Othman malim nakupenda sana kwa ajili ya Allah... Nafarijika sana kusikia mawaidha yako napata kidogo kitu vya kujifunza.. Allah atuhifadhi na atujalie mwisho mwema🤲
Asalamu alaykumu al- habibi othman maalim, MUNGU akujazie kheri, wala yasikubabaishe maneno ya husda, shekh hata mtume anafanyiwa husda mpaka leo japo alikwisha ondoka siku nyingi Inna LINLAH waina ilayih rajiuna, kuna watu wanatamaa ya kutaka kumtoa makosa mtume s.a.w, wapo watu wanajiona wanaijua sana dini kuliko masahaba wa mtume kwahiyo huo ndio ubinadamu, endelea kutuelimisha shekh sisi tupo nyuma yako, Mungu akurehem pamoja nasi insha ANLAH.
Asalam Alykum warahmatullah wabarakatuh Alhamdullilah. Mawaidha yako Sheikh haishi hamu Maa Shaa Allah. Allah akupe hidaya afya umri ilmu yenye manufaa kwako na kwetu Amin
Shukran sheikh Othman maalim kwa darsa zuri sana, Allah akulinde na hassad na akupe afya tuzidi pata ilimika na mawaidha yako, ameen yarwab
Wallahi huyu sheikh anajua Sana ,, yaa rabbi nakuomb kwa rehma zako mjaalie mazur hapa duniani na kesho akhera
Aamiiin rabbal alaamiin
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Ameen 👏👏👏
Allahumah Amiin
Naweza sema kwa hapo Bongo hakuna km othman mwalimu,nahata east africa yote..pengine
Allaah atulinde na zote shari Ummah Muhammad Swalla Allaahu Aalahi wa Aalihi wa sallam pia utupe maghafir isilamiaah
Rehma na amani zimshukie mtume wetu kipenz pamoja na maswahaba zake..Shukran sheikh Othman kwa visa vzur na vyenye mafunzo.ALLAH akuhifadh. 🙏
Othman malim nakupenda sana kwa ajili ya Allah... Nafarijika sana kusikia mawaidha yako napata kidogo kitu vya kujifunza.. Allah atuhifadhi na atujalie mwisho mwema🤲
Mashallah mashallah mola akupe umri mrefu
Allah hukbar wallahi nam penda Sana mtume mtukufu MOUHAMAD S.A
Alhamdulillah Allah akuweke shekh malimu
Masha Allah my Allah give you good life
ua-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/v-deo.html guza link
Allah akuandalie mahali walipo maswahaba na mitume ,na mungu akupe mwisho mwema . Hauna tofauti na Ali bin thwalib kw elimu .
Jazakallah kheir ❤
Alhamdulillah Allah akujalie kheiry insha allah
MashaAllah shukran Allah akuhifadhi
Amiin
Asalamu alaykumu al- habibi othman maalim, MUNGU akujazie kheri, wala yasikubabaishe maneno ya husda, shekh hata mtume anafanyiwa husda mpaka leo japo alikwisha ondoka siku nyingi Inna LINLAH waina ilayih rajiuna, kuna watu wanatamaa ya kutaka kumtoa makosa mtume s.a.w, wapo watu wanajiona wanaijua sana dini kuliko masahaba wa mtume kwahiyo huo ndio ubinadamu, endelea kutuelimisha shekh sisi tupo nyuma yako, Mungu akurehem pamoja nasi insha ANLAH.
Amiin
I'm
Inshaallah 👏👏
Shukran
masha llah
MASHA ALLAH.
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Mawaidha ya shekh othman maalim yanafundsha haswaaa ALLAH akujaalie kher dunian na akhera
Mwenyezi Mungu akupe kila la kheri duniani na akhera amiin
Aamin
MashaAllah napenda mawaidha yake
Masha'Allwah JazakaLlwahu khair.
Mashaa Allah mashaa Allah
Mashaa ALLAH
Amin Amin yarabyy
Maaashallah Allah akupe umri mlefu sheikh othmani
Amiin yaa rabbal a'alamiin
Ishallah allah akulinde ww p1 na familiya yako yani ww nimmiongoni mwawatu wa peponi ukweli kabisa .
Asalam Alykum warahmatullah wabarakatuh Alhamdullilah. Mawaidha yako Sheikh haishi hamu Maa Shaa Allah. Allah akupe hidaya afya umri ilmu yenye manufaa kwako na kwetu Amin
Amin
Mashallah sheikh Othman mungu akueke
Allah s.a akulipe heri,kwa hakika maidha haya yamenifariji.
Shukran wa jazakallah kheir
Maashaallah
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Othuman maalim mungu akueke inshaallah ❤❤❤
Amen ya rabi
Amiin yaa rabbal a'alamiin
Mungu atuweke sisi pamoja nae Inshaallah
Mashaallah
SUBHANA ALLAH 🤗🤗🤗
Mungu akujaalie shekh
Masha Allah
Mashallah
The great Sheikh
Anae kejeli VISA hasa vinavyotolewa na Shekh Otman Maalim ajue anadharau quran na hadithi za mtume
Good,
ua-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/v-deo.html guzaa link
Masha'Allwah.
AllaH akulipe pepo ya jannat
Mungu atulipe pepo sisi pamoja na yeye
Assalam Aleikum warahmatullah wabarakatu...jazak Allahu kheri yaa sheikh....Allah akujalie umri thawiil wenye twaa na afya uzidi kutuelimisha
.
Amiin
Ni kweli maalim
ASILIMIA 90 MNAMSIFU HUYU SHEKHE ILA WENZENU WANAMPONDA WANAMUONA KAMA MPOTOSHAJI
MashaAllah Shekh Othamn Mawaidha Yako Ni Zaid Ya Msikiti....MashaAllah Maneno yako Yanaingia Mno....Tunakuarika Masjid Dsruslaam Ferry Kigamboni, Tunaomba Mleteni Tafadhali
The first time I was asked for palestine is the islamic republic that we ndo and we ndo
Lqqq
0
@@ummuhkhalfan5542 meaning?
Jifunz quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
Nashukuru nimefarajika sana
ua-cam.com/video/AaW2ZgcVrRA/v-deo.html guzaa link
Me nakuerewa ww ni mwalimu mzuri mungu akpe maisha marefu
Kila hatuwa Dua jameni mda wote mauti hays mda hayaagi ilo tufahamu
Visa vinauzingatio mkubwa wadau sio mchezo kwendewako nimahala pazito
Kabisa
SubhanaAllah
Jamani mm napenda sana mawaidha ya uyu shehe kwani akuna link ya kuilod ili nipate kusikiliza ata kama sina mb
Jaribu
Si u download
Mashallah
Mashaallah
Maashaallah
Mashallah
Mashaallah
maashaallah
Mashallah