WINGU LATANDA KIFO CHA ULOMI| ADAIWA KUFA KWA AJALI, AKIENDA KUKAGUA KONTENA LAKE BANDARI KAVU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @siskimkimu737
    @siskimkimu737 3 години тому +6

    Hiv nchi hii Tena dar,mtu apate ajali ahudumiwe,apelekwe hospital zaid ya 2 huku akiwa anatafutwa Tena mitandaoni hao wanamhudumia wao wasione hii habar siku 5 zote kweli??

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 3 години тому +2

    Wazee wa minyama wote ni vuguvugu tu. Hawajawahi kueleweka. Waogaaa. Na najua wanajua ukweli wa mambo ila wanalinda tonge lao. Wanang'ata na kupuliza

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 години тому +2

    mh! watu wanajua ! tungempata aliyeiona wakati anapata ajali

  • @MarkDonald-vv8mt
    @MarkDonald-vv8mt Годину тому +1

    Hando kaongea fresh Sana watu waache papara

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 Годину тому

    Inatakiwa sasa hivi waume zetuna ndugu zetu wakipigiwa cm popote lazima tusindikizane tu mambo haya sio kabisa utata utata

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 Годину тому

    sahv matukio ya hii nchi design kama tupo Afghanistan

  • @josephineokama2200
    @josephineokama2200 14 хвилин тому

    na sim yake iko wapi ubungo external tena mchana kwel watu wasione waandishi wasijue mbona ajali nyinine huwa waandish wanafika chapu na habari inarushwa?

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 56 хвилин тому

    Nyie tunakosa imani sababu ya matukio yanaendelea kila siku

  • @B23-i8p
    @B23-i8p 2 години тому

    Siku Tano ajali ya boda boda yupo hospital

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 3 години тому

    Watu werevu huwa wanajadili chanzo cha mambo haya (hizi issues and incidents) na sio outcomes zake. Why this horrible situation currently? Ukitaka kutatua tatizo vizuri basi chanzo/mzizi wa hilo tatizo. Hasa hawa watu wazima watatu wanajadili kwenye matawi tu. Bure kabisa

  • @JoyceRichard-qo4gn
    @JoyceRichard-qo4gn Годину тому

    Maulindi kitenge unafurasha sana usomaji wako

  • @siskimkimu737
    @siskimkimu737 3 години тому

    Mnajua kama hamjui

  • @PascalChimatu-h6i
    @PascalChimatu-h6i 2 години тому

    Ivi hii selikali inatuona sisi wajinga hatujui kinacho endelea sasahivi sisi wananchi baazi tumefunguka tunaelewa selikali inacho tufanyia selikali ya ujambazi

  • @omarry-x1z
    @omarry-x1z 3 години тому

    Mh asaiv ukitekwa kama hakuna arie ona unasingiziwa ajari du🤔

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 2 години тому

      Shida hawa viongozi wa chadema hawako sawa kiakili ndio utagundua kila jambo wao ni mtihani wako kimihemko zaidi halafu uwape uongozi ni mtihani

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 2 години тому

      Mtu kapatwa na ajali mnasingizia kutekwa. tanzania bwana na hii mitandao na vyombo vya habari ni balaa inaleta taharuki.

    • @punchlinetz
      @punchlinetz 2 години тому

      ​@@econmirajifacts5411 hakuna mtu anaweza kuwa hospitali siku 5 anatafutwa mamlaka za hospitali zilizompokea zisijitokeze kusema wana mtu anaefanana na anaetafutwa. Huo ni uhuni ambao mjinga tu atakubaliana nao....

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 16 хвилин тому

      ​@@econmirajifacts5411sasa waliomgonga ni nani? na wako wapi?