unajua katika maisha haya mwanaume anavyo kamatika na kimapenzi huwa anapagawa sana ila huyu anataka hera kama magufuri angekuwa yupo angekupa hera uacha kuandika mashairi ya kumuhusisha mung si mwanamke wala mwanaume hafananishwi na kitu chochote
Hata mii natamani niimbe kwa ajili ya rais wetu make ni jasiri kwa kuongoza nchi yetu, haka huyu mama ni shujaa hila nilipotuma kipande cha sauti kwenye mitandao nilishambuliwa na wakatishaji tamaa
Rajabu ww ni kijana wa kiislam umemfananisha ALLAHU Mtukufu na Mwanamke na umekiri na kutubia makosa yako lkn bado unaendelea kumshirikisha ALLAHU kwa kusema Mama (mwanamke) ni Mungu wa pili achana na njaa itakupeleka pabaya hapa duniani tunapita tu, pia jitahidi kuteng muda wa kuisoma dini yako uielewe vizuri na ulazimikiane nayo hadi kufa ALLAHU atuongoze sote na Atujaalie mwisho mwema✓
ua-cam.com/video/EUC1GClcN_I/v-deo.htmlsi=b3RgegP_3-DcwKBv Big up saaana brother 🙏 #mkomboziLucifer ft #Waidiyoyada #FAT'IMISARABA #mkombozi ua-cam.com/video/EUC1GClcN_I/v-deo.htmlsi=b3RgegP_3-DcwKBv 😊 1:141:15
What I appreciate for harmo ,he takes time to write a good lyric, very nice 👍
True❤
Very nice song. Hongera sana Harmonize. 🎉🎉
unajua katika maisha haya mwanaume anavyo kamatika na kimapenzi huwa anapagawa sana ila huyu anataka hera kama magufuri angekuwa yupo angekupa hera uacha kuandika mashairi ya kumuhusisha mung si mwanamke wala mwanaume hafananishwi na kitu chochote
❤❤ harmonize I appreciate your work hakika unaweza Kaka
Good very much kaka mkuu
Mashaallah konde boy mungu akubariki na raisi Samia hapo
Mwanamke ni mtu na nusu, kukatishwa tamaa usiruhusu, hata kurudisha nyuma unitów nafasi.💪🏽💪🏽👍🏽
nice one good song 💯🔥🔥🔥
MAMA YANGU #RAULENCIA NI MTU NANUSU✅
Tunataka collable ya ninyi,ikiwa Harmonize ataimba wimbo na Diamond tena,tutakubali wao wameungana tena,kutoka 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 much love to TZ Musics
Sijui kama itawezekana. Bro I'm from Rwanda 🇷🇼 hhh
may be coz all of them are searching money may be wale wametudanganya wana beef lakini hakuna beef katikati yao
Great song. Mama
Félicitation vraiment harimonaze
Harmonize is Golden boy,talk & go sleep
😂😂😂 kabisa vraiment maman ni mama😂❤
Konde nakupega sanatumbusha tulipo my brother 🕺🕺🕺
❤kweli MUNGU ni wa kwanza mama ni MUNGU wa pili bila mama wewe usinge kuwepo na huwezi pata mama original hila bandia utapa
Mm nampenda sana Allah make ndiemkomzi zaidi ya chochote hapa duniani
😢si pending mimi
Good song big up to every mam in the world ❤❤❤❤❤❤❤
mama yangu ni mtu na nusu
ENJOY Good music from REENA MANGI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Me unaitwa ranzorld Nina nyimbo yangu naomba mnisaport Jina LA mzki wangu ni sitomuacha please naomba usisahau kucomment mnitie moyo
tumuombee sana uhai mleefu huyo simba lama simba.maana bila simba media yote za habari na wasanii wetu kwishaaa.
Nakubali konde❤❤❤❤
Kweli harmonize we ni mkali sana i'm from Drc
🔥🔥🔥🔥
Mama nitu na nusu
😢😢wow much appreciated
Mis understand harmonize & Diamond start from journalist
Konde wew kibok jmn honger san
harmonise anaimba vyema kwenye live zaidi ya diamond. nimesema bila kuogopa ,yuopo tu sawa
Kweli❤
Ukweli saana
Sawaa bwana lakin Mondi ni mtu hatari sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️
Big ap brother
Msaada yaan sorpot connection kusambaza goma rengo mafanikio to Kaka please please please surpot
1:13
Konde boy ametisha
Hiyo live na sauti inatoka hivyo... Daah!
Huyu dogo anajua sana kuimba!
Francais
Toka hpa tumechoka na kumsifia diamond
Kunamama na mama yangu
Hata mii natamani niimbe kwa ajili ya rais wetu make ni jasiri kwa kuongoza nchi yetu, haka huyu mama ni shujaa hila nilipotuma kipande cha sauti kwenye mitandao nilishambuliwa na wakatishaji tamaa
wee ni nani??
Na mim nikuongezee????
Wewe nisupa
Namuona lwaga anapoitamani maiki yan hapo angepauwa
Mbona sipatihata jina ya Diamond ninyi😂😂😂😂😂
Kiukweli kijana karogwa
Baki hivo H umwnyowa vizuli
Me naimba natumia jina diga boy tz please please please please please please naomba msaada nanyimbo yangu inaitwa raha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pandzp ww
Msaada gan unaotaka?
Em tuione kaka
Unaishi wap?
Me naimba natumia jina diga boy tz please please please msaada
Jisaidie kabla hujasaidiwa
😊😅❤❤❤❤❤❤❤❤
Acheni kutuchanganya sisi kama shabiki wenu tumechoka
Njaaaa tupu
Kazi nzuri sana kwa huyu kijana .Jamani hiki ni kipaji.
Konde weye uko shida.kaha apooh usi toke.
Huy ndo kondeboy, bravo
One love bro Konde
mada yenyewe uongo mtupu
Kwel
Kalewa nn
Rajabu ww ni kijana wa kiislam umemfananisha ALLAHU Mtukufu na Mwanamke na umekiri na kutubia makosa yako lkn bado unaendelea kumshirikisha ALLAHU kwa kusema Mama (mwanamke) ni Mungu wa pili achana na njaa itakupeleka pabaya hapa duniani tunapita tu, pia jitahidi kuteng muda wa kuisoma dini yako uielewe vizuri na ulazimikiane nayo hadi kufa ALLAHU atuongoze sote na Atujaalie mwisho mwema✓
Unahakili sana
Apa nataka like za wakubwa....watu walio komaaa sio wale wanao mchukia hamo bila kosa...😂😂😂 Pumbavu zenu🏃🏃
😂😂😂😂😂😂😂
Bravoooo konde gang for life 🎉🎉🎉❤❤❤
Kwa Maana hiyo umekuwa !! Umevunja *Ungoo!! Au siyo
😂😂😂😂😂😂😂
ndokweli
Kwanini Wasafi wivu sana,inamaanisha niwachungu
most boring crowd ever, this coperate heads dont need entertainment
mimi ninachoona harmonyiz habari zake aziend mpaka muweke picha ya simba ndio muuze habar zenu.kweli simba ndio baba lao
Hatamipiya nimefungua vidéo nikizani kwamba nitamuona Simba
ua-cam.com/video/EUC1GClcN_I/v-deo.htmlsi=b3RgegP_3-DcwKBv
Big up saaana brother 🙏
#mkomboziLucifer ft #Waidiyoyada #FAT'IMISARABA
#mkombozi
ua-cam.com/video/EUC1GClcN_I/v-deo.htmlsi=b3RgegP_3-DcwKBv 😊 1:14 1:15
Good song big up to every mam in the world ❤❤❤❤❤❤❤