TULIKUTANA TIKTOK | BAADA YA MAHANGAIKO MUNGU KANIPATIA MUME AIRCRAFT ENGINEER | WATZ WANAMAKASIRIKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 146

  • @joyceKingu
    @joyceKingu 11 місяців тому +8

    Devota you are very intelligent and smart . Plus actually beautiful .sishangai huyo kijana alivyochangamkia fulsa.❤

  • @Juke995
    @Juke995 11 місяців тому +20

    Hongera sana Devota ila usiongelee sana kuhus pesa maana unachanganya sana just be happy umepata mtu sahihi maneno ya watu achana nayo. Most of them wanaosema vibaya hawana hata wakuwanunulia pedi . Congratulations. Nimetoka angalia interview ya winnie amesema Turkey hakuna haki za binadam mwanamke hana haki hapa nasikia kitu kingine all in all ni kupata mtu anakupenda basi

    • @upendokihunrwa3427
      @upendokihunrwa3427 11 місяців тому +1

      Hongera dada kikubwa you are happy and enjoying your life

    • @ZulfaMazani-lb9oe
      @ZulfaMazani-lb9oe 11 місяців тому +1

      Na me nilitaka kusema hiki kitu ...unashibdwa ushike lipi mpk nikampoteza shoga alikua anadate mturuk akamucha nilivyomsikilizishia ile interview ya wanawake uturuk hawana haki

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 11 місяців тому +1

      ​@@ZulfaMazani-lb9oe😅😅

    • @Juke995
      @Juke995 11 місяців тому

      @@ZulfaMazani-lb9oe 😂😂umepoteza muelekeo kabisa

    • @zamBakar-y3j
      @zamBakar-y3j 11 місяців тому +2

      Hawa ndiyo bado mapenz mapya ngoja wazoeane atakuja kutupa story ingine 😢

  • @rhodajackson2213
    @rhodajackson2213 11 місяців тому +5

    Nilimfurahia huyu Dada , uwii niliwish uje hapa hatimaye , Hongera sana kila la kheri

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 11 місяців тому +8

    interview nzur sana
    iz interview ni shule kubwa sana unajifunza mambo mengi unatembea nchi kibao kupitia watu kama uyu dada mkweli na muwaz sana Mungu awabariki sana

    • @Tausishaban-he5io
      @Tausishaban-he5io 11 місяців тому

      Kwel kbx kk ni shule tn ni nzuri ila mie nawapnd sana hao watu aiseee

  • @judynjoroge5045
    @judynjoroge5045 11 місяців тому +11

    Shes so beautiful and genuinely happy and vibrant.

    • @jaffaryhamiddy8939
      @jaffaryhamiddy8939 11 місяців тому

      we acha uongo she aint cute

    • @judynjoroge5045
      @judynjoroge5045 11 місяців тому

      @@jaffaryhamiddy8939 what's the fuss all about my eyes could see her beauty ,your eyes saw something else ..

  • @lulumkongwe9987
    @lulumkongwe9987 11 місяців тому +3

    Hongera sana Devotha! MUNGU awalinde na Mumeo

  • @MillyOwnio
    @MillyOwnio 11 місяців тому +6

    God's time is always perfect 👌 Happy Marriage my sister

  • @joyceKingu
    @joyceKingu 11 місяців тому +6

    Naomba uanze kumwombea huyo mkwe wangu aweze kumjua Kristo. Amen

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 11 місяців тому +4

    Ngoja kwanza ni comment ndio niangalie big interview

  • @upendokihunrwa3427
    @upendokihunrwa3427 11 місяців тому +12

    Bhana it doesn't matter as long as mtu una enjoy you are not proving anything to anyone....kitu nlichogundua watu wangi wanakua so uncomfortable na watu waliowaoa sababu labda hawana ile mionekano na vitu vya ndoto zao so wanapoanza kuishi nao wakiwa attacked wanaanza kujieleza sana.....kama you have your man and your happy that's it. True happiness doesn't seek validation of any kind.❤

  • @rehemaadam4102
    @rehemaadam4102 11 місяців тому +1

    Devota wewe ni mdada mrembo na una roho nzuri nakupenda mwanangu

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 8 місяців тому +1

    MashaAllah, ila dada mimi nimesoma Uturuki miaka 7 medicine, unaposema Waturuki sio wabaguzi ,you are wrong , may be Huna experience ndio kwanza umefika Turkey last year, waturuki ni wavaguzi na wanaita watu weusi" Kara teyze" shangazi mweusi, au kara cocuk mtoto mweusi hata kama jina lako wanalijua.
    Pili wanaumme wa kituruki wanakimbilia wanawake wa kiafrica sababu za kiuchumi,kuowa mturuki unatakiwa uwe na mortgage, dhahabu kama zote , gari ,furniture etc, wakati waafrica weusi all they want is skin colour , so easy for them

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 11 місяців тому +1

    Wow wow, unewezaaa muhaya wetu.
    Hongereni sana.
    Na mmi nko mbioni kuingia Darasa la Shena😊,

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 11 місяців тому +7

    I don't know how women's depends on man.weupe hawana hiyo,hata kama akikupa just know they're really color they don't like someone to depend on them.
    Pia kitu kingine mjitahidi kutumia njia ya kujileta mwenyewe hata kama unataka kuolewa nao weupe mkutane huku huku nje hiyo itakusaidia kua na confidence hata mkigombana hawezi kunitishia kua alinileta. Cjui kama mlisoma history ya hao watu wakati wa ukoloni that will Never ever change them just keep that on mind
    Ni wazo tu! Naishi huku 🇺🇸 for 17 years but hao watu sinaga mood nao

    • @jennifermmanyema6693
      @jennifermmanyema6693 11 місяців тому +5

      Tatizo pesa ya kujileta mpenz ndo garama watu hatuna inabid tukubal Tu kuolewa nao

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 11 місяців тому +2

      No,watu wametofautana hawafanani kabisa!
      Ulicho experience wewe mwingine haja ki experience kabisa, ndo maana hata ukisikiliza haya mahojiano unagundua Kila mmoja kapita,kapambana kivyake!
      Kuna waliopata wazungu hao hao hawataki 50/50,wanawatunza,wanawalipa mwisho wa mwezi, lkn wengine wamewapata wanaotaka 50/50
      Kuna waliowapata wenye uwezo,ila wengine wamewapata wenye uwezo wa kawaida....
      So mi naona Kila mmoja atavyopata ndo hivyo hakuna mfanano!

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 11 місяців тому +1

      Kweli kabsaa tusifananishe vitu kila mtu na mbio zake watu wapo tofauti sana,Tanzania hiyo hiyo kuna watu wanapigika.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 11 місяців тому

      @@ashaidei5680 Kuna watu wanepata watu weupe na wanakula maisha ,walionyesha misimamo
      Kuna waliowapata Vimeo!
      Km Poland, turkey huyu sio wa kwanza nasikia hapa wao wanatunza mwanamke ,hakuna mambo ya 50/50....ni culture.....
      So Kila mmoja na atakaempata

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 11 місяців тому

      ​@@jennifermmanyema6693KWENDA MAREAKANI AU NJIA SIYO PESA TU UNAWEZA KUWA NA PESA USIPATE VISA

  • @AnnaMsofe-y3k
    @AnnaMsofe-y3k Місяць тому

    Mpaka nimefutahia maisha Yako mungu akulinde

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 11 місяців тому +2

    My dear enjoy wazungu wengi hamna kitu

  • @deborahcharles6507
    @deborahcharles6507 11 місяців тому +3

    She is so humble 😊

  • @zurfapahenge8802
    @zurfapahenge8802 11 місяців тому +5

    MerryChristmas and happy New year everyone ❤

  • @Carolinemsihili
    @Carolinemsihili 11 місяців тому +10

    Jaman huyu dada niliona ndoa yake kwenye page ya Mc galab aisee she made it congratulations sister.....Shena I will real come to this interview ❤

  • @AnnaMsofe-y3k
    @AnnaMsofe-y3k Місяць тому

    Devota your so humble

  • @azizachoyo6958
    @azizachoyo6958 20 днів тому

    Nimeipenda hii interview

  • @SamiraMakame-w9c
    @SamiraMakame-w9c 11 місяців тому +2

    Hongera, nakupenda

  • @Happyjohn-zy6ih
    @Happyjohn-zy6ih 10 місяців тому

    Hongera dada,huyo uliyopata ni mume sahihi na Mungu airline.ndoa yako mpaka uzeeni,barikiwa.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 11 місяців тому +6

    Girl you're blessed,God is good 😊

    • @aminakassim831
      @aminakassim831 11 місяців тому

      Sura naikumbuka ila jina nimesahau

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 11 місяців тому +3

    Mungu ni mwema

  • @suzanajonhnyodwa1561
    @suzanajonhnyodwa1561 8 місяців тому

    Napenda Sana devota

  • @AnnaMsofe-y3k
    @AnnaMsofe-y3k Місяць тому

    Hongera doveta

  • @cynthiawahu-sk2qj
    @cynthiawahu-sk2qj 7 місяців тому

    Thanks for sharing these type of content….I got to know about you through Ruth Kim’s channel…God bless you…I’m learning a lot…ipo siku nitampata mzungu wangu

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 11 місяців тому +9

    Tena mwanaume wakukutishia kila saa kuwa ukifanya hivi na hivi tutaachana..,huyo siyo kabisa.

    • @Josephatnyamira
      @Josephatnyamira 10 місяців тому +1

      Na akiwa mwanamke was namna hiyo tufanye je

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 10 місяців тому +2

      @user-mo5lk6vq2v Hata mwanamke wa hivyo hafai. It works both way.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 11 місяців тому +7

    Dada anatumia jina gani insta?
    Ameongea ukweli
    Hakika watu tunatofautiana mbona
    Mi sipendi Marekani, UK

  • @DramaDive-8
    @DramaDive-8 11 місяців тому +6

    Ankara is among of the cheapest city in Turkey lakini hakuna opportunities Kama Istanbul

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 11 місяців тому

      Okay

    • @sarahmsuya5416
      @sarahmsuya5416 10 місяців тому

      How is it the cheapest in the whole of turkey? Compare vizuriiii kisha ndio useme

    • @DramaDive-8
      @DramaDive-8 10 місяців тому

      ⁠@@sarahmsuya5416 sijasema nimeandika uhalisia Ankara maisha si ghali Kama mingine kwa Turkey haya nipe ya kwako wewe !!

    • @DramaDive-8
      @DramaDive-8 10 місяців тому

      @@sarahmsuya5416😅😅😅😅 Ankara inaweza ikawa namba moja au mbili ni moja ya miji ambayo maisha sio ghali Kama İstanbul , Antalya , Alanya na İzmir nk haya nipe toa ya kwako pia !!

  • @murekeyisonichasia4676
    @murekeyisonichasia4676 6 місяців тому

    She's so beautiful 😢

  • @oiiii3898
    @oiiii3898 7 місяців тому

    Dada mzuri kila kitu 👏🏾

  • @blandinamrusha-pj2ro
    @blandinamrusha-pj2ro 11 місяців тому +3

    Wew ni mrembo bwana

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 11 місяців тому +2

    Nimekuelewa, tusiwe selective sn Cha mhimu mtu akupende kwanza awe real,🎉🎉

  • @SaadaNdaro
    @SaadaNdaro 10 місяців тому

    Ongera mdogo wangu

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 11 місяців тому

    Mmy love wajerumany siooooo

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 11 місяців тому +5

    BAADA YAKUSKIZA HII STORY ME NIMEPACK MY BAGS TAYARI ………. Am going to UTURUKI….my sisters AM GOING…..🙇🏻

  • @Serenawilson11
    @Serenawilson11 11 місяців тому +2

    Wakwanza ❤❤❤

  • @laetitiamathe5779
    @laetitiamathe5779 11 місяців тому +2

    Thank you for thé story ,inanigusa sana ❤❤

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 11 місяців тому +2

    Jamani, jamani, jamani!
    Caring maters a lot!
    Congrats!
    Shikilia hapo hapo Binti! May The Almighty God shower his Blessings upon your Marriage!

  • @AnnaMsofe-y3k
    @AnnaMsofe-y3k Місяць тому

    Wewe devota ni mkweli kweli

  • @Carolinemsihili
    @Carolinemsihili 11 місяців тому +2

    Expect me this year

  • @SaadaNdaro
    @SaadaNdaro 10 місяців тому

    Shena kazi yako nzuri tabia yako nzuri uko vzr mdogo wagu naomba namba yako

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 11 місяців тому

    Nimekupenda bure

  • @blandinamrusha-pj2ro
    @blandinamrusha-pj2ro 11 місяців тому +1

    Enjoy Devota🎉🎉

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 8 місяців тому

    Huyo ni mkurudishi kutoka Iraq 🇮🇶 ndo hawana dini waturuki wote ni waisilamu,lakini pia hao kuridi hawana dini wamezaliwa hapo turkey 🇹🇷 hivo chamuhimu nikupendana Mw/Mungu akufanyie wepesi wakila jambo

  • @AngelBiria-eu5uv
    @AngelBiria-eu5uv 6 місяців тому

    Tulikuwa tnafanya kazi ote dxn jamani nimekumiss sana momy

  • @EsterShirima-vr7cv
    @EsterShirima-vr7cv 11 місяців тому

    Nimependa hiyo story

  • @AngelBiria-eu5uv
    @AngelBiria-eu5uv 6 місяців тому

    Waoooh rafiki yangu hatimae umeolewa namba yako nimepoteza dah sijui nakupataje

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 11 місяців тому +1

    Devota black beauty

  • @venerandamassay1785
    @venerandamassay1785 11 місяців тому +1

    Huyu ni mimi kabisa shena

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 11 місяців тому

    Huyo dada anaishi sehemu nzurir huko Turkey ni mji wa kitalii nimeshaenda hapo

  • @Josephatnyamira
    @Josephatnyamira 10 місяців тому

    When the deal is too good think twice dada

  • @roselynsesoa2477
    @roselynsesoa2477 11 місяців тому

    Devota mrembo,black beauty

  • @Zepequeno-ln1ot
    @Zepequeno-ln1ot 11 місяців тому

    abegi Maneno ya mkosaji hayo niunganishe mie hapa popote kambi bola maisha tu yaende sawaa

  • @joycejoes
    @joycejoes 11 місяців тому +2

    Mimi kwakwei huyu Dada tangu namuona kwa GaraB nilimfurahia tu, nikamfollow hapo hapo. Nikaja kugundua kuwa yupo na Furaha muda woote!!! Deapite of the nasty comments❤
    Wahaya wenzio tupo hapa 😂
    Devotha mimi nawapendeni tu bureeee❤

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 11 місяців тому

      Naomba acc yake inst nimempenda pia

    • @SophiaJoseph-k9m
      @SophiaJoseph-k9m 11 місяців тому +1

      Nimependa sana naomba na Mimi nimfoll nisaidie anatumia jina Gani ?

  • @RahmhRr-d9v
    @RahmhRr-d9v 6 днів тому

    Mimi nataka wa America

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 11 місяців тому +1

    HII TABIA YA WANAWAKE KUTAKA KUOENDA KUOLEWA NJE KWA KUOLEWA IT NOT SOYNDS GOOD BUT SIYO MBAYA UKIPATA BUT IT IS NOT NICE THAT MINDSET

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 2 місяці тому

    Duuh sio poa iyo store

  • @ImaniOlpa
    @ImaniOlpa 11 місяців тому +2

    Piya mimi mwaka huu nina ushuhuda sana

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 11 місяців тому

    Nice interview 😍😍😍

  • @jonasmpita2206
    @jonasmpita2206 10 місяців тому +1

    huyo mtu alitaka kukuvunja moyo, mbona pua yako,sura na rangi ziko vizuri tu

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 11 місяців тому

    Nawapenda 😘😘😘

  • @RosemaryKidiro-wz3ux
    @RosemaryKidiro-wz3ux 11 місяців тому +4

    Na mm mwaka huu nitakuja na ushuuda wangu🙏

    • @paskalinapa6177
      @paskalinapa6177 11 місяців тому

      Pia mimi mwisho wa mwaka nitakua na ushuhuda 🙏🙏

    • @RosemaryKidiro-wz3ux
      @RosemaryKidiro-wz3ux 11 місяців тому

      @@paskalinapa6177 Amina kipenzi MUNGU atupe subra 🙏

    • @RosemaryKidiro-wz3ux
      @RosemaryKidiro-wz3ux 8 місяців тому

      @@paskalinapa6177 MUNGU mwaminifu atatuacha 🙏

  • @Serenawilson11
    @Serenawilson11 11 місяців тому +2

    Sema angeogelea akiwa ndan sauti ingetulia zaidi saut inakatika sana 😢

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 11 місяців тому

    Weee nabusu juuuu 😂😂😂😂

  • @PaskaziaJohn-c3k
    @PaskaziaJohn-c3k 10 місяців тому

    Naombeni namba

  • @jonasmpita2206
    @jonasmpita2206 10 місяців тому

    Nakubaliana na wewe hata mimi nilienda Istanbul na Izmir kiukweli wadada wa ki Turkish tulikuwa tunaelewana sana wakikushika mkono wanasema daa mwili wako wa moto, sema ndo wengi hawajui kiingereza kwhy mnaongea kwa vitendo tu

  • @jaffaryhamiddy8939
    @jaffaryhamiddy8939 11 місяців тому +1

    usisem watanzania hawana akili kisa umeolewa nje kitu cha kifahari kuwa peace in ur land huku thr is peace

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 8 місяців тому

    Hahhhh wanaume hawa mtihani

  • @rithaalberto123
    @rithaalberto123 11 місяців тому +1

    I ❤❤❤❤

  • @jamil1547
    @jamil1547 11 місяців тому

    Hongera sana dada nitakupataje naomba number yako tuwasiliyane

  • @foibtv3044
    @foibtv3044 11 місяців тому

    😢

  • @joycechaka8433
    @joycechaka8433 11 місяців тому

    Habali dada Shehna, tafadhali naomba namba zako za simu tafadhali

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 10 місяців тому

    Kigezo au sifa ya kwanza ya kuolewa ni dini lazima mkristu uolewe na mkristo Istanbul 78% Muslim so Yesu namba moja

  • @DainesMwangulumba
    @DainesMwangulumba 11 місяців тому

    HUYU DADA ANAONGEA VIZURI SANA

  • @hellenkiselema
    @hellenkiselema 11 місяців тому

    ❤❤❤

  • @elingimiemakundi1229
    @elingimiemakundi1229 9 місяців тому +1

    DADA UWE UNATAJA NA ACCOUNT ZAO ZA UA-cam

  • @hellenondiso9542
    @hellenondiso9542 11 місяців тому +1

    Kwani ukiolewa na mwarabu si mtu? Na venye wanaume waarabu wanajua mapenzi na kutunza mke. Atleast a position answer since tunajua turkeys n resist

    • @paulalove1223
      @paulalove1223 11 місяців тому +1

      Yani usiongelee waarabu kwa kutunza😊 sema familia mpk ikukubali nikazi

    • @hellenondiso9542
      @hellenondiso9542 11 місяців тому

      Yes ​@@paulalove1223

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 11 місяців тому

    Is not a joke kuolewa😂😂😂

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 11 місяців тому +1

    Hata mi ninge mblock
    Sitaki ujinga😂

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 11 місяців тому

    wowooo❤❤❤❤

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 8 місяців тому

    Ila wanawake jamani mmeishakuwa majambazi 😂

  • @NaaZeyana
    @NaaZeyana 11 місяців тому

    Dada nimekufatilia muda mrefu ukiwa unawahoji watanzania wenzetu....ombi langu mimi natafuta mzungu wa kunioa ila sijui pakuanzia

    • @TRUEHUBBY
      @TRUEHUBBY 10 місяців тому

      Kama unafuatilia vipindi vyake unakosage pa kuanzia? Kila anaongea nao wanasema njia walizotumia, Sasa unakwama wapi🙄. Be creative 🙌

  • @magrethdaniel8441
    @magrethdaniel8441 11 місяців тому

    Nimekupenda bure roho yako tu ni nzur

  • @SaadaNdaro
    @SaadaNdaro 10 місяців тому

    Shena naomba namba yako mdogo wangu

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 11 місяців тому

    Anatumia jina gani instagram? Na U tube?

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 11 місяців тому

    Devote watanzania wengi Akili ziro wanajidai na matako yao hawana lolote

  • @KasminaCreation
    @KasminaCreation 11 місяців тому +1

    ata mimi ningemblock maana future ni muhimu 😂

  • @hericharles3604
    @hericharles3604 11 місяців тому

    Baadhi ya wa Dada zetu akili zao zote ziko kwenye artificial hair, hawapendezi lakini hawakubali kwa sababu ya ulimbukeni na ushamba. Shena na Witness ni waelewa sana, wako natural look,

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  11 місяців тому +2

      Kila mtu anaaina ya urembo wake anaoupenda.. Kuna watu pia hawapendi watu wanaopakaa rangi za midomo.
      So at the end kila mtu na urembo wake and we have to respect each other 🙏

    • @debbiethomas9825
      @debbiethomas9825 11 місяців тому

      @herichar.....
      YOU DON'T KNOW WHAT YOU ARE TALKING ABOUT.....
      AKILI YAKO FUPI SANA

  • @Yolanda-n3x
    @Yolanda-n3x 11 місяців тому

    Nimepata wa Uturuki anafanya kazi ya ulinzi ila mzuri hatari , mwingine ukraine ila naogopa vita vya ukraine na urusi mtu wa ukraine anasema nimalize contract ya warabu niende ukraine nikasema hapana nafanya kazi kwajili ya mama ,mama yangu hana lala chini nje nikija kwako nitafanya kazi akasema ndio nitakufanyia mpango upate kaz kwaliji ya mama yako nikasema mimi sijui English vizuri itakuaje anasema kwao hawaongei English sasa mtihani niache kazi niende uturky au niende ukraine au nifanye kazi hapa hapa kwa warabu nipo njia panda 🐼🐼 navyompenda mama yangu naogopa kwenda kuishi kwa mume nakula vizuri nalala vizuri mama yangu hana pa kulala naogopa naumia kumuacha mama bakla sijamuweka sehemu nzuri😢 nipe nguvu Mungu nijue cha kufanya🙏

  • @patricksebogodi4849
    @patricksebogodi4849 11 місяців тому +1

    Huyu dada ni mzuri sana hata kama angekuwa na tabia mbaya mimi siwezi kuiona kabisa 😀😀😀

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 11 місяців тому

    Huyu dada ni muhaya maana ndio watu wa kujisifu sana na inaonekana ni Wale wanawake ambao wako tayari kufanya lolote hata kujiuza ili wapate wanachotaka, kuja mtu kukufuata Tz anaweza kuja anakuja kutembea ku enjoy nchi Na kupata mwanamke cheap wa kufanya naye mapenzi Na kampani akiwa Tz , na sio sahihi kuita wanawake wote wa kitanzania ni sio waelewa

  • @ModextaModexta-on7mi
    @ModextaModexta-on7mi 8 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @rukiamziwanda7458
    @rukiamziwanda7458 11 місяців тому

    Buguluni ndio umeona sehemu ya mfano

  • @barakamazigo4840
    @barakamazigo4840 10 місяців тому

    Punguza kingereza

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 11 місяців тому

    Waturuki wengi wanawak black wake zao washenzi😊

  • @patricksebogodi4849
    @patricksebogodi4849 11 місяців тому

    Huyu dada ni mzuri sana hata kama angekuwa na tabia mbaya mimi siwezi kuiona kabisa 😀😀😀