Asante mziwanda bakers. Nilikuwa siweki ngano nazidisha baking powder na zinakuwa mbaya sana. Leo nimejaribu Kila mtu amefurahi. Ubarikiwe kwa kazi yako nzuri❤❤
Oooh superb..... Sasa hapo Nilikuwa sijui kama Ni baking soda Na Sio baking powder inayotumika..... Hivi tofauti ya baking soda Na baking powder Ni Nini? Hasa kimatumizi
Asante sana nilikua nafanya unga mzito bajia zinakuwa ngumu kumbe unga usiwe mzito sana na baking powder siweki tena ntafanya kama hv asante sana zinavutia mno 😋😋😋😋
Asante mziwanda bakers. Nilikuwa siweki ngano nazidisha baking powder na zinakuwa mbaya sana. Leo nimejaribu Kila mtu amefurahi. Ubarikiwe kwa kazi yako nzuri❤❤
😂😂😂😂😂 hongera
Shukrani kwa mwongozo. Ngoja nikapike nami
Asante sana leo nimejaribu kupika zimetoka vizuri sana
Wow Safi sana
Tunamshukuru sana kwa kutufundisha mapishi ya badiya allah akubariki na akupe kila la kheri amin
Amiin jazakal Allah Kheri
Asante Kwa darasa zuri
Làbda Kwa kipimo hicho mafuta yawe kiasi gani
Upo veryyy my dear simple & clear 🌹♥️♥️
Asante kwa darasa pia naomba kuuliza unakoroga moja kwa moja tu nakupika haina haja ya kuacha unga uumuke
Loooh Aksante sana, nilitamani kujua pishi hili, ngoja nikanunue unga nijaribu kupika.
Namimi najaribu mazishi yako mda huu
asantee zimetokaaa tamuu balaaa😋
Asante nimeelewa maan nilijalib kupika mmh hazikukaa vizur
Thanks again.nilipika leo bdia very easy . mashallah .shukrn
Shukran dear
Thank you for teaching me 😘😘😘😘
Barikiwa sana Dada nakuelewa sana kwani we c mchoyo Mungu akubariki naomba sana jinsi ya kutengeneza sambusa jamani
Nimezipenda sana izo bagia na unajua vizuli kufundisha
Mambo mazuri kula muhim 😋blessed
Ahsante mm nimepokea leo azijakaa vizuri,mbona wanasema nisiweke unga wa ngano,nimejifunza,unifungua,akili uwe back njema,
Asante sanaaa kwa somo zuri Mimi nimeongeza ujuzi kidogo hapo
🤝
Barikiwa sana kwani nami nimepata mwongozo
Unajua kuelekez mashallah
Asante dada kwa kutoa elimu nzuri juu kupika bagia.
Ni vizuri pia kuweka karoti, kotmeri na Vitunguu Swaumu.
kama za biashala unaweza ukaweka amila ili zi umuke?
Kwan dada unga wangano nilazima ";-)
Huweki Amira??
Mandashi??
Chapamandashi je siyo nzuri??
Ni nzur sana nanashkr nimejifunz piaa🙏
Maa shaa Allah shukrani sana dada Allah akujaalie ujuzi zaidi inshaallah
Ubarkiwe dada Kwa sadaka yako hii ya uhakika
Asante kwa darasa zuri bagia zako zinavutiaa
Ahsante sana ila mimi nawekaga na prestage kidogo, mchicha na amira kidogo
Asante gilgilan huwekwa pia
Mashaallah jaman mapish mazur nimependa
Waoo nimezipenda
Asante kwa somo mpenzi .Mimi nilijaribu kupika zikawa ngumu sijui nakosea wapi?
Nice leo nitajribu za kuchanganya na ngano
Dada Asante sana, ni rahisi sana kupika, ni funzo zuri sana.
Ubarikiwe.
Asnt kwa funz
Asante kwa mafunzo mazur ubarikiwe.
nimekupenda dear nataraj kuanza biashara hii mungu anisaidie ntafanya kama ulivoelekeza
Karibu dear na kila la kheri
Shukran Dada kwa kutufunza nimefanya hii kama ulivyo elekeza zimetoka nzuri sana mashaallah😋😋
😋😋
Sasa ambapo sijaelewa Ni pale kwenye chapa Simba sijajua kipimo mfano ungawangu Ni kilo moja napimaje??
Harufu ya Yai haitoke da'mziwanda, Zimependeza sana Mashaallah
Haitoki dear ila sio lazima kueka
Je huweki hamira
Oooh superb..... Sasa hapo Nilikuwa sijui kama Ni baking soda Na Sio baking powder inayotumika..... Hivi tofauti ya baking soda Na baking powder Ni Nini? Hasa kimatumizi
Tamu sana nala kwa. Macho
Ntajarib na min kwa ajili ya biashar
Ni tamu sana dada! Nimefuatilia hii recipe kupika na nimefirahia sana
👌👌👌
Maji ya baridi or yamoto
Kazi nzuri madam
Hello mam nilijaribu Jana kupika Yaan nimetoa bagia nzur tamu sana tumezifuraia
Asante kwa dalasa lako❤
Je unaweza changanya na maziwa sister
Nimeipenda hiyo tuko pamoja
Nzuri sana ngoja na me nijaribu
Naweza kutumia kijiko cha kupalilia mboga?
Mm nataka kutengeneza za biashara,sasa Naomba kuuliza hamira inawekwa au
Hapana usiweke hamira weka baking Powder au soda tu pia usiweke ngano
Nimependa mapishi ya Bagia Ila sijaelewa chumvi na binzari ya manjano tunatumia kijiko kidogo au kikubwa? Na beking soda tunaweka kiasi gani
Safi Sana je hamira Ina umuhimu?
Am interested the way you are making thanks let me try it
You are welcome
@@mziwandabakers8297 dada nmepika mbona ndani azijaiva
Tunapenda Bhajia Sana Ata Mimi Nimefurahi Mafunzo
Vp Amira aifai kuweka au co lazima
Hamjambo...naomba kueleshwa hapa kido.....hii baking soda mwalimu anasema aje nusu ya kijiko kidogo cha chai? Ao ni nusu ya kijiko cha kulia?
Asante sana kwa darasa zur
Swali lingine unatumia na maji gani?
Ngoja nikanunue material
Ni nzur sana hongera. Na pia samahan ningependa kupata namba yako ili nikutafute
Ni nzuri nanjia yake ni rahisi sana
❤
Nimeweza nzur san watu wamezipenda
Nzr Sana nimependa
Nimepanda sna namimi leo najaribu kupika
Asante sana nilikua nafanya unga mzito bajia zinakuwa ngumu kumbe unga usiwe mzito sana na baking powder siweki tena ntafanya kama hv asante sana zinavutia mno 😋😋😋😋
Ukiweka baking powder zinakuwa mbaya au
Asante Dada uko vizuri mashaalla
Hicho kikombe chako ni cha ujazo gan
waooooo.......nitajaribu hiyo ya kutia na ngano kidogo mimi huwa natumia dengu tu na baking powder
Sawa dear jaribu unipe mrejesho
Namna ya kuandaa unga wa dengu unaandaaje?
Mashaallah asante kwa ujuzi
Masha allah nzuri sana
❤
Maji ni ya moto au ya baridi? yakukandia
Jamani mm nimejaribu kupika ila zimetoka ndani hazina nyama sijui hapo nilikosea wap? Au unga niliufanya mwepesi Sana naomba msaada
ndio kwanza naiona channel yako, Ma Shaa Allah umefahamisha vizuri. Asante
Karibu sana
@@mziwandabakers8297 dada angu lazima uweke ngano
Lazma uweke ngano dada
Wooow nimependa sanamy Asante
Unaweza kuumua na maji gani?
Je baking powder unaweza ukasema?
Nimependa hii
AshAllah bgiya zinzvutiya ila suali hukandii mafuta kidogo?
Hapana sijatumia mafuta
Hvi ni lazima Amira kuweka?
hebu niione hiyo skupa
Ni lazima kuweka manjano na bicarbonate? Silesia kutumia bakingpowder.?
Sio lazima waweza kupunguza baadhi ya vifaa
Asante sana nimejaribu mara ya kwanza hazikutoka vzr but mara ya pili nilifurahi mwenyewe za kunde ndio bado
Karibu na hongera sana
Nzuri sn badia. Asante.
Unaulizwa maswali mbona hujibu?
Hauwezi kuweka hamira??
Safi Sana
asante
Nzuri sana.
Ni nzuri Asante kwa darasa
Tamu dada
Beki soda Kwan nikazim dada au ihari nifafa ulie plz
Asante sanaa nimejifunza
Nice ones l HV been looking for this recipe.thanks very much.
You are welcome dear
Asante napenda unatufundisha vema be blessed
Nzr
Woooo Mimi hutumia baking powder
Ahsante sana
Hatuweki banking powder
Mimi naweka chap mandhashi kitungu hoho chumvi na ngano
Mbn amira sijaonaa mhhh
MaShallah nimezipenda mtajaribu ni mzur
😋
Maji yamoto au ya baridi?
Ndengu kaweka kiasi gn
Asante kwa darasa nzuri
Upo vizuri sana