosa

  • @paymushi3529
    @paymushi3529 6 років тому

    Swali la kujiuliza anaomba msada watanzania cad za benk anazo ln za cm je inamaana mze hakuwa na akiba uyu mama ndiyo kamuwa mze majuto na uyo mama anapenda ela siyo mchezo mfuuuu zake mtu mzima ovyo

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 6 років тому

    hanilipi hata thumni.kunatokea cku napewa laki 6 au tano

  • @maryamdounga2290
    @maryamdounga2290 6 років тому +2

    😂😂mambo yakunitaja Abu Abu ctaki wallah huu mthan

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 6 років тому

      Uyu Abu ni bonge la komed yani badala ya kuskitika nacheka mungu atawapa subra

    • @jumamtumwa7713
      @jumamtumwa7713 5 років тому

      Acheni historia chamsingi kufikiria

  • @sichanamahmoud6297
    @sichanamahmoud6297 6 років тому

    upo vzr

  • @emilianadavid3228
    @emilianadavid3228 6 років тому

    Duh hi ndo shida ya mitala jamn so sad kabsaa jamn mh ..mhusika akishaondoka wanaobak ni vita ugomvi maneno kudhulumiana duh Mungu tusaidie

  • @myshem5341
    @myshem5341 6 років тому

    Uyuu mm inaonyesha anarohoo mbaya Alikuwa awapatani naawa watt

  • @tinamchira6187
    @tinamchira6187 6 років тому +2

    hebu yaacheni Maisha ya familia ya majuto....haitusaidiii....kujua tupeni hbr za maana....

    • @mamazawad4334
      @mamazawad4334 6 років тому +1

      msitoe siri za familia pia mwombee marehemu mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 5 років тому +2

    Huyo mama yenu kilichomleta hapo kwa mzee majuto ni twamaaa.Asilimia kubwa huyo mama akir yake yoooote ni mali tu si vinginevyo

  • @atibuandrew7273
    @atibuandrew7273 6 років тому +4

    Abuu nimekusoma sana ila cha msingi Muombe Mungu sana maana hiyo ni vita, Muomba Mungu hakosi fungu lake.

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 6 років тому

    UKIWA NA MJOMBA NGANGARI KAMA HUYU POWA SANA.

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 років тому +1

    Kwel uyu mama
    Siyo poa kabisa

  • @mohamedomar4037
    @mohamedomar4037 5 років тому

    Kuoa wanawake wengi hiyo ndio hasara yake majungu hata Yule baba Hamza kasongo na Yule baba mkwe WA Dar wajitoe katika mambo ya marehemu

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 6 років тому +1

    Poleni na heka heka hizo zitakwisha tu.

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 років тому +7

    Huyu mjomba ameongea maneno mazuri sana

    • @king3-q1s
      @king3-q1s 6 років тому

      Kusema alikuwa anaoa ndio kamvua nguo?

  • @mudrickbarton8911
    @mudrickbarton8911 6 років тому

    Kwa kifupi nyiiiingi mzee baba

  • @yasinjames556
    @yasinjames556 6 років тому

    Duh kumbe katika kuigiza king alifanya kweli me nlijua kuna maisha ya uigizaji za maisha ya kifamilia..viswahili vingi saaana Mozer vs children

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 6 років тому +1

    Jamani kuna wamama huw wanamatatizo mkubali mkatae.

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 5 років тому

    Mjomba oyeee

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 5 років тому

    Mali zao wote kwani nao hao c waliaza kuwa watoto ndio wakawa watu wazima,wote haki yao

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 6 років тому

    HUYO MAMA MFUKUZENI HANA MAANA. ANAFIKIRI YEYE HAFI.

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 6 років тому

    Sikota jib Baba. Mambo ya watu msipende kuingilia. Mtumzima analia mtakufa weng

  • @mohamed.hassani9917
    @mohamed.hassani9917 6 років тому +1

    Yule mama washauri wake wamemshauri vibaya,Yeye alikua atulie ,asifanye haraka asubiri, arubaini iishe,na vile vile ajue yupo kwenye Eda,Kuna sheria za mirathi,ktk dini ya kiislamu,kuna serikali na sheria zake,halafu marehemu ana mali gani ya kujitia stress ,pressure,Marehemu anaonekana ana Kanyumba na Kashamba

    • @moudstudio6703
      @moudstudio6703 5 років тому

      Mohamed. pole kaka inahitaji uvumilivu lkn naamini upo sahihi yameshanikuta mimi kama hayo. ila upo sahihi kabisa

  • @oliverlyimo1972
    @oliverlyimo1972 6 років тому

    Baba naye kasababisha yote kha? R.I.P Majuto

  • @hassanjuma3151
    @hassanjuma3151 6 років тому +3

    Jamani dini yetu ya uislamu hafai kizuka akiwa katk eda kuoneka na wala kuongea na mwanaume yeyote anaefaa kumuowa Ila mke amefanya makosa kuhojiwa hali yakuwa yupo ktk eda

  • @myshem5341
    @myshem5341 6 років тому

    Mjomba uko sahihi sanaa tena wajipange wasije kinyume msemaji watt yupo OK sana

  • @mariambeautysonghuseni9549
    @mariambeautysonghuseni9549 3 роки тому

    nyie acheni kutoa siri zenu kwenye mtandao

  • @jackrinaman7521
    @jackrinaman7521 6 років тому

    Abuu nakukubali

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 6 років тому +1

    Mambo ya kifamilia na mali ni mazito sana ..ni kama hadithi za abunuwasi 😁 Alie kufa mungu amrehem
    .

  • @musatv9456
    @musatv9456 5 років тому

    Bora muache biff

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 6 років тому

    mzee tuko nae hiviii

  • @mohamedthoya7436
    @mohamedthoya7436 6 років тому

    Siri za nyumbani..jamani mengine mstri mzee wako kuwapa waja faida haitawasadia...huu mda munge utumia kumuombea dua...

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 6 років тому +1

    Kumbe nyoga ilivujika kwakusukumwa? Si do zili kesi zakuwa bila kukusudia au
    We mama mungu akusamehe tu

  • @omarame4613
    @omarame4613 5 років тому

    ukiishi na wazazi vizuri kunamambo lazima utafaidika ila familia muda mwengine itakuisia choyo

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 6 років тому +6

    Inaonekatu ifamily ilikuwa na problem zaho. ya Mama naawa watoto. so njo mzee ayupo tena mambo yana ripuka.. sorry

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 років тому

    Mjomba inawezekana ukawa mwema lakini kwa kuongea hivyo kwa jazba na unaonekana una hasira kwa mtazamo wangu naona kama siku hiyo ya arobaini amani haitakuwepo hapo, na huyo mzee mwenzio na mwanae sidhani kama watakuja kwa stahili hiyo, manake unaongea macho umeyatoa hivyo ni hatari hata ningekuwa mimi siji.

  • @madiyamsonde562
    @madiyamsonde562 6 років тому +1

    da I habu unaoge kama mzee majuto

  • @rockyvlogs2214
    @rockyvlogs2214 6 років тому +4

    Huyo mama duh

    • @salimaamir5561
      @salimaamir5561 6 років тому

      Mma hataree mi nacheka abuu asema mma amchefua

  • @jamilashemndolwa9325
    @jamilashemndolwa9325 6 років тому

    mama ameaibisha cna

  • @ibraheemqassim3018
    @ibraheemqassim3018 2 роки тому

    Binadamu jihadharini na wanawake

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 5 років тому

    Pia akir yake yy huyo mama alikuwa anataka serkali iingilie kat hasa muheshimiwa magufuli, ichukuliwe mali yote kwa nguvu ya serkali apewe yy tu na wanae hao wengine ile kwao, eeejaman hayo nimaisha tu ipo siku yatapita na utaviacha vitu vyooote utakwenda ww kama ulivyo hata kijiko wala Sumni kwan alie viacha yy yuko wap?na je? Alipenda kuviacha? Jaman tuachen tamaa ya mali za urithi tutafute vyetu.

  • @mwajumaabdallah8600
    @mwajumaabdallah8600 6 років тому +13

    Kwel huu mswiba achaneni na media hakuna kifup ktk mazngumzo yen msitirin baba yenu kwanini mnamvua nguo jaman

    • @haulevincent8824
      @haulevincent8824 6 років тому

      Wataacha vipi na wamechafuliwa na tz unaijua kuwa ukikaa kimya utadhaniwa na maneno mabaya kutupiwa

  • @ayshaayush8539
    @ayshaayush8539 6 років тому +1

    Lkn mzee angegawanya tu mirathi wakati anaumwa ona sasa ameacha mizozo badala ya kuombewa dua

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 6 років тому +8

    Mama wa kambo hua wanatkaa waangaliwe wao Tu,lakini Mzee alikua akitaja watt wake wote katika interview kama ni urithi mutapata nyote maana Mzee hakuwabagua tangia Yuko hai

  • @mariambeautysonghuseni9549
    @mariambeautysonghuseni9549 3 роки тому

    tanga tunapenda kuongea sana vitu vingine tusiongee kwenye mitandoa sio vizuri wekeni mambo yenu private

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 6 років тому

    ilo limama ningeishi nalo mimi ningelinyoosha

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 років тому

    Abuu anachekesha sana eti kikii

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 років тому +3

    Huyu jamaa. Naona karithi sauti ya babake pia anaongea kama mzee maj2

  • @abdulsalim8900
    @abdulsalim8900 6 років тому

    Wee mjomba mbona msaniii unalia au unaigiza

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 6 років тому

    Mhuu undugu SASA naona utaisha huwez kulud tena tanga maana wanaweza kukupiga makof dada

  • @ashrafrajabu6464
    @ashrafrajabu6464 6 років тому +1

    Kiukweli ni kwamba hapa watu wanagombania mali lkn cha ajabu ni kwamba hata ambao hawaruhusiwi kixheria kurithi pia wao wanatka kurithi

  • @kenyanboy8517
    @kenyanboy8517 6 років тому

    Kumbe damu ya kuchekesha iko mpaka kwa mjomba

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 6 років тому +1

    abuu fundi halafu magari mabovu kwanini

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 6 років тому +3

    Mmmmh kiboko mambo ya urithi.mimi sipo kwenye huo ugomvi wenu kwenye maelezo ya Abuu nilichoona anakipaji cha kuingiza pengine anaweza kuwa kama Babaake.ushauri wangu kama anasoma coment hizi aachane na mambo ya urithi ajikite kwenye uigizaji Wa vichekesho awe anatuvunja mbavu sisi.😃😃

  • @jcbwaxxx1168
    @jcbwaxxx1168 6 років тому

    Hivi hawa wanawake wana matatizo gani jamani

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 6 років тому

    Mama anatatizo kabica, inaonekana alikuw hawapendi wtt aliowakuta, sio vzr kutowapenda wtt uliowakut inatakiw uwapende wtt wote, cio ujenge nao chuki n sio vzr uwachonganishe bb n watoto wake,

  • @abdulkarimhamissi3755
    @abdulkarimhamissi3755 6 років тому

    Nimegundua apo msimuukum mama moja kwa moja apa nais mambo hayako sawa kama umemsikiliza abuu na mzee wamepishana hasa kwenye swala la eda wametofautiana kwamba bmkubwa aliondoka kabla ya eda kuisha wakat mzee ameongea kwamba walioongea na wakamuuluza akasema eda atalia kwa kaka yake pili swala la vitasa vipya mwanamke aliwezaje kubadilisha wakat eda alilia mjin apa nikusikiliza vizur pande zote mbili

  • @kenyanboy8517
    @kenyanboy8517 6 років тому

    Haha daah kiki tena

  • @haulevincent8824
    @haulevincent8824 6 років тому

    Majuto mdogo ya amefanana na mzee wake

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 6 років тому

    Palipo na baraka hapakosi vitina
    Na palipo Na moshi Apakosi moto
    MUNGU AWASIMAMIE ILI SULUHU IPATIKANE ILI WAKAE SALAMA.

  • @paymushi3529
    @paymushi3529 6 років тому

    Waze sasa mwulie acheni kuowaowa