Huyu Mzee amenitoa machozi kweli 82yrs haki iko wapi katika court zetu za kenya how come ni ushahidi ngani wamefanya wakampata na makosa . May the Lord intervene the rights of this mzee set him free in Jesus might name.Kama umeguzwa na hukumu ya mzee sema Amen kwamungu yawezekana
i know among the viewers here are lawyers..why can you stand up and go assist that old man for free? najua msichana amezaa, mtoto afinyiwe DNA na ya mzee to see if it is real. mimi ni hustler wa mjengo sina uwezo,tusikuwe hapa wote tukihurumia mzee na hakuna kitu tunafanya
Mmmmmh hata Kenya Mahakama zinafunga watu kizembe hivyo!!!! Mungu wangu, wasaidie wazee hawa.. Ila ikumbukwe kuna mahakama ya Mungu niya haki, itawatia hatiani waonezi wa ndg zetu weeeengi wanaolia katika magereza mbalimbali duniani... Haki ya Mungu itathibitika na hukumu ya kweli itakuwa ni milele na milele.. Wateseni wenzenu hata kama ni miaka 7000, ila nanyi mtakutana na hukumu ya MILELE 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hio machozi ya huyo mzee haitaenda bure,,,huyo mtoto n mamake mtayakuta mazito itawashinda kubeba,,mtaomba adi muone kama mungu amewaacha,,machozi ya mtu take very care
Huyo mzee wa pili mungu amlinde he seems to be truth man .😢😢😢nimeumika .serikali ya kenya inafanya makosa kushika innocent people 😢😢😢😢😢😢 inasikitisha sana kiukweli
There is a big problem with the justice system in this country. How can an innocent individual to be sentenced to jail what sort of investigations have been done.
Jamii yetu good job, i had heard of this mzee's story while the case was ongoing, It's unjust, it's sad, it's painful....I wish we can go a demand justice for him(Mutungi Nzioki) in our online platforms, share a video and create a Hashtag for him to attract potential lawyers.
😭😭😭😭😭Mbona hao wengine hawa kushikwa hata huyo msichana na halaniwee kuweka mzee kama huyu over ya hata babake gerezani na asione mazuri yoyote kwa maisha yake huyo msichana asione machozi ya huyu mzee itaenda bure hivyo hao watu wa nne wako wapi?😭😭 Hao pia na walaniwe
President William Ruto should see this clip and do something about this old man. This shows how our judiciary is rotten without competency. Pertanity DNA should be done for both the born child and the old man to determine the truth.
Very inpatient interviewer,.. Wacha upewe juice za story, and kama time ni limited prep your interviewee, and have agenda based questions don't ask broad questions
Mungu yuko.Pole babu hakika wewe nikuekelewa na kusingiziwa ukangushiwa kesi na vijana wenye pesa wakajinasuwa. Sioni vile unaweza najisi vile umechoka
What makes me even more sad is he is not the only one who've been set up & rotting in jail, so many innocent people are in prison,, Other are there for just a split second indecisions, 1st time offenders and all sorts of unfairness within the system. I wish we could have a better reformed judicial system that would prioritize revising those cases again to find out the truth. We could save so many souls & there could be hope for many as well. All in all May God revisit their cases & perform His Miracles upon those who really need them🙏🏽
This second man is my father's agemate😢yaani Ile uchungu nasikia sai akisema iyo miaka kumi na Tano anefungwa atatoka akiwa kitu 97, akasema iyo ni kumuua asione familia yake Tena iyo imenimaliza nguvu kabisaa😢tungekuwa na uwezo wa kufanya lolote justice ifanyike😭 what kind of life is this now 😭 they just release him for the sake what just happened, that wasn't fair at all, SI uyo mtoto wa 15 years amefungwa juu yake alizaa, si they just do the DNA alaa, kama ako guilty ama hayuko mambo iwe wazii😢 I hate to see this to such an old man suffering for nothing and they can just do serious investigations and sought everything out😏🤦
The government should listen to such cases and save our elderly people who are suffering because of false allegations.God is a fair judge.May he rescue such poor people.
Mungu alie juu awakumbuke ona Hawa wazee aki mungu watete kweli hapana Hawa majaji wanafa Wachunguzwe saingine wanatowa hukumu wakiwA walevi na kuhogo wathurumu wanyonge
Great video and thanks for it but it would have been better If you do your videos where there is not so much noise in tha background I strain alot to hear but thanks for the video
Very painful in deed....why do judges and magistrates do this ? From the stroy of this mzee he is quilty??? But mzee Almighty God will open doors one day... actually God is the true judge...
Tufanyeaje haki we support this old man hatoke hapi?prayers first then we find a lawyer for him.....kindly good pple lets assist..yaani analala bila blanketi at this age😢😢😢
Huyu Mzee amenitoa machozi kweli 82yrs haki iko wapi katika court zetu za kenya how come ni ushahidi ngani wamefanya wakampata na makosa .
May the Lord intervene the rights of this mzee set him free in Jesus might name.Kama umeguzwa na hukumu ya mzee sema Amen kwamungu yawezekana
Mungu awafungue wote waliofungwa bila makosa katika jina la Yesu
NAOMBA NUMBER FAMILIA YA KWAO AMA WATOTO WAKE....WE CAN REFLESH HII CASE
I wish we can all work hard n make sure this case is refreshed.
Mungu wangu
@@terrymuthony2634 do you think io case haikua na lawyer never believe everyone behind bars alidhulumiwa
Woieeee tukiomba tukumbuke wafungwa wanao fungwa bila makosa😭😭😭😭😭😭uchungu sana
Ukweli,, uchungu sana🙇🏾♂️
Kweli kabsa dadangu it's so painful
😢😭😭😭😭😭😭😭Haya Machozi ya hyu Mzee yatatesa roho ya hyo Judge alomfunga hyu mzee eeerMungu tenda miujiza kwa hawa wazee
Alio na njia ambao anawesa kusaidia uyu mzee afanye kitu , yesu mwana wa mungu alie hai wacha uyu mzee asiyo na atia uhuru
There is God in heaven justice for this mzee in Jesus name .pole tena sana baba .
Mungu nakuomba utoe huyu mzee plz 🙏🙏kwa jela, ni wewe ndio umemjua tafadhali umsaidie atoke kwa jela
Poleni sana MUNGU awasaidie wote mliomagerezani Mungu awe mtetezi wenu
Nimeumia sana kwa huyu mzee Usually 🙏
Justice for mzee inakaa judge alikula hogo lets share this video to all groups
Hata paulo na sila walifunguliwa
ataaa miii imehuudhiii akiiiii mungu wetuuu zaidieee mzee kama huyuuu😢😢😢
Ifikie Ruto.
i know among the viewers here are lawyers..why can you stand up and go assist that old man for free? najua msichana amezaa, mtoto afinyiwe DNA na ya mzee to see if it is real. mimi ni hustler wa mjengo sina uwezo,tusikuwe hapa wote tukihurumia mzee na hakuna kitu tunafanya
well said
Mmmmmh hata Kenya Mahakama zinafunga watu kizembe hivyo!!!!
Mungu wangu, wasaidie wazee hawa..
Ila ikumbukwe kuna mahakama ya Mungu niya haki, itawatia hatiani waonezi wa ndg zetu weeeengi wanaolia katika magereza mbalimbali duniani...
Haki ya Mungu itathibitika na hukumu ya kweli itakuwa ni milele na milele..
Wateseni wenzenu hata kama ni miaka 7000, ila nanyi mtakutana na hukumu ya MILELE
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
"The Akamba community has a battery of high level Lawyers! Where are Sen.Mutua Kilonzo, Wiily Mutunga, and Stevo Kalonzo etc!?
Only God knows... There is hope for the living. Usikate tamaa. Aliyenitoa huko atawatoa pia. Nawakumbuka bado
Omg this is very sad to watch. Huyu mzee Jaman .Mungu mtetee
I think she needs to do part 2 tujuane mzee anaendelea aje even since i watch mzee nzioki it has never getting out of my mind
Ghai nimelia yangu yote God of heaven do miracles 😢😢😢
Pole sana,mmi pia marafiki wamewahi Fanya nifutwe kazi nzuri sana,sihaminingi MTU yeyote!!!!
I really pity this old dad. Haki mwenye amemzingizia huyu Mzee Mungu amuone.
amuone kabisa
Hio machozi ya huyo mzee haitaenda bure,,,huyo mtoto n mamake mtayakuta mazito itawashinda kubeba,,mtaomba adi muone kama mungu amewaacha,,machozi ya mtu take very care
Huyo Mzee atolewe! It's painful
Heshima kwa mzee...even judge himself ajui kama atafksha that age😭😭
Judges can be so emotional especially when handling defilement cases
Bro let me ask you? Before that defilement case was there no agreement actually there was so this judges should think.
Haki nimeona pastor Njau hapo, God have mercy on your servant
Pastor Njau?
Pole mzee Mungu akufungulie
@lynnngugi uko wapi. Welcome here and see this
Huyo mzee wa pili mungu amlinde he seems to be truth man .😢😢😢nimeumika .serikali ya kenya inafanya makosa kushika innocent people 😢😢😢😢😢😢 inasikitisha sana kiukweli
he is not telling the truth...read the judgement..dangerous old man
There is a big problem with the justice system in this country. How can an innocent individual to be sentenced to jail what sort of investigations have been done.
Jamii yetu good job, i had heard of this mzee's story while the case was ongoing, It's unjust, it's sad, it's painful....I wish we can go a demand justice for him(Mutungi Nzioki) in our online platforms, share a video and create a Hashtag for him to attract potential lawyers.
😭😭😭😭😭Mbona hao wengine hawa kushikwa hata huyo msichana na halaniwee kuweka mzee kama huyu over ya hata babake gerezani na asione mazuri yoyote kwa maisha yake huyo msichana asione machozi ya huyu mzee itaenda bure hivyo hao watu wa nne wako wapi?😭😭 Hao pia na walaniwe
Too sad machoz ya mzee itamramba
So sad kwa mzee nzioka waja kila mtu haukumiwe kulingana na haki na ukweli pole sana mzee mungu atakuteea
President William Ruto should see this clip and do something about this old man. This shows how our judiciary is rotten without competency. Pertanity DNA should be done for both the born child and the old man to determine the truth.
Woyeee president Ruto aki si awachilie hawa wakogwe😢😢😢😢😢
Ata sio ruto mbona jaji wengine wako na roho mbaya hivi
Aki jamani hii ni mateso
Very inpatient interviewer,.. Wacha upewe juice za story, and kama time ni limited prep your interviewee, and have agenda based questions don't ask broad questions
So sad ended up shedding a tear for second mzee
Mungu awaongoze awatete katika kila jambo, mungu wewe ndiwe unajua makosa yetu
Mungu yuko.Pole babu hakika wewe nikuekelewa na kusingiziwa ukangushiwa kesi na vijana wenye pesa wakajinasuwa. Sioni vile unaweza najisi vile umechoka
Mungu kumbuka huyu mzee jameni
nawaombea nyinyi nyote Mungu awabariki na akuwe mtetezi wenyu🙏🙏may God protect you all
Ati nimekuja sanaa ... he's very honest walai the 2 old man
Oh God of justice, hear this old man out
😢😢 Justice of God prevail
God have mercy on this old man and save him from this trouble.
Amen
What makes me even more sad is he is not the only one who've been set up & rotting in jail, so many innocent people are in prison,, Other are there for just a split second indecisions, 1st time offenders and all sorts of unfairness within the system. I wish we could have a better reformed judicial system that would prioritize revising those cases again to find out the truth. We could save so many souls & there could be hope for many as well. All in all May God revisit their cases & perform His Miracles upon those who really need them🙏🏽
As you look upon their faces, all you see is sadness. God Be with them all🙏🏽
Haki watu Havana huruma Manthorpe ma musee matuma jigue uru mono
Pole sana mzee mungu hakutie nguvu
Mtangazaji una Kiswahili fasaha sana. Hongera sana
Aki this old man God have mercy
Sasa uyo Mzee anapower gani
Mungu yupo sokoro
This second man is my father's agemate😢yaani Ile uchungu nasikia sai akisema iyo miaka kumi na Tano anefungwa atatoka akiwa kitu 97, akasema iyo ni kumuua asione familia yake Tena iyo imenimaliza nguvu kabisaa😢tungekuwa na uwezo wa kufanya lolote justice ifanyike😭 what kind of life is this now 😭 they just release him for the sake what just happened, that wasn't fair at all, SI uyo mtoto wa 15 years amefungwa juu yake alizaa, si they just do the DNA alaa, kama ako guilty ama hayuko mambo iwe wazii😢 I hate to see this to such an old man suffering for nothing and they can just do serious investigations and sought everything out😏🤦
I conquer, a DNA should be better. Serving a genuine sentence is better.
You are right lilian
All I can do for now is just cry for this Mzee😭😭😭may God remember him.
Oooh God😢😢😢😢
Aki huyu mzee jameni kabisa
Huyo mzee mungu amusaidie
Am just crying .where is justice in Kenya??.God have mercy
Have felt for the mzee hope justice prevailed
Huyu mzee tumuombee sana atoke 😂😂😂😂 uchungu sana
Mbona kicheko ww 😭😭😭😭 mungu anakuona
iyo kicheko yako ata wewe siku yako itafika dunia duara
😢😢😢😢😢😢Very sad for that old mzee sio wote wako gerezani wametenda maovu
Hi
@@AddaOdhiambo too
Najua Kuna mungu Alie mbinguni Babu don't worry
God have mercy plz huyu mzee angefanya hivyo enyway tuombe wafungwa mungu atawakumbuka
Mungu akutunze Mzee, akuhurumie sana
Justice for mzee so painful 😢
The government should listen to such cases and save our elderly people who are suffering because of false allegations.God is a fair judge.May he rescue such poor people.
Mungu alie juu awakumbuke ona Hawa wazee aki mungu watete kweli hapana Hawa majaji wanafa Wachunguzwe saingine wanatowa hukumu wakiwA walevi na kuhogo wathurumu wanyonge
Mungu yupo atawatoa kwa jina la yesu
Oooh dear Lord remember mercy and save this kuka
Mungu awe nanyi
God remember your servant Lord. You are a God of a second chance. Restore back his ministry
Machozi ya uyu mzee mungu ako mbinguni usiache imwagike bure.
Muhurumie na mkumbuke
Huyu Mzee mlio mfanyia hiki kitu kama kweli hakutenda hili kosa Mungu atamlipa Kwa kiwango kikubwa
its sad when family members turn against you.JUSTICE FOR THIS MZEE NZIOKI
Mungu saidia watu wako, inauma Sana mzee kama huyu kumwaga machozi
Its so painful mungu saidia wagungwa
Thats why sipendi kuwatch videos kaa hizo ni uchungu saaaana hasa mzazi akiwa hivi naomba mungu hakii atusaidie
hio machozi ya huyo babu na iwapate wenye walimfanya hio kitedo😢😢😭😭😭
Ee mungu waone watu wako wasio na hatia ila bado yesu ni bwana
May God release this man
May God come upon your everything mzae ,,,I speak your free in Jesus Name ,,God do miracles its really painfull😭🙏
Plizzzz plizzzz plizzzz plizzzz plizzzz plizzzz plizzzz plizzzz plizzzz Rais Ruto toa Hawa wakongwe,,,Fanya jambo.....
😢😢😢😮 justice for this old man aki
Great video and thanks for it but it would have been better If you do your videos where there is not so much noise in tha background I strain alot to hear but thanks for the video
Msaidieni Mzee atoke huko
Very painful in deed....why do judges and magistrates do this ? From the stroy of this mzee he is quilty??? But mzee Almighty God will open doors one day... actually God is the true judge...
Hiyo macho I ya mzee itawaramba wote wausika
😢😢Woi Mungu kumbuka wafungwa I really feel pain sana
Haiwezi kosa judge aliyefunga mzee huyu alikuwa mwanamke,they mostly judge with emotions not facts
Oooo my God please shukia huyu Mzee aki
Working for the government is bringing curses to your home❤...even the judge made a mistake...how can you judge someone bila evidence surely?
Corruption
Mungu Atakupigania🙏
Pole sana mzee
I want to know weather hyu mzee alitoka ama Iko vip na amefungiwa prison Gani as soon as possible
Kamiti Medium Prison
After doing this interview, is there anything you thought of maybe doing,?
Mungu awafungue waliofungwa bila makosa , mungu ona uyu mzee kwa roho yake anaongea ukwel 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole dad
Hapo kuna kelele mno.
It's very painful pole ndugu
#justice for Mzee nzioka this is unfair guys
Seeing this after one year...so painful.😢😢. But i wish you guys apart from the interviews..you would be doing follow ups 😢😢.
Mungu akukumbuke pastor
Huyo aliyefanya hiyo kitendo, Mungu amuone
I wonder how some investigations are done. Mzee needs justice. May be the persons behind this wanataka kugawana shamba.
Tufanyeaje haki we support this old man hatoke hapi?prayers first then we find a lawyer for him.....kindly good pple lets assist..yaani analala bila blanketi at this age😢😢😢
Sad
Hakika machozi ya huyu mzee wa pili,judge na waliomshtaki watalipa hii machozi
Noooo please justice kwa Nzioki hata huyu muhukumu hana utu kabisaaa please kama kuna mtu atasaidia huyu mzee amsaidie please this is too much