Hii inatokana na watu kutokuwa na khofu ya aliyewaumba na kujiona wataishi milele hapa duniani kumbukeni kwamba kila nafsi itaonja mauti na tutauliza juu ya yale tuliyokuwa tukiyafanya hapa duniani.
Duh... Lema mungu akuzidishie kinywa dhabiti na umakini uluonao ..naamini kwa kauli hii itawagusa na watatuletea mo wetu... Haki umempigania na hukuegemea chama
Lema your perfectly truly tatizo serikali hii imejisahau sana haijui utawala wao unakikomo hawatokaa hapo milele ,kiukweli Mimi nachukia sana yanayoendelea nchini ,hebu acheni kiburi serikali
mtetezi wa wenye matatzo n Mungu pekee....kwa imani kabsaa Mo atapatkana yuu hai na salama...na waloyafnya mambo haya aliejuu akapate kuwaaibisha..asante mh. Lema...ulindwe na Mungu
kitu nashangaa mm kwann kama kuna gali iliingia ndan inamana hoteli kubwa waliingia bila kuandika chochote mlangon kwa sio jambo la kawaida hapo selikali lipo tatzo wasio julikana kwetu ss masikin ila wenyeewe wanajuana hoteli uingie bila kuacha maelezo sio kweli
Serikali nayo hata siku moja moja ifanyie kazi maneno ya wapinzani sio kila kitu kupuuzia tu.Ushirikiano wa uchunguzi wa kimataifa sio kuonekana mtu au serikali ni dhaifu.
ukweli wautafiti binafs ni matarajio ya wenye wivu na wakiamini lazima Aje awe mtawala tena mkubwa kisiasa kijamii naamin ndo chanzo cha utekaji kwa iyo wausika ni viongozi wakubwa kisiasa na selikali wenye wivu wakiamini anamakundi mazuri kwenye jamii na anakubalika hizo ni mbinu za kikoloni za kuwaondoa watu wanaowaona watakuja kuwa na nyazifa kubwa zaidi yao
ukweli ndio ulioongea ndio mana wote tumekukubali ,kwengine utaambiwa upelelezi bado unaendelea mwisho kimyaaaaa ,husikiiii lolote hapa ndipo tulipofikia .mungu atalipa .
Daah,,,wanadamu wa Leo huruma imetoweka kabsa hatuna utu yan hata hofu ya Mungu imeisha jmn,,,Mwenyezi Mungu amlinde Mo na wengne wanaopitiha magumu mbali mbali...
Kwa niwajuavyo hawa jamaa watapinga hata hiki kinachozungumzwa, mtu aliyeajiri watu zaidi ya elf 23 anatekwa halafu sijasikia matamko yoyote kutoka serikalini. Tunaleta mchezo na uchumi wetu
ninajua watu wa usalama wanafuatilia sana msg za mitandao lakini ukweli utabakia ukweli .serikali inawajibika kwa suala hili. lazima waje wachunguzi wa nje tuwabaini hawa watu wasiojulikana tuwapate.wasituchafulie nchi yetu
mh. lakin Lema , waandishi wa habari wataandika sasa???? au watajiongeza , intelligence investigation.... but let us pray together Kiumbe wa Mungu MO.awe hai popote alipo
Kama Kweli Wewe Ni Mungu Muumba Wetu Naomba Hao Watu Walaaniwe Hata Vizazi Vyao Na Vizazi Pia Utie Wepesi Na Mi Dewji Apatikane Maana Asipo Patikana Mo Dewji Na Wale Watu Walio Kwisha Kupotea Tangu Zamani Jina Lako Litadharauliwa Naamini Utatenda Kwa Mapenzi Yako Yote Amina
Nimekusoma kamanda wangu. It doesn't get in my head... Tukubaliane tu na uchunguzi wa kiinterijensia toka nje ili kumaliza utata huu, na kama kweli serikali yetu tukufu haihusiki..
Kwa kweli Tanzania imekua ya ajabu sana tangu 2015 adi xaxa ni majonzi2,eeh mwenyez mungu tusaidie sisi wananchi wa tz, msaidie mo wetu aweze kurejea salama,na hao walio mteka walaniwe tena walaniwe
Mh Lema unaongeaga point lakini hasara tuliyo nayo hayupo anayekusikiliza na kuifanyia kazi kauli yako. Kuwaomba watafiti wa nje Kuja kusaidia kuchunguza alipo Mo
Nakumbuka enzi za jakaya alishirikiana Sana na Raia na alitoa ruckusa kwamba ikitokea mmemkamata mwizi au mnamhisi mtu ambae hammuelewi katika mtaa mchukulieni hatua kabla ya police hawajapost Lakini leo tajiri mkubwa huyu hata sauti ya raisi hamna Daah inaumiza.
Hii inatokana na watu kutokuwa na khofu ya aliyewaumba na kujiona wataishi milele hapa duniani kumbukeni kwamba kila nafsi itaonja mauti na tutauliza juu ya yale tuliyokuwa tukiyafanya hapa duniani.
kassim kajasy Hiyo ni kweli kassim watu wamesahau kuwa kuna muumba. Ila majibu yataonekana.
Umeona kaka ee
Kumbuka power ikipanda kwenye vichwa ya viongozi....viongozi wanaanza kula watu wao...wenyewe
kassim kajasy =
I hate this bring back our mo
Kama unaamini mo atapatikana akiwa mzima gonga like 🙏🙏🙏🙏
Wavigood Jr Inshaa Allah ndio tunaomba Mungu
Amiin inshaallah Mola atajalia
Duuu hatar mungu atutete tuu
Wavigood Jr Inshaallah mungu amlinde alipo our mo 😢😢😢😢
Allah ajalie hivyo in shaa Allah apatikane akiwa hai
Asante ndugu Lema, Mungu akulinde kwa kungea ya ukweli. Namuombea ndugu MO apatikane. Mungu ndo mwenye uwezo wote.
Dah kama unaamini mo aspopatikana uchumi lazima utayumba weka like
Kambi Yusufu
Gonga Like kwa Lema Kwa kuongea ukweli wenye MAANA Kwa Faida YA Taifa.
Donald Sinkamba Le
ma yuko sahii kabisa kwa sababu ii nchi inaelekea pabaya, na uchumi utapolomoka sana
najua utawaumbua tu like kwa lemaa🙏🙏🙏
%
Kisomi Zaidi
poa sana lema kama una mkubali lema gonga like
Mungu akubariki Sana mh.Godbless lema,, ujasiri wakutoka na kuongelea ili swala bila uoga ni ujasiri Sana,,, Mungu akulinde popote uendapo
Ahsante baba kwa kuongea ukweli, ila naomba M'mungu akulinde kwa huu ukweli wako uliousema usikuletee shida.
Sister ake mambo vipi? Mimi humu huwa nasoma comments nakusepa. Ila tuache unafki mshikaji kaonge vitu vya msingi kinyamaaa
Niko poa bro.... sana tu nimependa alivyoongea
Duh... Lema mungu akuzidishie kinywa dhabiti na umakini uluonao ..naamini kwa kauli hii itawagusa na watatuletea mo wetu... Haki umempigania na hukuegemea chama
uko vzr tupige kelele kwel wanaiharbu nchi yetu
Mbona hi Tanzania inatia aibu tunamtaka Mo lema sema usiogope
Emungu Fanya njia pasipo nanjia mo apatikan kwanguvu zako tunatumain ataludi kwan tunakutegemea ww
I really don’t know much about this guy but he is Absolutely right .
He is still making a political scene out of the situation. I don't have any political party, though the concern which he shows is relevant.
U already know him.
@@elymollel From the media.
Bora ningezaliwa mbwa ulaya
@@kelvinmahona9237 ungepata bahati ya kufika ulaya ungeufuta huo usemi. Jithamini jinsi ulivyo na ulipo.
Ahsante bab umeongea point. Inshaallah Mo atarud salama kwa uwezo wa Allah
Amina Mol apatikane
Umeongea Point sana Lema...Kwa mwenye akili akikusikiliza lazima atagundua kitu...
I like it
Lema your perfectly truly tatizo serikali hii imejisahau sana haijui utawala wao unakikomo hawatokaa hapo milele ,kiukweli Mimi nachukia sana yanayoendelea nchini ,hebu acheni kiburi serikali
Ongea tu baba ,sisi raia wa kawaida tumekata tamaa kabisa hatujui nini kinaendelea
Anna Mollel Ni kweli Anna tumekata tamaa na serikali yetu.
Jmn kwann hivi vitu vinatokea jmn nchi yetu inaenda wapi
wanamuchafuarais
nakusikiliza mpaka sahivi unaongea point mkuuu
Hujawahi kosea kaka wambie ukweli
ongea baba tunataka mo wetu
lema ningekuwa na uwezo ningekuweka waziri wa mambo ya ndani uwakamate wote waliohusika na utekaji . mambo ya kishamba kabisa.
acha nitabiri mo atapatikana kabla ya cku 3 kama unakubaliana na Mimi gonga like yako apa
Na iwe hivyo
Baada ya siku 2,Mungu turudishie huyu mtu akiwa vizuri
Young Xhadah hadi Leo siku ya ngapi
hesabu leo siku ya kwanza
Namuomba rais aunde kikosi maalumu Cha kufuatilia haya Matukio kama aliunda juu ya acacia kwa nn asiunde juu ya haya
Kama lema anaongea ukwel nipe LIKE yangu
Lema ur right....let each one of us raise the alarm concerning this issue
Billa Anyango kwel kabisa
duuu rema wewe nizaidi ya mwanaume
Upo VP vzr sana brother ww nikiongozi unaongea point sana 100%
mtetezi wa wenye matatzo n Mungu pekee....kwa imani kabsaa Mo atapatkana yuu hai na salama...na waloyafnya mambo haya aliejuu akapate kuwaaibisha..asante mh. Lema...ulindwe na Mungu
lema mbunge wangu kweli dhambi kubwa kuliko zote uwoga pambana kamanda goodjob
Mungu wape subira family ya MO
Amen
Nakukubali sana brother
Fact. What is talking
Lema wewe ni true soldier.
kitu nashangaa mm kwann kama kuna gali iliingia ndan inamana hoteli kubwa waliingia bila kuandika chochote mlangon kwa sio jambo la kawaida hapo selikali lipo tatzo wasio julikana kwetu ss masikin ila wenyeewe wanajuana hoteli uingie bila kuacha maelezo sio kweli
Haruni Mfaume sio wewe tu unashangaa hata mimi nashangaa
Hapa maji yamepanda mlima
We baba nakuombea tu mwenyezi mungu akulinde, maana hata ww iyi maneno inaweza kuku leteya shida
Godbles lema
Serikali nayo hata siku moja moja ifanyie kazi maneno ya wapinzani sio kila kitu kupuuzia tu.Ushirikiano wa uchunguzi wa kimataifa sio kuonekana mtu au serikali ni dhaifu.
Kweli Lema umeongea point sana...Mungu ibariki TZ🙇
Sana
Asante kaka God,Mungu tusaidie mo wetu apatikane
Mungu ibariki tz
jamani mbona awamu nne zilizopita haya hayakuwepo? skuwahi kuyaona mimi
Vicenti Gibore Gibore huna kumbukumbu
ukweli wautafiti binafs ni matarajio ya wenye wivu na wakiamini lazima Aje awe mtawala tena mkubwa kisiasa kijamii naamin ndo chanzo cha utekaji kwa iyo wausika ni viongozi wakubwa kisiasa na selikali wenye wivu wakiamini anamakundi mazuri kwenye jamii na anakubalika hizo ni mbinu za kikoloni za kuwaondoa watu wanaowaona watakuja kuwa na nyazifa kubwa zaidi yao
Social Media zilkuw ppor
Kweli kbs
viva lema vivaaa
UKWELI NAPENDA CCM ILA KWA HILI HAPANA WAJIREKEBSHE INANIUMA XNA
yaani kwakweli lema kaongea ya kweli kwann wasijie wachungunzi wa kimataifa
Unapendaje ccm?
Lema nakubari sana
Umenena vyema sanaaaaa Mh.Lema.Ya sirini yatawekwa hadharani kwa neema za Mungu.
Ingawa sisi ni watawaliwa, ila kwenye uonevu tunaona bhana
Tulipofikia tz ni aibu, mmejitia
Umeongea point sana.
Katika siku ulizoongea leo ndo umeongea kabisa hatuna aman tunaogopa kweli
Vanessa James pp
Tunamtaka MO wetu ee Yesu simama kwenye hili tunakuomba baba
ukweli ndio ulioongea ndio mana wote tumekukubali ,kwengine utaambiwa upelelezi bado unaendelea mwisho kimyaaaaa ,husikiiii lolote hapa ndipo tulipofikia .mungu atalipa .
Shikamoo lema..wenye kuelewa washakuelewa mungu mrudishe mo akiwa hai insha Allah.
duuuuuuh! Leo umeneena kaka
Hongera lema kwa kuyaona hayo
good point
serikali ndio watekaji nina asilimia 100
Hatamimi. Tena kinacho nipa kiunganisha fkra Yule mfanya biashara aliekoswakoswa baada ya kujitetea kumpiga risasi usalama wa tafa
Haya
Safi sana kwa swali hill kijana
john alex thanks to know that
john alex 😂😂😂😂😷😷😷😷
Mh lema shukrani sana kwa hayo mengi uliyoyasema serikali uhuni tu tunamuomba mungu mo apatikane akiwa na afya yake
Yaaan tumepoteza watetezi tumebakiza watete wa matumbo yao
Kwakwel mim ninamashaka sana na viongoz wa ngaz zajuu wanafaham sana kuhusu kutekwa kwa mo yani nchihii ya Tanzania imeshaharibika sana
Nassoro Muhidin sana
umemaliza kila kitu lema
umeongea point kweli hakika tz hii mungu atunusuru tnakoenda siko
Kwa kweli kabisa baba nimekuwelewa san
Maneno mazima aliyoongea Allah amlinde huko aliko na wamrejeshe akiwa salaama ishallah
😭😭😭😭Jamani beni sanane nimekumic san mungu akusaidie aonekane
Wee uko sawa kweli
Daah,,,wanadamu wa Leo huruma imetoweka kabsa hatuna utu yan hata hofu ya Mungu imeisha jmn,,,Mwenyezi Mungu amlinde Mo na wengne wanaopitiha magumu mbali mbali...
Lema uko sawa kabisa na Mungu akubariki zaidi maana uliyoongea ndy mawazo ya watanxania wengi
Kwa niwajuavyo hawa jamaa watapinga hata hiki kinachozungumzwa, mtu aliyeajiri watu zaidi ya elf 23 anatekwa halafu sijasikia matamko yoyote kutoka serikalini. Tunaleta mchezo na uchumi wetu
ninajua watu wa usalama wanafuatilia sana msg za mitandao lakini ukweli utabakia ukweli .serikali inawajibika kwa suala hili. lazima waje wachunguzi wa nje tuwabaini hawa watu wasiojulikana tuwapate.wasituchafulie nchi yetu
Kuwa na Amani usihofu Just relux...
Naamini Maombi Yetu Ndio Yatakayo Mueka Huru Mo Dewji Huko Haliko, Mungu Wetu Anaweza. Tuzidi Kumuombea.
Eee! Mwenyezi Mungu ulie kimbilio na matumaini yetu nyoosha mkono wako ktk matukio hatarishi yanayotokea ktk Nchi yetu
Leo lema umeongea.
Mi ccm ila leo umeongea jambo zur sana
Anna Joseph ccm una hisa ngapi
Umeanza kupata nafuu...,!.Mungu akusimamie upone kabisa....
Hahaha
Umenena ukweli Brother mungu akubariki sana na akulinde piah
Mhe.Waziri kivuli wa mambo ya ndani Godbless Lema
U are right our comrade Lema
mwenyez mungu akulinde wasije kukuteka
Hallow
Ila niajabu sana kuona serikali inatumia nguvu sana kunyamazisha watu, kuliko kufanya juhudi ya upatikanaji Wa MO.
Gari ya watekaji haija onekana kuingia wala kutoka, lakini watekaji ni wazungu, ulijuwaje kama ni wazungu na camera haija catch images.
huu ni mchango wenye tija, shukran kiongozi.
Nchi imehalibika
Aloo lema kati ya siku umenigusa ni leo mungu atulinde na hao watu wasiojulikana
I like the courage an articulate speech from this guy,, true and few African patriots from +254
Umeongea point lema hukujali usiasa Wala udini umejali ubinaadam hongera sana
Mungu tusaidie Tanzania,maana mambo haya yanatisha sana
Leo umeongea point lema serikali tunalia na nyie
uko sahihi lema Mungu akujalie kweli inauma sana
Everything it true
Bado sijakuelewa!
Mimi ni Ccm damu lakini kwa hapo umeongea point tupu. Selikari ina kila sababu yakutufanya tusiwe na hofu nchini mwetu. Hatutakiwi kuishi kwa mashaka.
faru john alitafutwa kwa gharama kubwa mpaka akaonekana lakini binadamu anayelipa kodi na kuajiri raia wako hadi leo kimya
Mbwa nae alitafutwa kwa masaa 24,tu
True that's crazy
feyzal Yusuph g
Umeongea mpaka nahisi na wewe utapotea,maana hali ni ngumu kwakweli,ogopa MTU mwenyewe roho ya kisasi ni hatariii!
bora kabisa kuliko kukaa kimya eti na ww utatekwa. Mh big up sana Mungu akulinde kwa hilo
Mambo ni MOTO asante sana muheshimiwa godless lema mungu atakupigania na atatupigania moarudi akiwa salama Ameen
mh. lakin Lema , waandishi wa habari wataandika sasa???? au watajiongeza , intelligence investigation.... but let us pray together Kiumbe wa Mungu MO.awe hai popote alipo
Seriously i have a bad feeling about the well being of Mo
Lema umeongea Leo,nimekuelewa vizuri,kweli inahitajika kupiga Kelele kwa jambo hili
Watekaj wote walaaniwe mpaka kizaz chao chote kilaaniwe
Kwa jina la yesu...amina
Amin 10000000000000x
Fide Baraka kweli kabisa INA uma sana
Elf mara amin
Kama Kweli Wewe Ni Mungu Muumba Wetu Naomba Hao Watu Walaaniwe Hata Vizazi Vyao Na Vizazi Pia Utie Wepesi Na Mi Dewji Apatikane Maana Asipo Patikana Mo Dewji Na Wale Watu Walio Kwisha Kupotea Tangu Zamani Jina Lako Litadharauliwa Naamini Utatenda Kwa Mapenzi Yako Yote Amina
Damu ya Yesu kristo ukulinde ndgu hakuna usiasa hapa huu no ubinadamu
Still the truth will remain constantly √
Umesema ukweli sana
semà tunakukubali
Hii kazi ya kumvisha PUSI KENGELE NI NGUMU ILA BIG UP BRO, YOU GOT GUTS
Nimekusoma kamanda wangu. It doesn't get in my head... Tukubaliane tu na uchunguzi wa kiinterijensia toka nje ili kumaliza utata huu, na kama kweli serikali yetu tukufu haihusiki..
DEAR GOD PLEASE BLESS LEMA..............
Eeeh! Mwenyez mungu fanya wepesi katika jambo hili
Keep it up baba,be blessed umeongea kweli kabisa
Kwa kweli Tanzania imekua ya ajabu sana tangu 2015 adi xaxa ni majonzi2,eeh mwenyez mungu tusaidie sisi wananchi wa tz, msaidie mo wetu aweze kurejea salama,na hao walio mteka walaniwe tena walaniwe
Kama tupo pamoja kumuombea mo gonga like
huyu magufuli ni mtu wa ajabu anashindwa hata kukemea lakini jamaa zake walipozama kule ziwa victoria mbio akalaani na akaunda tume ya unchunguzi
sure
john alex
una element ya ubaguz man
sina ubaguzi wowote lakini huo ndio ukweli waache kuteka watu na kuwatesa .kila raia wana haki sawa
john alex kwl
Mh Lema unaongeaga point lakini hasara tuliyo nayo hayupo anayekusikiliza na kuifanyia kazi kauli yako.
Kuwaomba watafiti wa nje Kuja kusaidia kuchunguza alipo Mo
Dah,we're poor because we're poor,nashukur kwa hlo kamanda much respect kwakwel
point sana lema umeongea
safi sana Lema yani umeongeaa maneno kuntuu kabisa
Mungu ibariki TANZANIA wabariki na viongozi wake .............................. na aman!
Nakumbuka enzi za jakaya alishirikiana Sana na Raia na alitoa ruckusa kwamba ikitokea mmemkamata mwizi au mnamhisi mtu ambae hammuelewi katika mtaa mchukulieni hatua kabla ya police hawajapost
Lakini leo tajiri mkubwa huyu hata sauti ya raisi hamna
Daah inaumiza.