RAIS DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUKWA UWANJA WA CCM MANDELA SUMBAWANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi wa Rukwa katika Uwanja wa CCM Mandera Mazwi Manispaa ya Sumbawanga kiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 17 Julai, 2024.

КОМЕНТАРІ • 4

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 Місяць тому +2

    Kazi iendelee lets the work continue !!! TANU CCM wanachapa kazi kwa vyema. Hongera Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Hassan 🇹🇿🐘

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Місяць тому +1

    Bi Samia binti yake na Suluhu wake Hassan..asante sana mama kwa kazi nzuri...you wer groomed and prepared for this job..kuddos to you mama.. asante kututembelea sie Rukwa..ngoja nikufate huko unakokwenda nifurahi tuu kukuona mamangu kipenzi!

  • @Paulkessy-j8n
    @Paulkessy-j8n Місяць тому

    Wengi tulienda kumuona harmonize😂😂😂

  • @husnasaid6734
    @husnasaid6734 Місяць тому

    ❤tz