Pt7_Nilimuona live shetani ndani ya hospital Dsm Tz,daktari alisema lazima nife|USHUHUDA WA Aps.Zizi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 44

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub 3 дні тому +3

    Utukuzwe Bwana Yesu Kristo kwa ukuu wako Baba yetu ulie juu ya yetee maana mukono wako sio muzito kwa kutusaidia ila sisi ndio wenye kukuasi wewe Baba yetu Utusame zambi zetu Baba yetu😢😢

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 2 дні тому +2

    Pole sana Mtumishi wa MUNGU

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 5 днів тому +6

    Hakika Yesu Kristo Anaokoa Amen

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 дні тому +3

    Jamani ushuhuda mzito sanaaaa Mungu awabariki tunaomba mwendelezo

  • @VITAMHAKA
    @VITAMHAKA 3 дні тому +3

    Hakiki kwa ushuhuda utujenge kwa Iman ya bwana wetu yesu kristo

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o День тому +1

    Amen blessd kaka Audax n promover tv ❤

  • @charlesmutunga6952
    @charlesmutunga6952 3 дні тому +2

    Powerful testimony. May the Lord bless His servant and enlarge her territory

  • @LesiaNamialano
    @LesiaNamialano 4 дні тому +3

    Mungu wetu ni mwenye rehema

  • @judithbett420
    @judithbett420 3 дні тому +2

    Yesu ni muweza yote

  • @RodahAdonice-dz4sm
    @RodahAdonice-dz4sm 3 дні тому +3

    Mhh hakika Yesu kuna watu amewatoa mahali wanastahili kushuhudia ili kututia nguvu wengine

  • @bwana_pilato
    @bwana_pilato День тому +2

    Yesu Kristo ndio BWANA
    Imagine muhubiri anatoa neno pembeni ya hospital na Anapona mtu mwingine kabisaa

  • @fei3668
    @fei3668 3 дні тому +2

    Amina amina amina

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 3 дні тому +2

    Amen

  • @LesiaNamialano
    @LesiaNamialano 4 дні тому +1

    Barikiwe sana Ila mnatowa vipande vifupi sana

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 4 дні тому +5

    Huu ushuhuda ni mzuri Sana ila unachikua muda mrefu Sana kurushwa hewani sasa ni part 7 mpaka kesho ndio part 8 mbona hivi?

    • @Neema-m6s
      @Neema-m6s 4 дні тому +2

      Kweli kabisa watoe mapema jamani Yesu yupo na anatenda mpaka ss.Jaamani tuache dhambi tumrudie Yesu.

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 дні тому +1

      Sawa tutajitahidi kuleta sehemu nyingi kwa siku

    • @nunyabizactually6928
      @nunyabizactually6928 День тому +1

      Mimi naona mko sawa kwa sababu kazi ni nyingi tena hata hizi shuhuda ni kazi kweli kuzileta,sio rahisi vile wengine wanafikiria

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 3 дні тому

    Kweli kufungwa kupo, ila pia kuna na ka ujinga kidoogo kwa mama mtumishi (msimuliaji)

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 3 дні тому +1

    Hakikanhakyna kile hakiezekani kwa Baba yetu..ukimuamini anakutendea

  • @natujwamziray7749
    @natujwamziray7749 3 дні тому +4

    Kabla ya yote msaidieni huyu dd ajue maandiko. Askofu na mtume aangalie mfano WA Yesu Kristo alivyoteuwa mitume hakuweka mwanamke. Na Askofu ni mume WA mke mmoja. Hilo ndio biblia

    • @nunyabizactually6928
      @nunyabizactually6928 День тому

      Hivi wanawake hawafai kutumiwa na Mungu ama kutumika ama kuMtumikia Mungu ama wamaanisha nini?

  • @rerisamba
    @rerisamba 3 дні тому +1

    Nimelia ati mtoto alianza kukemea roho ya mauti ishindwe

  • @natujwamziray7749
    @natujwamziray7749 3 дні тому +1

    Promover mnasoma comments zetu

  • @adefina-ud9rd
    @adefina-ud9rd 6 годин тому

    Au mtumishi vingne unatudanganya yani daktar aseme huyu ni wa kufa tu kwa dharula au ni miaka ya zaman knowledge ya madr ilikua bado chini, kwa case yako hamna ktu kama hicho labda huyo Dr alikua kweli agent wa kuzimu

  • @ChristinaOnyango-v1j
    @ChristinaOnyango-v1j 19 годин тому

    Wote walikuwa kitu kimoja hiyo kumpigia Baba yake na kumkana ni zuga tu,hata huyo Zaina wote wanajuana,ata hilo tukio wote walijua kitatokea

  • @LizBobo-d8y
    @LizBobo-d8y 3 дні тому +1

    Yani shetani alitaka ufie huku na sio muhimbili nadhani team nzima ya waganga na wachawi wa Tanga walikua hapo

  • @EliasSamwel-co1yc
    @EliasSamwel-co1yc 3 дні тому

    Naomba Namba ya Nabii Azizi

  • @MunezeroNadine-gi5ky
    @MunezeroNadine-gi5ky 2 дні тому

    Christo apewe sifa

  • @RachelMligwa
    @RachelMligwa 3 дні тому

    Sasa ndo unanunua nguo kny duka la wachawi 😢

  • @JanethCarlos-sz6vc
    @JanethCarlos-sz6vc 4 дні тому +1

    Lusheni KAZI hewani watu waangalie

  • @SelestinaHamis-dw1gs
    @SelestinaHamis-dw1gs 3 дні тому

    Yani Huyo Dr ningekua mimi nikipona namrudia nikampige nimue

  • @AgathaIsdory
    @AgathaIsdory 3 дні тому +1

    Nwendelezo wapendwa

  • @gervaskazinza3563
    @gervaskazinza3563 3 дні тому

    Mtangazaji punguza maelezo mengi ninafkiri tunaelewa kiswhili vizuri
    Sisi watanzania unatunyima usikivu

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 3 дні тому +1

    Naomba huyo mama asaidiwe aachane na kujita askofu Mkuu na mtume, atoe ushuhuda uwaokowe wengine kanisa achilie kanisa wanaume wachunhge

    • @agnesmukoma3694
      @agnesmukoma3694 3 дні тому +1

      Ukweli kabisa pastor

    • @AgnessMpanduka-l5g
      @AgnessMpanduka-l5g 3 дні тому +1

      Kwani hilo la kujiita hivyo kuna tatizo gani? Mbona kuna mwehu mmoja Arusha Anajiita Nabii Mkuu kuna Mungu chini yajua Mfalme Zumaridi wakati ni lidemu lisilo jitambu Kuna Yesu huko Kenya kuna Yohana sasa hata huyu we muache tu huwezi kuwabadilisha wafuasi wake wasimuite hivyo na wanamuamini?

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 3 дні тому +1

      Kweli kabisa

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 3 дні тому +2

      ​@@AgnessMpanduka-l5gshetani siyo wa kuchezea, kuna wakati hujigeuza kuwa malaika wa Nuru. Shetani ana uwezo mkubwa wa kudanganya, kwamba, unamuona mtumishi wake kuwa ndiye wa Mungu; na Mtumishi wa kweli wa Mungu anaonekana ndiye anamtumikia shetani. Ni hatari.
      Lakini tuna kipimo, mosi, ongozwa na Roho Mtakatifu, pili, chunguza matendo (hata kama mtu anatoa ushuhuda wenye kusisimua kiasi gani)

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru День тому

      ​@@pirminmatumizi5464MUNGU aliye hai atusaidie sana