Shida ya baadhi ya watanzania ni tabia ya kushidia kurudia rundia njambo monja manji yakimwagika hayazoeleki tafuteni njambo lingine ngeni tuedelee na safari hukumu ni binguni njameni
Na nyie waandishi wapumzisheni hii familia. Imetosha sasa. Ninyi mmekuwa wachonganishi. Hujui tu ni jinsi gani mama wa Martha anavoumia. Bora mkae kimya. Kumbuka huyo Joan unayemsema mama analia kwa ajili yake. Hayo maneno unayoyatamka yanaendelea kuwachoma wanaoumizwa. Si jambo jema kuliendeleza.
Jamani hawa ni ndugu kuna siku mtaiibika jamani masa yy anagumbili kwann awe na majungu
Mlishuhudia dhambi yamatrha mwacheni Martha nalafiki yake joan
Huyu mtoto anavyozidi kuyasema ww anakuharia jina jirudi upate adhi ya mama
Martha hata akimblock bite bado amejiharibia palkubwa na huduma yake kama niya Mungu ameidhofisha kama ya Shetani atainuka hata sasa
Martha anachotakiwa ni kurudi kwa mama yake na kuomba msamaha kwa makosa yake
Shida ya baadhi ya watanzania ni tabia ya kushidia kurudia rundia njambo monja manji yakimwagika hayazoeleki tafuteni njambo lingine ngeni tuedelee na safari hukumu ni binguni njameni
Jamani mbona fujo imezidi tuachane na hayo mwaka yamepita tupo katika mwaka Mpya achana na hayo
Uyu Joan haache ndugu zake waaendelee. Wapigane walizaliwa pamoja. Wataelewana tu. Uyu ki ga,ganizi haende kwao.haachane na ukoo huu.
Na nyie waandishi wapumzisheni hii familia. Imetosha sasa. Ninyi mmekuwa wachonganishi. Hujui tu ni jinsi gani mama wa Martha anavoumia. Bora mkae kimya. Kumbuka huyo Joan unayemsema mama analia kwa ajili yake. Hayo maneno unayoyatamka yanaendelea kuwachoma wanaoumizwa. Si jambo jema kuliendeleza.
Wataacha kama Martha na Joan wataacha kusagana. Kwanini wanafanya huo uchafu Mungu hapendi