Ndugu Yesu ni Mungu na ingefaa sana ungejitahidi kusoma biblia ujue mwenyewe ili upate kujua usisome mstari mmoja ukakubali kupote. YESU ANAKUPENDA SANA
Watu huenda hiji wakati wa Ramadan kama hujui uliza uambiwe 😂😂😂😂nko Makha mm na wadosi wangu huenda hiji sana mwisho mwisho wa Ramadan so usidanganye wengne
Yesu wew waweza tusaidie tufike kwako ila angali tunaishi neema yako ya kuishia kusudi lako hisinipite
Eeee Yesu nakuomba unijalie mwisho mwema, maana hata sijui nitasema nini mm kwa Mungu hakika 😭😭😭
Wacha kuchanganikiwa rundi kwa ALLAH. ALLAH loves u alot..
Decision making isn't an easy thing to do. But God is great 💪💪
du!! huu ushuhuda ni hatar, kwl Yesu yupo,
Yesu mwenye Nguvu nakuhitaji zaidi
Mungu anakusudi na kila mtu
Asante Yesu kwa neema ya wokovu.
So powerful
YESU NI BWANA mungu akubariki sana kusimama na uwokovu
Mungu naomba unipee hekima ya kukuabudu hakika Mimi nimekutenda dhambi mungu unisamehe
Eeeee Yesu mwana wa Adamu unirehemu mimi
YESU HEEEEE YESU WEEE YESU MAPENZI YAKO YATIMIZWEEEEEEEE
Be blessed 🙏
Mungu ni mweza🙏🙏
😭😭😭😭 yesu waweza
Umenifunza kitu kikubwa sana
Yesu tutie nguvu
Sasa lanzu za nn
Mmmm!
Uko wp postar
Uku kwetu wanacezeuya ukovu!
Kondo waliopotea wanamfuata mchungaji kipofu na Bibilia imesema
(Matthew 15:14 )
Waache; hao ni viongozi vipofu. Kipofu akimwongoza kipofu, wote wawili watatumbukia shimoni."
hio ni yako
Ndugu Yesu ni Mungu na ingefaa sana ungejitahidi kusoma biblia ujue mwenyewe ili upate kujua usisome mstari mmoja ukakubali kupote. YESU ANAKUPENDA SANA
Jesus Christ
Mungu nisaidie
Huyu ni kipofu na wote wanaomfuata vipofu
na we unatafuta nini pali unajua haustahili eish
NDUGU YESU NI MUNGU NA ANAKUPENDA.
Ati ulienda hija wakati wa ramadhani wewe ni muongo kuliko ibilisi tangu lini kuna hija wati wa Ramadhan ukiristo poo ushuhuda wa uongo
Umekariri.
Watu huenda hiji wakati wa Ramadan kama hujui uliza uambiwe 😂😂😂😂nko Makha mm na wadosi wangu huenda hiji sana mwisho mwisho wa Ramadan so usidanganye wengne
all in all yeye ni wa Yesu,
Mtake msitake YESU Atahubiriwa tu
Njoo kwa Yesu usichelewe.
Jesus Christ