ndio matupu hayo . hujifanya yeye ndio mmiliki . nishaona kesi km hiyo jamaa kataka mke mkewe alikuwa na shogaake km ndugu aliachika. basi huyu mke kamshawishi shogaake aolewe na mumewe akawa hataki mpaka akakubali kwani hata mwaka ulifika? jamaa alikuwa na duka akamkabidhi Bimdogo zamu zikawa hazijuulikani huyu mdogo akawa hana time na yule mkubwa tena , wakaanza kujibizana yule mkubwa yakamshinda akaondoka . lakini naye Mungu alimrudi maana jamaa akasema hawezi kuwa na mke 1 ikabidi akaowa mwengine sasa huyu naye hakupenda ikawa ugomvi akaachwa yeye sasa. alizaa mtoto wake 1 akaondoka na ushoga ushakufa .
Ni maisha ambayo si rahisi lakini ni Imani dini inaomfanya binadamu kuuona ukweli na kuufata. Mimi nampongeza kaiyona dini zaidi kuliko maisha ya kidunia.
Ni moyo wa kipekee, maana wengi wao huwa wanadharauliwa ndani ya jamii, lakini jamii hiyo inasahau kuwa naye ni miongoni mwao na anafaa kuolewa na kuitwa mke kama wengine. Mungu azidi kukuimarisha boss mama katika upendo na watu wote.
Nampongeza mama mkuu. Ila namsihi sana huyo dada aliyeridhiwa asije akafanya masihara kumdharau mwenziwe. Allah atakuja kumpiga bakora maana mwenziwe amemsafia nia. Jitahidi mamiy. Allah atawasimamia na awatbarik Inshallah.
huyo mama anampenda sana mumewe na hakuwa tayari kumpoteza . lakini mashaallah kajaaliwa na kifua chakubeba mambo tena nakukaa naye humo ndani kuwa next room.neighbour ? hapa pagumu , sisi tunamuona huyu boss yuko Ok lakini pengine anahitaji councelling maana hili jambo sio dogo . Allah amsaidiye na sisi tujaaliwe kuwa na moyo km wake .
Kabisa wanadharaulika na mm miongon nimafanya kazi miaka kumi mwisho wa siku yalionitokea ctosahau ktk maisha yangu cku nilipokuja kumwambia boss mama kwamba nmepata mwanaume alichonijibu mpk nikifikiria nattemeka
Yote kheri lkn huyo binti wa kazi nae awe na moyo wa upendo asije akapata kiburi akaanza kumdharau tena huyo Mama aliyeamua kumpa heshima yakuolewa na mume wake
Uyo binti akumbuke fazila tu sio tena askize vishawshi , uyo mama kaona mbali bora uyo dada wa kazi kishamjua tabia zake kuliko mumewe kuoa wa nje mara aweza muachisha ndoa yake
Duh da Sophia hata namba unamfukuza kazi kweli wewe kiboko sasa huku ugaibuni namba ya baba mijengo muda mwingine ndoo wanatoa ratiba ya chakula yuko kazini anakupigia simu sio mama 🤣🤣🤣🤣
Nia ya mwanamke ilikuwa kupata watoto ama kumdhibiti mume asirukeruke nje kutafuta watoto? Mwanaume hata umletee wangapi huko ndani kwake kama ni wa kurukaruka nje ataruka tu. Maamuzi magumu sana she would have adopted a child au hata surrogate mother amzalie. There are many options but sio hiyo ya kuumiza moyo hivyo.
Huyo mama nachokiona ni jambo zuri tu kwa nia njema tu pia , ila sisi wanaume kama hilo limefanyika kupunguza michepuko , mama boss aombe mungu pia ....... Mchepukaji haachi paka yamkute .......otherwise mungu atawafanyia njia .
Ni jambo la busara huyo mama amelifanya mana alijua kabisa kutokana na tatizo lake hangeweza tena kupata mtoto akaona bora amsaidie mumewe ili amani iendelee kupatikana pia kuliko kumwacha aende akahangaika huko nje.
Hata mtaani kwetu mbona ipo Tena mwanaume m, babu na mkewe m bibi Bibi karuhusu babu azae na mfanyakazi na wanamlea mtoto mjukuu wao na wanampenda na mfanyakazi mama yupo wanamlea pamoja Kawaida iyo
Hii ilitokea kwa sara tu aliyemruhusu Ibrahimu kuzaa na kijakaz wake ili apate mtoto mwisho wa siki bint alimdharau sara Dada uliyepewa mume usije aza dharau kwa mama na aendelee kuwa mama kwako.
Wanaojielewa hayo hata si mazito saaana Kwao, ALLAH akupandishe daraja ya juu sana boss Mama,
Leo uhondo !! Uhondo kweli!! Hongera zake bosi mama, Mwenyezi mungu ambariki,
Mwisho wa siku unakuta bibi mdogo anapambana kumuachanisha bi mkubwa na mume
ndio matupu hayo . hujifanya yeye ndio mmiliki . nishaona kesi km hiyo jamaa kataka mke mkewe alikuwa na shogaake km ndugu aliachika. basi huyu mke kamshawishi shogaake aolewe na mumewe akawa hataki mpaka akakubali kwani hata mwaka ulifika? jamaa alikuwa na duka akamkabidhi Bimdogo zamu zikawa hazijuulikani huyu mdogo akawa hana time na yule mkubwa tena , wakaanza kujibizana yule mkubwa yakamshinda akaondoka . lakini naye Mungu alimrudi maana jamaa akasema hawezi kuwa na mke 1 ikabidi akaowa mwengine sasa huyu naye hakupenda ikawa ugomvi akaachwa yeye sasa. alizaa mtoto wake 1 akaondoka na ushoga ushakufa .
Boss mama may God bless you wewe ni mama tosha mwenshio awe na heshima sana kwako pia baba Bosi atulie na hii familia kwa heshima .
Ni maisha ambayo si rahisi lakini ni Imani dini inaomfanya binadamu kuuona ukweli na kuufata. Mimi nampongeza kaiyona dini zaidi kuliko maisha ya kidunia.
Bi mdogo endelea kumlipa bimkuvwa mema!! Usisikilize waja! Ukaanza kumuona mwenzio mgumba! Kumbuka ulikutokea na bimkubwa Huyo!
Jamaniii siyo rahisiiii,huyo mama bosi apewe medali ya ushindi,na Mungu ambariki.
Ipo siku ataumia tu hata ibrahim alimuoa hajir lkn ilifika mahali aliumia roho mungu awasaidie
Pole sana mama kwa kumgawa mumeo umenisikitisha umeniliza, ukweli ni kwamba penzi la ndoa haligawanyiki.
Watu km hao wapo. Allah awabariki sana nasi atupe imani.
boss mama wallah Mwenyezi mungu atakupa pepo inshaallah 🤲
Mama boss una imani na hekma Mungu azidi kukupandisha daraja la imani umefanya kitu kikubwa na kizur sana hata kwa mungu
🤲🤝
Ni moyo wa kipekee, maana wengi wao huwa wanadharauliwa ndani ya jamii, lakini jamii hiyo inasahau kuwa naye ni miongoni mwao na anafaa kuolewa na kuitwa mke kama wengine. Mungu azidi kukuimarisha boss mama katika upendo na watu wote.
Nampongeza mama mkuu.
Ila namsihi sana huyo dada aliyeridhiwa asije akafanya masihara kumdharau mwenziwe. Allah atakuja kumpiga bakora maana mwenziwe amemsafia nia.
Jitahidi mamiy. Allah atawasimamia na awatbarik Inshallah.
Kipindi chenu uleta mafundisho mengi, tena mazuri sana. Naiombea hiyo familia iweze kustawi kabisa. Mimi fan wenu #1 ...
huyo mama anampenda sana mumewe na hakuwa tayari kumpoteza . lakini mashaallah kajaaliwa na kifua chakubeba mambo tena nakukaa naye humo ndani kuwa next room.neighbour ? hapa pagumu , sisi tunamuona huyu boss yuko Ok lakini pengine anahitaji councelling maana hili jambo sio dogo . Allah amsaidiye na sisi tujaaliwe kuwa na moyo km wake .
Mashaallah, bos mama Allah ampe maisha mema na maelewano
Mwenyezi mungu akuweke miaka buku boss mama jmm
Wanawake wapo wengi na lazima hiwe hivyo aisee dah mke mmoja kama unauwezo ni pasua kichwa kila time njiani macho kodo unatazama wowow 🤣
Mashaallah
Duu 🤔🤔 mashallah mashallah ongera sana mama MUNGU akufanyie wepesi mama mupendane
Na ww ndio uchukue mfano
Mimii niimewahi kusikia jambo kama hili kwa binti yangu wa kazi dukani.kwamba bibii a yake aliwahi kufanya hivyo ni mtu wa Same
ALLAH akulipe pepo ya juu boss mama
DUH ,HAWA WANAWAKE ,MUNGU AWAPE PEPO TU KWAKWELI
Subhanallah. Mungu mkubwa,si rahisi hii ni stori kubwa
Hakika mungu kwa jina lake kuu habadilishe majibu ya madakitar atimaye hakuna lishindikinalo kwa mungu akupatie mtoto tena
Jamani hapo huyo Mama ni jasiri alichoamua Mungu ampe Maisha marefu moyo wake umeridhia Kitu ambacho Jamani Sisi wanawake jamani ngumu kumezaaa
Kabisa wanadharaulika na mm miongon nimafanya kazi miaka kumi mwisho wa siku yalionitokea ctosahau ktk maisha yangu cku nilipokuja kumwambia boss mama kwamba nmepata mwanaume alichonijibu mpk nikifikiria nattemeka
Dinna mhh upo vizuri.nimekuelewa mama
Khaa.pia mfaham uislam raha sanaaa.
Pepoo ileeee hongera mwenzangu unishike mkono uko peponi
Mungu azidi kumubariki huyo mama na pia dada wa kazi aendelee ku
Kumtii huyo mama kama mamake.
Sofia wacha wivu. Boss mama hana haja ya kujifunza tabia ya huyo muolewaji.
Wanawake kama hao wengi walikufa kwenye vita vya dunia vya pili,uyo alibakia peke yake
Mie nipo salum mume wangu si muoaji tuu
wapo masha ka yako tu
Huyu dada inabidi amuheshimu huyu mama sio aanze kumletea dharau maana nyumba ndogo nazo mh.
Wapo wengi sana ila uwezi kuwajua salim
Ndio amebak huyo sasa!
Niatar kweli macikini allah akupe kheri mama
Yote kheri lkn huyo binti wa kazi nae awe na moyo wa upendo asije akapata kiburi akaanza kumdharau tena huyo Mama aliyeamua kumpa heshima yakuolewa na mume wake
Sheria ya wafanyakazi wa ndani inasemaje.maana kama dada wa kazi alishinikizwa vile
Uyo mama mungu amjalie sna
Hongera zako boss mama
Hongera mamy
Wanaojielewa hufanya maamuzi yanayowapa furaha, maisha yenyewe mbilikimo haya 😜
Kafanya maamuzi mazuri Allah amjalie
Yani uyu mama kapata thawabu na ana moyo wa kipekee
Kwaninavyo msikia huyo dada bado anamuheshimu sana boss mama wake jamani tuseme ukweli ila kwamaneno yawalimwengu yambadisha tu hyo maana mmmm
Sofia roho mbaya kama sura yake
mrs shaaban ni mwanamke wa peponi, wakati huu shida kupata mwanamke kama huyu, sasa mr shaaban awe hodari kufanya haki.
Tatizo huyo aliyeolewa nae ajitambue,maana anaweza kujisahau,baadae akaanza kimzarau huyo mkemkubwa,hapo ndio tafrani inapoanza
Kweli
Si unakumbuka historia ya Abraham,Sarah na Hagaï.Mbona kawaida
Boss mama pepo ileee tena ya darjaa ya juu inaitwa Firdaus
Haswaaa
Uyo binti akumbuke fazila tu sio tena askize vishawshi , uyo mama kaona mbali bora uyo dada wa kazi kishamjua tabia zake kuliko mumewe kuoa wa nje mara aweza muachisha ndoa yake
maa shaa Allah Allah wapee masikisano daima
mm kamuona huyo.mfanya kazi mbaya lait angekuwa na sura na shepu pangechimbika😂
Acha roho yako mbaya unachochukia nn
Kwa sasa amjengee chumba chake na familia ijayo.
Nyinyi nanyi ni wambea jamani hata wakiitana dada si mbaya.
Duh da Sophia hata namba unamfukuza kazi kweli wewe kiboko sasa huku ugaibuni namba ya baba mijengo muda mwingine ndoo wanatoa ratiba ya chakula yuko kazini anakupigia simu sio mama 🤣🤣🤣🤣
Moyo huo sinaaaaaa mungu aniwie radhi😇😇😇😇
😂😂😂😂😂😂👌
😂😂😂😂😂😂😂
Ata mimi duuuuu
🤣🤣🤣🤣🙌
Muombe Mungu akufanyie wepesi uwe na kauli njema na usiombe yakufike maana hata huyo boss mama pengine alikuwa na kauli kama yako.
Dada kwanzia Leo ushike mimba tena mapacha. Kwajina layesu
Atapata na uhakika Mungu anaona yote !
Hongera sana mama wewe ni mwanamke mwelewa
Ushaur wa uyu Dada wa Nne nimemuelewa mashallah, ni kweli bora ataftiwe nyumba nyingine ya kuishi.
Nia ya mwanamke ilikuwa kupata watoto ama kumdhibiti mume asirukeruke nje kutafuta watoto? Mwanaume hata umletee wangapi huko ndani kwake kama ni wa kurukaruka nje ataruka tu. Maamuzi magumu sana she would have adopted a child au hata surrogate mother amzalie. There are many options but sio hiyo ya kuumiza moyo hivyo.
Mwamaume ni mbwa hata mama yke akikaa vibaya atamlala
@@irenemacha7457 dah! Maneno makali
Wadada wa kz maboss wetu kama wazuri kaeni nao vzr mutavuna matunda japo kua wengi wabayya lakini in shaallah MUNGU awasimamie
inshaaallah
Kumbe mrs shaban ni sahihi kabisa, maana sio ajabu, yaan nimruhusu mme wangu aoe house girl never Happen.
Huyo mama nachokiona ni jambo zuri tu kwa nia njema tu pia , ila sisi wanaume kama hilo limefanyika kupunguza michepuko , mama boss aombe mungu pia ....... Mchepukaji haachi paka yamkute .......otherwise mungu atawafanyia njia .
Hongera Sana mama Ni mtu mwenye upendo Safi sana
Tumesikia wamependana wamepeana mume na tutasikia wanataka kuuwana
Baazi yawanawake hamjitambui mnapingana na mungu cheeefuuu
Kuoa ni haki yake nawa wala hajaoa kwa sababu karuhusiwa eti na mkewe imeandikwa na Allah usimuite house girl sawa ni mke huyo tayar
Me nimeipenda ila tu uyo mwanaume amtafutie sehemu nyingine wasikae pamoja maana mtihan
Huyu mama huenda akaipata pepo kwa hili maana hii aliweza bibi Sara tu Mke wa ibrahim
Mashallah mwenyenzi mungu akujarie
Hao wengine wapo kwenye kipindi ila wanaperuzi Instagram haha noma
Hiii noma
Sophia nimekupenda buree
mmhhhh!!!👣👣naomba nipite wapendwa wangu nisije nikatia neno nikakosea.
Hahahaaa😁 inataka moyo
@@chamritaabdul1592 😂😂😂
Mmmmmmmh moyoooo tu jmn
Masha allah mungu ambariki uyu mama🙏🙏🙏
Sn
Boss mama Mungu akubariki sana muendelee kushirikiana vema
Tena ndugu yangu wa kutoka Mg Mungu awabariki sana sana
Very interesting Mungu awabariki ni jambo la kheri amefanya vizuri kaamua kwa moyo wake Boss mama
Masha Allah nimependa wallah
Nawapata nikiwa mascut jwakweli mke mkubwa amefanya vyema sana japaokuwa kibidam ni ngumu ila kwa Allah mke mkubwa amepata daraja kubwa sana.
Na wewe fanya hvyo
Hongera sana mwanamke mwezetu mm nimependa sana
Nimejihisi kutoka machozi aiseee. Daaaah
hongera bos mama jamani nakupenda nasisi tupe imani mungu atakupa ujira mwema nakupenda mimi
Ni jambo la busara huyo mama amelifanya mana alijua kabisa kutokana na tatizo lake hangeweza tena kupata mtoto akaona bora amsaidie mumewe ili amani iendelee kupatikana pia kuliko kumwacha aende akahangaika huko nje.
Hata mtaani kwetu mbona ipo Tena mwanaume m, babu na mkewe m bibi
Bibi karuhusu babu azae na mfanyakazi na wanamlea mtoto mjukuu wao na wanampenda na mfanyakazi mama yupo wanamlea pamoja
Kawaida iyo
Jaman huyo baba angejiongeza kama ni kuoa angeoa mke mwingine kwa sabbu hausgel ni sawa na mwanao uliyemzaa
Huenda aliona ana tabia njema
Maashaallah tabaraqllah 🇰🇪🥰
+254 hiyo roho duh
Huyo binti wakazi awe Makin Sana yawezakana boss Mama Kuna kitu panga kukifanya baadae baada ya kugundua baba anatembea na bint
Mungu ambariki huyo mama na family yote kwa ujumla
Hahahaha yaani uyu sofia ni Mimi kabisaaaa. Aku mwezangu tena pumuuuu raha ya uke wenza msijuane Ila akiwa tayari akaoe ukoo kusiko julikana
Hii ilitokea kwa sara tu aliyemruhusu Ibrahimu kuzaa na kijakaz wake ili apate mtoto mwisho wa siki bint alimdharau sara
Dada uliyepewa mume usije aza dharau kwa mama na aendelee kuwa mama kwako.
Mungu awaongoze katk maisha yenu yote
mashaallah barikiwa ww mama
Bc ww bimdogo umuheshimu naxumpende huyo mama jmn ucje ukaona ndio ww
Ila yakishatokea matatizo hayo, mie naona ni saw tu, maan unakuw hauna jinc na kwa mtu anayemjua ni vzr sana, Boss mama ubarikiwe
Mbn u yo Dada muislam lakini dini kama aijui
We sophia mbn uelewek
Mxhenz kweli nimruhuc kabisaaa hapan labd kamsafiria
🤣🤣🤣🤣
Sasa apo ndoa ishapita ataendelewa kulipwa au
Duuu anamoyo wa kipekee huyo mama
Waa sielewi mimi
Kuna mambo ameyagundua ameona tu afanye hivyoo
Kwakwel mm mwenyw nina moyo wa tishuuuu km sofia
Kichwa habari boss mama nilijua boss mama mke wa Amini
Subra kwakweli inahitajika kwa wote maana............
HUYU MTANGAZAJI DINI BADO HAIJUI NI VILEMBA TU HUYU SOPHIA SIJUI
Naunga mkono maamuzi ya boss mama yangu... Acha woga wewe mdada
Vizuri allah akusimamie inshaallah mwisho 4 kwa waislam
Ila huyo binti wa kazi ana Heshima
Masha Allah mungu azidi kukubariki mmangu
SASA HUYO DADA AITWE MKE HALISI S DDA WA KAZ TENA JMN, KWAN TYR KASHAALALISHWA
Pole my mungu akusaidie mdada
Mungu awafanyie wepesi mfike uzeeni
Du hawa wanawake wapo kweli dunia hii tena hapa hapa tz hii nayo nyota kwa huyu jamaa.
anakijivu uyo2 anasema hawezi hahaaaa
Bos mama nimekupenda mnoo
Nilivyo na wivu siweziiiiiiiiiiiiìi.
unawivu asa kama wangu wewe mh
mh dasafia kweli maneno kuntu wewe dasafia he
Hata mie siwezi
Mi naona wewe huna wivu Kama mm weeeeeee
Tuwaombee dua kwahiyo ndoa yao hyoooo
Mmmmh! Ngumu kumeza
Mmh mlogolo, jmn ww morogoro mbona hivyo
Allah akupe pepo daraja lajuu insh'allah
Mashallah allah awazidishie mapenzi
Pepo ya daraja firdaus ileee imeipokea kaza buti usitetereke ikakiponyoka