Wateuzi wa HAYATI MAGUFULI wengi walikuwa ni waaminifu. Kwa sasa ni vurugu tupu, wizi kila kona. Walioteuliwa wote na HAYATI MAGUFULI wote walifukuzwa. Kwa sasa wateuzi wa Samia wanaiba na kuitafuna Tanzania Kama muchwa. Hatuna hata hope. Upinzani ndiyo kuna balaa. Wanangoja kushika madaraka iwe zamu yawo ya kuitafuna Tanzania. WAKO WAPI MAGUFULIFICATION TEAM WAANZISHE CHAMA ?
Grace nimekuelewa na nimeipenda comment Yako jpm yaan Alikuwa mfano wa kuigwa siulimsikiliza spika wa bunge wa zamani alisema huo mradi wa jnhp ulishazungumziwa tokea 1975 lakini ulianza kujengwa baada Ya jpm kuwa rais 😂😂
Mungu akupe maisha marefu Mzee wetu

Nimependa sana meseji yako.
Acha usenge huo mbana kina sabaya na makonda waliibia watu
Safi sana, hawavumi lakini wapo. Hongera sana KK msitafu. Umeambukiza wangapi huu utumishi wako uliotukuka???
KAZI NZURI KUWATUNZA WAZAZI,HONGERA SANA LUMBANGA.
Wazarendo wa kweli kabisa 🇹🇿🇹🇿✍️
Jifunze kiswahili we bwege, siyo wazarende Bali ni wazalendo
Napenda sana kuwasikiliza nyie wazee wetu wakongwe wa serikali,ni tunu ya taifa God have mercy mzee wetu balozi MARTIN LUMBANGA
R. I. P JPM hakika ulikuwa shujaa kweli kweli
Wezi walikuwepo wengi tu awamu zote, kama hawakuwepo mbona alikuwa anateuacna kutumbua?
Hii Nchi inabidi wazee waachwe wapumzike na vijana wapate nafasi sasa.
Mbona kikwete hapumziki yupo tuu hee