🤣🤣Ila hawa wapo poa kikundi chao Nawapenda Sana 😂🤣 Ila clam apo uliposema eti naenda nyumbani iyo sura Mimi Hoi Mmbwa Mimi kicheche umeuwa 🤣🤣upakwe mafuta unapenda ndio kwanza unaongoza mbele nimecheka hahahaha 😁😄😄 love you ❤️kazi nzuri
Mashaallah safi sana naitwa FAHAD ABDULLA OMAR kutoka Zanzibar yaani huyu dada ananivutia sana natamani japo siku moja awe mke wangu nimuowe yaani ananivutia sana wala cjui anaitwaje ila nimependa alivyoekti mwanafunzi kwani a anapozi za kuvutia
Acha nirudie tu kucheka nampenda sana huyu kaka mwenye kikofia chekundu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ntumie nmb yk bc sonia
Mmmm🤣🤣
Namim namupendag
sonia
At na mm n namkubl xo poh anajua kuchekexh😂
Hahahaa! Mbona mmekuja wote...ushagonganisha magarii!!1
Napenda comedy zenu From Burundi nawapenda sana
Bhailam ni mwisho wa matatizo you're great actor ever happened
Naenda nyumbani 😂😂😂 watching from 254 Kenya.wapi ma likes mbwa mimi
😂😂😂
Yesu ninai
A m m mam m m. M. V😊
Jamani baba kama huyu wako wapi😂😂😂😂 Mbavu zangu
Bhanaeee 😁😃 hakna Tena kma hawa
@@aysha9932 wote walikufa waliobakia ni wale wa utaozea jela 😄😄
🤣🤣🤣🤣🤣
@@watisonywatisony7659 acha kucheka Kuna baba kama huyu🙆🙆
@@raziakongani6472 😂😂😂😂
Minaenda nyumban🤣🤣🤣clam kila akifumaniwa anasema anaenda nyumban kula ugali😁😁😁uyu dogo sio mzima 😀😀
😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😅😅😅😅😉😉😉🥰🥰❤❤
Nampenda dada msukuma anabonga Hadi Raha Kama vip aendelee
Aah wapi kina baba nd wangekua wote km Hawa nomaa........ hongera kicheche🤣🤣🤣
Hahahaha 🤣🤣🤣. Hakika mnajua kunichekesha
🤣🤣🤣🤣mbwa mimi
Oka mparanene ila hela nmepataaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣hata kama life gumu kwa style hii huwezi kufa kwa stress
Kwakwel hawa number 1 🇹🇿 Burundi 🇧🇮 ♥️ together
We mpuziii nani atameng'enyuliwaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 KICHECHEE na CLAM nawapenda sanaaa na hao madada zenu piaaaaa mwankoshaaaa😂😂😂😂
Mbwa kicheche umenitoa streess aki🤣🤣🤣🤣🙌🙌 nimefika mwisho
Mbwa mimi unatisha mpaka Chatu nainjoy😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣
kicheche ww bi best comedian East Africa
😂😂😂😂
Kicheche umenimaliza,Eti wapenda kupakwa mafuta
Ilo segere nimecheka Sana jaman❤️❤️❤️
kicheche fresh sana bloo big up sana
🤣🤣Ila hawa wapo poa kikundi chao Nawapenda Sana 😂🤣 Ila clam apo uliposema eti naenda nyumbani iyo sura Mimi Hoi Mmbwa Mimi kicheche umeuwa 🤣🤣upakwe mafuta unapenda ndio kwanza unaongoza mbele nimecheka hahahaha 😁😄😄 love you ❤️kazi nzuri
Hata mm hio sura ya Clam huwa inanichekesha sana 😂😂😂
Aki kicheche nakufa na kicheko jamani 😂😂
N claris raha kutoka Kenya waaaa nmependa hyo sauti
Nyie watanzania mtatuua siku moja."twende mkanipake mafuta napenda Sana"From kenya🇰🇪
Ila jmn we cheche kichaa kweli mtt wako umemfanya biashara 🤣🤣🤣
Waooh Dada angu kumbe msukuma kama mm
😀😀😂mbwa huyu …..naenda kwenye gariii😂😂😂
😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 Mbwaa mm nakukubali cn
😂😂😂likes kutoka Kenya zikuje kwangu
Kicheche ni mpuuzi nyieee😆😆😆😆😆😆eti mimi mwenyewe napenda twendeni
Na wapenda saana ✊
From drc🇨🇩
Kutoka Kenya 🇰🇪. First time kutazama filamu hizi Tamu kweli. Ndugu zangu like nipewe zote mbwa Mimi😔🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Âme chukuwa anaweka waa... 😂😂😂😂 Yani nime penda kutoka Congo DRC
Mashaallah safi sana naitwa FAHAD ABDULLA OMAR kutoka Zanzibar yaani huyu dada ananivutia sana natamani japo siku moja awe mke wangu nimuowe yaani ananivutia sana wala cjui anaitwaje ila nimependa alivyoekti mwanafunzi kwani a anapozi za kuvutia
😂😂😂😂😂😂 kicheche unanichekesha mbua mimi🤣🤣🤣🤣🤣
kicheche akili zako wazijua mwenyewe.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Njooni munipake mafuta mbwa mm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰👌
Uyu jamaa kicheche Amnazo kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tungekua kama baba hawa sijui tungenjoy sana😂😂😂😂
Tumia fursa mweu umbwa mimi watching from kenya I am Elly
Kutoka Kenya nipeeni naomba Like Hapa tafadhali
Like mnazolazimishaga zinawasaidiaga nn au mm ndo sielw
Nimecheka haki .kutoka kenya .uyu kikofia chekundu nomasana mbwa yeye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 et mabomu ya gongo la mbotooo
Kicheche imetosha mwamba🤣🤣🤣🤣
Kicheche is the 1st one
Hatari kwakwelyyy🤣😂😂😂😂😂
Et mfanye slow slow mtoto wangu uyooo🤣🤣🤣
Duh mbwa nyie mtatuua asee✌️✌️✌️
Eti mi ni mweu wa ela, mbwa wewe pita kule 🤣🤣
💕💕💕💕clam hatariiiiiiiiiiiiii xn kicheche unamamb
Daah we kicheche nomaaaaa yaan siku nzima nimeshinda naangaliaa hii clp yaan mbafu sina
Yaaani Leo nacheka kila kipande hatari Sana
🤣🤣🤣🤣🤣jmn walah nimecheka adi tumbo laniuma Yani nyie hongereni sana Kwa kz nzr kk tajili Kwa kulia tu upo vzr sn 🤣🤣🤣
Nataka like za 🇹🇿 heshima za nyumbani
Cher love you
Uyo boss anajua🤠🤠🤠
Kicheche bhana haya bhana umenichekesha sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kicheche kweli 😅😅😅 baba kweli kweli
Jmni kicheche utatuua na huyo clam 😛😁😁😁🤣🤣😂😂😂😂😂😀😀😃😀😄😄😄😛😉😉😉😉😉😉🥰🤩🤗🤗🙃😘😘😍❤❤❤
Naenda kwasababu napenda🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂Et fally ipupa, ❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kicheche Leo umenivunja mbavu😂😂😂
Mahaba yaua kweli 😅😅😅😅
😂😂😂😂kicheche ni mwehu
😄😄😄Amna baba apa
Bailam unikosha🤣🤣🤣Etty unalia🤣🤣🤣
We clam watembea na watoto wa wenyewe na umuoga mbwa wewe 😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜
THANKS FOR WATCHING
😁😁Kicheche una vituko kweli..
Kicheche daah htr mnaniumiza mbavu
Jaman nimesheka sana mbavu inahuma 😂😂😂😂😁
Uyo babaniasikuzamwisho😂😂😂😂😂😂💪💪
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Oyaa twende wo wo wo twende wote tukanywe po po po tukanywe pombe😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijui ulewimbo kautoa wapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Cjui kautoa wapi mbwa huyu
@@mwanaidisadi5021 🤣😘🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😅😅eti mbwa huyu mbwa mmi
Hene naseka😂😂😂😂😂😂 mbwa mm nimecheka ovyoo
🤣🤣🤣🤣 kicheche bhn
Here in Rwanda 🇷🇼 we like your comedy!
🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@@unrealdev7964a❤❤aaaaaaab . Aaaá😢😅😢
Namkubari sanaa✌👍🔥🇲🇿
Kimbeuty napenda icho kiluga 😀🥰
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ahaaaa mmetishaaa sanaaa
Hana uanafunzi yule ni Malaya😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nipakeni mafuta na likes na mm nijiskie😁😁😁
Dah kicheche utachana mbavu acha upuuzi mbwa wewe…!🤣🤣🤣
Wejamaa wewe kweli mbwa sisi 😁😁😁😁
Naflahiav sana hiz move nzur
From 254 likes za buza hapa mwamba katisha😄,
Baba mshamba uyu 🤣🤣🤣
Hhhhh🤣🤣🤣cha muhimu zingatia usimpe mimba😂😂😂mbwa ww
Pesa nimtihani kwakweli 😂😂😂
Mr kofia 🤣🤣🤣❤️🇨🇩
Aaaaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nalia aki,,,,hiii kali
Nimecheka jamani kweli huyu mzee chenga
We mbwa pita kule🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eti huyu mbwa nakukabizi😂😂😂
Nimechekaaaa mbwa mimi 😂
😀😀😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂😥😥😥😥😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😆😆😅😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😆😁😁😆😆🤣🤣🤣😅😅😅🤣😂🤣🤣🤣😂🤣😂🤣🤣😅😅😆😁😁😃😀😄😄jmni aisee mbavu zangu zinaisha napenda kupakwa mafuta vilevile jamani mtatutoa mbavu uwiiiiiiiii 😀😀😀😀😀😃😃😃😁😁😆😆😘😘😘😍😍😍😍❤❤❤🥰🥰🥰😉😉😉🙂🙂🙂🙂🙂❤❤😍😍😘😘😘🥰🥰🥰🥰😜😛😝😝😝🤗🤗🤗🤗😉😉🥰❤😍😘🙃💚🤗🧡💙💜🤩
Emu nicheke tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni marcel kapene kutoka congo drc napenda sana
Bailam very good😅😅😅😅😅
Kicheche mbwa wewe unatamaa sana😂
😀😀😀😀dunia simama
Ya leo kicheche umeua 😂😂
Jamanii mzazi kama huo😭😭
😂😂😂hatutakii😂