nina drone ndogo waweza ikunja ikakaa hata mfukoni yenyewe waweza ipaisha then inapo ishiwa chaji inatua pale ilipo ondokea. ndo uelwewe kuwa mchina ni noma sana
Ila ningependa kuwapa ushauri kwa wanao taka kuanza shuhuli hizi za urushaji drone. Ni bora ununue drone yenye GPS. Maana drone yenye gps inatabia hata ikipotea angani na kupoteza mawasiliano hurudi yenyewe pale pale ulipo irushia."return to home"
Sasa hapa nimepata uelewa wa Drone, Ila Sasa Nina swali hapo. Apo Drone ikiwa hewani unafanyaje ili irudi chini, halafu mbona ulivyoishika tu ikazima. Hiyo imekuaje?
Ramadhani tofautisha Hali mbaya ya hewa namvua yeye kasema hata ndege inadhuriwa namvua wakati Mimi kla sku nikisafiri nchi za huko mbele nakutana nalimvua siyakitoto tena tunarukanayo
Mbona huyo kama director Mbauzi aliyeshoot video yangu ya kwanza au namfananisha duh kwa sasa yuko wapi jamani naomba mawasiliano zipo kazi mpya nahtaji kufanya
Sahihisha kichwa cha habari babu, hakuna "KAMERA INAYOPAA" na kama ipo "KAMERA INAYOPAA" sio Drone... Drone na Kamera ni vitu tofati, hata kamera mani kakuelezea vizuri tu. Drone ilofungwa Camera. na haipai juu km 5 maana inaweza kuwa kinyume na regulations za TAA. inapaa km 5 kutoka ilipo remote controller (like oblique distance). Ila ahsante kwa elimu, keep it up 🤪
Actually nikifaa kizuri sana ila sasa kina voices stress wakati watukio likièndela hususani wakati kuna ukimya, kwani hakuna kinacho operate in silence mode??
Kaliako inauzwa milion ngap kwamusa ada wa mashabiki wa channel hii.
Kazi nzuri sana hakika Leo nimejifunza vitu vyingi kweli mungu awabariki mwendelee kutuletea matilio hayo adimu adimu kama haya, good work.
Poa xaaana
Nimeipenda hii video 😍😍
Barikiwa sana kwani hata mimi nimepata elimu hii nzuri ya kutumia drone. Hongera sana Mtangazaji
dah iko vzr aseee hongera kwa kazi nzuriii
IPO vizuri sana kinauzwa bey gani
Nice lesson
Alieunganisha kideo kipaji sana
alie muona kameramani gonga layk
Hili ni fala sasa mda wote tunaangalia mike yake ndio nn
@@chrissmgode7953 unamaanisha unaona mwenye mike ama Camera man?
Kwa pomoja tunaweza vizur sana broo
Nimeipenda
Nimeshuku Sana kwa iyo ujusi na barikiwa sana
Naitaka hii bei gani
Sh ngapi iyo
Inauzwa shi ngapi
Iko poa Sana, vp gharamaake
zinaanzia M1.5
Hamnaga kabaya
Bei gan hiyo
Asant
nina drone ndogo waweza ikunja ikakaa hata mfukoni yenyewe waweza ipaisha then inapo ishiwa chaji inatua pale ilipo ondokea. ndo uelwewe kuwa mchina ni noma sana
Mbona ya kitambo sana hii duh
Nimeipenda kwan hata mm nilikuwa sijui inarushwaje asante sana mtangazaji
Jaman honger sana kwa fani hiyo
Yaan kazi rahisii manamrushaaaa aaaah
Km 5 kwenda juu!!!!!!!! Mmmmh
Bei gani inauzwa
Camera man nae ameonekana jamani kama umemuona gonga like
Ndavidp
Matonya
Safi sana hii kitu
asanten kwa kutuelewesha
Asanten nimejifunza kitu
fineee
Naomba kujua inauzwa shingapi
kizuri Sana nazijua,,, picha zake Kari sanaaa
Bei
MC Yuda SICQO hgf
Habari zenu. naomba nijue beiyake tafadhali.
Ni raha sana nimekikubali hicho chombo cha drone
Naomba unisaidie mawasiliano na huyu jamaa
walioona camera man kava vest gonga like
Ila ningependa kuwapa ushauri kwa wanao taka kuanza shuhuli hizi za urushaji drone. Ni bora ununue drone yenye GPS. Maana drone yenye gps inatabia hata ikipotea angani na kupoteza mawasiliano hurudi yenyewe pale pale ulipo irushia."return to home"
Inauzwa bei gani hiyo?
ni kweli, kama ni ya wifi iwe na "one key retrn mode" angalau
Niambie mm au namba ya WhatsApp 0767743940
Inauzwa bei gan
Nimeipenda sana
Nice hivi ni bei gani hiyo
Je drone nishilingingapi dukani
Sasa hapa nimepata uelewa wa Drone, Ila Sasa Nina swali hapo.
Apo Drone ikiwa hewani unafanyaje ili irudi chini, halafu mbona ulivyoishika tu ikazima. Hiyo imekuaje?
Kifaahicho kinauzwa shingapi
Napenda hii sana
ipo vzr sanaa
Niya ngapi
Ramadhani tofautisha Hali mbaya ya hewa namvua yeye kasema hata ndege inadhuriwa namvua wakati Mimi kla sku nikisafiri nchi za huko mbele nakutana nalimvua siyakitoto tena tunarukanayo
Inauzwa beigani
nishingapi
Aa mm nauliza hio drom inauzwa shingapi
Bei gani hiyo?
Nataka namba ake
Nahitaji kujifunza kuitumia je inakuaje?
Video nzuri.. Nimejifunza kitu, asante waandaaji
Nimemwona cameraman leo
Kaka inauzwa shingapi
Ni sh ngap inauzwa
very intresting
Bei zake zinakuaje
inauzwa beigan kaka
inategemea na duka..zinaanzia 2.5M HADI 4M
254 tuko ndani
Pia mm nimejifunza kitu ThankS 😍😍
nie ndinaigua githweri grace..Nyendaga gikuyu
@@simonkaris2878 wacha number 😂😂😂
@@gracekaroki7137 0743795467.Whatsapp me
mtangazani mmbea kweli kashaambiwa pakuwashia anauliza tena unawashia hapa
Naitaji drone kama hii naipaja
Safi sana
Nice
Inapiga picha au kazi yake kubwa ni kuchukua video
Mara ya kwanza kuona drone nikazani feni fran hivi ya angn
Hongera kijana
Vinauzwa shingapi
Inategemea na duka na aina, zinaanzia 2.5M hadi 4M
Nixhingp kifaa hicho
Nikihitaji napataje
wengi wanaagiza online kupitia mitandao ila yapo maduka kama Asaki dsm yanauza pia.. jaribu kuangalia mtandao wa kuagiza vitu wa
www.aliexpress.com
Great
nilichokiona hapo kuna utofauti mkubwa sana wa Kamila ya drone na kamela ya kawaida aiseee tisha sana
Tunaomba mawasiliano ya hao jamaa
kinauzwa sh ngapi
Sh...... Ngapi iyo
Nezapataje more ja n how much?
Nnko hapa bei gani hyo
Kinauzwa bei gan
Hayo matangazo yenu hapo chini yanaharibu video fanyeni mpango libaki tangazo 1hapo juu tu
Wanaboa
Kwenye harusi yngu niliinjoy sana hii camera ya kupaa ilinitoa stress
Kinauzwa shiling ngapi.! Drone kama hiyo
Milion 5 sh/=
uongo baba ndege haizuliwi na mvua
khaaa mjifunze kwaza kuelewa kbla ya kucomment
Ungeelewa ingekuwa vizuri sana
Hujawai kucki ndege imeshindwa kuruka kutokana na Hali mbaya ya hewa
Joyce
how much
Mbona huyo kama director Mbauzi aliyeshoot video yangu ya kwanza au namfananisha duh kwa sasa yuko wapi jamani naomba mawasiliano zipo kazi mpya nahtaji kufanya
0754362137
Hongereni sana goodruck temba
Good sn mzee baba nakupongezeni xn
Santii kwa kutujuza
Not all drone uses GPRS....i do drones coding using Arduino Uno
Zinatoka wapi..I need one na nko Nyeri
Wow... How is your drone project so far
Zina patikana maeneo yp
Naomba namba ya huyo mshikaji operator wa drone tafadhali
Miaka ya mbele nazani binadamu wote watakuwa wanapaa izi teknolojia ni hataree
Nice Video i have always wanted a drone....
Sahihisha kichwa cha habari babu,
hakuna "KAMERA INAYOPAA" na kama ipo "KAMERA INAYOPAA" sio Drone... Drone na Kamera ni vitu tofati, hata kamera mani kakuelezea vizuri tu. Drone ilofungwa Camera. na haipai juu km 5 maana inaweza kuwa kinyume na regulations za TAA. inapaa km 5 kutoka ilipo remote controller (like oblique distance).
Ila ahsante kwa elimu, keep it up 🤪
*tofati = tofauti
Mwenye microphone angesimama upande wa nyuma.anazuia na hiyo microphone yake kubwa
Actually nikifaa kizuri sana ila sasa kina voices stress wakati watukio likièndela hususani wakati kuna ukimya, kwani hakuna kinacho operate in silence mode??
nc bro
Juu km 5 kwa masaa mangapi ?
Kwa hapa Tz ni mikoa gani kinapatikana
Hivi. Mnazijua km 5 au mnawadanganya watu?
ua-cam.com/video/VCigZSQKv5k/v-deo.html