Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hahaha mwalimu unafurahisha namna ya ufundishaji wako upo kirafiki zaidi hata mtu awe kichwa maji ataelewa tu
Mashallah Allah akuzidishie ilimu akupe maisha marefu tupate kuelimika kutoka kwako
Unachonifurahisha Mwalimu wangu ukitoa ahadi ya somo lazima utalifundisha.Mwenyezi MUNGU akukinge na hatari bado tunakuitaji Sanaa ususani watanzania.
Allahomma Amiin amiin, Asante Mr. Dominik
Nahitaji Fomu
@@nk-computertrainingNk more then professional 🎉❤
Kaka please ninashida na wewe nakupataje ,ntalipia garama zenu sim yangu iko na shida
Nashukuru kwa msaada wenu
Asante nawe ndugu.
Goood Jobu 😊
Mie kuna mt ameniunganisha anatumia sm ndogo na mm natumia kubwa kila nanocho fanya yy anajuwa jee amefanyajee
Umetisha mwalimu nahitaji masomo
Karibu sana jaza fomu.
MWALILU ONGELA SANA. KWA KAZI UNAYO IFANYA.. NAULIZA UNA FUNGUA VP WIF KWENYE PC... UNAWEKA BILA KUWEKA MODEM
WIFI haikai kwenye PC labda laptop, na kama unataka kupokea, ama kusambaza lazima uwe na modemu au uchukue kutokea kwenye simu.
Asante
Sasa kaka kama wamekuunganisha na wifi yao utatokaje
Mchumba ang ameniunganisha sijui 4:28 j kafanyaje kila sehemu iwe sms iwe call sijui kwanini kafanya ivi 😭
Pole sana, fuata maelekezo kumtoa
Whatssap yangu imekuwa hacked nifanyeje
Nashindwa na mimi ni muhanga naweza kukuona praivet
Tutumie ujumbe WhatsApp, namba natazama Description.
@@nk-computertrainingnaomba namba ya whatsap
Mimi simu yangu ilitrakiwa
whatsup yangu matapeli wameihuck nafanyaje tafadhali
Nimecheka jamn😂😂 ila nimependa sauti yako pia nimefura na somo
Asantii
Namba kaka angu naomba
Tazama chini ya video.
mwalimu tufundishe kuhusu iyo awesan
Mungu akipenda.
Namm nataka kuona zakwak lkn nipo nje ya inch
Unataka kufa😂😂😂
@@RobinaRobert-t9v wala siwezi ila naomben
Yan una akiri nyingi sijui hata ulizitolea wapi 🤣🤣
Hamna tumeotea tu hahaha... Asante sana hata hivyo.
habra Zenu wasap yang matapel wameihuck nafanyaje tafadhali
Tutumie ujumbe whatsApp> wa.me/201028123266
Kama una iphone unaona tracking notification hii ni ya sim tuu mana ukiingia unakuta automatic
Me nimeshindwa kwenye iphone naomba nisaidie
Je nikimblock ataona pia
Hatujafanya jaribio hilo.
jinsi ya kuconect iyo awesun
Tazama video yake.
Nahitaji kujifunza computer
Jaza fomu kwenye discreption.
Na nikitumia line lngine pia ataona sms zangu kwa watssap?
No, hawezi.
Vp bloo hamfudishi hata namna ya kuweka video mtandaoni mm sijui napenda nijue bulatha
unataka upost wapi nikusaidie
Kaka mimi mbona nimeingia kwenye hidden apps naombwa passed??? Na ninahisi sim yangu inafatiliwa
Whatsap yangu kwenye call imehakiwa nataka kujua alieweka
Tutumie ujumbe WhatsApp.
Nataka nijue computer
Karibu sana ndugu
Yangu haileti link devices
Tafuta neno devices
Kazi nzury
Asante e
🔥🔥🔥
🥰🥰
😢😢😢😢
Jaza fomu.
Naitaji number ya whatsapp
Fungua Read more.... Yani Description.
namba yako mkuu
@@nk-computertraining nakupataje kk??
Where I can get you🥲🤲
Tazama description kujua unawezaje kuwasiliana nasi.
@@nk-computertraining kk. Nakupataje??
Kikawaida wewe ndo unajiunga na WIFI hivyo Hakuna kitu kama hicho, Na kama itatokea hivyo Jitoe kwenye WIFI yao.
Hahaha mwalimu unafurahisha namna ya ufundishaji wako upo kirafiki zaidi hata mtu awe kichwa maji ataelewa tu
Mashallah Allah akuzidishie ilimu akupe maisha marefu tupate kuelimika kutoka kwako
Unachonifurahisha Mwalimu wangu ukitoa ahadi ya somo lazima utalifundisha.
Mwenyezi MUNGU akukinge na hatari bado tunakuitaji Sanaa ususani watanzania.
Allahomma Amiin amiin, Asante Mr. Dominik
Nahitaji Fomu
@@nk-computertrainingNk more then professional 🎉❤
Kaka please ninashida na wewe nakupataje ,ntalipia garama zenu sim yangu iko na shida
Nashukuru kwa msaada wenu
Asante nawe ndugu.
Goood Jobu 😊
Mie kuna mt ameniunganisha anatumia sm ndogo na mm natumia kubwa kila nanocho fanya yy anajuwa jee amefanyajee
Umetisha mwalimu nahitaji masomo
Karibu sana jaza fomu.
MWALILU ONGELA SANA. KWA KAZI UNAYO IFANYA.. NAULIZA UNA FUNGUA VP WIF KWENYE PC... UNAWEKA BILA KUWEKA MODEM
WIFI haikai kwenye PC labda laptop, na kama unataka kupokea, ama kusambaza lazima uwe na modemu au uchukue kutokea kwenye simu.
Asante
Sasa kaka kama wamekuunganisha na wifi yao utatokaje
Mchumba ang ameniunganisha sijui 4:28 j kafanyaje kila sehemu iwe sms iwe call sijui kwanini kafanya ivi 😭
Pole sana, fuata maelekezo kumtoa
Whatssap yangu imekuwa hacked nifanyeje
Nashindwa na mimi ni muhanga naweza kukuona praivet
Tutumie ujumbe WhatsApp, namba natazama Description.
@@nk-computertrainingnaomba namba ya whatsap
Mimi simu yangu ilitrakiwa
whatsup yangu matapeli wameihuck nafanyaje tafadhali
Nimecheka jamn😂😂 ila nimependa sauti yako pia nimefura na somo
Asantii
Namba kaka angu naomba
Tazama chini ya video.
Tazama chini ya video.
mwalimu tufundishe kuhusu iyo awesan
Mungu akipenda.
Namm nataka kuona zakwak lkn nipo nje ya inch
Unataka kufa😂😂😂
@@RobinaRobert-t9v wala siwezi ila naomben
Yan una akiri nyingi sijui hata ulizitolea wapi 🤣🤣
Hamna tumeotea tu hahaha... Asante sana hata hivyo.
habra Zenu wasap yang matapel wameihuck nafanyaje tafadhali
Tutumie ujumbe whatsApp> wa.me/201028123266
Kama una iphone unaona tracking notification hii ni ya sim tuu mana ukiingia unakuta automatic
Me nimeshindwa kwenye iphone naomba nisaidie
Je nikimblock ataona pia
Hatujafanya jaribio hilo.
jinsi ya kuconect iyo awesun
Tazama video yake.
Nahitaji kujifunza computer
Jaza fomu kwenye discreption.
Na nikitumia line lngine pia ataona sms zangu kwa watssap?
No, hawezi.
Vp bloo hamfudishi hata namna ya kuweka video mtandaoni mm sijui napenda nijue bulatha
unataka upost wapi nikusaidie
Kaka mimi mbona nimeingia kwenye hidden apps naombwa passed??? Na ninahisi sim yangu inafatiliwa
Whatsap yangu kwenye call imehakiwa nataka kujua alieweka
Tutumie ujumbe WhatsApp.
Nataka nijue computer
Karibu sana ndugu
Yangu haileti link devices
Tafuta neno devices
Kazi nzury
Asante e
🔥🔥🔥
🥰🥰
😢😢😢😢
Jaza fomu.
Naitaji number ya whatsapp
Fungua Read more.... Yani Description.
namba yako mkuu
@@nk-computertraining nakupataje kk??
Where I can get you🥲🤲
Tazama description kujua unawezaje kuwasiliana nasi.
@@nk-computertraining kk. Nakupataje??
Sasa kaka kama wamekuunganisha na wifi yao utatokaje
Kikawaida wewe ndo unajiunga na WIFI hivyo Hakuna kitu kama hicho,
Na kama itatokea hivyo Jitoe kwenye WIFI yao.