Binadamu sisi tunasubiri kumkosoa mtu ila point za msingi hatuzingatii. Tuna mitazamo tofauti ya maisha. Huyu dada focus yake kubwa ilikua kujenga career yake na sio ku mentain lugha. Wewe kama mzalendo na unakipenda kiswahili usilazimishe kila mtu awe hivyo. Hii tabia ya ku bully watu mitandaoni ndio inasababisha watu wakate tamaa ya kushare maarifa waliyo nayo.Yeye kaamua kuzungumza na sisi kupitia hii platform bila malipo yoyote lakini anaambulia attacks. Ni watanzania wangapi wanafanya makubwa nchi mbali mbali lakini huwezi kuwaona wanayazungumzia. Dada Victoria maneno ya waja yasikuumize tupo sisi tulionufaika na interview yako na tunakushukuru sana
Maneno mazuri sana, mwenye akili aelewe… Yani kuna watu wapo kwa lengo la kukosoa na kukatisha tamaa wenzao.. “ooh sisi tupo Ulaya miaka bla bla bla, ooh sisi huku Ulaya tunafanya kazi kubwa kuliko hiyo, to me it’s too low of them kwakua na kua majuaji kiasi chote hicho hata interview ukiwaomba waje waongee hayo ya maana waliyonayo kuliko wengine au hiyo miaka bla bla bla yao ya Ulaya bado hawawezi na watakuambia I have private life.. Some people are so toxic and viruses 🦠
What an insightful interview. My takes: 1.white people are just normal people just like black people 2. Kujiongeza to add value to where you are headed is very significant, people want to see results and solutions 3. Her last contribution in regard to her efforts and not be mistaken that maybe she came from a silver lining lifestyle was on point! Mtu yeyote anaweza kuinuka. She loves Dior she made her efforts to get there. She can’t speak Swa fluently that is her, hatufanani:> have a mindset of making a person you meet a liability or what you listen to. Ipo Value to whom or what you watch if your intentions are to grow. t’s that simple Thanks Shena. This is my 4th interview I have patiently watched and all I can say is Keep Up the Good Work 🎉🎉🎉
Ahsante kwa comment yenye mchango mkubwa sana wa kujenga.. You explained it so well.. I wish niwe naamka nakutana na comments za kama hivi, zinatia moyo sana. You added a lot to my day today, thank you 🙏
I looove this interview....watu waache ujuaji wachukue points jamani kwann tunakua watu wa ku judge kiivyo??? Halafu wanao judge hawataki kuja hapa for interview!!!! Please if you don't have anything positive to say, don't dissapont others ❤
sio kupenda lugha yao, hao watu wa Schengen wako conservatives, niliwahi kufanya reserch one of those countries unamuuliza mtu kwa kingereza anakujibu kwa Lugha yao, na ndio ugumu uliopo hata kufanya kazi nchi zao lazima ujue lugha yao as a condition, kama china tu hata ukienda Shule lazima usome kichina
@@OfficialDatingAssistanceumemuona uyo kwenye picha mpenzi shena amezaliwa na huku na anajua kiswahili vizuri sana na humsengenyi hata kidogo na anakinyoosha
Kusahau lugha kidogo ni sawa labda nyumbani waliongea kilugha, shule kiswahili, UK lugha mpya Universty, Ufaransa miaka 10 ni lugha kila siku n kweli maneno mengi yanakutoka❤
Sasa mimi simuelewi , unauza nguo za dion au una designed ??? Maana hizo kazi mbona ziko , niwewe tu mweyewe kujipanga . Alafu miaka 10 Uwzi sahau lugha yako NEVER!!!!! 😂😂😂
Iwe ni kuuza au ku design au whatever.. Elimu aliyotoa ndio msingi mkuu… Karibu na wewe kwenye kipindi utupe Experience yako ambayo sio ya kawaida na ambayo itakua na Kiswahili sanifu.. 🙏
Not everyone can get jibs in big brands you have to have elements in fadhion and styles of which she has worked hard to achieve acheni wivu kama huna qualifications kaoshe vyombo au zoa taka za maofisi au brbrni au kuwa korokoroni kwenye maduka
Wonderful interview! Kiswahili mbona kizuri tu, haters gonna hate!!! Also she is gorgeous 🥰🔥
Victoria hongera sana na umependeza sana na makeup yako
Binadamu sisi tunasubiri kumkosoa mtu ila point za msingi hatuzingatii. Tuna mitazamo tofauti ya maisha. Huyu dada focus yake kubwa ilikua kujenga career yake na sio ku mentain lugha. Wewe kama mzalendo na unakipenda kiswahili usilazimishe kila mtu awe hivyo. Hii tabia ya ku bully watu mitandaoni ndio inasababisha watu wakate tamaa ya kushare maarifa waliyo nayo.Yeye kaamua kuzungumza na sisi kupitia hii platform bila malipo yoyote lakini anaambulia attacks. Ni watanzania wangapi wanafanya makubwa nchi mbali mbali lakini huwezi kuwaona wanayazungumzia. Dada Victoria maneno ya waja yasikuumize tupo sisi tulionufaika na interview yako na tunakushukuru sana
FACT
Maneno mazuri sana, mwenye akili aelewe… Yani kuna watu wapo kwa lengo la kukosoa na kukatisha tamaa wenzao.. “ooh sisi tupo Ulaya miaka bla bla bla, ooh sisi huku Ulaya tunafanya kazi kubwa kuliko hiyo, to me it’s too low of them kwakua na kua majuaji kiasi chote hicho hata interview ukiwaomba waje waongee hayo ya maana waliyonayo kuliko wengine au hiyo miaka bla bla bla yao ya Ulaya bado hawawezi na watakuambia I have private life.. Some people are so toxic and viruses 🦠
Elim bado inafanya mambo mengi kuwa mepesi sana nmependa bidii yake uyu dada yetu sana Mungu amfanyie wepesi afikie ndoto zake zote
Asante sana, huyu ametoa fundisho kwa watu wengi na watanzania wote. ❤❤❤❤❤❤🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿🙏
Victoria !!! 🎉🎉🎉 Hadi raha. I know this lady! She is brilliant! Excellent interview jamani hongereni 🥰
This interview was hot, anayehojiwa amependeza sana
What an insightful interview. My takes: 1.white people are just normal people just like black people 2. Kujiongeza to add value to where you are headed is very significant, people want to see results and solutions 3. Her last contribution in regard to her efforts and not be mistaken that maybe she came from a silver lining lifestyle was on point! Mtu yeyote anaweza kuinuka. She loves Dior she made her efforts to get there. She can’t speak Swa fluently that is her, hatufanani:> have a mindset of making a person you meet a liability or what you listen to. Ipo Value to whom or what you watch if your intentions are to grow. t’s that simple
Thanks Shena. This is my 4th interview I have patiently watched and all I can say is Keep Up the Good Work 🎉🎉🎉
Ahsante kwa comment yenye mchango mkubwa sana wa kujenga.. You explained it so well..
I wish niwe naamka nakutana na comments za kama hivi, zinatia moyo sana. You added a lot to my day today, thank you 🙏
Dada Vicky Hongera! Trail blazer!! 🇹🇿✨️🇹🇿✨️🇹🇿✨️🇹🇿
Hongera sna dada
I looove this interview....watu waache ujuaji wachukue points jamani kwann tunakua watu wa ku judge kiivyo??? Halafu wanao judge hawataki kuja hapa for interview!!!! Please if you don't have anything positive to say, don't dissapont others ❤
🙏🙏thank you dear
Songela sana Victoria nimejifunza jambo barikiwa
We shena weee unanikoasha Sana singida ome najisikia furaha sana. naomba number jamani shena ya uyo dada.
Kweli kabisa
Kujiongeza ni mhimu sana. Ahsanteni.
sio kupenda lugha yao, hao watu wa Schengen wako conservatives, niliwahi kufanya reserch one of those countries unamuuliza mtu kwa kingereza anakujibu kwa Lugha yao, na ndio ugumu uliopo hata kufanya kazi nchi zao lazima ujue lugha yao as a condition, kama china tu hata ukienda Shule lazima usome kichina
Nice interview da shena na da Victoria ❤️❤️❤️
Dodoma moja iyo
Interview nzuri sana 🙏🏻
Mtafute ray ce. Yule mwanamziki
Sauti
Like it, 🥰
Thank you! Cheers!
Coach nipe details zako.
❤️❤️❤️
Safi😊
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Ile app ya bantu vipi
❤nice one
Hao wafaransa wanataka kufanana na wabongo maana 80% ya watanzani hutuambii kitu kuhusu nchi yetu 😂😂😂😂
Muuilize kazini kwake ni pale - Champs Elysees Christian D'or
Hapana mimi sipo madukani
Wewe hujui tu Tricks za social Media mwaya kazini kwake ni home Office😅
Nilijua utasema muulize kazini kwake kuna KAZI?😅😅😅😅 anyway mdada mrembo mashallah
Vicky ,wewe ni headgirl wa msalato 2007 ,vicku mwakasege au?
Yaani wabongo bwana nipo sweden miaka 20 naongea kiswedish na kiswahili naongea vizuri iweje wewe miaka 10 tu kuswahili kiwe si kuzuri😢😢😢😢😢😢
Acha makasiriko , watu hutofautiana usitake kila mtu awe kama wewe
Wewe pia umesoma UK 🇬🇧 ?
Ukisikiliza hii Video vizuri akiwa 13yrs hakua Tanzania.. Je, wewe kuweza ?
@@mycleteffe9785 Jibu zuri sana 👏👏❤️
Umeonaeeee miaka 10 kiswahili sio kizuri mwanangu miaka 4 anakinyoshaa jameni tusiwe waigaji sana
@@OfficialDatingAssistanceumemuona uyo kwenye picha mpenzi shena amezaliwa na huku na anajua kiswahili vizuri sana na humsengenyi hata kidogo na anakinyoosha
Ufaransa miaka 10 kiswahili umesahau mwanangu kazaliwa hapa hapa anakinyoosha kiswahili vizuri sana na anamiaka 4 tu
😂😂😂😂😭
@@mr.yahzadochuno7914Umeonaee
Kusahau lugha kidogo ni sawa labda nyumbani waliongea kilugha, shule kiswahili, UK lugha mpya Universty, Ufaransa miaka 10 ni lugha kila siku n kweli maneno mengi yanakutoka❤
@@rosiehayatta2619hapana bwana mwanangu kazaliwa huku anajua Kiswahili na humsenhenyi na anavyochanaganya lugha
Mu-interview mwanao na yeye tumsikie kwanza. We'll judge dor ourselves.
Sasa mimi simuelewi , unauza nguo za dion au una designed ??? Maana hizo kazi mbona ziko , niwewe tu mweyewe kujipanga . Alafu miaka 10 Uwzi sahau lugha yako NEVER!!!!!
😂😂😂
😂😂
Iwe ni kuuza au ku design au whatever.. Elimu aliyotoa ndio msingi mkuu… Karibu na wewe kwenye kipindi utupe Experience yako ambayo sio ya kawaida na ambayo itakua na Kiswahili sanifu.. 🙏
Mbona kaongea kiswahili tumemuelewa vipi jameni😅
Very good i like your advice
Yani ma-hater utawajua tu. Muandiko wao ni mmoja unafanana.
Mbona it’s normal kufanya kazinkwneye dior 😂labda kwa huku uk 🇬🇧 but it’s a normal job
Karibu kwenye kipindi tujifunze kutoka kwako pia.. tuweze kujifunza yaliyo ya kawaida na yasiyo ya kawaida
Not everyone can get jibs in big brands you have to have elements in fadhion and styles of which she has worked hard to achieve acheni wivu kama huna qualifications kaoshe vyombo au zoa taka za maofisi au brbrni au kuwa korokoroni kwenye maduka
Basi na wewe posti position yako tukupongeze ufurahi. Wivu tu.