USHINDI WA SIMBA DHIDI YA CS COSTANTINE 30%!! SIMBA WAMEJIFUNGA WENYEWE KABLA HAWAJAENDA ALGERIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 День тому

    Ni kweri kaka mimi ni simba saa ingine tunalala sana

  • @isayaluvanda8470
    @isayaluvanda8470 День тому

    Wewe ungejua mpira usingeongea maneno hayo sijui simba anacheza namidori uwanjani kwamba simba inatakiwa kila mechi ashinde sijui wanaichukuliaje simba
    Hizo timu anazo cheza nao hazitaki kufunga basi unge kuwa kocha wa timu ya namungo

  • @RashidSadala-f2q
    @RashidSadala-f2q День тому

    Majeruhi je kumbuka kuwa tim ndogo zote zinakamia mpaka wanacheza vibaya

  • @SalimAl-mahrooqi
    @SalimAl-mahrooqi День тому

    Huwezi kucheza . Safari ndefu sio sio tanzania

  • @SalimAl-mahrooqi
    @SalimAl-mahrooqi День тому

    Mara ya mwesho ulikua tanzania kucheza na brovs.lakini huu mchezo ni wambali

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 23 години тому

    Una uhakika Gani kuwa wakicheza na Singinda watashinda mchezo wao,ngojea tusubiri Lugano.

  • @AnciscoKayombo
    @AnciscoKayombo День тому

    VIPI kuhusu majeruhi,wanaweza kupona kwa muda huo AU kichwa chako kinajua tu kucheza?

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 15 годин тому

    Wewe Lugano huna uzalendo. Huoni kama Simba ingecheza na Singida BS pengine wachezaji wangeumia na kuwaathiri kwenye mchezo ujao wa Caf.

  • @isayaluvanda8470
    @isayaluvanda8470 День тому

    Naona umeshiba mihogo unaropoka usicho kijua kweli mpira umeingiliwa wachambuzi wa mchongo

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 15 годин тому

    Kanuni siyo amri ya Mungu. Povu la nini?

  • @SULEIMAN-l8v
    @SULEIMAN-l8v День тому

    wacha (mbuzi ) mchongo yaani unaonekana hata akili disable

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 23 години тому

    Wewe ni zaodi ya kocha wa Simba? Acha kuropoka ndiyo unaomba wafungwe?

  • @morrisabdon7881
    @morrisabdon7881 22 години тому

    Sababu muulize Fadlu, ila Mie naona wapo sawa kuepusha majeruhi, ile atmosphere ya Pamba Mwanza iliashiria vita, Hukuona wewe. Hujaona hadi timu zimekuwa fined ,ulitaka waende na majeruhi????!!!

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 14 годин тому

    ACHA UJINGA WEWE KWA UWEZO WA MUNGU SIMBA ITASHINDA. ULITAKA SIMBA WACHEZE ILI WAUMIZWE WASICHEZE KIMATAIFA. NA UNAJUA TIMU ZIKICHEZA NA SIMBA HUWA WANAZIKAMIA SANA.ACHA KUWAI GILIA TFF WANAJUA WANACHOKIFANYA

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 18 годин тому

    We mjinga hebu fatilia Ligi ya misri jinsi timu zao zinazoshiriki kimataifa Jins zinavyokua na viporo wewe hujui mpira je Wachezaji wakiumia natimu Haina mech ya kaize chif iliuzwa na akina manara umeifatilia Simba imefungwa Gori ngapi katika mech alizocheza?

  • @isayaluvanda8470
    @isayaluvanda8470 День тому

    Wewe nimsenge mipua mikubwa kama unavuta bangi unaongea hakina matiki kabisa
    Kuongengelea mpira hujui yani wewe simba kufungwa au asifungwe anacheza na mkeo au au natafuta kiki kwenye mitandao ungelijua mpira basi tafuta timu ukafundishe jisi yakufunga

  • @OscarChonya
    @OscarChonya 23 години тому

    Acha kuroporopoka wewe , ongeza kimpira , singida ninani aitishe Simba, unasema bilakutumia akili au ndomuliwaandaa singida watuumizie wachezaji wetu, tumewashitukia ndomana tumesitisha isicheze , Simba itashinda tena hutoamini, wekama imetumwa imekula kwako,huu nimsimu wa Ubaya ubwela Simba ndomwalimu wahaya mashindano