TAMASHA LA EKARISTI TAKATFU (Live Performance EPISODE 02) - Kwaya ya Mt.Secilia Makuburi, DSM
Вставка
- Опубліковано 30 лис 2023
- Karibu kutazama jinsi kwaya ya Mt. Secilia Makuburi walivyo imba kwa ustadi muunganiko wa nyimbo tatu - Hostia Takatifu, Mwime Tubite na Ija Waitu Yezu katika ukumbi wa Cardinal Adams Hall, Msimbazi Centre Dar es salaam.
WIMBO: HOSTIA TAKATIFU, MWIME TUBITE NA IJA WAITU YEZU
WAIMBAJI: KWAYA YA MT. SECILIA-MAKUBURI.
ORGANIST: PETER MLYANYAMA.
SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT AND SHARE.
Nawakubali sana Mt.Sesilia Makubuli.... Mnatisha
❤❤❤ hadi raha jaman daaah majige uko poa sana
Mungu Atukuzwe kwa ajili yenu KMSM 🙌🙌
Hamnaga show ndgo nawakubali sana🥰
Hongereni sanaa mt sesilia
Hawa jamaa wanajua hadi wanakera..... Hongera nyingi mno! Mmetisha sana wapendwa
Mtaguso wa pili wa Vaticano . Utamadunisho 🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Muko vyema mno Kaka,hongereni sana,Huku pembeni tunajivunia
Munanikosha sana nafsi yangu.mungu aendelee kuwainia. Majige safi saaana. Umetisha.
Mpaka raha jamani amazing
Cesilia mko vizuri sana mungu awabariki sana
Them: how many times have you watched??
Me: YES
This is awesome let The Lord be with you st Secilia
wow! mpo vizuri sana wana wa mungu
Nakuona shayo unacheza kihaya
Hii sasa ni balaa ni zaidi ya tamasha .. hongereni sana . Ni kazi nzuri
🔥🔥🔥🔥🔥this is it
Kaka majige uko pw sana
Mwimenyele tubiteeeee aweeeeee ndiwadza
Hadi raha yaani
Hii vibe ni motoooo
Sukuma 😍😍😍
Safi sana aiseeee 🎉🎉🎉
Always on point ❤
Kwaa kweliii you guys are of another level kabisaaaa! Mmepandisha hadhi matamasha ya nyimbo za kikatoliki, mnaturudisha nyumbani na kututamadunisha! Big up and keep it up.
Wasukuma mpoooo
The vibeee🎉🎉
💥