Mizengwe: Umesoma hujaelimika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

КОМЕНТАРІ • 44

  • @ulludots
    @ulludots Рік тому

    Mzee Matata upumzike kwa amani mzee wangu. Pia, team yako uliyoiacha inaendelea vizuri sana.

  • @titojeremia7744
    @titojeremia7744 2 роки тому

    Imenitoa machozi kwa kicheko duuu kweli.mpo vizuri

  • @swaibuiddy2064
    @swaibuiddy2064 3 роки тому +1

    R.I.P mzee matata allha akuhifadhi

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 роки тому +1

    Mpo vizuri sana mizengwe daima. 17.10.2020.

    • @lusese1
      @lusese1 4 роки тому

      Asante kwa kutuunga mkono.

  • @saidimohamed9971
    @saidimohamed9971 Рік тому

    Ndio baba

  • @issamsumi538
    @issamsumi538 4 роки тому +3

    Sjachelewa sana mizengwe mko juu

    • @lusese1
      @lusese1 4 роки тому

      Asante kwa kutuunga mkono.

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 роки тому

    Hataliii

  • @mwaserarashid5451
    @mwaserarashid5451 2 роки тому

    Nyinyi mume muuwa mzee kwa mateso

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 роки тому +2

    Mizengwe msiochuja ❤

    • @lusese1
      @lusese1 4 роки тому

      Asante kwa kutuunga mkono.

  • @nyagaboy1427
    @nyagaboy1427 3 роки тому

    Pamoja

  • @innocentmarunda5853
    @innocentmarunda5853 4 роки тому

    mko vizuri sana mbarikiwe

    • @lusese1
      @lusese1 4 роки тому

      Asante kwa kutuunga mkono.

  • @abednegonoel2259
    @abednegonoel2259 4 роки тому +1

    Inajenga sana kwa vijana kama wataelewa

    • @lusese1
      @lusese1 4 роки тому

      Asante kwa kutuunga mkono.

  • @shabanialfani5394
    @shabanialfani5394 4 роки тому

    Noma saanaaa

  • @rasmbegu
    @rasmbegu 4 роки тому +1

    Heshima kwenu

    • @lusese1
      @lusese1 4 роки тому +1

      Asante, nawe pia. Asante kwa kutuunga mkono.

  • @niazonbukoke2349
    @niazonbukoke2349 4 роки тому +1

    Kwa nn hamruhusu kupakua video offline ,tutaacha kuangalia shauri zenu

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 3 роки тому

    😌😌😋😋😋😋😋😋

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 роки тому +2

    Safina ukijipamba unapambika

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 3 роки тому

    Ktk PESA hata mtoto wako wa kumzaa haaminiki KWA ULIMWENGU tunaoishi🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @kudraramdhan2231
    @kudraramdhan2231 4 роки тому +1

    True thoughts

    • @lusese1
      @lusese1 4 роки тому

      we thank you for your surport

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому +2

    Mkwele wew husikii usia wa baba mkubwa duh wew kwel kiboko hahahaaa

  • @samwelimushi5549
    @samwelimushi5549 3 роки тому +1

    Kwel upande mwingn mtu unasoma ajira akuna

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 роки тому +1

    Myamba iyoo

  • @franaelnanyaro4277
    @franaelnanyaro4277 4 роки тому

    Mizengwe

  • @josephmisambo8167
    @josephmisambo8167 4 роки тому

    Hilo sofa mbona liko nje

  • @masibabasalile6349
    @masibabasalile6349 4 роки тому

    Palipo na wazee hakiharibiki kitu

  • @rajabalfarazliganja397
    @rajabalfarazliganja397 3 роки тому

    Pesa ilivyo haimuamini mtu hata ukimpa mwanao pesa ya matumizi shuleni lazima atahesabu mbele yako.

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 3 роки тому

    Hili ni somo kwa vijana wa mjini wenye kauli ya nyie wakuja sisi tumezaliwa mjini

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 4 роки тому +1

    Aaaah...wamechemka..eti milioni 13..wahusika wasionyeshe ukali wa kuchanganyikiwa...Hivi milioni 13 kwa life la sasa ni mchezo...harafu wanaongea huku wanawaegemea ...Aaaaa...No reaction yoyote ? Siyo kabisa

    • @mahadshekh398
      @mahadshekh398 4 роки тому

      Tickets za regular zilikuwa ngapi na VIP zilikuwa ngapi?Tuanzie hapo.

    • @bakarisongoro4789
      @bakarisongoro4789 4 роки тому +1

      Hivi ni vichekesho.
      Hakuna uhalisia

    • @bakarisongoro4789
      @bakarisongoro4789 4 роки тому +1

      Kwa hiyo unatakiwa ucheke tu uhalisia kaangalie Panguso

    • @michaelsiweya6500
      @michaelsiweya6500 4 роки тому

      Kwani mimi sijui kwamba hilo ni igizo? Na siku zote kinachoigizwa kinabeba taswira halisi kwenye maisha ya jamii inayotuzunguka...Hata kama wakiigiza katika uhalisia wote bado litabaki kuwa ni igizo tu linalotoa ujumbe ndani ya jamii inayotuzunguka....Kwa hiyo nilichokiona mimi ni kwamba kuna kakipengele kadogo hakajakaa sawa katika kuigiza

    • @lusese1
      @lusese1 4 роки тому

      @@bakarisongoro4789 Asante kwa kutuelewa na asante kwa kutuunga mkono.