Nabii Ismael a.s amelaniwa kama wanavyo sema wakristo au amebarikiwa kimeumana leo kiwanjani moto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @spinicahakama4500
    @spinicahakama4500 5 місяців тому +19

    Mashallah am a new convert learning more from yu guys Allah awasidishie🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +4

      Aamiin amiin amiin sote

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p 5 місяців тому +3

      Zidi kujifunza ndugu ngu.Allah akuzidishie juhudi Ili ujue uzur na ubaya

    • @yasinsalim6179
      @yasinsalim6179 5 місяців тому +1

      Mashallah karibu ndugu

    • @rahmaali6662
      @rahmaali6662 5 місяців тому

      BarakaAllahu fiikum

    • @Idysalim
      @Idysalim 5 місяців тому

      Ameen

  • @Sal.0
    @Sal.0 5 місяців тому +2

    AllahuAkbar.
    TabarakAllah wotee walio changia.
    MashaAllah.
    TabarakAllah Team.

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb 5 місяців тому +15

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu.. Maa Shaa Allah...nakumbuka nilimuuliza Hassan kariuki anisaidie na andiko lisemalo Yesu hajui siku ya mwisho akanipa hilo andiko la Mathayo 24:36 tukiwa muhadhara pale Eastleigh karibu na kwa chifu around early 2005, sijalisahau hadi siku ya leo...Allah amlipe... ilikuwa pale 8th street

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah kitambo sana hiyo

    • @mwangimuhammad-sx9hb
      @mwangimuhammad-sx9hb 5 місяців тому +1

      @@salimdaawah123 aiwa, bado nalikumbuka

  • @rahilyas254
    @rahilyas254 4 місяці тому +2

    ❤❤❤
    MashaAllah

  • @AishaMohamud-k7d
    @AishaMohamud-k7d 5 місяців тому +4

    MashaAllah masheikh wetu

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 5 місяців тому +5

    MashaaAllah Allah awape umri Na afya mzidi kueneza kauli ya Lailaha ila Allah Muhammad RasulluAllah

  • @ahmednasib8465
    @ahmednasib8465 5 місяців тому +3

    Mash'Allah

  • @ibnusleyyum9743
    @ibnusleyyum9743 5 місяців тому +1

    ماشاءالله..باراك الله فيكم

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 4 місяці тому +1

    MashaAllah.Watu..walijitokeza..kusikia.Neno.laMungu

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 5 місяців тому +2

    Ma sha Allah tabaraka Rahman.wote walitoa kw ajili y Allah.Allah awalipe kw mizani yenu cku y kiyama

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому

      Aamiin amiin amiin sote waisilamu Allah Atupe mwisho mwema

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 5 місяців тому +4

    Mashallah

  • @AishaTabi-e2z
    @AishaTabi-e2z 5 місяців тому +3

    Mashalla ❤❤❤❤

  • @Sofia-rf6nd
    @Sofia-rf6nd 5 місяців тому +2

    Mashaallah ❤❤❤❤❤

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 5 місяців тому +3

    .mashallah, alhamdulillah

  • @kneemoreizoh2389
    @kneemoreizoh2389 5 місяців тому +1

    Dada mungu akubariki kwa kuwastiri waslamu wenzako Allah ajufungulie upateee zaidiii

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 5 місяців тому +1

    Maashaallah baarakallah..cku nyengne muwagawanyie hao kina mama mmoja mmoja naona nkama c nidhamu wakiangushana itawaletea kuekeana chuki kwa walio zozania nguo moja baadhi yao

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 5 місяців тому +1

    Masha Allah 🥰

  • @AbdirahmangolloHalake
    @AbdirahmangolloHalake 3 місяці тому +1

    MASHAALLAH

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 4 місяці тому +1

    MashaAllah

  • @josemu870
    @josemu870 5 місяців тому +1

    Mash Alllah

  • @caponeoma1645
    @caponeoma1645 5 місяців тому +1

    sheikh salim njoo majengo pia daawah

  • @daudiyusuf4904
    @daudiyusuf4904 5 місяців тому +1

    Asalaam aleykum nauliza kama Sh.Hasan angependa kutumia macho nne

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 5 місяців тому +1

    Alhamdulillah kwa neemah ya uislamu

  • @abdiidaawah-yv9bg
    @abdiidaawah-yv9bg 5 місяців тому +1

    Furaha sana kuona uislamu inaendelea kupanuka na ujumbe unazidi kufika

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому

      Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 4 місяці тому

      Alhamdulilah RahaYaUislam.kusoma..syo.wenzetu.kilakitu.ndyoo.Yesu.mungu.ndyoo.yesu.mtoto.wake.ndyoo..yesu.kakufa.kabeba.dhambi.zetu.ndyooo.Allah.atuifadh.wote.naatusamehe.yarab

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 5 місяців тому +1

    ALLAHU AKBAR

  • @SalimHumud
    @SalimHumud 5 місяців тому +1

    Inshallah Mungu awape nguvu za kueneza Dini

  • @MohammediSemndili
    @MohammediSemndili 5 місяців тому +2

    Mungy awazdishie masheh wetu

  • @saeedisa9798
    @saeedisa9798 5 місяців тому +2

    Tena kila salah tunasema shahada. Wakati wa adhana na wakati wa tashahud.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 5 місяців тому +2

    Ustadh Ali alienda wapi?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому

      Yuko salama mambo tu ya kinyumbani

    • @jamilaomari2444
      @jamilaomari2444 5 місяців тому +1

      Naona ustadh Hassan kidogo usomaji wake hafif😀

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 5 місяців тому +3

    Makristo wasikitisha hawaelewi mitume ni nani wala malaika utawasikia mara wanasema malaika waliasi mara mitume wame laaniwa kama hivyo kusema nabii Ismail ame laaniwa hawajielewi

    • @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi
      @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi 5 місяців тому +5

      ]wao[(mayahudi na wakristo) Ndio Wana ]LAANA[ ZA ^MWENYEZIMNGU^. Na Ndio Maana ]wakaharibu[ 'Akhera'(Uzima Wa Milele) ]yao[ Na ]KUMKUFURU[ ^MWENYEZIMNGU^, ]WAKAWAKATAA Na KUWATUKANA #Mitume#[ WA ^MWENYEZIMNGU^; Na ]shetani~ibliis[ amewapotosha na kuwawahi Vizuri Katika Hilo

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 5 місяців тому +2

    Huyo yesu atashuka siku zamwisho kuja kuoa nakufa yy mwenyewe atafufuliwa

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 5 місяців тому

    Mohamed ndiye muislam wa kwanza.Sura 39:12

    • @hythamhashiem4458
      @hythamhashiem4458 5 місяців тому +1

      Kweli! lakini kwa wakati wake, na kila mtume huwa ni mfano kwa watu wake

    • @HisMajesty64
      @HisMajesty64 5 місяців тому +1

      ​@@hythamhashiem4458please ignore that agent of confusion. He just checks in with negative comments attempting to cause disruption and chaos. He is only wasting his time as the religion keeps growing.

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o 5 місяців тому

      @@hythamhashiem4458 Hakuna pahali inasema wakati wake... Uislam haikua kabla ya Mohamed.Kama Uislam ulikueko toa andiko igongane na hii

  • @samxx411
    @samxx411 5 місяців тому +1

    Siku hizi wakristo wanasoma wenyewe biblia atleast wanatulia kusikiliza daawa Mungu awaongoe

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 5 місяців тому +2

    Hao wadogo sana hawatachana vitabu?

  • @saeedisa9798
    @saeedisa9798 5 місяців тому +2

    Hata mtu akisema shahada peke yake baado ni Muslim.

  • @MaryamIssa-y7v
    @MaryamIssa-y7v 5 місяців тому +1

    Wenzetu sijuwi mtihani gani hawana ata hofu kutukana mitume na Muumba wa mbingu na ardhi,huwa km wanajitowa ufaham Yesu Jesus bebeto na lugha nyengine nyingi kiarabu Issa wakisikia Issa wanamkataa utaskia uyo ni Issa qur-an au God Mungu ela in spanish Allah in Arabic lkn wakisikia Allah kwa sababu ni kiarabu wanajitowa ufaham utawaskia uyo mola ni wa Waislam sio wetu duuh kumbe hizi ni lugha tu kila watu na majina yao.wana mtihani ndugu zetu tena mkubwa.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 місяців тому

      Allah awaongoze waione haki na waifuate

  • @edeincom542
    @edeincom542 5 місяців тому

    Wathesaronike 😂

  • @libaaxsankakatabtay1097
    @libaaxsankakatabtay1097 5 місяців тому +2

    Mashallah

  • @caponeoma1645
    @caponeoma1645 5 місяців тому +1

    maashAllah