ALLY KAMWE NA MASHABIKI WA YANGA WAANDAMANA KISA CHAMA, FULL VIGOMA "CHAMA TUNAE TUNATAMBA NAE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 34

  • @omarcarlos4595
    @omarcarlos4595 Місяць тому +4

    Mwamba wanae wanatamba naye. Ila tz tunapenda shangwe. Mpira ndio kazi ya Chama kama mkataba kwetu umeisha hakuna kulazimishana.Mwisho wa siku ni maslahi tu kama kuna deal nono why not. Kuondoka kwa Chama kisiwe chanzo cha ugomvi na migogoro ni kutafuta tu Chama mwengine vipaji mbona vipo bado. Simba itarudi na nguvu yake ni suala la muda. Hongereni watani kumpata muliyehangaikia kwa miaka mingi. Mulianza na mkude sasa Chama mukihitaji mwengine msisite kuimarisha timu yenu. Mpira ni mchezo wa amani. Tutamkumbuka mwamba kwenye uzi wa SIMBA

  • @aishamussa2868
    @aishamussa2868 Місяць тому +2

    Wataita maji mma 💚💛🖤

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek Місяць тому

    Hayawi hayawi,hatimae yamekuwa !,hii fujo c ya kuchezea/moto huu ni wa tiper.Sasa shughuli inazidi kupata washughulikaji,TABU IPO PALE PALE,❤❤❤❤Yanga mie !

  • @user-jh9yv1zp1l
    @user-jh9yv1zp1l Місяць тому +1

    Hay bhn ,ndo maish ya mpil yalivy tutampat mbadal wa chama,wanasimba tusilaum lzm tukubal chama sio simba ni mpitaji

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly Місяць тому

    Yanga hamnajambo dogo

  • @AfricanKid-mu9lo
    @AfricanKid-mu9lo Місяць тому

    Akuna shidoo😂 chama ndo ivo yaan ❤❤❤❤❤❤

  • @VictorDominick-qg5qq
    @VictorDominick-qg5qq Місяць тому

    it's crazy

  • @KabindiSanaagroupofficial
    @KabindiSanaagroupofficial Місяць тому

    Nashangaa tulimuita kilema xaxa jamani ngoja nikae kimya

  • @UmmyHassan-we7ow
    @UmmyHassan-we7ow Місяць тому

    Inaonesha wananchi walikuwa wanamtolea udenda san hatimae wamemsajilu

  • @nestorykakatv7526
    @nestorykakatv7526 Місяць тому +1

    Leo ndo nmeamini yanga ni tim ndogo😂😂😂 yaan kusajir chama imekua ka wamebeba kombe

    • @othmantv2654
      @othmantv2654 Місяць тому

      Mnapigwaje goli 7 na tim ndogo?😂😂😂

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku Місяць тому

    Duuu 😂😂😂😂😂😂mmenishinda tabia Wana yanga kama Gen z

  • @SeifKarata-fr7dv
    @SeifKarata-fr7dv Місяць тому

    Yan vile manara anasema wenye akili yanga niwawili2

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 Місяць тому

    Nika mashara aiseee Yanga mmetisha.

  • @BASHIRINAMYUNDU-dv5ff
    @BASHIRINAMYUNDU-dv5ff Місяць тому

    chama mwamba wa lusaka kaz kwako wananchi hawana jambo dogo

  • @SamwelMnaga
    @SamwelMnaga Місяць тому

    Yangaaaaaaaaaa 😅😅😅😅

  • @amrimizambwa1191
    @amrimizambwa1191 Місяць тому

    Mchezaji wa ndoto wa ijinia sio mataktakwa yane hii gemu mtajitafakari,mmepata au laa

  • @richardtom38
    @richardtom38 Місяць тому

    Ila yanga watatuesa sana simba

  • @user-jb9et3fy6b
    @user-jb9et3fy6b Місяць тому

    Húo wenu niujinga naúshamba what's çhama çhama ni uchàfu uchama ni úchama ondoeni uchàfu huo

  • @elardmassawe5513
    @elardmassawe5513 Місяць тому

    😂😂😂 ni mbaya tuuuu

  • @SebastianDaniel-mb4nl
    @SebastianDaniel-mb4nl Місяць тому

    Chama ndo nani😀

  • @kashiririrkaasongwisye9487
    @kashiririrkaasongwisye9487 Місяць тому

    Hao ndo Yanga hawanaga dogo yaani nchi ngumu wamepata pa kuchekea wanavizia tu

    • @kashiririrkaasongwisye9487
      @kashiririrkaasongwisye9487 Місяць тому

      Sasa wewe ndio chama kwa hii tu utafia uwanjani utajilaumu ulikuwa wapi kuhamia bado kule avic maisha mazuri mpk basi

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix Місяць тому +2

    Chama kumbe nimeamini ni zaidi ya pacome leo ndo nimejua pakome hana chake yanga

    • @alymansury
      @alymansury Місяць тому

      Chama ndio mchezaji no 1 kwenye league ya Tanzania aliependwa na Timu zote Tanzania
      Chama ndio mchezaji no 1 Duniani or Africa aliesuburiwa na Timu kwa ziadia ya misumu 5 fululuzo
      Chama ndio mchezaji no.1 Duniani alesajiliwa na Timu fulaan afu akachezea SIMBA
      YANGA ndio pekee DUNiani ilivyovumilia kwa misumu 5 ili imsajili mchezaji CHAMA
      Huo ndio mpira kama Kuna mchezaji yoyote duniani mwenye historia kama ya chama tunasuboria kumjuwa😂😂😂❤

  • @AfricanKid-mu9lo
    @AfricanKid-mu9lo Місяць тому

    Aiseee hata mm nimefurah kuona watanzaniaa mna aman na mnafirah jmn eeeeeh furahinnnn jmn ONGEZENNNNNNN SIKU ZA KUISHII AMINA

  • @flaviankitowa5439
    @flaviankitowa5439 Місяць тому

    Nini hiki jamani kichwa cha mwendawazi kweli sasa yupi wa kumfagilia sijui kila mmoja anamtizamo wake mimi hapana hafai