AHMED ALLY ATANGAZA HILI LA KIBU DENIS KUIGOMEA SIMBA HATUNA TAARIFA ZAKE HADI SASA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @SillinusNyanda
    @SillinusNyanda 3 місяці тому +2

    Kibu vipi.Jamani,lakini mbona wasumbufu sana.Kagoli kamoja tu msimu mzima

  • @wilbaldmkotha
    @wilbaldmkotha 3 місяці тому +6

    KIBU KITAMKUTA TU. HII ITAKUWA FUNDISHO KWA WENGINE. ATAFUNGIWA MPIRA DUNIANI KWA MAISHA YAKE YOTE. AMINI MSIAMINI ITAKUWA HIVYO

  • @YustinMillinga
    @YustinMillinga 3 місяці тому

    Huyo kbu anazngua,

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 3 місяці тому +1

    Aende hana msaada simba

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi 3 місяці тому

    Nakereka kuisapoti serikali ambayo kila mara hututenga wanasimba.

  • @FredDenis-fc1im
    @FredDenis-fc1im 3 місяці тому

    Abakie hukohuko yeye Nani Kwan?kwenye tim yasimba

  • @HamisiJumanne-z9c
    @HamisiJumanne-z9c 3 місяці тому

    Kibu anabaki simba au nandoka 6:24

  • @fidelisjoseph-tt9zl
    @fidelisjoseph-tt9zl 3 місяці тому

    Goli moja tuu! Rasta na shobo kibao atembeezake kwanza anakunywa kiroba na msuba

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 місяці тому +1

    Mzee magomaaa

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 3 місяці тому +1

    Huyu kibu mbona hata msimu uliopita alifanya hivyo hivyo??

  • @AnthonySarwatt
    @AnthonySarwatt 3 місяці тому

    Kama hataki kufanya mazoezi anataka nini? au anataka alete ujinga kama msimu uliopita au Yuko kimaslahi tu!! apishe wengine bhana Ahmed tuambie white and black

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 3 місяці тому +1

    Kibu anaringa anaringia nini simba wamuache yatosha

  • @RamadhanHamis-oq7ut
    @RamadhanHamis-oq7ut 3 місяці тому +1

    Kibu aondoke t ye nan

  • @kitosmayunga8722
    @kitosmayunga8722 3 місяці тому

    🎉🎉🎉

  • @simonkyangala9642
    @simonkyangala9642 3 місяці тому +1

    Anamaneno mno hadi anakera mpira hautaki siasa.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 місяці тому

    Msije mkayararua makochi, myatunze.

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 місяці тому +1

    Ongelea mpira achana na mambo ya siasa

    • @AlcherausMalinzi
      @AlcherausMalinzi 3 місяці тому

      Upuuzi huu unakera.Kujikomba kwa serikali inayotutenga kila siku.

    • @AnthonySarwatt
      @AnthonySarwatt 3 місяці тому

      Duh!!

    • @AnthonySarwatt
      @AnthonySarwatt 3 місяці тому

      Kama hataki kufanya mazoezi anataka nini au anataka alete ujinga kama msimu uliopita Ahmed tuambie white and black tunaumia bhana mi nakerwa na watu ambao hawana mapenzi na simba yetu naona Yuko kimaslahi tu