Tafadhali si Vyema kufanyia mume kinyume ya ndoa, hata kama yy ni masikini ni mungu Aliekupa tusiwadharau maana kuna siku ya kila kitu ya kukucha kwake.yeyote Yasiowezekana kwa mbinadamu yote inawezekana mbele ya mwenyezi mungu Amina 🙏🙏
Aiseeeee humu ndan kila mtu anakipaji chake kila mtu anatumia sehem yake ipasavyo ila kweny sehem za umalaya namkubali sana vai ila clam vevo kila pahala yuko pw pia bairam kila pahala yiko pwaaaaa
Alafu kitu nimegundua Tz ni kwamba vipaji vya ma best actors vimeamia kwenye comedy kuliko bongo movies , ex: ili group nzima, akina mkojani pia, joti , nk .....
Mama na mtoto kutembea na MTU kisa pesa kwel yanafanyika hayo lakn sivizur kabisa Tutafuten pesa wenyew jmn kuku na kifaranga mungu tusamehe makosa yetu😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
Watanzania acheni mambo yenu kuhuxu Paula, kajala , harmonize, mna unaushahidi mbona mange kimambi huwa anatoa vitu kwa ushahidi,, acheni izoo au hamjui kuwa mwijaku pale anatafuta kk/ pesaa ✍️✍️
What a lovely background song damn! Muwe mnawataja majina hao Artsts wenye hizo background track kwenye crue ili nao tuwape support maana naona nyimbo zao ni 💥 kuliko hao maarufu
Huyo jamaa aliyeigiza kama baba wa familia ameigiza vizuri sana ila huyo mwingine mwenye breach kichwani ameleta comed kwenye serious yaani mimba imepachikwa kwa mwanaume alafu analeta masihara.maoni yangu ni hayo tu
Clam kipaji kimelala hapo nakubali👏🏼👏 shout-out from 🇰🇪🇰🇪
Wa kwanza like zangu naombeni jamani
Tafadhali si Vyema kufanyia mume kinyume ya ndoa, hata kama yy ni masikini ni mungu Aliekupa tusiwadharau maana kuna siku ya kila kitu ya kukucha kwake.yeyote Yasiowezekana kwa mbinadamu yote inawezekana mbele ya mwenyezi mungu Amina 🙏🙏
Loveness waaaoow
Unajuw san yaan
Mnenifurahisha Sana mmetoa funzo zuri Sana pesa sio kila kitu nawapata nikiwa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦 kazi nzuri Sana
Ninakubali sana bonge moja la idea inshort KAZI NI NZURI ✊
Aiseeeee humu ndan kila mtu anakipaji chake kila mtu anatumia sehem yake ipasavyo ila kweny sehem za umalaya namkubali sana vai ila clam vevo kila pahala yuko pw pia bairam kila pahala yiko pwaaaaa
Hii kali sana😂😂😂fagia yote
Kazi nzuri.... Following from Mombasa Kenya
Clam anaupiga mwingi mpaka unamwagika 🤣🤣🤣🤣
Imeniuma kama kwel jamaaa kavaaa uhusika kwel kama baba yani
Nawapenda 2 sana m nanipa laa guys ety I love you my friends pole baba 😂😢😬😭😹✊
Mutot muzim san haaa mwacetu tu 😂😂🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Salute bairam
Alafu kitu nimegundua Tz ni kwamba vipaji vya ma best actors vimeamia kwenye comedy kuliko bongo movies , ex: ili group nzima, akina mkojani pia, joti , nk .....
Good advice to those misusing school uniforms,hapo Kenya pia tuna watch Asama 😄 kudo's guys
Nimeipenda jamani umeonyesha nijinsi gani mapenzi yanavyo umaa
Good actors, I love you so much, continue to teach people, money cannot buy everthing.
Money can't buy everything!!😂😂😂
Mambo safi kicheche upo mbwa wewe 😂
Huo wimbo ameimba nan
Clam 🤣🤣🤣🤣🤣eti wamenitaka wenyewe dah umenikumbusha. Kingdom yakanumba🤣🤣🤣
😂🙌
Ngoma yakitoto haikeshi kwel mzee 😂😂😂😂😂clam bwana umetishaa
JAMAA LINAJUA SANA NIMEPENDA SANA HII AMEBEBA HUUSIKA
Mama na mtoto kama naniliooo 😂😂😂😂... clean comedy 🔥💯
Naijuwa iyo hhhh
Yes
Clam amefanya ile kitu kama na mtoto 😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Jamaa anajua uhusika
Clam upo vizuri had nakupendaaaa
Good
Nzuri sana
Mama na mtoto kutembea na MTU kisa pesa kwel yanafanyika hayo lakn sivizur kabisa Tutafuten pesa wenyew jmn kuku na kifaranga mungu tusamehe makosa yetu😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
Iyo idea ni ya kajala + Paula + harmonize watu wenye kusoma nyakati tushaelewa , from Mozambique
Watanzania acheni mambo yenu kuhuxu Paula, kajala , harmonize, mna unaushahidi mbona mange kimambi huwa anatoa vitu kwa ushahidi,, acheni izoo au hamjui kuwa mwijaku pale anatafuta kk/ pesaa ✍️✍️
Kweli_kabisa_dunia,ina_mambo
Iyo Kali sana nakukubali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 afu clam unapendeza sana ukiwa na mimba
What a lovely background song damn! Muwe mnawataja majina hao Artsts wenye hizo background track kwenye crue ili nao tuwape support maana naona nyimbo zao ni 💥 kuliko hao maarufu
Nyooo... Wamenitaka wenyewe penda hpo sana ww clam...
Enyewe nakubali, Keep going guys.
nakubal mkuuuuuuuu
Mtoto mwenyewe anaitwa love sasa mnategemea nini😀😀😀
Ilamzuli
Baba ana jua adi anakela
Kutuka 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 I love you guys so much
Ila acha masihara uyo mwanafynz ni hatar
Clam umelalayooo😂😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Too emotional bro 😅😅
Kwanin jaman wanaume mtoto akiwa mwema ni mtoto wake akiwa muovu mwambie mwanao hii ni taswira halisi ya jamii
Kama kanumba na Ramsey devil's kingdom
Baihlam umeow maan nakukubal xn jmn
Daah kumbe mama na toto njia moja
🤣🤣🤣ukiona tabia ya Mtoto wa kike karith Kwa mama
Kweli pesa mchawi jamani 😂🤣😂
Daa mwamba unajua sana
Sana
KWAMALA YA KWANZA NIMEANZA KUMKUBALI JAMAA MASHATI
kali sana which song is that at the end
Kumb mam ndo muzim zaidi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏😂😂
Vimeumana aisee sio pow
Clam kilio chako sikuelew🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo jamaa aliyeigiza kama baba wa familia ameigiza vizuri sana ila huyo mwingine mwenye breach kichwani ameleta comed kwenye serious yaani mimba imepachikwa kwa mwanaume alafu analeta masihara.maoni yangu ni hayo tu
Umetisha
Sio Funy tu ina mafundisho ndani yake..clam kaupiga mwingi km Noah wa Nigeria
Mwenye nguvu mpishe🤣
Mnajua sana umbwa nyinyi
Daah mbona imenitoa choz huku mbele😢😢😢
💰💰💰💪💪🌟🌟🤑 naikubali
Mbona simuon ancle putura
Baba anaigiza Kama me richie
Ko wote wanamimba ya mzee baba clam kijana wa hovyo😁😁😁
😱 dah chozi limenitoka😭
Mamaa na mtoto🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoma ya kitoto haikeshi😭😭
Usijali hio ni kawaida....
Kikofia chekundu Yuko wapi
sasa najifunguaje.mke wa mtu sumu
Kubwa kuliko
Maajabu hayo no money no love,
Mzigo umemwagika tupe vitu wazee
Kali sana
So funny 🤣😂
Kawimbo katamu jomon
Kajala na paula
Jaman nimecheka sana
naipenda hiyo duh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣clam umetishaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
safi
Mmmmh🏃🏃🏃🏃
Ngoma ya kitoto haikeshi
Clam.kipenzi cha watu
Good job
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Road to 100k
duuuh
Sweet
🔥🔥🔥
Kuku na mayai yake
😅😅😅🔥🔥
Hiyo nyimbo guys
Chadogiemc
ʰᵃʰᵃʰᵃ ʲᵃᵐᵃⁿ🙄🤣😂🤣
Ase namwelewa iyo pic nyeupe
Ww2
hahahahaha aaaaaaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
simba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂