Muhubiri kweli nime barikiwa kwa mafundisho ya leo. Mungu mwenye Baraka akubariki akupe haja ya moyo yako, kikuu kuliko yote tufike mbinguni zote as reward. Nahandika kutoka DRCongo Butembo.
Amjambo mchungi ubsrikiwe sana na Mungu ninakufata ninapo kuwa inchi ya congo nikiwa Sud-kivu Mungu akuongezeye maarifa mchungaji, nasalimu wa sabato wote hapo tanzania
Mfano ulimkosea ndg yako, au baba yako na ulikuw unaish kwake akakufukuza ila moyoni mwako huna hasira nae, na kwake siend mana alinifukuza, je !ni nani mweny makosa kwa Mungu?
Muhubiri kweli nime barikiwa kwa mafundisho ya leo.
Mungu mwenye Baraka akubariki akupe haja ya moyo yako, kikuu kuliko yote tufike mbinguni zote as reward. Nahandika kutoka DRCongo Butembo.
Hakika Mungu anamakusudi maalam, hili somo nililihitaji sana, Mungu atusaidie🙏🙏🙏
Barikiwa sana pasita,nimebarikiwa sana na haya mahubiri, Mungu wetu mkuu aendelee kututia nguvu
Amen pr barikiwa
Amin
GOD BLESS YOU MAN OF GOD
Mungu akutunze tuu pr.
Following from Doha Qatar
Amjambo mchungi ubsrikiwe sana na Mungu ninakufata ninapo kuwa inchi ya congo nikiwa Sud-kivu Mungu akuongezeye maarifa mchungaji, nasalimu wa sabato wote hapo tanzania
nisakdiye na namba yako ya watsapp
Pasta umenipa mafundisho ya kunizidisha imani MUNGU akubariki
Niweke katika Maombi mchungaji Mbaga...Niko katika jaribio kubwa linalonikera sana
ubarikuwe sana mtumishi
AMEN 🙏 MUNGU TUSAIDIE KIROHO
Amen
Amina 🙏 pasita
Ameeeeen be blessed
Mchungaji Mmbaga rafiki yangu
Niko DRC Baraka nawafatiliya vizuri
MUNGU anisaidie maana mengi na wengi wameniumiza
Pastor kama ukiona comment hii niombee tuu nitoke kifungoni.
Mungu akutendee muujiza
Naomba hilo fungu la Daudi alipocheza mpaka nguo ikandondoka tafadhali
Kumbe nguo ya mfalme ilidondoka
Pasta endelea kuitenda kazi ww hujui kabisa unavyo nikumbusha ninae MUNGU
Hicho kitabu ulichokinukuu Mchungaji kinaitwaje? Maana sauti ilikata sikupata vizuri, nahitaji kukitafuta. LAWI kutoka NAIROBI.
Mfano ulimkosea ndg yako, au baba yako na ulikuw unaish kwake akakufukuza ila moyoni mwako huna hasira nae, na kwake siend mana alinifukuza, je !ni nani mweny makosa kwa Mungu?
Ni wewe .
Maana umeshasema ulikosea ndio ukafukuzwa
Na Kama Huna hasira naye , kwa nini usiende ukaomba msamaha na mkafurahi pamoja ?
Amin
Amen
Amen