Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
🚨Usajili Mpya Simba,Augustine okejepha Na DEBORA FERNANDEZ MAVAMBO,Ubora wao na umri.
Вставка
- Опубліковано 5 лип 2024
- #football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube
Simba nguvu moja one team one dream forever
Wachambuzi wa nchi hii wengi ni mamuruki hawajielewi,,yani tulileta kina ngoma,babar,jobe fred etc wakasema tumejaza wazee,saizi tumeleta under 24 wanasema bado wadogo hawatafanya chochote yan wachambuz wa bongo wengi wao ni kama malaya tu hawaelew wanachokizungumza
Hakuna wachambuzi hao wote vilaza hivi kweli game ile ya muungano wakina mashaka hawawezi cheza hata hawajiulizi kuwa Simba inamashindano madogo kama muungano ambayo kalabaka,mashaka wanacheza
Huyo mchambuzi mpumbavu sana
Wandishi Yale mukiyosema kuhusu umri Simba wamezingatia🎉
Waandishi hamna jema Kwa simba
Kaka awa wachezaji wazulitu
UKIONA MCHEZAJI KAMA DEBORA ANATOKA TIMU NDOGO LAKINI ANACHAGULIWA TIMU YA TAIFA UJUWE KAWATIA ADABU SANA WAFUNGAJI WA TIMU KUBWA SIO BURE HAPO SIMBA WAMEPATIYA TENA SANA ❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
OYEEEEEEEEE!💃💃💃
Hiyo feitoto aletwe Simba kwa gharama yoyote. Wanachama tuppo tayari kuchangia pesa.
Shida unafiki yanga wachambuzi wengi inawapoteza baleke au Dube wamefanyanini kimataifa kama siyo unafiki bazi ya wachambuzi
Wachambuzi wanaichukia Simba mzee na siku zote Dunian watu wanachukia kitu kilicho bora
Acha dharau wewe njoo wewe usajili bac maana mjuaji sana wenqine wajinqa
😂😂 huyo mtangazaji ni muruki Comparable ni unafiki tu, mbona hatuzungumzii yanga walio chukua mvp wa Tanzania kutoka Simba Chama
Kocha wa Argentina aliyebeba world cup alikua ndio mashindano yake ya mwanzo na alibeba world cup
Simba wamejitahidi kuboresha kukosi hongera kwa mo jamani
Wachambuzi hacheni kununuliwa, Baleke alipokuwa simba mlisema mzee, leo kaenda Yanga mnasema usajili wa kimkakati.
Chama pia walisema Kaishiwa kashazeeka nw Yupo Yanga wanasema ana ujuzi na kimataifa anafaa 😂
tupeni mauwa ya ao wa leo muna amisha oja munaanza kucho meka kwa fei
KWANI TSHABALALA,KAPOMBE,NGOMA,MZAMIRU NAO NI 25 KURUDI, CHINI
Hawa ni kama Popo tu
FEISAL ANA TANGAZWA NA NYINYI WACHAMBUZI SIO KIONGOZI WA SIMBA . NYINYI NI MBUMBU WA UCHAMBUZI.... LEO MNASEMA VIJANA, KESHO MTASEMA WAZEE,, SAUTI ZENU TUNAZO....
Au usajili wa Chama na Bareke ndo wa kimkakati?
Swala sio kuchukua ubingwa nyie wachambuzi uchwara mliojawa na chuki dhidi ya Simba.
Wachambuzi mnatumwa na yanga ili muichafue simba
Mrs debora waoooooh !!!
Mara toeni wazee,xxhivi wadogo nyie tuwaeleweje?
Kwani JOBE nae vipi?
Jobe atakiwa akacheze Mpira wa makaratasi (sodo)