MASHABIKI WA SIMBA KUSHTAKIWA NA MCHAMBUZI DOMINICK SALAMBA!! ATOA MUDA WA KUOMBA RADHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 122

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 7 годин тому +1

    Wanakutafutia ubaya achana nao hao Salamba ni wapumbavu sana hao na wala usiwajali jali mambo yako tu na Mungu akubariki

    • @AdamRashidi-n9g
      @AdamRashidi-n9g 7 годин тому

      Mpumbavu ww na mbwa wako akome kuisemea vibaya simba yetu

  • @Mussasekambatz
    @Mussasekambatz 11 годин тому +1

    Hao ni mambumbu piga kazi kaka ipo siku watakuelewa t shida unasema ukweli

  • @richardkokoro3269
    @richardkokoro3269 День тому +6

    Ungekuwa unaheshimu mikataba Na makampuni mbalimbali ungepunguza kuisemea uongo taasisi ya Simba. Linapokuja Sula la kubalansi stori juu ya Simba Na yqnga tunajua unaichafua Sana Simba.... Nafuatilia Kwa ukaribu ushauri utakaopewa Na wanasheria....... Uwe unatupa mrejesho

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 22 години тому

      Usiteseke kwa hilo wasaidie hao Wanasimba kama wakili wao acha porojo

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 20 годин тому

      ACHA UBWEGE ...WEWE UNA UHAKIKA NA HILO AU UNAROPOKWA WEWE MKIA FC

    • @SilemaniAli
      @SilemaniAli 19 годин тому

      Ww nimnafiki hunauchambuzi ww nimpenzi wayanga nimshenzitu

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 18 годин тому

      @@richardkokoro3269 TATIZO MIKIA FC HUWA MNAAMINI KTK MATUSI TU NDIO ULOFA WENU

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 22 години тому +3

    Salama ni mbwa kama mbwa. Njaa na uzandiki itamsumbua sana

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 18 годин тому +1

    Tutakufungia usiizungumzie Simba katika maisha yko yte soon

  • @burukinyebo6294
    @burukinyebo6294 9 годин тому

    Wewe Salamba sio Muungwana uongo na fitina umeuweka mbele kuliko utaratibu wa kazi yako inavotaka,,...all of all hauna vigezo vyakua Mwandishi wa Habari au mchambuzi wa habari za michezo una bwabwaja sana

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 День тому +3

    Kwani lazima uichambuwe Simba,chambuwa timu nyingine Simba hatutami

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 18 годин тому +2

    SALAMBA WEW NI MPUMBAVU TENA TAKOBAR

  • @Stevenmwanisawa-dt5vb
    @Stevenmwanisawa-dt5vb День тому +5

    Ukome kuisema simba

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 21 годину тому

      Ataacha kumsema mmeo wakati weweunamsema?

  • @AmosiPeter-z3g
    @AmosiPeter-z3g День тому +4

    Salamba mjinga tu hujitambui

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 22 години тому +1

    Simba unaikashifu sana.

  • @N0RBETHMPOLOSI
    @N0RBETHMPOLOSI 17 годин тому +1

    Acha kuizungumzia simba sisi hatuhitaji mawazo yako maana hayana faida kwetu

  • @HawaAmos
    @HawaAmos 18 годин тому +2

    Huyu ametumwa na uto kubalans bausa wa uto alivo mpiga mohamed

  • @SabihiMnyetuka
    @SabihiMnyetuka День тому +2

    Usiseme watu wote wameshtuka Sema wapinzani wa simba

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 21 годину тому +1

    Kwanza usichambue habari za Simba hata Siku moja,
    Endeleeea na hiyo Mbeleko fc,

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 18 годин тому +1

    SASA SALAMBA KWANINI HUWA UNAIONGELEA SIMBA?ACHA KUIONGELEA SIMBA VIBAYA.

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 21 годину тому +1

    Ww mwenyewe unaizalilisha simba

  • @Adammwandambo
    @Adammwandambo 14 годин тому

    Cha msingi salamba achana na simba usizungumzie hata kidogo umeitusi mara nyingi sana sasa leo umeguswa Unaaanza kulalamika tula dawa ikuingie

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День тому +3

    Acha kuongelea simba , ongea mambo yakooooo

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 21 годину тому

      Hata Mungu anasemwa itakuwa klabu ya makolo?😅😅😅😅

  • @hashimhassanimassawe8366
    @hashimhassanimassawe8366 18 годин тому +1

    Unavyosemakuwa.wanasemaumefukuzwa.azam.kwani.bado.unafanyakazi.azam?

  • @allyhamisi-pq7yf
    @allyhamisi-pq7yf 23 години тому +2

    Akupe kazi nani we mnafiq

  • @mussamussa952
    @mussamussa952 День тому +3

    Kwa hiyo unaruhusiwa kutoa maoni ya kuichafua club X????

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 21 годину тому +1

      Na wewe nenda mahakamani ukalalamike kama anakuchafulia klabu yako hakukuzuia usibwekee mitaani

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 22 години тому +1

    Salamba njaa inakusumbuwa

  • @RashidMohd-y1i
    @RashidMohd-y1i 11 годин тому

    Uombwe radhi Kwan ww nan acha kuisemea simba hatuki hata kukuskia ukiizungumzia simba hata kama kacheza kuku hatuki

  • @Adammwandambo
    @Adammwandambo 14 годин тому

    Ukitaka kuishi salama bila kusemwa bas chana na simba usiichambue simba wala kusema simba popote pale,unatutukana sana ndiomaana wamechoka nakuanza kusem maovu yko then unakuja juu
    Bro iache simba chambua vilabu vingine

  • @Adammwandambo
    @Adammwandambo 14 годин тому

    Achana na club yetu tukisikia unaizungumzia seven yoyote basi utawajibika umezidi kenge wew

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 11 годин тому

    Wewe ni gongowazi mkubwa.Unaidhalilisha sana Simba.Wacha unafiki.Kuwa mweledi.

  • @abdalahhassan5759
    @abdalahhassan5759 21 годину тому +1

    Ww utukome salamba akil una ww

  • @tanzaniakwanzamaadili5083
    @tanzaniakwanzamaadili5083 12 годин тому

    Uache kuzungumzia simba , ulisema mpazu hana uwezo ,je hujamzalilisha au kumfanya asiaminike na waajili wake? Wewe ndo mtu pekee wa kupewa heshima,.

  • @FaustineTango
    @FaustineTango 15 годин тому

    Naomba waandishi wa habari musimuulizi habar za simba mkamuulize habar za yanga acheni ujinga wenu wa kumuuliza habar za simba huyu mpenz wa yanga huwa anachambua ugoro

  • @theonasmkoba6121
    @theonasmkoba6121 11 годин тому

    Huyu jamaa mwanzoni nilimuonaga wa maana, kumbe siyo baada ya kufuatilia uchambuzi wake wa upande mmoja.

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 23 години тому

    Dominic Salamba sio mchambuzi wa mpira huyu na anagongwa nyuma na viongozi wa yanga 😂😂

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 22 години тому +1

    Ubaya ubwela umekugusa

  • @ibrahimmkamba6339
    @ibrahimmkamba6339 15 годин тому

    Salamba huna kesi. Utajidhalilisha. Unaposema wewe ni taasisi kubwa uliyoijenga, kumbuka Simba ni taasisi kubwa zaidi ya taasisi ysko na huwa unaidhalilisha sana. Acha kuanzisha vita ambavyo hutashinda brother. Utajivunjia heshima.

  • @JumaSaideAbdala-b4k
    @JumaSaideAbdala-b4k День тому +1

    Uwezo wa kuitoa Simba kwenye mood yake ww huwezi mwehu. Yani nakuchukia ingekuwa chakula ningekuwa ckitumii.

  • @yusufufikiri5005
    @yusufufikiri5005 14 годин тому

    SASA KWANI LAZIMA WEWE SALAMBA UZUNGUMZIE MAMBO YA SIMBA? ACHANA NA SIMBA WEWE. ZUNGUMZIA TIMU ZINGINE. LAKINI KWA TIMU YA SIMBA HAWATAKI HUIZUNGUMZIE

  • @geraldjoshua1555
    @geraldjoshua1555 14 годин тому

    Angeles timu zingine

  • @theonasmkoba6121
    @theonasmkoba6121 11 годин тому

    Kwann hakumtaja huyo meingine

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День тому +1

    Yaaani salama unaongea na Aginess au alikukataa

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 14 годин тому

    Tukaneni Mkishamaliza Muniambia Matusi Faidha Yake Ni Nni Nami Nianze Ili Nifaidikeee

  • @Adammwandambo
    @Adammwandambo 14 годин тому

    Umetutukana sana salamba ulitutusi sana had niliona sisi sio taasisi

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 23 години тому

    Shoga Dominic Salamba kwenye ubora wake 😂😂

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 18 годин тому

    WE MCHUMIA TUMBO SALAMBA HUNA AKIL MJINGA WW KISA TU KUOLEWA NA GSM
    KIUKWELI UME XPIRE HUNA JIPYA

  • @ramadhanirama7970
    @ramadhanirama7970 11 годин тому

    BINAFSI NAPENDA WAKUKOMESHE MAANA UNAKERA

  • @AdamRashidi-n9g
    @AdamRashidi-n9g 7 годин тому

    Je na ww ushitakiwe kuisemea vibaya club ya simba?

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 7 годин тому

      Nyie Simba na Yanga mnajiona ni miungu watu duh! hatari

  • @richardkokoro3269
    @richardkokoro3269 День тому +1

    Wewe shida yako iko wazi. Uchambuzi wako haujna mipqkq Na utopolo yako Na taasisi ya Simba unaisemea uongo uongo mwingi tu

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День тому +1

    Hayo si maoni, unaongea kama wewe Mungu...Salamba chambua mpira na usiwe msemaji wa timu....

  • @NaeemSalum
    @NaeemSalum 10 годин тому

    Wewe yanga acha kuwa mshabiki pumbavu wakati wewe mchambuzi huo ujinga pumbavu

  • @AnciscoKayombo
    @AnciscoKayombo 20 годин тому

    Nilishasema huyu jamaa hata sielewi uchambuzi wake,unakuta Simba imeshinda na Utopolo imefungwa lakini bado anaibeza Simba na kuwapongeza Utopolo pamoja na kufungwa,nikasema huyu ni mchawa-mbuzi feki simkubali hata kidogo chef 😏☺️😏☺️😏☺️😏

  • @PaschalPeter-k2d
    @PaschalPeter-k2d 13 годин тому

    Hivi wakati Azam wanakuajili walifatilia cv zako kweli au ulipata kazi kwamchongo punguza mdomo afumbona unaonekana kama mmewamtu au huyo mkeo hua hakupi ushauri

  • @geraldjoshua1555
    @geraldjoshua1555 14 годин тому

    Ukome kuiongelea simba

  • @FaustineTango
    @FaustineTango 15 годин тому

    Huyu salamba alishawekaga wazi yeye ni mpenzi wa yanga kwahiyo siyo mchambuzi ni mnafki anayeichafua simba km akina mchome...very stupid

  • @seiftaji7838
    @seiftaji7838 День тому +2

    Kwahyo na ww ushitakiwe na klabu ya simba kwa kuisema vibaya? acha hiyo kazi hujui kuusemea mpira kenge ww

  • @NouhuKhamis
    @NouhuKhamis 23 години тому

    Wewe salamba mshez mbwa mkubwa huna mana hata kidogo usiichambue simba hatutaki kumamayo

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 21 годину тому

    Ww ukome kuwaumiza mashabiki wa Simba . Kama vipi achana na Simba Wana Simba wanaumia sana jinsi unavyo chambua kuhusu Simba. Achana na timu yetu chambua yanga timu yako.

  • @ManenoSiame
    @ManenoSiame День тому +1

    wewe niutopolo basi iongelege utopolo achaujingawewe hutuwezi simba wewe nimdogo sana

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 13 годин тому

    Achana na club ye2 ww

  • @jitubayavanny2490
    @jitubayavanny2490 День тому +3

    Ngoja Simba nao wakishtk

  • @SalumLacha
    @SalumLacha 9 годин тому

    Hakuna wakuomba msamaha

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 22 години тому

    Nawewe siku ukikashifu simba ndiyo utaona moto.

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День тому +1

    Kama una hasira achana na mpira kaka unaleta ujinga

  • @N0RBETHMPOLOSI
    @N0RBETHMPOLOSI 17 годин тому

    Isafishe kwanza taasisi ya simba na wewe uthibitishe usitake kuonewa huruma

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 21 годину тому

    Bc washitaki wote mashabiki wa Simba wote wanaokulalamikia . Utawashitaki wangapi maana mashabiki wengi wa Simba wanakulaumu ww tu kwann wengine?

  • @danielmwakapila2231
    @danielmwakapila2231 23 години тому

    Wewe utopolo huna jipya acha kuiongelea Simba,usijitoe ufahamu,wakati wote uko kinyume na simba.usha chatuka siku nyingi.

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 23 години тому

    Uyu njaaaaa ndio inamsumbuwa yeye ndio anaeichafuwa blandi ya simba na ndio anatakiwa ashtakiwe Kuma huyu

  • @damasgabriel6249
    @damasgabriel6249 День тому

    Naomba kuuliza hayo maoni yake kuhusu Simba anaamini ni ya kweli

  • @NaeemSalum
    @NaeemSalum 10 годин тому

    Wewe mchambuzi sio wa. Simba wewe yanga bwege tu utoporoi

  • @ElyrehemaMartin
    @ElyrehemaMartin 23 години тому

    Kwani lazima unapofanya uchambuzi uichambue simba? Kwa nini usifanye uchambuzi kwa timu nyingine kama vile Tabora, Azama na nyinginezo

  • @NouhuKhamis
    @NouhuKhamis 23 години тому

    Wana simba wote tuko kitu kimoja tutahakikisha tunakupoteza wasijulikana watakushughulikia

  • @NaeemSalum
    @NaeemSalum 10 годин тому

    Na sisi hatumutaki kwenye media yako wanasimba wote hawatutaki huna hishu

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День тому

    Unatafuta Ada , achana na mpira salamba

  • @PaschaziaAlbert
    @PaschaziaAlbert День тому +1

    Kwahiyo wewe utaiosha simba unayoiponda? Yawezekana wewe unatumwa

  • @danielmwakapila2231
    @danielmwakapila2231 23 години тому

    Utu unaitafuta Kwa kuichafua Simba ,acha ushopeka huo ,tumekuchoka njaa imekuponza,wewe sio mchambuzi hizo ni hasira za uto kuishia makundi.

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 23 години тому

    Unaaminiwa na nani kenge wewe, tangu lini shoga akaaminiwa😂😂

  • @hakimundabila7940
    @hakimundabila7940 День тому

    Maoni ya kuichafua timu x kumbe sio kosa, duuuu

  • @JamalYahaya-xv7mu
    @JamalYahaya-xv7mu День тому

    uyo nimambo meng anaongea kuichafuwa Simba boya uyo

  • @PoulP-v2i
    @PoulP-v2i 21 годину тому

    Saramba acha umalaya simba taasisi mubwa ww tumekuvumiria sana na ushoga wako unaichafua sana simba reo unamshitaki sisi tumekushitaki kwa mungu ww shitaki popote duniani mubwa ww tena ndio umeyakanyaga kamchambue mm yako sio simba ukome jibwa ww

  • @NaeemSalum
    @NaeemSalum 10 годин тому

    Wewe mafiki pumbavu

    • @NaeemSalum
      @NaeemSalum 10 годин тому

      Hach ushabiki pumbavu

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 22 години тому

    Tuache kabisa komaa na Yanga yako tuuuu...

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 22 години тому

    Wewe chambua Yanga

  • @JumaSaideAbdala-b4k
    @JumaSaideAbdala-b4k День тому +1

    Huna lolote utopolo mkubwa ww.

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 21 годину тому

    Acha kuichambua Simba bc

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День тому

    Salamba njaaa hizooooo

  • @LetasKomba
    @LetasKomba День тому

    Kwan ww salamba unaposema Clab fulani Co bora huon nawe unaichafua Bland ya wenzako? Bora bac kila moja akabak Upande wake

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День тому

    Ag umemnyima nini Domi

  • @ManenoSiame
    @ManenoSiame День тому

    sasa iyoklabu yako x imefika wapi mbwawewe

  • @abdulshah918
    @abdulshah918 День тому

    Na bado ndigili we bado kufirwa 2

  • @AlbertNgailo-l5k
    @AlbertNgailo-l5k День тому

    Ukiwa na hasira usifanye kazi kama hizi

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 День тому

    Vzr simba haishughulikii watu wajinga km ww lkn tungeishauri klabu itoe tamko kua marufuku kuisemea simba

  • @SaidAmour-qo1rm
    @SaidAmour-qo1rm 22 години тому

    huyo njaa inamsumbua hana lolote au ametumwa apewe nni

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День тому

    Ag umenyima nini Salama

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 22 години тому

    Unatoa maoni umelewa? Mbwa

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 22 години тому

    Km ni hivyo tuseme kila mchamuzi achambue timu yake huo hautakuwa mpira na tutafika wakati tutasema kila mtu aangalie mechi za timu yake uwanjani kwani Dr mo nae kapigwa kihalali kwani mechi ya yanga alienda kufanya nn uwanjani kwa nn asisubili simba yake ndipo aende uwanjani

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 20 годин тому

      Mmmhhhhhhhhhhh

    • @AdamRashidi-n9g
      @AdamRashidi-n9g 7 годин тому

      Wewe kuma kweli na wala ujaelewa mkundu wee,hishu salamba kuisemea simba vibaya sio kuzuiliwa ascended uwanjani doct mo kapigwa baada ya mpira kwisha akiwa na wahandi wa habar salamba kazi yake ni kuidhalilisha simba sasa washabiki hawataki fala weee

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День тому

    Nani aende mezani na wewe , kenge tuuuu

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 21 годину тому

    Mnafanya Ligi iwe dhaifu kwa kuwa mnahangaika na mapesa za GSM ,ligi ina kuwa bora kwa ajili ya Uvumilivu wa Simba

  • @farishfarish258
    @farishfarish258 День тому

    Hujitambui ww

  • @MaguguStore
    @MaguguStore День тому

    Umeongea mjingaaaa

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 День тому +1

    Wewe kafe huko milele unapenda kukashifu timu ya simba maoni yako ni yakipuzi tu kaka acha ushabiki

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 22 години тому

    Punguza K can't mbwa wewe,

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 22 години тому

    Nyie simba ni wajinga sana salamba songa mbele wakome kuchafua watu tatizo hawataki kuambiwa ukweli shida simba ni mbumbumbu mbona kuna oruma kila cku anaongea negative kuhusu yanga lakini ni maoni yake yy acheni upumbavu peleka baba

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 20 годин тому

      Mbona nanyi utopoloooo utopoloooo huyo Oruma akisema negativety za Utopoloooo mbona mnacomment vibaya kwani nini isiwe kwa upande mwingine

    • @AdamRashidi-n9g
      @AdamRashidi-n9g 7 годин тому

      Mjinga baba yako na mama yako mkundu weee mpeleken viktauni akawachambue mahogany wenziwe ng'ombe wee ended mbele wp mpuuzi yule aache ushoga kuifuatilia simba kwa ubaya