BAHARIA: KUTOSWA BAHARINI/ SAMAKI MTU/ ALINIOKOA/ NILIKATAZWA KUSEMA/ MAISHA SIO RAFIKI/ UMALAYA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Inasikitisha sana, lakini ndivyo ilivyokuwa katika utafutaji wa maisha wa Bahari Mlachake, kutoka safari ya Treni hadi Melini na kujikuta yupo nchi za ughaibuni, ameishi Maisha ya kustaajabisha sana, lakini alikubaliana na hali halisi, ni sehemu ya bindaamu waliowahi kumuiona SAMAKI MTU Baharini!
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #china #canada #mbanga

КОМЕНТАРІ • 53

  • @dar24media
    @dar24media  Рік тому +8

    Kipindi hiki kinaruka kila siku ya jumamosi na juma tano saa nne kamili asubuhi, kama una simulizi/mkasa wasiliana nasi kwa namba #0653127761

    • @nasibujuwe3038
      @nasibujuwe3038 Рік тому

      Ebna my brother mbanga mimi natokea Tandika naishi Canada 🇨🇦 uyo ni mdogo wangu muhulize l
      wa kitaa chetu hapa ila MImi ndio kaka yake mkubwa kwenye maisha Aya Bundala wa kitaa...mimi ni A.K.A nyei ...nipo hapa Canada nanyuwa matambala yake yote...na Akina Binanasi jamadini wote tunajuwa...Bundala

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 Рік тому +12

    Huyo Michael Aloyce Kilango alikua anakaa kiluvya gogoni,alikua Canada akarudishwa na sasa yuko Belgium huko. Anachosema jamaa ni sahihi kbs

  • @MichaelStewart-cl3fo
    @MichaelStewart-cl3fo Рік тому +5

    Saf sanaa kipindi kipi vizuri sana. Tunapata darasani kubwa sana ambalo hata huko mavyuonii hupatiii

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 5 місяців тому

    Pole sana classmate (forest hill) wangu ila maisha ya kiuni ulianza hata ulivyo form one.maisha ni kuchagua

  • @ramadhanikioza9913
    @ramadhanikioza9913 Рік тому +3

    Daaah huyo namsifu alisoma primary miburani alikuwa anakaa maghorofani tandika na Alex pia alisoma miburani primary na alikuwa anakaa tandika Mtaa wa kitunda wote nilsoma nao Miburani

  • @andrewdankanidankanichilal8944

    Sema kaka siku izi una improve ata kuongea safi Sana

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Рік тому +6

    Ya know wat a mean,I feel ya Gee....unyama sana....

  • @InnocentWillbald-du9en
    @InnocentWillbald-du9en Рік тому +3

    Dah hii simulizi kali saana.tusiache kujifunza ..

  • @emanuelmhoja2411
    @emanuelmhoja2411 Рік тому +2

    Napenda sana mixer ya kiswaz na Blair

  • @andrewdankanidankanichilal8944

    Noma na mm nna story yangu ya safari South Africa

  • @abdulazizbrek4980
    @abdulazizbrek4980 Рік тому +2

    Ii kali na budaa yuko vizuri kimombo

  • @johnkalubea8555
    @johnkalubea8555 Рік тому +2

    Ongea tu Kiswahili mkubwa utaeleweka vizuri

  • @liltanz2267
    @liltanz2267 Рік тому +2

    Noma na kukubali DUPA
    Profesamichoro hapa kutoka lstanbul Turkey Baharia mbishi

  • @themanofgod7562
    @themanofgod7562 Рік тому +2

    I like this scenario the THUG life and OUTLAW.

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Рік тому +1

    Ok poa . kusoma sio skuli tu hata mitaani kunaelimisha na ndio kwenye elimu ya kweli na kwa vitenndo wacha tusikilize tujifunze

  • @Boaz22
    @Boaz22 Рік тому +3

    Ongea kiswahili tuu kaka, tutakuelewa😂😂😂😂

    • @moneythemes
      @moneythemes Рік тому

      Kuongea ni sanaa, na ni mazoea ya mtu baada ya muda flani.Hata wewe kuna mambo watu labda hawakwambii unaweza kuta kuna msamiati huwa unautumia vibaya au mara nyingi, na wengine labda unawakera, lakini wanaishi tu na wewe😆😆

  • @pascalmgina
    @pascalmgina Рік тому

    I can behave to do it myself....noma sana

  • @user-ce2kq5xr9u
    @user-ce2kq5xr9u Рік тому +1

    Nilikuwa Naye kitambo nyong'o engalus

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 Рік тому

    Naona Mzee hata matamshi ya lugha ya kiswahili ni ya kizungu😂.

  • @cchimodzi3858
    @cchimodzi3858 Рік тому

    Nakubali Forest Hill Secondary school aliyosema ni kweli ilikuwa wahindi tupu

    • @peterrulagora7403
      @peterrulagora7403 5 місяців тому

      Lo!nimemkumbuka Forest nilisoma form one tu 91,alikuwa muhuni toka kipindi hicho

  • @Josh_1194
    @Josh_1194 Рік тому +1

    Baharia anavunja yai

  • @gilbertmunga5351
    @gilbertmunga5351 Рік тому

    Suspense well created

  • @hudsonhenry1849
    @hudsonhenry1849 Рік тому +1

    Nilimsikia mwana kwny gangana

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 Рік тому

    Haijatoka Part 2

  • @DomsonMendez
    @DomsonMendez Рік тому +1

    Huyo mwamba anavyoongea ananiua ananikosha kinyama

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 Рік тому

    Part 3 yake lini

  • @ibrahimngayonga7210
    @ibrahimngayonga7210 Рік тому

    Se man ✊

  • @user-ce2kq5xr9u
    @user-ce2kq5xr9u Рік тому

    Nyong'o lends ramadhani kitambo

  • @aloycelucas1823
    @aloycelucas1823 Рік тому +1

    Pale BBC ukiwa kwenye interview ukiweka English kidogo tu mtangazaji anaifasiri ili kuonyesha kuwa neno lile k enye kiswahili lipo na haina haja ya kuliongea kwa kiingereza Sasa ndg yang mswahil unajitoa ufahamu kujifanya hujui kuongea kiswahili vzr mpk utie kizungu halaf mwandishi anasapot mi nasema haiko sawa. Mzungu akiweza kuongea kiswahili anapenda aongee bila kutia neno la kwao lakn mswahili akiweza kizungu kidg tu mmekwisha na pengine hata akiongea kiswahili hawezi kutofautisha matumizi ya R na L, hebu tuacheni Mambo ya kudharau ya kwetu!!!!!!

    • @DomsonMendez
      @DomsonMendez Рік тому +2

      Huyo ni swaga zake alafu ukisema tufate vyetu hata hiyo smartphone ni uzungu

  • @hamzahabits7912
    @hamzahabits7912 10 місяців тому

    smart English oooh kill me

  • @user-bt3sw7dv7k
    @user-bt3sw7dv7k 10 місяців тому

    Nlubali

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Рік тому

    😂😂 Stori nzuli hasaunavyo ongea na sleing unaniongezea hop

  • @saidimaulidi-be9ds
    @saidimaulidi-be9ds Рік тому +1

    Tuma nyengine

  • @lazaroleonard3630
    @lazaroleonard3630 Рік тому

    Kk atuoni muendelezo unapost lini kk

  • @mariayoeni4211
    @mariayoeni4211 Рік тому

    Hedaru home ❤❤😂

  • @ruwaidamabrouk1797
    @ruwaidamabrouk1797 Рік тому +1

    Nimeona tatoo ya mtangazaji😂😂😂😂

    • @muhammadkassim6291
      @muhammadkassim6291 Рік тому

      Tatoo ni haramu kwenye uislam na hata mkiristo moja alithibitishia kwenye Imani Yao haijaruhusiwa kuchora tatoo

  • @KhadijaMiteya-hh8xl
    @KhadijaMiteya-hh8xl Рік тому

    Kweli wewe bahari unachanganya vyeo vya wakuu wa jeshi. Bora usitaje 😅😅😅😅

  • @aziza9093
    @aziza9093 Рік тому

    😅😅

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 Рік тому

    "bandala stole kachori" 😂😂😂

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 Рік тому +1

    Tunajifunza ila mbaba anaupiga kingereza hahahahaaa interview ya leo kali ila mtangazaji mwambie baharia azungumze kiswahili tu ili wote tumuelewe

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 Рік тому

    Kuna Ajagani transient wote ni wabongo???😄🇹🇿🇬🇷

  • @user-ho1th5ce6n
    @user-ho1th5ce6n Рік тому

    Tunajifunza vingi kwenye hizi stor