Maashallah qasida nzuri na yenye ujumbe sichoki kuisikiliza " Mola kaumba dunia na mitihan pamoja, mitihan ya dunia Haina mtu mmoja" napenda ujumbe wake🙏🙏
Mashallah👏😘😘 Nikweli kabisa likimfika mwenzako lione km lako😅😅 Sote niwakwake Allah na hakika kwake tutarejea😅 Tufanyeni yalio mema ili kesho tukapate salama👏😅😅😅 Hongereni kwa kazi nzur 😘😘😘💗💗 Nimewapenda na Kuwakubali bure kwa Ujumbe wenu mzur na safi kabisaaa😘😘😘💗💗💗👏👐
Maashallah qasida nzuri na yenye ujumbe sichoki kuisikiliza " Mola kaumba dunia na mitihan pamoja, mitihan ya dunia Haina mtu mmoja" napenda ujumbe wake🙏🙏
Mashaallah
Kaswida tamu sana
Yaani iyi nikali Kuliko zote
Ambazo mulishaga towa
Qaswida nzuri sana
Masha Allah nzurii sana ujumbee unefika
Mashallah👏😘😘
Nikweli kabisa likimfika mwenzako lione km lako😅😅
Sote niwakwake Allah na hakika kwake tutarejea😅
Tufanyeni yalio mema ili kesho tukapate salama👏😅😅😅
Hongereni kwa kazi nzur 😘😘😘💗💗
Nimewapenda na Kuwakubali bure kwa Ujumbe wenu mzur na safi kabisaaa😘😘😘💗💗💗👏👐
Maashaaallh
Maashaallah 🥰
❤❤