@GanazXG Sijui kama nitakuwa nimevuka mipaka ya kimtandao , Hawa marefa wa Epl kweli wamekuwa mwiba mkali kwenye mioyo yetu sisi Mashabiki wa Arsenal, siku zote tumekuwa tukionewa na kusulubiwa na marefa bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua kweli ifikie kipindi tuwalazimishe hawa waamuzi kufuata Sheria za mpira
Vipi kaka,nakubaliana na ww, na mbona muungano wa Arsenal usipeleke kesi kortini? Au Arteta ashtaki PGMOL. Halafu kwa upande wa wachezaji,, ukweli Havertz ni mzembe kaka,Arteta hafai kumchezesha kama mshambuliaji wa kati, arudishe Havertz nambari 8 halafu atafute mshambuliaji wa kati,hata achukue tu kwa mkopo. Halafu pia uwe unatuletea fununu za uhamisho kaka. Kazi safi
Naelewa unayoyasema kuhusu Havertz, pamoja na mapungufu yake bado ndio top scorer wetu msimu huu ambapo amefunga magoli 14 in all competitions. Hata hivyo tunahitaji re-inforcement na hasa striker kwa vile Havertz ni false 9 sio out and out striker kama vile Haaland au Isak.
Kuhusu kortini, kesi za uwanjani haziruhusi2i kupelekwa kortini. Wanaosimamia kesi hizo ndio hilo shirika la marefa PGMOL. Ndio maana nikasema ninmahaoama ya Kangaroo. Kesi za nje ya uwanja zina4uhusiwa kwenda Court of aarbitration for Sport (CAS) ambayo iko huru zaidi.
Jambo Mani.Plz.Tueleze Arsanal mpaka sasa Imechukuwa Wachezaji wangapi.Sababu kwako idio napata maelezo mazuri na kukufamu.Asante kwa kazi Yako Mzuri.
Arsenal haijasajili bado. Zimebaki siku 6, kuna matarajio ya kusajili wachezaji 2 au mmoja. Kipindi kitafuata Mungu akipenda.
Nilikuwa nje ya mji mtandao unasumbua ila huyu refa kweli ile straight red loooh imenihuzunisha sana
Hawa ni mamluki, huyu alishawahi kulipwa £20,000 akachezeshe mechi Dubai na mmiliki wa Man City.
@GanazXG
Sijui kama nitakuwa nimevuka mipaka ya kimtandao ,
Hawa marefa wa Epl kweli wamekuwa mwiba mkali kwenye mioyo yetu sisi Mashabiki wa Arsenal, siku zote tumekuwa tukionewa na kusulubiwa na marefa bila waamuzi hao kuchukuliwa hatua kweli ifikie kipindi tuwalazimishe hawa waamuzi kufuata Sheria za mpira
Nakukubali kaka,
Shukran kaka.
Kiukweli tunonewa sana
Vipi kaka,nakubaliana na ww, na mbona muungano wa Arsenal usipeleke kesi kortini? Au Arteta ashtaki PGMOL. Halafu kwa upande wa wachezaji,, ukweli Havertz ni mzembe kaka,Arteta hafai kumchezesha kama mshambuliaji wa kati, arudishe Havertz nambari 8 halafu atafute mshambuliaji wa kati,hata achukue tu kwa mkopo. Halafu pia uwe unatuletea fununu za uhamisho kaka. Kazi safi
Naelewa unayoyasema kuhusu Havertz, pamoja na mapungufu yake bado ndio top scorer wetu msimu huu ambapo amefunga magoli 14 in all competitions. Hata hivyo tunahitaji re-inforcement na hasa striker kwa vile Havertz ni false 9 sio out and out striker kama vile Haaland au Isak.
Kuhusu kortini, kesi za uwanjani haziruhusi2i kupelekwa kortini. Wanaosimamia kesi hizo ndio hilo shirika la marefa PGMOL. Ndio maana nikasema ninmahaoama ya Kangaroo. Kesi za nje ya uwanja zina4uhusiwa kwenda Court of aarbitration for Sport (CAS) ambayo iko huru zaidi.
kipind kizur sana kaka kwa sisi mashabik wa arsenal but jitahid uwe unachanganya na picha za mchezo husikia kaka
Ahsante sana, tunachukua ushauri wako
kunajama ya kumarisa arsenal
Naomba kujua usajili imekaaje mzeee
Soon bro.
Nimeanza kumuona saka anafanya mazoezi ni kwel anafanya mazoezi
Saka huenda karibu ataanza mazoezi mepesi. Taarifa nilizonazo mimi ni kwamba ameacha kutembelea magongo. Tumtarajie uwanjani mwezi wa 3.
Arsenal kama haitabeba kikombe it's because of reveree.
Ni mechi nne sasa hivi, wametu cost 9 points.
Hiyo ndio kawaida yao hao marefa wakichezesha mechi za Arsenal
Kweli kabisa hawana maana hata kidogo.
sisi atutakiwi kabisa ameshapangwa bingwa ndomana tunapunguzwa kasi kidogo kidogo kwamakusud dawa yawo kufunga magoli meng mapema tu
Hawa wana matatizo makubwa
kaka vp kuhusu sajili huko?
We hata kiswahili hujui atabeba man u bac
Arsenal sisi sijui marefa wanatuchukuliaje
Michael oliver, nadhani ana chuki binafsi, hivi timu hairuhusiwi kukataa refa??
Ukikataa rufaa inakwenda kwa marafiki zake Michael Oliver, PGMOL. Ndio maana nikaiita mahakama ya Kangaroo.
Wote mi wamoja hao lazima Arsenal ishindwe
Kweli kabisa.
ARSENAL BADO SANA TUTASUBIRI SANA HATUNAMFUNGAJI SS
Hizo ni njama tu, hawana lolote, uliona wapi mtu akajichunguza wakati kafanyanua kosa la makusudi?
Oh arsenal aiwesi beba kombe Lolote bana
Hapa hatuzungumzii makombe. Halafu kwenye trophy cabinet ya Arsenal kuna makombe 49.
Tuletee tetesi za usajili mkuu
Soon bro
Hao marefa wanaharibu mechi za Arsenal pekeyake
Ukiangalia mpaka mwisho utapata sehemu ya jibu unalolihitaji.