Hakika Mtume alikuwa wa Allah kwa kuwafahamisha watu yaliyofanyika ya sirini.Mwenyezi Mungu akujalie umri uzidi kuelimisha ummah. Akupe afya na jamii yako.
MashaaALLAH! Shukrani ya Rabi kutupa Dini hii nzuri ya Uislaam na bora. Najivunia hili.Tusamehe ya ALLAH na utuukutanishe pamoja ummat Muhammad ktk Janna. Umri uwe mrefu kwako Othman Maalim na ALLAH akupe mwisho ulio mwema.
Mashaa Allah haya ndio tunayo yataka tuwe na visa vya maswahaba na mtumie wetu na sio mambo ya mipira vichwani mwetu ... Allah azidi kutuongoza na shekhe wetu Allah azidishie nguvu za kutuelimisha
Mashallah ,kiswa kizuri Sanaa,Allah akupe umri marefu ,zaid akulipe firdaus pamoja n waislamu wote,yaarab Tuokoe na moto wa jahamu sisi tulomkubal mtume (s.a.w)
@munir Ahmed. Nina mashaka na wewe unaesomeka kwa jina la #Munir Ahmed kuwa sio Muislamu na unatudanganya au ni Mnafik unabeza hiyo historia. Lkn elewa kuwa Mwenyezi Mungu s.w ni hodari wa kupindua vitimbi.
Kila kiumbe kitaondoka kwa wakati ulipangwa na si sababu ya kutaka kumkamata mtume! Mbn Omar khatab wakati akiwa kafiri alikuwa tayari kwenda kumkata kichwa mtume na mbn hajafa ghafla? Othman fatwa ukitoa pitia kwanza kabla hujarusha

Shukran
Qisa Kina Mafunzo Mengi Kwetu Waislam Na Muslimat Yarab Tuzidishee uongofu. Shukran Mwalim Wangu Othman Maalim.
Mashallah tabaraq llah fiiq Allah akupee swiha njema afya akuepushia na mashari akuzidishie umrii mrefu uzidii kutupa daawa shuqran
Jazakallah khayra
MashaaALLAH! Shukrani ya Rabi kutupa Dini hii nzuri ya Uislaam na bora. Najivunia hili.Tusamehe ya ALLAH na utuukutanishe pamoja ummat Muhammad ktk Janna. Umri uwe mrefu kwako Othman Maalim na ALLAH akupe mwisho ulio mwema.
Mwenyezi mungu akupe mwisho mwema shk
.hivi shekh anawakenwangapi nahitaj aniioe hat bure niulizieni au mnipe nmba xke
Mohammad S.A.W
Allaahuma swalliiwasalim Alaa sayidnaa Muhammad waa Alaa aalihii wasalim jazaakallaahu kheir sheq Othman maalim
Mashallah mashallah mashallah shekh wetu Allah akupe umri mlefu
Mashalla kisaa kizuri hicho❤
Mashaa Allah haya ndio tunayo yataka tuwe na visa vya maswahaba na mtumie wetu na sio mambo ya mipira vichwani mwetu ... Allah azidi kutuongoza na shekhe wetu Allah azidishie nguvu za kutuelimisha
Nasi tuingize kwenye Dua zako Allah s.w atuvue na mapenzi ya mapumbao ya kidunia!
@@noorbazaar9063 Ameen thuma Ameen Allah atutakabalie dua zetu
Aamina insha Allah
Mashallah ,kiswa kizuri Sanaa,Allah akupe umri marefu ,zaid akulipe firdaus pamoja n waislamu wote,yaarab Tuokoe na moto wa jahamu sisi tulomkubal mtume (s.a.w)
Aamin thumma aamin yaarab
MASHAALLAH YARABB tunakuomba uijaze Mioyo yetu IMAAN.
Mashallah
Aamina
Namkubali sana shekh wangu huyunampenda sana kwaajili ya allah subuhana huuwataalla nakupenda sana shekh wang
Mashaallah
Mashallah
B
Allahu akibar
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh.Jazza kAllahu khayri
Mungu akupe kila la heri
Assalamu alaikum Allah akubariki kwa kutuilimisha na Allah akuzidishie ilmu uzidi kutuilimisha
Jazakallah kheyr
Shukran sheikh wetu barraka allahu feek yaarabi akujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha mawaidha mazur sana
Mashaallah
Maashaanlah
Mashallah Mashallah Sheikh umesema uzuri Jazakallah khery Allah Akupe umri mrefu na Afya yako kamili
Mashaallh
Amiyn Allahumma amiyn
Shukran sana jazakallahu khairan
Maashallah shekhe umeoa lwake wngapi mm nataka unioe nkusikia sauti yko tu inlanichanganya
subhanalha
Inshaallah
Jazaka ALLAH kheyr
شکران یا شیخ
Mashaallaah shehe ALLAAH akuweke na hakuifadhi
Mungu akulipe apa duniani na kesho ahra
Assalam alaykum
Mashallah
Mada zako nzuri Ila maulidi ya kuzaliwa kwa mtime uache
Allah akupe umri mrefu
Maa shaa allah
Mashaallah allah kareem
ASALAM ALAIKUM MAOMBA NAMBA ZASHEHE
Maa shaa Allah tabarakAllah
Asalaam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh kwa ajili ya ALLAH nampenda saaaana SHEKH Othiman sijui alienda wapi Manshallah.
Www,
mashaallah tabarakaallah
Mashallah mungu akuhifadhi duniani na akhera
💞
tumejifunza vizuri
Mashallah❤
Jazakaallah
Mashaallah kiswa kizuri shekh wetu
Subhannaalla
MASHA ALLAH.
@munir Ahmed. Nina mashaka na wewe unaesomeka kwa jina la #Munir Ahmed kuwa sio Muislamu na unatudanganya au ni Mnafik unabeza hiyo historia. Lkn elewa kuwa Mwenyezi Mungu s.w ni hodari wa kupindua vitimbi.
Kwani alikufa kwa sababu ya kutaka kumkamata mtume au wakati wa kifo uliwadia? Mbn unatuchanganya othman tena?
Munir unajichanganya mwenyewe tu
Kusoma dini muhimu
Othman anachanganya tu
Kifo kila kiumbe kitakufa kwa wakati aliopangiwa na wala si eti kwa kuwa alitaka kumkamata mtume
@@suleshaziz9841 mh elimu ni kubwa si kila anaevaa kanzu ukamwite mjuzi jaribu kumchambua
Kila kiumbe kitaondoka kwa wakati ulipangwa na si sababu ya kutaka kumkamata mtume! Mbn Omar khatab wakati akiwa kafiri alikuwa tayari kwenda kumkata kichwa mtume na mbn hajafa ghafla? Othman fatwa ukitoa pitia kwanza kabla hujarusha
Una chuki flani wewe ama upungufu wa kuelewa Dini yako ama unamuona mtume s.w.a Ni kama wewe. Ufahamu wako ndio mdogo tu.
@@salmabintuthman3243 ucwajibu hawa...hawa wanamaradhi ktk nafsi zao...wanajiona wao tuu wapo sahihi
@munir Ahmed. Nina mashaka na wewe unaesomeka kwa jina la #Munir Ahmed kuwa sio Muislamu na unatudanganya au ni Mnafik unabeza hiyo historia. Lkn elewa kuwa Mwenyezi Mungu s.w ni hodari wa kupindua vitimbi.
Mbna wewe husikiliza vizur
Namm nawaswas nahuyo kwakua anvyosema mm cjui anamaanisha nini unamaradhi
Mashaallah