WOW!! TAZAMA KILICHOWATOKEA WAUMINI NJIA YA MSALABA PAROKIANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @restzacharia3329
    @restzacharia3329 Місяць тому +7

    Ee Bwana wetu Yesu Kristen ninakushukru kwa sababu umbekubali kutukomboa kwa Msalaba wako Mtakatifu

  • @rosalinewanjiku4648
    @rosalinewanjiku4648 3 дні тому

    kina mama wa CWA strong in faith

  • @adelaidemizengo6847
    @adelaidemizengo6847 Місяць тому +1

    Sawa sawa kabisa.
    Thanks. God bless you.

  • @lucynjeri-cd5we
    @lucynjeri-cd5we Місяць тому +4

    Mbana wa vaa rogi na kitabaa

  • @tobiusjtz7607
    @tobiusjtz7607 Місяць тому +1

    Jameni, wanaume twendeni pia kanisani siyo juwaachia wakina mama tu

  • @ObedMwankina
    @ObedMwankina Місяць тому

    Duuh😭😭😭kazi ipo kweli

  • @LeiyoLaizer
    @LeiyoLaizer 10 днів тому

    ❤❤❤

  • @Mamabiancha
    @Mamabiancha 8 днів тому

    Mwenye trouser afunge leso au atoe kitamba cha CWA

  • @eunicethuo3055
    @eunicethuo3055 19 днів тому +1

    Tafadhali, kitambaa ya CWA haivaliwi na trouser, usiingie shirika huwezani

  • @Misol003
    @Misol003 22 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bethwangare1581
    @bethwangare1581 Місяць тому +1

    Sijaona chocolate 😮

    • @Ly-c1v
      @Ly-c1v Місяць тому

      Chocolate?????

  • @marysyokau9426
    @marysyokau9426 4 дні тому +1

    Uyo mtu wa trouser hawache tabia mbaya hajieshimu

  • @scholasticahkiio3676
    @scholasticahkiio3676 Місяць тому

    Nini ilitokea?

  • @josephnamu2277
    @josephnamu2277 Місяць тому

    Kwani akuna wazee?

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Місяць тому

    Wanawake tu,hivi wanaume tukoje

    • @megamedia3430
      @megamedia3430 29 днів тому +1

      Kwa mtazamo wangu, naona hawa ni Wana CWA(Catholic Women Association). Sio kwamba wanaume hawataki kuomba

  • @adelaidemizengo6847
    @adelaidemizengo6847 Місяць тому

    Mungu awape nguvu mweendelee kumjua Cristo.
    Wazee mko wapi?

    • @injlimediaglobal
      @injlimediaglobal  Місяць тому +1

      Ilikuwa siku ya Chama cha akina mama wakatoliki pekee

  • @augustineitemelo1977
    @augustineitemelo1977 6 днів тому

    Hawapig goti hawa

  • @charitywambui6833
    @charitywambui6833 24 дні тому +2

    Nani huyo amevaa trouser na kitambaa

  • @zippyjamesmwangi6551
    @zippyjamesmwangi6551 Місяць тому

    Unaongea sana karibu na camera

  • @lucynjeri-cd5we
    @lucynjeri-cd5we Місяць тому

    Nimakosa hio ni nguo ya mwanaume

    • @JanetMwendwa-x2p
      @JanetMwendwa-x2p Місяць тому +1

      My dear don't judge,,,,,hiyo n kazi ya mungu pls

  • @SalomeNjoroge-x9k
    @SalomeNjoroge-x9k 20 днів тому

    😂

  • @terrence9477
    @terrence9477 Місяць тому

    Nisaidie kujua, kitu gani kimetokea?

    • @JulianaCelestine-o1f
      @JulianaCelestine-o1f Місяць тому

      Waandishi huwa ni waongo. Huwajui. Wanataka habari yao isomwe

    • @terrence9477
      @terrence9477 Місяць тому

      @@JulianaCelestine-o1f Asante, huo udanganyifu wanaoufanya wajue wakati mwingine hatutasoma tena

    • @hortensiamallya700
      @hortensiamallya700 7 днів тому

      Hata mie najiuliza ni kipi cha ajabu kwani yupo uchi?

    • @rosalinewanjiku4648
      @rosalinewanjiku4648 3 дні тому

      click bait

  • @gracemuraya9872
    @gracemuraya9872 Місяць тому

    Kwani unafunga kitambaa ya kanisa na uvae trouser. Nauliza tu