Aslm alkm wtw... Wallahi Sheikh wetu umefunza funzo kubwa, kwa atakae kushika maneno yako. Nimefurahi na wewe Allah akufurahishe. Hii darsa ni tamu wallah. Hawajui hayo wanaume. Niugomvi na hasira na kusema sisi ni wanaume lazma mutuskilize wanawake. Allah awajaalie wawe ni wenye kukuskiliza. Allah akulipe mema Sheikh Izudin alwy Ahmed. Jaza yako iko kwa Allah.
Mashaa Allah ni kweli kabisa Sheikh unaongea vizuri kwa anaekufahamu unaeleza kwa umakini na maana kubwa mambo haya wengi hutofautisha kauli zao,mie nimependa sana qauli zako zina maana sana ndani yake kwa wenye ufahamu ila kwa wenye kusikiza bila kukuelewa hataelewa jambo
SHEIKH mashaallah. NA unguja uje jamani maana ndoa nyingi zinaharibika bila ya shaka sababu ni hizohizo. Njoo uziokoe ndoa. WANANDOA hujisahau sana baada ya kupita mwaka wa ndoa na ALLAH akuwezeshe amiin
Shekh Masha Allah mada murwaaaa kabisa,lakini hapo ktk kuowana lah kuna mmoja ameowa na mwingine kaolewa lakini ukisema usemi huo wako eti tumeowana lah,hiyo kuali inapashwa irekebishwe shekh mume ndiye anae owa mume haolewi baana lah na mke "anaolewa"haowi hata kama yeye ndiye katoa mahari.
i dont mean to be so offtopic but does someone know a way to get back into an Instagram account? I stupidly forgot the account password. I would appreciate any assistance you can give me.
@Reuben Theo Thanks so much for your reply. I got to the site thru google and Im in the hacking process now. Seems to take quite some time so I will reply here later with my results.
Ustadh hii imekua too much maneno mnayotumia katuka kuhutub simaneno sawa kijamii kwanini mnaongea vitu wazi sana vinakua kama matusi ndani yake ningeomba in shaa Allah tujirrkrbisheni maustadh na pia vijana wanatelekea kwa uhuni na utaibu na kutoswali na zina hizi mada ndio za maaana lakini skuizi maustadh karibia nyote mmekazana kwenye ndoa na tendo la ndoa tu
Hapa ndio ubovu ulipo kitambo umuhimize mke ama mume kufanya ibada lazima kuwe na maskizano bila hivyo itakua kama kupigia mbuzi gitaa maana kila mmoja ajiona yeye ndio yuko sasa Sioni ubaya kuongelea ndoa zaidi maana talaka akhy zimezidi mno na kuongea hivyo si kwa ubaya maana yuajua haya ndio maneno yanayotumiwa ndani ya majumba mengi mno
Chukua yalo na faida kwako na uwache kukejeli masheikh..... . Sheikh kiiamua kuzungumza Mada flani Ina Maana amefanya utafiti na akaona hili jambo Lina tatizo kwa jamii na ndio Maana a alipangia kuelimisha umma kwa Hilo.
Aslm alkm wtw... Wallahi Sheikh wetu umefunza funzo kubwa, kwa atakae kushika maneno yako. Nimefurahi na wewe Allah akufurahishe. Hii darsa ni tamu wallah. Hawajui hayo wanaume. Niugomvi na hasira na kusema sisi ni wanaume lazma mutuskilize wanawake. Allah awajaalie wawe ni wenye kukuskiliza. Allah akulipe mema Sheikh Izudin alwy Ahmed. Jaza yako iko kwa Allah.
Aamin
Bismillah maishaallah yote ni kweli sheikh wangu mtihani mkubwa ,
MaaShaAllaah alhamdulillah ALLAAH akupe afya njema ustadhi mada yenye faraja.
Ma Shaa Allah Muhadhara mzuri Sana kwa wana Ndowa Wanaume na wanawake Asante sana
Mashallah jazkallah kheir sheikh izudin shukran napata mafunzo mazuri kwa darasa ya wana ndoa
Darsa tamu masha Allah ,
Alhamdulilahi nmefarijika na kucheka pia nmechaka shukran ustadh barakallah fiik
Asantee sheikh lzuldin Allah akuhifadhi na mitihani mikubwa na midogo na akupe umri wenye kheir nawe amina yaarab
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wako nasoma sana kupitia darsa zako. Sheikh izudin Allah akuhifadhi
Iddiy umeowa
Arafa umeolewa
@Arafa Kirama Kirama idi na arafa muoane jamani
Shukran shekhe Izudin Allaah akuongezee umri wakuishi dunian
Mashaa Allah ni kweli kabisa Sheikh unaongea vizuri kwa anaekufahamu unaeleza kwa umakini na maana kubwa mambo haya wengi hutofautisha kauli zao,mie nimependa sana qauli zako zina maana sana ndani yake kwa wenye ufahamu ila kwa wenye kusikiza bila kukuelewa hataelewa jambo
Masha Allah. Darsa nzuri yenye mazingatio makubwa sana...
Maashaallah..jazaka llahu khayra..Allah akbrki shekh wet na aktnukie umr mrfu I'll tuzd knufaika na nawaidh yk.! .inxhaallah!!!
Shukran shekhe wtu maneno yko swadaqta kbsa Allah akujalie uzima uzidi kutuelimisha
Masha Allah. mola atuongoze na atufanyie wepesi mambo yetu. AMEEN
natamani hii clips imfikie kila mwanamme. matatizo hayo yapo sana wengi hawana ihsani
Alhamdulilah, MaashAllah, InshAllah heri, shukran sana
Maneno unayosema niyakweli sheikh Allah akuzidishie elmu uzidi kutuongoza
InshaAllah. Mungu. Akinijaalia. Nikirudi. Nyumbani. InshaAllah. Nitakutafuta. Uliko. Mm. Ni. Mkaazi. WA. Kongowea.
Asalaam aleykum warhmatullah wabarakatu
Hakika napenda sana masomo yako nastafidi sana. Allah akupe afya njema na umri mrefu na khatma njema. Jazzak llah kheir sheikh wangu
Ameen yarab nawe pia
Shehe umetufundisha kitu😅
Asalam alaykum warahmatuLLAH WABARAKAT shekh wewe ni mwangaza kwang jazakallah khayr
Mashaallah
Jazakumu LLAAHU khairan kwa mafundisho mazuri
Asalam aleykum umesema ukweli mtupu sheikh kweli kabisa. Nimefarijika wllah
Mashaallah
MaShaAllah Shukran. Allah Atuhifadhie. Akulipe kila Lakheri.
Fatma Hassan
Hi
Subhana Allah, kweli siyo rahisi wanaume kuomba msamaha, hatahakikukosea
SHEIKH mashaallah. NA unguja uje jamani maana ndoa nyingi zinaharibika bila ya shaka sababu ni hizohizo. Njoo uziokoe ndoa. WANANDOA hujisahau sana baada ya kupita mwaka wa ndoa na ALLAH akuwezeshe amiin
alihamdulila.asante.shekhe
kwakutugea
mawaiza.bora naelimu
bora.amiini.mungu.azidi.kukueka
بارك الله لك شيخ
Allah Akunyanyue Darja la juu Sheikh.
Shukran sheikh jazakallah kheir
Shukran mawaidha mazur
Allah akulipe kila la kheir ameen
Assalam alaykum
Allah akulipe badali ustadh wetu
Yaani uyasemayo ni kweli tupu
Barakallahu fiyk yaa Akhy
MashaaAllah mollah atuongoze sote InshaaAllah
A salaam. Aleikum. Nakushkuru. Kwa. Mafundisho. Yako. Rabana. Akuzidishie. Uendelee. Kutuelmisha
Mashallah shekh unayoongea ninkweli kabisa Allah akubar Ila wanaume wengi hawajui tha Mani za wake zao
Jazzaka Allaah kheri 🤲💕♥️🤲
Masha Allah mawaidha mazuri
Shekh Masha Allah mada murwaaaa kabisa,lakini hapo ktk kuowana lah kuna mmoja ameowa na mwingine kaolewa lakini ukisema usemi huo wako eti tumeowana lah,hiyo kuali inapashwa irekebishwe shekh mume ndiye anae owa mume haolewi baana lah na mke "anaolewa"haowi hata kama yeye ndiye katoa mahari.
shukran shekhe ndoa nyingi ni mtihani
Ma SHA Allah Tabara Allah ❤ 💞💯💯
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh, naomba Namba yako unisaidie
Masha Allah jazaka Allah kheir
i dont mean to be so offtopic but does someone know a way to get back into an Instagram account?
I stupidly forgot the account password. I would appreciate any assistance you can give me.
@Jude Jon Instablaster :)
@Reuben Theo Thanks so much for your reply. I got to the site thru google and Im in the hacking process now.
Seems to take quite some time so I will reply here later with my results.
@Reuben Theo it worked and I actually got access to my account again. I am so happy!
Thanks so much, you saved my ass :D
@Jude Jon glad I could help =)
Allah akulipe kwa jitihada zako
Mashaallah darsa zuri
Ni kweli maneno yako Sheikh Nuzdin usemayo ni kweli,wahenga walisema kibari bila mafuta hakiwaki.Elimu ni mwangaza.
Niamatatizo. Kama. Hayo. Uliyoyasema. Na. Kwa. Sasa. Ndowa. Yangu. Imeharibika. Mwenzangu. Ameniuliza. Sanaa. Moyo. Wangu
Halish&133 Bby Allah akutilie wepesi na akujalie subra
MashaAllah mungu azid kkupa elimu ili na sis utuelimishe
Mashaallah hao unaosema wapo wachache kwenye ulimwengu huu unayozungumza kusingekuwa naugomvi majumbani
Mashaallah jazakallahl
MashaAllah
Amiin amiin thumma amiin
Asante Sana kwa darasa lako
ni kweli
سبحان الله الحمدلله
Salaam aleikum mimi nina swali mime alisha uwowa alafu aka ulizwa na familia ama aliwowa akakata ate hajawayi kuwowa yiyo ndoa inafayi
Mashaallah
Sadakta sheikh
سبحان الله
MASHAALLAH 👌👌
Kama ni haramu Sema ❤❤❤
Swadaka yangu sheikh Allah Akuhifadhi.
Shukran
Assallam alleykum
Mashaallah mashaallah 😘
Dah😭😭😭 ni kweli
MASHALLAH ALEIK
Wanaume walio wengi hudhani kumjali mke ni kumpa kula na malazi tuu
Masha Allah, jazakallah kheyr
Ask
Mashaallah napenda Sana mawaidha yako sheikh Allah akupe afya nauzima uzidi kutupa chakula cha roho Inshaallah
😄
Ya salaam
Mashallah
Masha Allah
Ameena Othman asalam alykum.tuko weng tunataabika kweny ndoa.wasikie hao wanaume
Shehe eti mipira ni haramu😢😢
swadakta shekhe
Ustadh hii imekua too much maneno mnayotumia katuka kuhutub simaneno sawa kijamii kwanini mnaongea vitu wazi sana vinakua kama matusi ndani yake ningeomba in shaa Allah tujirrkrbisheni maustadh na pia vijana wanatelekea kwa uhuni na utaibu na kutoswali na zina hizi mada ndio za maaana lakini skuizi maustadh karibia nyote mmekazana kwenye ndoa na tendo la ndoa tu
Hapa ndio ubovu ulipo kitambo umuhimize mke ama mume kufanya ibada lazima kuwe na maskizano bila hivyo itakua kama kupigia mbuzi gitaa maana kila mmoja ajiona yeye ndio yuko sasa
Sioni ubaya kuongelea ndoa zaidi maana talaka akhy zimezidi mno na kuongea hivyo si kwa ubaya maana yuajua haya ndio maneno yanayotumiwa ndani ya majumba mengi mno
Na khutba zote ni za wanawake shekhi tiafahamu
Ni kweli usemayo bro kenya bado hatuja Pata mashekhi wa kisawasawa wanawake tuu
Chukua yalo na faida kwako na uwache kukejeli masheikh..... . Sheikh kiiamua kuzungumza Mada flani Ina Maana amefanya utafiti na akaona hili jambo Lina tatizo kwa jamii na ndio Maana a alipangia kuelimisha umma kwa Hilo.
Kwasababuu makosaa yenuu wengii yapoo kwenyee ndoaa
😂😂
Masha Allah
Mashaallah
Shukran
Shukran
Mashaallah