THANK YOU YA CHAMA YAJADILIWA!! SIMBA WATAJUTIA MAAMUZI YAO!! SAIDOO KUNASHIDA SIMBA..MKALABOKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 5 місяців тому +1

    Hawa chawa hawa ndugu wanasimba tuwe makini na machawa hawa.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 5 місяців тому +1

    Video.

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 5 місяців тому

    Sawa tutaona Kila siku ni matarajio mabaya Kila siku,hakuna matarajio hajashushiwa heshima huyo Saido,hiyo ndiyo kukosa mipango ya muda mrefu.Lazima tuamini kuwa mtu huchoka na hivyo kuwa na mbadaala.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 5 місяців тому

    Mkimaliza kujadili mambo ya Simba jadilini na timu ya huyo kocha. Siyo ajadili ya wenzie wakati ya kwake yanamshinda. Hata yeye angependa timu yake iwe bingwa. Kwanini hawawi mabingwa? Na yeye mjadilini na timu anazofundisha. Au yeye ni Utopolo timu pinzani na Simba.
    Kocha hawezi kusajili timu kwasababu anaweza kukaa musimu mmoja tu na kuondoka. Je wale aliowasajili nao waondoke ili kocha mpya asajili wengine? Makocha hawasajili. Wanaeleza tu mapungufu ya timu yanayotakiwa kuongezewa nguvu.

  • @HassanMdimu-d3f
    @HassanMdimu-d3f 5 місяців тому

    Boko alikua mdoga,wachambuzi wengi ni yanga,walioachwa wamefanya nini.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 5 місяців тому +1

    Vimeo.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 5 місяців тому +1

    Simba hawachukui ubingwa tena,yanga wanazidi kujijenga nje na ndani ya uwanja guyz? Yanga sasa are thinking of winning CAFCL!

  • @hassanomar8157
    @hassanomar8157 5 місяців тому

    Ulitakaje ww mwehu

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 5 місяців тому

    Acha ujinga wewe ,kwani mpaka sasa wameondoka first eleven wangapi mbumbumbu wewe.

  • @shabanizayumba5432
    @shabanizayumba5432 5 місяців тому

    Acha unafiki wewe,unaongea sasa hivi wakati simba inadorola uko kimya,chama amesha achwa RSBerkane,kwanin iwe shida kutolewa simba? Acha umbumbumbu wako ,msajili kwenye timu yako

  • @HassanMdimu-d3f
    @HassanMdimu-d3f 5 місяців тому

    Mpeleke yanga.

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 5 місяців тому

    Vibuyu mmekutana
    Nyau tu hakuna kitu hapo

  • @HassanMdimu-d3f
    @HassanMdimu-d3f 5 місяців тому

    Kichwa chako na akili km tako

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 5 місяців тому

    Acha ushabiki wewe zumbukuku ,hivi saidoo ndo umeona wa maana wakati tuliwahi kumuuza chama at peak na louis na tulichukua ubingwa why now unataka kututoa njiani bwege wewe!