Hili ulilolifanya ni zuri zaidi nafikiri wengine wangeiga namna hii ya kuwa na moyo wa shukrani kwamba maisha mliyopewa ni mazuri hata kama kulikuwa na kasoro za kuta kupata nyufa kwa ujumla wa kazi hiyo hizo nyufa ni kitu kidogo ukilinganisha na ubora huo!
moses allan adam Asante sana kwa maoni yako yenye mtazamo chanya naamini haya mabweni yameleta mabadiliko chanya kwa wanafunzi japokuwa kuna matatizo madogo madogo ambayo ni rahisi kushughulikiwa. Tuendelee kuwa pamoja hapa kimbwetani. Asante sana
Asante sana Kwa kuchukua muda kutazama Video hii. ni kweli viwamja vya kumpumzika hamna ila kuna eneo kwa nyuma bado halina matumizi nahisi wanaweza kulikarabati kwaajili ya michezo na kupumzikia ila eneo sio kubwa sana na lipo ndani ya fence. Kuhusu milango ya mbao unahisi sio secured?
yaan cdhan kama lianaitajika eneo kuubwa kwa w2 kupumzikia.,ni ubunifu tu unaitajika kupafny patoshe kwa w2 wengi! milango ya plastiki ndo ingefaa.,kama hapa hostel kwngu co kwmba ni pakubwa ila wamepafny paonekane pakubwa kutokn na umariddi #YANGUMAWAZOTU!
no problem , na mi pia namake videos so nikakutana channel yako nikapenda what you do, Nadhani ni kwa usalama raidi though muda mwingine unamiss kujipikia chakula .
+tk vlogs yes... hahah unapenda kupika eeh?... As soon as am not occupied i will visit your Channel and subscribe...my email is evaristkaishe@gmail.com i hope we can do something about Vlog
ha ha ha ha yaaaaa napenda kupika , for now sipo tz ila nikirudi sure we can do something , labda utofauti ulipo kati ya vyuo vyetu na vya China naweza share experience
Upo sahihi kabisa, kiki za kisiasa ziishe ....waangalie kwa jicho la maendeleo sekta ya elimu, waalimu wengi unakuta hawakocompetent, nahisi mambo yatabadilika kama wakitilia mkazo.
Hili ulilolifanya ni zuri zaidi nafikiri wengine wangeiga namna hii ya kuwa na moyo wa shukrani kwamba maisha mliyopewa ni mazuri hata kama kulikuwa na kasoro za kuta kupata nyufa kwa ujumla wa kazi hiyo hizo nyufa ni kitu kidogo ukilinganisha na ubora huo!
moses allan adam Asante sana kwa maoni yako yenye mtazamo chanya naamini haya mabweni yameleta mabadiliko chanya kwa wanafunzi japokuwa kuna matatizo madogo madogo ambayo ni rahisi kushughulikiwa.
Tuendelee kuwa pamoja hapa kimbwetani.
Asante sana
Ahsante Kwa kunifanya nifahamu hata mazingira hayo kakaa!Kristo akutunze!by kuhan zacharia from tia sgd
Like what this guy Magufuli is doing to better the lives of the students of Udsm
Nice nazipo comfartable
Good job my brother!!.... fanya kitu unachoweza kufanya..just be yourself....perfection is a process...we support you
Shukrani sana kijana wangu, kazi nzuri...keep that up
#team_read
+Jemedy Lwimbo pamoja sana bro.. #TeamRead nitaanda moja ya Volunteering Experience na Read International..
You are doing an incredible thing , good job guys !
sumato TV thanks Boss for the support
Nzuri sana
So cool
Wifi inapatikana au
safi mzee... nilikuwa nasubiri uingie chooni bora ukaingia
Denis Julius Lukumo hahahahah.....yale ndio maeneo ya heshima...Thanks for support bro
Waooooooo. Hey. Ninoomaaa xan
Magufuli tutakukumbuka
Good job
Joseph Valeli Asante Sana.
il cjaona viwanja vya kupumzikia piah milango ya mbao maliwato mnh
Asante sana Kwa kuchukua muda kutazama Video hii.
ni kweli viwamja vya kumpumzika hamna ila kuna eneo kwa nyuma bado halina matumizi nahisi wanaweza kulikarabati kwaajili ya michezo na kupumzikia ila eneo sio kubwa sana na lipo ndani ya fence.
Kuhusu milango ya mbao unahisi sio secured?
yaan cdhan kama lianaitajika eneo kuubwa kwa w2 kupumzikia.,ni ubunifu tu unaitajika kupafny patoshe kwa w2 wengi!
milango ya plastiki ndo ingefaa.,kama hapa hostel kwngu co kwmba ni pakubwa ila wamepafny paonekane pakubwa kutokn na umariddi
#YANGUMAWAZOTU!
itabidi nifanye mpango Kimbweta ifike hapo tupate kutazama teknolojia walio tumia.
POA!
Mnafanya kitu poa sana
hamna majiko ?
+tk vlogs hello Tk. Asante kwa kutazama Kimbweta.
No majiko hapo...kwa kawaida hostel nyingi hawaruhusiwi kupika..
no problem , na mi pia namake videos so nikakutana channel yako nikapenda what you do, Nadhani ni kwa usalama raidi though muda mwingine unamiss kujipikia chakula .
+tk vlogs yes... hahah unapenda kupika eeh?...
As soon as am not occupied i will visit your Channel and subscribe...my email is evaristkaishe@gmail.com i hope we can do something about Vlog
ha ha ha ha yaaaaa napenda kupika , for now sipo tz ila nikirudi sure we can do something , labda utofauti ulipo kati ya vyuo vyetu na vya China naweza share experience
actually or akchuale?
siya manda asante sana Kaka kwa kuchukua muda wako kutazama...asante pia kwa maoni yako
Ni hatua nzuri, lakini katika suala la milango na maliwato inabidi walifikirie upya
nice
chimanga mjerumani thanks for the support.
walitengeneza zombie hapo...yetu macho bana
mabweni mazuuri ila walimu dooh 😢
Waalimu changamoto?
Kimbweta Lifestyle co kitoto asee.,tatizo kwa muda mrefu sana viongozi wa nchi yetu wmekuwa wkiwekeza kene siasa ndhn n mud ss wbdilishe upepo
Upo sahihi kabisa, kiki za kisiasa ziishe ....waangalie kwa jicho la maendeleo sekta ya elimu, waalimu wengi unakuta hawakocompetent, nahisi mambo yatabadilika kama wakitilia mkazo.
Kimbweta Lifestyle achilia mbali kiki.,izo zimekuja majuzi tu na wantk kuufny mchezo mpya ambao bhdo nahis ni mbaya tena sana!
#KUBADILIKA
choo cha kukaa kitakua ni cha dom leader
kips jr hahaha...sure
Wwwwowdomcom
Mnalooooooooooooo
mabanda ya kuku
Too much "actually"
HASASON hahaha..kweli aisee wakati na edit nikashtuka sana kusikia hilo neno nimelitamka sana.....Asante sana Mkuu kwa kutazama
Kiswahili kibovu bro, rekebisha lafudhi yako
Asante sana Dada.
nafanyia kazi.
what do you mean ?!
We kenge sana😏😂
mambweni yenyewe mbona hatari yamekua chini ya kiwango
Wifi inapatikana au