EXCLUSIVE - DADA WA DIAMOND ESMA AFUNGUKA MAZITO KUFELI NDOA YAKE NA MSIZWA/ ML 200/BIASHARA HATARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Ameweza kuongea mengi na kujibu maswali yote juu ya mengi yanayosemwa

КОМЕНТАРІ • 2,3 тис.

  • @bulebiemmanuel4126
    @bulebiemmanuel4126 3 роки тому +154

    Chama Cha wasoma comments Tanzania CHAWACOTA ✔️

  • @asmaliana2419
    @asmaliana2419 3 роки тому +43

    Yaani nimekuelewa saaaaana Esma mpaka umepitiliza.

  • @wardamasoud4061
    @wardamasoud4061 3 роки тому +6

    Mimi nimekuelewa sana esma ..pole mpenzi

  • @khadijawangara7860
    @khadijawangara7860 3 роки тому +49

    Sio kila anaevaa koto jeupe ni daktari wengine ni wauzaji nyama butcher upo!

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 3 роки тому

    Esma mshukulu mungu unamachale yani imekusaidia sana bila yaivo angekuachia bonge la demeji angetumia vibaya jina lako na lafamilia yako pia

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 3 роки тому

    Pole sana Isma wanaume wanaotoka south Africa usiwaamini asilimia kubwa wapuuzi alitaka kukutumia

  • @ommyhanga7297
    @ommyhanga7297 3 роки тому +5

    Hili ni Tatzo linawakuta dada zetu sana very sad

  • @zakhiadaudi4670
    @zakhiadaudi4670 3 роки тому +1

    Pole love Esma🤔🤔watu wanakuongolea vbaya jaman!!

  • @mariamfaith9914
    @mariamfaith9914 3 роки тому +55

    Wah never judge book by its cover. I learn something from you girl🤔

  • @hismahseid8992
    @hismahseid8992 3 роки тому +214

    Me binafsi kama mwanamke nimekuelewa esma 🙌

    • @upendokimario8988
      @upendokimario8988 3 роки тому +1

      Nmekuelewa sana afu ww n mkwel

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 3 роки тому +2

      Wanaume wasumbufu

    • @washwash6723
      @washwash6723 3 роки тому

      @@veronicadaniel1122 llpl

    • @hellokittylover7641
      @hellokittylover7641 3 роки тому +1

      Kweli ninavo elewa na izo surprise zake mpaka kuowa unashindwa kumwambia muhusika unamwambia mama yake alihofia wasijui mabaya yake na ndo mana alikua anapitia kwa mama

    • @naimanaima4715
      @naimanaima4715 3 роки тому

      Ata me

  • @evarnyanduku793
    @evarnyanduku793 3 роки тому +79

    Ambao tunamuombea esma mema like

  • @ziggykole2028
    @ziggykole2028 3 роки тому +75

    Duh! Esma umejua kufumbua madada wengi macho..hiki kisa kimenikumbusha mengi..ila Mungu mkubwa🙏🙏

  • @yasminmustafa2282
    @yasminmustafa2282 3 роки тому +52

    Great interview,
    Poor lighting kindly improve on that...
    Everything else..kudos👏👏👏👏👏also get some nice wall paper and cosy couches your setting look is so basic

  • @lizakoth2
    @lizakoth2 3 роки тому +34

    Zamaradi is such a host👏.... Love from Kenya❤️

    • @bizimanasal
      @bizimanasal 2 роки тому

      Kabisa esmas apo niko sahihi ukija tajiri inabidi nijishushe niwe maskini 🥳

  • @fridambwiliza190
    @fridambwiliza190 3 роки тому +55

    Unaongea vizuri sana una akili sana fanya mambo yako mungu atakujalia

  • @elizalwakatare8070
    @elizalwakatare8070 3 роки тому +28

    Wanawake hasa wenye vipato kuweni makini Sana 💗💗hili ni somo, hongera esma kwa kusimama imara 💪

    • @jacquelinepallanjo2988
      @jacquelinepallanjo2988 3 роки тому +1

      Yaani nimejifunza kitu

    • @zaitunmtinange3453
      @zaitunmtinange3453 3 роки тому

      Mh... kweli usilolijua Ni sawa na usiku wa Giza!! Hongera kwa msimamo esma!! Hongera Zamararad....una hekima, Allah akulinde

  • @arafambaruku3802
    @arafambaruku3802 3 роки тому +20

    Kweli huyo Msizwa ni jipu Wallah Wabillah duuh Esma ujeuri wako ndio umekuokoa 😂😂😂 endelea kuwa kiburi tu

  • @tracyjoseph2075
    @tracyjoseph2075 3 роки тому +20

    Dah! Esma kwa Sasa I love unyang'anyang'a maana nimekuelewa mpaka nimekuelewa tenaaa♥️♥️♥️♥️😘😘😘

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 3 роки тому +26

    Sikuzote Mwanamke katika Afrika akionyesha ujasiri, na ukakamavu, na kujua thamani yake bila kuteteleka, na kufanya maamuzi magumu katika wakati jamii haitarajii ,HUITWA JEURI NA KIBURI😊🤣🤣. WEAK MEN IN AFRIKA ARE INTIMIDATED WITH INDEPENDENT WOMEN. ESMA YO A REALL WOMEN. ENJOY YO LIFE BBY♥️♥️♥️♥️

    • @marryjames1784
      @marryjames1784 3 роки тому

      Apriciate u🙌🙌

    • @rebekantiha4131
      @rebekantiha4131 3 роки тому

      Kabsa mamy ukiw na msimam unaoksn yamekushinda yaan mm namsif maan ndan tunamatatz makubwa ila huf ya kipat ndo inatufany tynavumilia ujinga my dear 🥰😍

    • @mariamramadhani3860
      @mariamramadhani3860 3 роки тому

      @@rebekantiha4131 hakika kipato mamii tunavumilia basi tu

    • @mercyndujilo5363
      @mercyndujilo5363 3 роки тому

      My ex told me that buh i knew i was his competition

  • @kautharmkali3957
    @kautharmkali3957 3 роки тому +17

    Tunajifunza hapa kuwa, mzazi unaruhusiwa kumshauri mtoto wako juu ya machaguzi yake ya maisha ila sio kumlazimisha mtoto wako kuolewa kwa sababu ya uwezo wa kifedha,, kwa msizwa amefake life ila wapo ambao hawajafake na wananyanyasa na kudharau wake zao kwasababu ya pesa zao
    Ladies: tusigeuke watumwa wa pesa za waume, na kuona aibu kutoka matesoni kisa jamii itakuchukulia wewe si mwanamke uliyefunzwa na wazazi wako kabla ya ndoa. It's okay kuitwa jeuri ama kiburi kwasababu ya kuwa sahihi na kutafuta furaha

  • @khalossalim213
    @khalossalim213 3 роки тому +164

    Nasibu akikumbuka alivyomchamba petii siku ya harus ya dada ake, mwili wote wacheza jeje

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 роки тому +105

    Ko esima uliingia choo cha kike🤣🤣🤣😂pole ila nimejifunza

    • @KatuniDigital
      @KatuniDigital 3 роки тому +3

      Aliingia kwa kaka jambazi 😂😂

    • @sekelamwangosi3289
      @sekelamwangosi3289 3 роки тому +2

      Ewaaaaaah cha kike🤣🤣🤣🤣

    • @hanifaally4694
      @hanifaally4694 3 роки тому +4

      Yaan bora alivyotoka wacha watu waseme tu lol 😂😂😂

    • @atotaalbalushi7943
      @atotaalbalushi7943 3 роки тому

      Pole sn ila esma ulishawai kuwambiwa Instagram uyo mwanaume sio mtu mzuri ukaona km watu wanakuonea wivu sasa umejionea mwenyewe angekubebesha madawa

    • @hapinesphilimon8127
      @hapinesphilimon8127 3 роки тому

      @@sekelamwangosi3289 🤣🤣🤣

  • @sarafinapeter3163
    @sarafinapeter3163 3 роки тому +59

    Wanawake tujifunze wallah 🙌 pole Esma

  • @tabithanjeri5806
    @tabithanjeri5806 3 роки тому +110

    Pole Esma.....I have a feeling that they planned it all with his South African wife.....I said it on your wedding day live chat that Msizwa ni mkora wa Tanzania wakani attack....Am happy that you left that devil

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 3 роки тому +22

    Leo nimemuelewa Esma kweli aliolewa na taperi

  • @enidtv2354
    @enidtv2354 3 роки тому +26

    Very nice 👍👌 interview zamaradi ,Esma nimekupenda bure fata moyo wako

  • @regineniyonzima5340
    @regineniyonzima5340 3 роки тому +45

    Nafatilia zamaradi tv nikiwa Burundi Bujumbura 🇧🇮pole da esma,watu wanaongea wasiyo yajuwa.njo maana katika dini yetu ya kiislam,tunashauriwa ukipata mwanaume anataka kukuowa,sali kwanza sala ya istikhara,njo ukubali kuolewa,ukishapewa majibu na Allah,proud to be Muslim.

  • @shaaqlassique6644
    @shaaqlassique6644 3 роки тому +19

    I love your interviews zamaradi...... If you could also get esmas husband it could be much bettter

    • @hokororoflora5639
      @hokororoflora5639 3 роки тому +1

      Umesema ukweli umejifunza nini? Jinsi umetoa funzo kwa Wanawake wengne ata kwa wasichana wengne

  • @hbabe5320
    @hbabe5320 3 роки тому +47

    Pole sana Esma kwa matatizoo. Pia tunashukuru kwa story, hiyi ni fundisho kwa sisi wanawakee. Asante Da Zama❤️❤️❤️ that why we love ur Tv💥💥💥🥰. Esma mungu atakusahidiyaaa 🙏🏽

  • @naimanaima4715
    @naimanaima4715 3 роки тому +22

    🤣🤣🤣 Msizwa anaonesha ni mnyanyasaj Ata uyo mama Melo wa sauzi yupo kma Sukule wallah

  • @annymunezero5564
    @annymunezero5564 3 роки тому +70

    Daaah interview tamu afu yenye mafunzo asante da Zama

    • @mwanaidrashid8752
      @mwanaidrashid8752 3 роки тому +1

      Asima nimekupenda sana mdogoangu wanaume niwajanja sana

    • @annymunezero5564
      @annymunezero5564 3 роки тому

      Nikuwa makini nao maana mwanzo atajifanya anakupnd San akuwek ndani ssa utayaona makucha yake Heee Mwenyezi Mungu tusaidiy sis wanawake

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 роки тому

      Tamu mnooo

  • @fatmaalhabs6939
    @fatmaalhabs6939 3 роки тому +45

    Alikuja kwenu kwa masilahi tuu

  • @sylviaforest3001
    @sylviaforest3001 3 роки тому +2

    Jameni wanawake tuwe na huruma na wanawake wenzetu hivi Esma alishuhudia huyu mwanaume akiwatusi wake zake wale wawili na kuwa dhalilisha mbele yake hivi alidhani ni nini tofauti kitatokea kwake atapata special treatment au????wanaume ni wale wale...usiwai ingia nyumba ya mwanamke mwingi ukidhani yeye ndio tatizo

  • @annamitumba3981
    @annamitumba3981 3 роки тому +20

    Esma pole sana nduguu.nimekuelewa sana bora ulivyoondoka zako mwaya.

  • @njerigithara3693
    @njerigithara3693 3 роки тому +115

    I LOVE YOUR COURAGE TO WALK AWAY ESMA, ALOT OF WOMEN ARE SUFFERING WITH SUCH NARCISSISTIC MEN AND THEY KEEP PROTECTING THEM, YOU ARE SO BEAUTIFUL GOD WILL BE WITH YOU ❤️

    • @slayingtee6044
      @slayingtee6044 3 роки тому +3

      I agree

    • @jacklinengozi1122
      @jacklinengozi1122 3 роки тому +1

      Come down esma is a lier, I don't believe anything she says. She's nothing but a joke.

    • @ladysalimkabora9952
      @ladysalimkabora9952 3 роки тому +5

      @@jacklinengozi1122 you won't believe something that you haven't experience. People who have been through this do believe her

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 роки тому +2

      All in all but abortion is a Crime

    • @narindwashaidi3528
      @narindwashaidi3528 3 роки тому

      📌💯💯

  • @sarahwangari8196
    @sarahwangari8196 3 роки тому +135

    Basi nipeeni likes ni zipeleke sokoni😄

    • @bintimrope
      @bintimrope 3 роки тому +4

      Mngoje shemeji msizwa atakuja kukupa like nyingi😂😂😂

    • @hanslii1296
      @hanslii1296 3 роки тому

      Asma umesema wewe ndie ulienda kumuomba mamaake aje harusini kisha baada ya saba yako akakupigia dadaake kuhusu mama yake,kwaiyo mwanzo ulisema hujawahi kumuona mamaake kisha akakupigia dadaake wacha uwongo dadaangu.

    • @saidamshana7974
      @saidamshana7974 3 роки тому

      @@bintimrope kj
      Jppnpnppppn

    • @waheedatmohamed909
      @waheedatmohamed909 3 роки тому +2

      Ukimuona mwanaume anamponda mke wake kwa mwanamke wake kuwa Makin nae saana Ana matatizo

    • @aminasuleiman6402
      @aminasuleiman6402 3 роки тому

      @@hanslii1296 huyu muongo bana💃💃💃

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 3 роки тому +80

    Aliyesikia "....TV za kuiba South Africa...." agonge "like". Hahaaaa.

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 3 роки тому +16

    Wangapi walimuelewa #esmaplatunmz jmn me nimemuelew cz ndoa hizi zina mambo mengi san 🙏

  • @xbdbdgdgsbdbbxx4254
    @xbdbdgdgsbdbbxx4254 3 роки тому +35

    Esma ni mkweli. Big up Esma. Bora umeongea 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @munnoglam
    @munnoglam 3 роки тому +6

    Kipindi kirefu,I suggest muwekee wageni maji wasuuze koo kidg jamani!!

  • @zenamohamedi900
    @zenamohamedi900 3 роки тому +100

    Msizwa mtoto wa mjini bora ulivongundua mapema angekubebesha sembe ungeozea jera ila mama enu ndo chanzo cha aya yotee

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 3 роки тому +51

    Esma ni Yuda ndio lakini sio mwongo

  • @alyaislam2226
    @alyaislam2226 3 роки тому +31

    Zama weka kameza uwe na maji au juice jamani, koo zinakauka😂😂😂

  • @florencekaranja8736
    @florencekaranja8736 3 роки тому +13

    Kwangu kama.msichana mwenye natarajia kuolewa nimejifunza kitu kwako Esma,,,,

  • @maryamkijida5584
    @maryamkijida5584 3 роки тому +40

    Diamond ndiyo amuelewe mama yake hana ushauri mzuri ktk mahusiano ndiyo maana kakupoteza wewe kwa tamaa zake,na Diamond naye hatokuja kua na furaha na mahusiano yoyote anayoyabariki mama yake.

  • @maireshsaid1628
    @maireshsaid1628 3 роки тому +91

    Ml 200 kisa ushemej???? Msizwa nomaa🤣🤣🤣alikuwa na hesabu kali sana bora Esmah ulivyojitoa kwake....begi tena kampe mpakistani??😳😳😳😳

    • @neemakella437
      @neemakella437 3 роки тому

      😂😂😂🙌

    • @hanifaally4694
      @hanifaally4694 3 роки тому +1

      😂😂😂

    • @hellenmwangi5414
      @hellenmwangi5414 3 роки тому +1

      Hapo kwenye begi Esma kaamua kufunika kombe,ingekua mwingine angefanya waaaaah

    • @aidahtimothy9052
      @aidahtimothy9052 3 роки тому +4

      Yaan alikuw ametegemea ishu imetiki na beg nao ulikuw mtego kama ni madaw yakulevya angempa then angemcholesha akikamatwa yy angepata hela coz diamond asingekubali dadaake aende jela dah,msizwa co mtu mzr aliingia cha kike eee wah!!🤣🤣🤣

    • @lissamsalu12345
      @lissamsalu12345 3 роки тому

      Hahahahhaahah tapeli msizwa hahahhaha

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 3 роки тому +45

    Nmekwama hapo.kwa #KAKA JAMBAZI 🤣🤣🤣🤣 hataarr

  • @chollogangstar3183
    @chollogangstar3183 3 роки тому +11

    Gonga like kama unaamin peti anakula mzigo mpaka now

  • @beatricemollel6265
    @beatricemollel6265 3 роки тому +24

    Kuna wakati unaweza kufikiri mume wako nimbaya ukikutana na kama hayo sasa ndo unamkumbuka e-husband.

  • @samirahassan2834
    @samirahassan2834 3 роки тому +49

    Kama unaipenda zamaradiTv like hap👇

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 3 роки тому

      asat zamaradi

    • @theceefamily7764
      @theceefamily7764 3 роки тому

      Zamaradi ni kioo Cha wengi sio kwa wanawake tu mbali pia kwa wanaume.Mungu akuzindishie maisha marefu na kazi yako iinuke sky iwe the limit na familia yako kwa jumla🔥🔥🔥❤️🌞🙏 @Kenya.

    • @ndaturujoseph2505
      @ndaturujoseph2505 3 роки тому

      @@ab3ab313 j

  • @paulinazacharia8474
    @paulinazacharia8474 3 роки тому +44

    Esma anaongea huku roho inamuuma

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 3 роки тому +34

    Mama alitumika kutangaza bar 😂😂 jamaa noma

  • @vickynyanda9748
    @vickynyanda9748 3 роки тому +9

    LOVE YOU ESMA. BORA UENDELEE KUWA KIBURI HIVO HIVO. KWELI DIAMOND AMEPATA DADA MWENYE AKILI. NDIO MAANA DIAMOND ANAKUPENDA.

  • @magreththadei6880
    @magreththadei6880 3 роки тому +15

    Nimekupenda ESMA rudi tu kwa petty

  • @economistsarafina8085
    @economistsarafina8085 3 роки тому +42

    Esma nimekuelewa Sana Ila usirudie tena makosa, it seems ulikuwa desperate pia na ndoa, unaolewaje while you were not ready, jamani ndoa sio majaribio ni agano, na hii iwe fundisho kwa wanawake wengine ogopa Sana mwanaume anayekuja na ndoa mkononi na hakupi hata nafasi ya kumfahamu, wengi wao ni vichomi, alafu mwanaume mwenye kujitambua hawezi kusema mapungufu ya wanawake zake hadharani, eti ooh huyu mwanamke hana akili, hana akili lakini talaka hawapi, so mwanaume akija na hizo gia usije ukajiona special Sana ni tamaa tu zinawasumbua, Yani Msizwa alicheza tu na akili yako, alitaka fame na kashaipata, anyways hakuna jipya chini ya jua

  • @naomimwahosi8177
    @naomimwahosi8177 3 роки тому +12

    Wanaume kawaida yao kuponda mke ili atimize au kumpata demu wa nje.halafu baadae wanarudi kwa wake zao wale wabovu

  • @esthermutali7270
    @esthermutali7270 3 роки тому +23

    I have met such characters...trust me the guy must be bitter because he feels like he invested in a raw deal 🤣🤣 he wanted to use you for his own gain 💯

  • @peterernest1038
    @peterernest1038 3 роки тому +20

    Kama umeelewa kaka jambazi ngonga like twende!!!

    • @sarafinaoscar1360
      @sarafinaoscar1360 3 роки тому

      😂😂😂😂😂

    • @mgenimohammed608
      @mgenimohammed608 3 роки тому

      Mna drama nyinyi wenzetu wa tz 🤣🤣🤣🤣 gari la ku kodi ili utunze mtu uonekane jmn

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 3 роки тому +16

    Msizwa ni muuza madawa huyo mama yako pia ndo chanzo cha ww kuingia kichwa kichwa kwa msizwa kupitia kwa kiben 10 chake

    • @sarahmsoke2334
      @sarahmsoke2334 3 роки тому

      Apo kuna mama ake

    • @leticiachunga9118
      @leticiachunga9118 3 роки тому +1

      Wakiangalie sana kibenten cha mama yao,huko waendako yule mama atakuja afirisi watoto wake na yeye atabaki uchi

    • @janesaru9377
      @janesaru9377 3 роки тому

      Kweli kabisa

  • @aidahtimothy9052
    @aidahtimothy9052 3 роки тому +102

    Esma ni yuda ila huwa si muongo anaongea ukweli

    • @moniesimeo1052
      @moniesimeo1052 3 роки тому +8

      Ukimsikiliza unaona kabisa anaongea ukweli

    • @glorymboya6172
      @glorymboya6172 3 роки тому

      Ni kwel Esma huwa ni mkweli sema tu kwavle ni yuda mtu unaweza sema anachoongea ni uongo ila nimtu poa sana

    • @happychitemo6761
      @happychitemo6761 3 роки тому

      Nikweli kabisa

    • @jasminjuma6390
      @jasminjuma6390 3 роки тому

      Hahahaha eti yuda

    • @rukiarashid4019
      @rukiarashid4019 3 роки тому

      Mi mwenyewe nampendaga sana yani hata kama kitu ni cha kumuhusu yeye anasemaga tu ukweli mtupu....hahaha baya Esma wetu

  • @salumabdu1191
    @salumabdu1191 3 роки тому +36

    NI HERI UWE MDOGO MBELE ZA WATU KULIKO KUTAKA SIFA HATIMA YAKE NI MADENI

  • @arushijuma6894
    @arushijuma6894 3 роки тому +10

    Nisiwee muongoo mm mwenyewee sipendd kuonewaa boraa niwe single mother

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh669 3 роки тому +7

    Nampenda Esma akiongea kama mzungu anaejifunza Kiswahili 😁😁

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 роки тому +14

    Kuwa makini esma msinzwa siyo m2 mzuri atakufanyia mbaya

  • @thureyaseif7143
    @thureyaseif7143 3 роки тому +63

    Zamaradi I like the way you speak you are too smart nakupongeza sana

    • @ceciliakibangali7057
      @ceciliakibangali7057 3 роки тому +1

      Zamaradi maji na tissue kwenye kipindi chako kwani are they that expensive

    • @Nessa14_
      @Nessa14_ 3 роки тому

      Sure

  • @marrysiphaeli8482
    @marrysiphaeli8482 3 роки тому +14

    Yaani Target ya uyo kijana ilikuwa ni kubwa mno mno. Ila baati nzuri kakutana na kisiki

    • @juliusfelister894
      @juliusfelister894 3 роки тому +2

      Mwanamke anaakili ndomaana ameshindwa😂😂

    • @babymai7211
      @babymai7211 3 роки тому +1

      Amekula huu na asara juu Hahahahaha imekula Kwake litaeka wap jisura lake mwana izaaa

    • @neemambulinyingi3351
      @neemambulinyingi3351 3 роки тому

      Kakutana na mtu anajitambua

    • @sarahmohamed337
      @sarahmohamed337 3 роки тому

      Kaingia msala wa choo Cha walemavu,,lazma ainame tuu

  • @ramaaisha887
    @ramaaisha887 3 роки тому +22

    I always advice ladies don't rush into another relationship afta a breakup wait for atlct 2-4 minutes
    He jct wanted to use you to promote his business xory Esma

  • @stylebysaumu5540
    @stylebysaumu5540 3 роки тому +24

    The Nigeria calls them "Yahoo boys" too much flashy life yet have zero finances.

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 3 роки тому +6

    😂😂😂 nadhani leo mme elewa kuongea kwa Mange ali mshauri Esma kama huyo mwanaume ni muuza madawa yakulevya baadhi ya watu mapovu yaliwatoka

  • @naomimassawe5625
    @naomimassawe5625 3 роки тому +21

    Nimekupenda, maisha ya sasa ni kujipenda na kujali furaha yako, haijalishi watu wanasema nini, kuishi ni bahati usitumie vibaya bahati yako, Kwan tunaishi mara moja

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 роки тому +40

    Esma wanaume wengi kwa Sasa wapo hivyo hivyo hata ungekaa one week inatosha miezi yote hiyo umevumilia mama bola single mama kuliko ndoa ya mawazo

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 роки тому +19

    Wanaume wenzangu tusiwe tunawaambia kila kitu Hawa viumbe,,sio wasiri

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 3 роки тому +1

      Usiri wakuficha utapeli 😂😂😂😂hata kama huyo mwanamke asipojua kila kitu, kwani hana akili yakumsoma ni mtu wa aina gani!? Kila kitu unaona, mnamtangaza yeye tu na biashara zake, bado atake Mamillion kwa shemeji 😁😁😁😁eti anataka kumdanga Mond kupitia Esma 🤣🤣🤣hata kama lazima ushtuke loh.

    • @fotintz
      @fotintz 3 роки тому

      😂😂😂😂😂

    • @muhewamrisho4700
      @muhewamrisho4700 3 роки тому

      😂😂😂😂

    • @puregangtv8087
      @puregangtv8087 3 роки тому

      Kweli kaka

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 3 роки тому

      😂😂😂🤣🤣🤣

  • @jossyjosphin2587
    @jossyjosphin2587 3 роки тому +23

    Bet ilifeli ..he thought by marrying yu you will get money from diamond. Huyo ni kaa mnigeria..tapeli

    • @tiamo726
      @tiamo726 3 роки тому

      Sasa wanigeria wananinglia aje hapa...akili yao ndio hamuiezi ama nini

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 3 роки тому +9

    Kuhusu mimba umejichanganya 😂😂 nadhan umeambiwa kosa utashitakiwa maelezo yanaonyesha ulitoa

    • @grandneo5264
      @grandneo5264 3 роки тому

      Anashitakiwa na nani ? Yeye anasema hajatoa

    • @seifmohamedseif9467
      @seifmohamedseif9467 3 роки тому

      @@grandneo5264 kauli ya kwanza ndio itakayo mshitaki na wa kumshitaki serekali

    • @mervaille61
      @mervaille61 3 роки тому

      @@seifmohamedseif9467 inakuhu nini sasa ?🤷🏾‍♀️

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 роки тому +28

    Msizwa kiboko! Juma alisema mlikuwa na target ya kumchuna Msizwa

  • @lisangiadidja342
    @lisangiadidja342 3 роки тому +18

    Mimi sija rizika mpaka ni muskie nae musizwa njo nitowe maon yangu 😉😉

  • @mimymimy7945
    @mimymimy7945 3 роки тому +22

    Kwa mara ya kwanza nimeamini Esma ndiye anasema ukweli. Yuda mwenzangu kaa single wachana na hawa wanaume

  • @alliabaraka5810
    @alliabaraka5810 3 роки тому +14

    I'm not buying this story when she got married she was saying different story.

  • @nishaabias5694
    @nishaabias5694 3 роки тому +7

    Malipo hapa hapa.. Walisema kumwozesha ddke kwa mwanaume asiye na ela inaboa.. Umevuna ulicho panda😐..
    Japo pole kwa kuumwa

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 3 роки тому +28

    Kuhusu kutozaa hovyo hovyo na kila mwanaume, UMEONGEA POINT YENYE AKILI SANA. SIYO NZURI KWA WATOTO.

  • @mjney2021
    @mjney2021 3 роки тому +18

    Interview nzuri sana. Esma nimekuelewa sana

  • @marthamangasta2341
    @marthamangasta2341 3 роки тому +68

    Huyuu jamaa aliwekeza sanaa akiwa na target zakee anatoaa elaa ilii apatee elaa 😂😂😂😂 daaahhhh ilaa ndo ivoo amnaa kaz isiyoo na hasaraa

  • @evarnyanduku793
    @evarnyanduku793 3 роки тому +17

    Yani nimekupenda sehem moja tu huna maringo na huna to much English nakupendea hapo

  • @anifamickidard4555
    @anifamickidard4555 3 роки тому +14

    Kwa iyo dada mange aliongea Kweli kuwa msizwa muuza madawa uwiiii

    • @leticiachunga9118
      @leticiachunga9118 3 роки тому +1

      Dada wataifa atakuwa ana mafile ya msinzwa yote,esma angeingia kwa maktaba ya mange kipindi cha urafiki na msinzwa asingekubali kuolewa kabisaaa

    • @fredrickthomas2173
      @fredrickthomas2173 3 роки тому

      Esma alikutana na taperi

    • @fredrickthomas2173
      @fredrickthomas2173 3 роки тому

      Bora angeolewa na mimi

  • @queenwesthilson6009
    @queenwesthilson6009 3 роки тому +47

    Zama unajuw unahoji vzr wey na millard ayo Allah awabariki😍😍

  • @maryamkijida5584
    @maryamkijida5584 3 роки тому +28

    Huyo petit kaka yako hakumpenda coz hana pesa

    • @nishaabias5694
      @nishaabias5694 3 роки тому

      Ndio kapata mwenye ela sasa

    • @doreenchuwa3630
      @doreenchuwa3630 3 роки тому

      Sio kama petit hana pesa, hana akili kakalia uchawa. Petit alikua ana channel way before Dai... ila Dai kampita mafanikio Petit

    • @arefali2312
      @arefali2312 3 роки тому

      @@nishaabias5694 na wameshindwan chezea mungu wewe

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction1622 3 роки тому +28

    Yaani gari iliazimwa kwa mtu kha mjini kuna ma drama bwana had raha🤣🤣🤣🤣

    • @brijitamwamwadime9707
      @brijitamwamwadime9707 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 3 роки тому +4

      na kaka ake salifanya drama kwa tanasha pigo lazima lirudi ukijifanya mjanja lazima upate wenzie 🤣mjini hapa

    • @agrialauzi3097
      @agrialauzi3097 3 роки тому

      @@uwimanauwimana7692 alimfanyaje tanasha

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 3 роки тому +1

      @@agrialauzi3097 kwani tanasha salipewa gari feki kama yalo mtolea esmaa malipo hurudi

    • @juliusfelister894
      @juliusfelister894 3 роки тому

      😂😂😂

  • @ashasalum1647
    @ashasalum1647 3 роки тому +1

    Ndoa ya mke wa tatu mbwembwe zile hazikustahili ilibd ujiulize sana na uwafikirie wenzio Ni mungu tu amejibu na ulipoambiwa una akili ukaona wake wenzio mataaaahiiira pole mwaya ila mmejua kujidhalilisha na siri nyingi zitafichuka

  • @zahrathomary1805
    @zahrathomary1805 3 роки тому +45

    Zamaradi your so cleverrr, I like you so much! Your the real meaning of being a presenter, ❤️💕 nimeenjoy na nimejifunzaaa mengi! Big respect

    • @daimavlog
      @daimavlog 3 роки тому +2

      Yaani Me nikionaga mtu amehojiwa na Zama nateganga muda wangu kabisa nifahidi.

  • @ahmadshomali4206
    @ahmadshomali4206 3 роки тому +16

    Msizwa ni tapeli!!! Alifata umaarufu tuu.

  • @Verochanel123
    @Verochanel123 3 роки тому +14

    Pole sana esma watu huwa hatujui ya ndani tunakurupuka tu kutukana alitaka amchune domo kupitia ww hahahaha

    • @hassanramadhan8978
      @hassanramadhan8978 3 роки тому

      Usimuumbue usiyeweza kumuumba hata wewe una kasoro zako mungu akusamehe kwa kumkosoa mungu

  • @thefarahatlifestyle
    @thefarahatlifestyle 3 роки тому +7

    Sasa nimeelewa maana ya vurugu iyo yote. Nakupenda Sana Esma. Toxic relation just move out..

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 3 роки тому +22

    Ndo mkome kupenda wanaume wenye pesa..nyoooo ...mi ata sikuhurumii
    Kenge wewe kumkashifu petii wetu
    Eti hana pesa alafu unaenda kwa mwanaume anae face maisha..ovyoooo😏😏😏

  • @natashaally192
    @natashaally192 3 роки тому +7

    I am so sorry Esma...He is such a bastard. Mungu atamlipa cha kumlipa. Glad you had the strength kuondoka

  • @yerthmwabusilah674
    @yerthmwabusilah674 3 роки тому +11

    Maisha ya ndoa bila penzi la kweli ni upuuz mtupu mungu tusaidie sisi ambao tunatarajia ndoa🙏🙏🙏🙏🙏

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 3 роки тому +36

    Mbona comment nyingi sana kweli watu wanamfatilia dada wa taifa

  • @luciamutongore799
    @luciamutongore799 3 роки тому +8

    Ndoa za kufuru hivi, nyingi huwa hazidumu!

  • @anastaziachenge7146
    @anastaziachenge7146 3 роки тому +2

    Yule mwanaume wa mwanzo alikuwa anakupenda kumbuka mungu nae achelewi kujibu yote uliyo mfanyia mwenzio machoz yalimtoka wakat nyie mkiselebret na ndoa mpya hayaaa sas ona hiyo aibu unajizalilisha ndio maana jamii haishi kuwatus hovyo usikalibishe milango ya shetani na mikos kwenu jamaniii mam dangote nae asifos mambo mtu aolewe from no where kesho yakimkuta lawama zote zinakuludia wew sasa kma wew mzazi mim nmeckitika kma nawafahamu ukoo wenu esma nakushauli usiolewe tena tulizanaàaa

    • @florajonathan8714
      @florajonathan8714 3 роки тому

      Hawa watu wanashda kidogo kwel umaarufu mbaya jmn unakumbuka sku ya harus walvomçhamba petii jmn ila Mungu n mwema sana hata mwaka haujaisha wameachana sahv petii anacheka tu huko

  • @mwanamgenimwamzandi1941
    @mwanamgenimwamzandi1941 3 роки тому +8

    This man was an opportunist,he married u for 💰 money ..
    Hakua na upendo wote kwako

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 роки тому +17

    Ila nikushaur dada esma kuwa Makin na kumatak huyu bwana watu wa ishu hizi ni hatar sana wasije wakakuzur bure