OTHMAN MASOUD ASHANGAZWA UJENZI WA MASOKO MENGI,WATU WAMEJAA NJAA MTAANI.( Episode 1)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Місяць тому +5

    MWINYI ANATAKA AWALETEE WATANGANYIKA KUJA KUFANYA KAZI, KAMA ALIVYOWALETA BODABODA WALIOTAPAKAA ZANZIBAR NZIMA!

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 Місяць тому +3

    Usitukumbushe mwenyekiti ya 2000, kwani namkumbuka ndugu yangu Said wa mlindo!!

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Місяць тому +3

    Ndio maaana sishangai leo kumuona kuna watu hii ni nchi yao lakin hawaipendi na kutaka dhulma ili waeneze matumbo yao tu waswahili tunashuida sana kwenye akili na mioyo yetu

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq Місяць тому +1

    Ccm,wanatoa,mijitu,Tanganyika,ije,iongoze,znz,tunategemea,nini

  • @SalumAli-h5m
    @SalumAli-h5m Місяць тому +1

    Humo. Kwenye miradi ya ujenzi wa sector mbali mbali, ndio njia yao ya kwendea kwenye ufisadi.

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed Місяць тому +1

    Dr Mwinyi ni Raisi wa Mfano na Allah atmlinda❤❤😢

    • @hamadrashid5140
      @hamadrashid5140 Місяць тому +3

      Kwa kukubal kuingia madarakan baada ya mauaj

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Місяць тому +1

      Una maslahi yk ww

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Місяць тому +2

      Ni kweli wa mfano kwa kuingia madarakani kuuliwa kwa wtu ,kujeruhiwa na kunajisiwa watu ili yeye awe kiongozi .umesema kweli maneno yako.

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa Місяць тому

      Wazanzibar tuirudishe zanzibar yetu na siasa tuziache tusipende ccm wala act tuipende zanzibar na tuikomboe kwa makafiri maana wao ndio wanaoleta vibaraka wao kutoka ccm tuungane tuikowe vizazi vyetu maisha yashaharibika kupitia tangznyika

    • @salyali7807
      @salyali7807 Місяць тому

      Wa mfano kweli anavyoimaliza zanzibar. ... Hasbiyallah waneemal wakeel