Madhabahu hii tuheshimu sana si madhabahu ya kawaida hii inasafirisha nguvu Dunia mzima hakika nimemuona Mungu kupitia kwa Mtumishi wake juu ya Imani anayozidi kutulisha na kutujengea ujasiri kila wakati, barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwani pamoja na umbali Bado nimemuona Mungu akinitendea kwa kiwango Cha juu sana